MBUNGE WA NGORONGORO ANG'AKA, ISHU YA LOLIONDO, KIKWETE AINGILIA!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 чер 2022
  • MBUNGE WA NGORONGORO ANG'AKA, ISHU YA LOLIONDO, KIKWETE AINGILIA!
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 434

  • @noahorkilidi2359
    @noahorkilidi2359 2 роки тому +35

    Uko vizuri sana mbunge wa ngorongoro wanakutisha lakini usiogope Mungu yupo

  • @neemamaurice171
    @neemamaurice171 2 роки тому +30

    Upo vizuri sana mheshimiwa unajua kilichokupeleka bungeni kuwasemea wananchi wako viva aluta continua

  • @williamyouze4396
    @williamyouze4396 2 роки тому +14

    dah huyu jamaa anauchungu sana na raia wake

  • @charlesmnuo3292
    @charlesmnuo3292 2 роки тому +16

    Daa bunge la taarifa taarifa mbunge wa loliondo yuko sahihi sana

  • @elijahnkoidela4262
    @elijahnkoidela4262 2 роки тому +8

    Wapi kienyeji ingine ilikuwa inaongea hadi inataka kuongea kisukuma, ajibiwe Leo,,,, Ole Mpapa, tanyuaa amu kin'dimie, Enkai,, your are the real hero!!!! 💪💪💪💪

  • @justuskirongosi6859
    @justuskirongosi6859 2 роки тому +20

    Heko mtetezi wa haki, kila mtu apewe haki yake, wakristo na waisilamu wote tukatae dhuluma.

  • @ericamwkyokile4681
    @ericamwkyokile4681 2 роки тому +6

    tupate wapi wabunge kama huyu? well done ,Mungu akulinde

  • @sulymaniabdallah7843
    @sulymaniabdallah7843 2 роки тому +7

    Huyu mbunge nimependa Sana anajali wananchi wake kuliko cheo chake,na huyu aliotoa taarifa na mzungumzaji akapokea huyu mzee nae kichwa Sana nampenda sana

  • @jrsaid4270
    @jrsaid4270 2 роки тому +7

    Ningekuwa gaidi ningefinance silaha za kivita Kwa wamasai ngorongoro waendelee kupigania Ardhi yao

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 2 роки тому +18

    Hapa Tunapoelekea Naona Kabsa Tunatengeneza Makundi Na Matabaka Kwenye Nchi Yetu Na Ni Jambo La Hatarii Sana

  • @elishapalaletlaizer3714
    @elishapalaletlaizer3714 2 роки тому +6

    Hongera sana Msalendo wetu Uzichoke kupambania Wananchi wako kwani haki haiombwi bali Inadaiwa

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 2 роки тому +3

    Mbunge anatetea wananchi wake yupo sahihii mungu ambariki kwa kutetea wanyonge

  • @emmanueldushimimana123
    @emmanueldushimimana123 Рік тому +4

    Ingekuwa heri wabunge wetu wa inchi ya DRC Congo waende kuiga masomo ya ubunge Kwa huu mheshimiwa wa Bunge ya ngorongoro anateteya wakaaji wake Mungu amuzidishiye siku zake za maisha.

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 2 роки тому +11

    Watu wanaangalia tu matumbo yao yaani hawa wabunge hawajui wako bungeni kwa ajili gani wanadhani wako pale kuitetea serikali na matumbo yao wakati wapo bungeni kutetea maslahi ya wananchi waliowachagua

  • @christinenyagiro6662

    Wamasai wanahaki na haki zinawalinda. Pole sana masai. Watanzania ni ccm hawana upendo na wanainchi wanaowatawala, ila ikifika wanako piga pesa wako tayari kutetea hata kwa damu. Shukuru wewe mwenyewe ni ccm mpaka walikuwa wamekuteka, angekuwa ni mbunge chama kingine wangekuwa wamebandika mambo hata uhaini. Lakini walipokuchukuwa wakakuta ni wale wale ingawa ninyi mnapozwa na ifadhibya wanyama wanataka kuwapa warabu. Wanataka ninyi mtoke ili waweze kuweka warabu.

  • @alphoncejmrema7912

    Mungu ni mwema sana muachen jaman aongee Kwa niaba ya watu wake hizo taarifa hawez kupokea anaongea Kwa uchungu mkubwa mno

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 2 роки тому +17

    Huwezi ukamtoa mmasai Loliondo ukampeleka handeni handeni halafu ukaendelea kumuita mmasai. Moja ya kivutio cha utalii na watalii kutembelea loliondo ni pamoja na wamasai. You just can’t move people from their ancestors land just like that. Hiyo ina maana by so doing unabadilisha hata jinsi wanavyofikiri na kadhalika. Waacheni wamasai Loliondo hapo ndipo kwao, full stop

  • @josephatnyamageu1046
    @josephatnyamageu1046 2 роки тому +11

    Hii ndio faida ya Royal Tour Watanzania naliona Giza katika nchi yetu 🙄

  • @JosephMsanga-vl3ug

    Shetani Anasura Nzuri sana Ni Mrembo Ni Kisura!! Hata Ninyi Wenzangu Mnayo Macho Mnayo Masikio!! Mjapo jua kua Huyu Ni Shetani Mmekwisha!! Poleni sana Watanzania Wenzangu wa Ngorongoro!! Msikate Tamaa Endeleeni kumlilia Rais Wenu na MUNGU PIA NDIYE MWISHO WA MSAADA KWENU.

  • @victaboy7273

    Huyu kikwete kama baba yake.anakula bure, wananyonya maskini😢😢