OLESHANGAI AWASHA MOTO BUNGENI, ATAJA WANANCHI KUUMIZWA LOLIONDO:aikataa taarifa ya Kikwete

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 чер 2022

КОМЕНТАРІ • 26

  • @loatamollel7551
    @loatamollel7551 2 роки тому +3

    Oleshaanga pole mungu akusaidie wachana nao wakae na watoto wao wamaasai wakateseke mungu yupo

  • @sambekekimani8140
    @sambekekimani8140 2 роки тому +1

    Mbunge makini kwenye kazi yake mungu akuzidishie maarifa ya kutuongoza

  • @jeremiahmollel163
    @jeremiahmollel163 2 роки тому +1

    Mbunge wetu Oleshangai mungu akutangulie

  • @mosesiloishorwa727
    @mosesiloishorwa727 Рік тому +1

    Kweli umeongea mungu akupe ujasiri huo uwatete wanainji wako

  • @loomoniolesasi6123
    @loomoniolesasi6123 2 роки тому +1

    SEMA ndugu mungu yupo nawe

  • @nicksonoleleken6031
    @nicksonoleleken6031 2 роки тому +2

    Usitishwe na chochote mwanaume anasaliwa siku moja anakufa siku moja

  • @richardlot275
    @richardlot275 2 роки тому +2

    nikweli unawaambia waambie nweshimiwa shangai

  • @KosyandoKadege
    @KosyandoKadege 11 місяців тому

    Hongera Sana olosho lengai

  • @peterkamau1564
    @peterkamau1564 2 роки тому +1

    Ni kweli kua wengi wa Bunge hili ni vibaraka za serikali.Lakini MUNGU atajibu kilio ya watu wetu Amina.

    • @nailaty
      @nailaty 2 роки тому

      Washajaziwa akaunt zao hawawezi kutetea wananchi

    • @peterkamau1564
      @peterkamau1564 2 роки тому

      @@nailaty ni kweli.🤔

  • @emmanuelsadiralyangiry6846
    @emmanuelsadiralyangiry6846 Рік тому

    umenena mubenge we2 mungu akuzaidia

  • @johakhimu.mgembe.3297
    @johakhimu.mgembe.3297 2 роки тому +1

    Mmelogwa.nini,hadi.mnampuuzia asemaye Ukweli.wasemao uongo wanaonekana ni wakweli Bunge la chama kimoja aliwakilisha Watanzania wote.lina mfumo wa na kichama. Na kulindana Ni dhambi kupora ardhi halali ya watanzania wenzetu Wawekezaji wengine ni matapeli wa kimataifa.Awatufai.wanakumbatiwa na Nani.

  • @arseysimintei8337
    @arseysimintei8337 2 роки тому +1

    Wanachofanya hawa ni upuzi kwa kuwa wamezidiwa na upungufu wa utu! Inakuaje wanapingana na uhalisia na ukweli kutoka kwa mwanasheria shupavu kama ole Shangai?

  • @cosmasparkire1837
    @cosmasparkire1837 2 роки тому +2

    Ngorongoro tunajifunia kuwa na wewe

  • @nailaty
    @nailaty 2 роки тому +1

    Mshahongwa na rais wenu hamjali damu za watanzania hizo pesa ndo zitakwenda kuwa kuni za kuwachoma kama mishkaki

  • @linkreuben3108
    @linkreuben3108 2 роки тому +2

    Oleshangai ni Jembe; ameongea mambo ya maana sana!! Serikalibona lama eanatumia maguvu mengi kuliko kufafanua mambo yaeleweke?! Kuna nini kwa wamaasai?! Mnawafanya watanzania watafakali kwa kina sasa!

    • @nailaty
      @nailaty 2 роки тому +1

      Anae ongea point taarifa zinakuwa nyingi

  • @nesalerorian9161
    @nesalerorian9161 2 роки тому +2

    Mwamba, sema wasikie hata kama hawataki kuelewa wakiuke wakielewa, inarudi na riba.
    Tunaomba haki itendeke kwetu wananchi wa Ngorongoro. Na mwakilishi wetu asikilizwe, ana haki ya kututetea. Mnavyosema taarifa kila saa ni ili kumpotezea muda wake asiweze kuwasilisha ujumbe unaowahusu.

    • @nailaty
      @nailaty 2 роки тому +1

      Washahongwa na rais wao hakuna tena haki hapo

  • @davidmaige2929
    @davidmaige2929 2 роки тому

    Inauma sana bhac tu yan

  • @LowasaKivoi-pq7th
    @LowasaKivoi-pq7th Рік тому

    How are you

  • @albertoghe3943
    @albertoghe3943 Рік тому

    Come ci do finito qui

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 2 роки тому

    Nyoo! Jana alikuwa wapi jiui Mbunge wakati mwenzake Ole Sendeka akifundwa na Speaker. hajielewi huyu Mbunge sijui aliingiaje Bungeni na kichwa chenye hoja mbovu namna hii. tangu lini Ngorngoro ni Vijiji? Aache kula mshahara jasho la wananchi bure. Ingekuwa Ndugai bado Speaker angeshampiga chini huyu jamaa.

    • @godfreysamson3069
      @godfreysamson3069 2 роки тому

      Kaa kmya kladha usiyejielewaa Tako linakuwasha syoo wew ndo unaongee utopolo kengee wa bluu wew.

  • @jemslukumash384
    @jemslukumash384 9 місяців тому

    😂😂😂😂😂