Huyu Bwana anachanganya mafail kichwani, anaendelea kuomba mgao kutoka Tanapa na hili litapelekea wao wamasai kuondolewa karibu na hifadhi za Taifa, Ona sasahivi anavyofanyiwa mpaka ananyan'ganywa taarifa zake. Serikali inasema maeneo yale ni mapori tengefu tokea nchi inapata uhuru.
Wew ni hewa unasifia na mnahamishwa
Wabunge wanao poteza mda kwakusifia ili chama kimuone
Huyu Bwana anachanganya mafail kichwani, anaendelea kuomba mgao kutoka Tanapa na hili litapelekea wao wamasai kuondolewa karibu na hifadhi za Taifa,
Ona sasahivi anavyofanyiwa mpaka ananyan'ganywa taarifa zake.
Serikali inasema maeneo yale ni mapori tengefu tokea nchi inapata uhuru.
Mim Niko simanjiro lakin mwshadema kweli Kwa moyon
Hujaeleweka wewe
Bora wangekuua tu wewe yaan nyie KilA sku nikumsifia Samia kwa kip hcho aisee,ndo maana Mungu anawahukumu hapahapa dunian
Punguza kusifia au wabunge wengi mnapitishwa na Rais wasifie waliokupigia kura ukaingia bungeni bwege ww
Mbona sikuelewi kama unaguswa na wamaasai wanaofukuzwa ktk ardhi zao jiuzuru ubunge
Mpumbavu wewe akijuuzuru nani atawatetea?