UTATA WAIBUKA UMILIKI WA SHAMBA MBUNGE OLE SENDEKA AGOMA, RIDHIWANI AINGILIA KATI “Busaea Zitumike”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 124

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 Рік тому +15

    Binti ni jasiri....😍 ukweli siujui lkn nimependa kujiamini kwako...😍

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Рік тому +4

    Namshukuru Mungu waziri umetumia hekima sana mkamalizane kwa hekima

  • @fatumasukwaju226
    @fatumasukwaju226 Рік тому +6

    MSICHANA Simama kama mrithi.wavamizi ni wengi karne hii.Allah akusimamie.

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 Рік тому +9

    🤣🤣🤣 mzee tapeli mambo yameanza kurudi kwa speed, Mungu tusaidie

  • @simbajumanne9718
    @simbajumanne9718 Рік тому +8

    Mh unafanya kazi nzur sana.kila mda naona hukai ofisin

  • @lilianhoney5744
    @lilianhoney5744 Рік тому +2

    Safi sana Nancy pambana mpaka kieleweke

  • @kurthumkamru5435
    @kurthumkamru5435 Рік тому +5

    Safi Sana Waziri

  • @aahasaidi1977
    @aahasaidi1977 Рік тому +4

    safi sana nsibu waziri, umeongea busara sana

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 Рік тому +3

    Yn kiukwer ww ridhiwani leo ndo meaza kukupenda safi sana tena sana

  • @jeffmwinyi365
    @jeffmwinyi365 Рік тому

    Definition of a great leadership!

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 Рік тому +2

    Ha ha ha hv mtu anapewa hekali.1000
    Wakati kuna watoto wanazaliwa. Sheria ibadiliike

  • @yusuphmpando9900
    @yusuphmpando9900 Рік тому +6

    Kama kiongozi unatakiwa uwenamaamuzi yamwishon si busara ukiona mwenye haki hayuko upande wako than unaacha mgomgoro haliyakuwa uliaminiwa kuwa utamaliza tatizo

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 9 місяців тому

    Huyu dada anaonekana anatoa ushaidi wa uongo hata usoni anaonekana kama wale waliomsaliti yesu shahidi wa uongo pelekeni shauli mahakamani mtaujua ukweli wewe lidhiwani mungu akupe hekima kujua huyo dada mwongo

  • @nelsonmaleo3342
    @nelsonmaleo3342 Рік тому +5

    Ifike mahali wabunge wetu wakinai utajiri wa mashamba

  • @neema_mollel
    @neema_mollel Рік тому +4

    Bint shujaa👏👏👏

  • @nujakaluhende9428
    @nujakaluhende9428 Рік тому +8

    Ridhiwani si ndivyo ninavyomjua Kweli ni kiongozi

  • @yunislemnge5558
    @yunislemnge5558 Рік тому +4

    Maandiko yanasema anayependa mali hatosheki na mali.anayependa pesa hatosheki na pesa.sasa mbunge si anaviwanja vingi.

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 Рік тому +6

    Aridhiwani maliza huo mgogoro, kuna faida gani kufika hapo, ukaacha mgogoro kwa wausika, hapo nooo

    • @simonpure109
      @simonpure109 Рік тому

      Migogoro ya ardhi inangazi mahakama ndio mwisho...

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 Рік тому +2

    Seee uy tapeli uy mzeee daaa atari kwer jamani

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Рік тому +6

    Tanzania bhaaana mimi binafsi binafsi nitafurahi kama waziri wa ardhi atafuatilia na mambo yote yatakuwa sawa watu wasirumbane

  • @levidavid1156
    @levidavid1156 Рік тому +2

    mhe ana masilahi nahuyu binti wanataka kuuza ardhi ya wamasai. hii mbaya sana we need to stand together against impeliarism

  • @Abduliazizi-zu1wh
    @Abduliazizi-zu1wh Рік тому

    Rizawani apo nimekukubali umetiririka vzr sana

  • @GidionSimon-cs7qq
    @GidionSimon-cs7qq Рік тому

    Hiyo ni sawa waziri wa ardhi

  • @musaguga
    @musaguga Рік тому +2

    Ridhiwaniiiiiiiiiiii

  • @J4UPro
    @J4UPro Рік тому

    Nimependa sana naibu waziri

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 Рік тому +5

    Liziwani unafaa kuliko January makamba

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 Рік тому +2

    Zulma mbaya sana we ole macho yanakusutaaa kbsaaa bint huyo sio mjingaaaaaa aisee

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 Рік тому +5

    sendeka nitapeli yese alikuwa anamaekari ya shamba sendeka nimwizi mnafiki oamoja na Jao kina baraka wezi mno

  • @johnkyara8655
    @johnkyara8655 Рік тому +1

    Huyu Mzee mpaka Leo hapumziki ole sendeka

  • @geraldtarimo3210
    @geraldtarimo3210 Рік тому +3

    Olesendeka tapeli

  • @amoslucas1247
    @amoslucas1247 Рік тому +1

    Bora waende mahakama ya ardhi maana Naona kama naibu wazir anakwepa lawama

  • @HealingjoyKirenga
    @HealingjoyKirenga 9 місяців тому

    Huyu Mzee muongo sana

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Рік тому +4

    Mh ole sendeka mbona anajing'ata ng'ata Kuna Nini hapo kati au nyuma ya pazia????

  • @yusufsong7993
    @yusufsong7993 Рік тому +2

    Anauliza kujenga uku mbona alipo kuwa hai akujenga kati

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 Рік тому +2

    WAMASAI NDIVYO WALIVYO NI WAONEZI KUPITA KAWAIDA

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 Рік тому +2

    Mtt ana maneno matam km baba aisee hongera kwa hekima zako

  • @danielhumble4292
    @danielhumble4292 Рік тому +3

    Ole sendeka ni tapeli wa kiwango

  • @KiandeMollel
    @KiandeMollel 9 місяців тому

    Achaa thuluma wew mzee hao watima

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 Рік тому

    Kikwete ana interest hapa. Yuko upande mmoja. Je ana mahusisno na huyu dada? Yuko upande mmoja.

  • @vanderjoe2551
    @vanderjoe2551 Рік тому +1

    Mmh

  • @fatumasukwaju226
    @fatumasukwaju226 Рік тому +2

    Waziri Yamalize kabisa.ukisema wakae mezani.Maamuzi yatakuwa vinginevyo.Sendeka anachotaka ardhi

  • @nelsonmtaturu5298
    @nelsonmtaturu5298 Рік тому +3

    Eti hakuna nyumba na nyumba imeonekana wanataka kuwatapeli watoto Mali zao hizo

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 Рік тому

    Mmmh! Chonde chonde km eneo ni la watoto Hao waachieeni eneo lao! Hii dhambi itawatafuna! Watoto msikubali Hadi kieleweke

  • @geraldtarimo3210
    @geraldtarimo3210 Рік тому +2

    Mzee sendeka tapeli

  • @JOSEPHURUPIA
    @JOSEPHURUPIA Рік тому +4

    Kumbe ridhiwani ana akiri 😕🙌

    • @Dantaata
      @Dantaata Рік тому +1

      mi pia nimeshangaa wallah, sikutegemea

  • @Nyamko-christmas
    @Nyamko-christmas Рік тому +2

    Habari yenyewe ilivyoandikwa inabase upande mmoja soma shamba limeandikwa la nani??

  • @nelsonmtaturu5298
    @nelsonmtaturu5298 Рік тому +1

    Kweli magufuli tutamkumbka na mbaya zaidi alikuwa awapendi watu wenye matumbo Kama huyu mzee mnataka kutumua ubaba kwa sababu mzazi wake hayupo

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Рік тому +1

    Wamasai wezi sana wa ardhi wamezidi

  • @mwailubikamongo9774
    @mwailubikamongo9774 Рік тому +1

    Kama unafanya hivo waziri uko sawa

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 9 місяців тому

    Kuna Mikoa kumiliki ardhi mitihani, jamii za wenyeji na Viongozi wao huungana dhidi ya wageni, Manyara and maasai are some of them

  • @mussamisinzo4934
    @mussamisinzo4934 9 місяців тому

    Mh rizi one naibu waziri!

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 Рік тому +1

    Ole sendeka huwaga ni tapeli itamsaidia nini hiyo ss? Aache tu haki ya watoto wa watu

  • @jumamkwanda8031
    @jumamkwanda8031 Рік тому +2

    Ridhiwan umeyumba hapo ulitakiwa kuamua wewe kama Naibu wa Ardhi mpaka unafika wewe kwenye hilo eneo ina maana Ngazi za chini zimeshindawa...kna alafu ya huyo Dada kudhulumia Ardhi

    • @michaelfrenkline3429
      @michaelfrenkline3429 Рік тому +1

      Nimemuelewa vizuri Riziwan.
      Sio kwamba hatofwatilia Tena hapana, kafanya ivyo kuepusha mengi.

    • @sudyslaa8278
      @sudyslaa8278 Рік тому +1

      Akiamua haraka hapo mambo ya ardhi wanaweza kupigana

  • @ramadhanimbulu4941
    @ramadhanimbulu4941 Рік тому +3

    Viongozi wa Tanzania hawatosheki...!!

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 Рік тому +1

    riziwani naanza kukuerewa watototo nieneo lao kabisa sendeka tapeli ashtakiwe eneo sio lake sendeka

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 Рік тому +1

    Huyu Kikwete vipi? Madhshidi wote wanasema kulikuwa hakuna nyumba. Wakikusmbia hakuna nyumba hakuna nyumba. Kikwete inaonekana anspendelea upande mmoja.

  • @janethjonas1700
    @janethjonas1700 Рік тому +1

    Changamoto ya maeneo kwa kwetu wamasai lipo sana na hawa ndugu zangu wanaroho mbaya sanaaa...nilipatana na changamoto kama hii lakini Mungu alinisaidia..tena kwa mtoto wa kike???Mungu mtetee

  • @directoreydonation9939
    @directoreydonation9939 Рік тому +2

    Kama sample ya nyumba imeonekana ilo eneo la yese😄😄😄 sema ridhiwani ana akili

  • @Mzalendo14
    @Mzalendo14 Рік тому

    Yaani hawa watu...hawaridhiki hata kidogo. Pesa wanazo, majumba, magari, mabiashara....eeh Mungu!!!

  • @fadhilimwaitete3692
    @fadhilimwaitete3692 Рік тому

    Mtoto WA kikwete waziri mama mbunge jamani tunatawarIwa na familia na maswaiba

  • @mshikamanojames7610
    @mshikamanojames7610 Рік тому +1

    Hapo waziri kaogoka sendeka ni baba yake mlezi picha ishaeleweka

  • @shijandoya1780
    @shijandoya1780 Рік тому

    Kwani hapo nimahakani waende mahakamni bwana

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Рік тому +2

    Si ni swala la kwenda kuangalia nyumba ipo haipo basi

  • @sadiqdeshaggy1869
    @sadiqdeshaggy1869 9 місяців тому

    Uyu binti yupo kwenye haki hao wengine wezi

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Рік тому

    Hivi waziri unafahamu maana y nyumba vibanda nk simmesoma Sheria

  • @AllanLyombile-r6y
    @AllanLyombile-r6y 9 місяців тому

    Kuwambia wamalizane wenyewe wakati wameshashindana si sahihi hata kidogo,au kuna mtu unamlinda?

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 Рік тому

    Haya mlikuwa mnamlaumu magufuli kutatuwa migogoro Kwa namna hii Leo mnashangilia dah watanzania bhana 🤣🤣🤣🤣

  • @fathiyaomar9009
    @fathiyaomar9009 Рік тому +1

    Yani na znz wangekuwa wanafanya kama hivi wallah na sisi tungepata haki zetu lakini leo mume wangu kadhulumiwa na mpka kesho anashindwa kupewa hati hata ya nyumba yake katika ilo shamba jamaa zake wamesema kwao yani mtihani mkubwa tunakaa kwa wasiwasi yani babayao akifa saivi basi tunatolewa kwenye nyumba dah vilio vya watu wsngi hivi

    • @simonpure109
      @simonpure109 Рік тому

      Nasikia mwinyi msikivu,je haliwezi hapo mzazi mmoja

  • @stellacosmacy4785
    @stellacosmacy4785 9 місяців тому

    Hao masai matapeli wanataka pa kuchungia hawa atapeli

  • @devotaijumba8332
    @devotaijumba8332 Рік тому +1

    Waziri maliza mgogoro huo.sasa ulienda kufanya nini kama Waziri????

  • @anatholypole2889
    @anatholypole2889 9 місяців тому

    Mh. Mbona wazawa wa hapo Kuna mtu mmoja ni tapeli mabint siku hizi niwatapeli fungueni macho.

  • @ezekielmwakyagi9330
    @ezekielmwakyagi9330 Рік тому +2

    sheria ifate mkondio sio busara

  • @fatumasukwaju226
    @fatumasukwaju226 Рік тому +2

    Tutatosheka na mchanga wa kaburi tu

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 Рік тому +4

    Huyu sendeka ni mbwa kabisa tamaa nyingi tumbo kubwa mjinga kabisa

  • @kennysabai5695
    @kennysabai5695 Рік тому

    Huyu kijana wakikwete anajielewa sana

  • @ruwaichijoseph5946
    @ruwaichijoseph5946 Рік тому

    Hizo ni mchongo za kutengeneza

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 Рік тому +1

    huyu sendeka nmkabila hafai mm ninamjua mno hyo alishammaliza mwenzake supuko hafai

    • @Abduliazizi-zu1wh
      @Abduliazizi-zu1wh Рік тому

      Apo riziwan maliza iyo kesi isiwe kujuwana yese alikuwa tajiri watetee hao watoto wapate haki ya baba yao, sendeka aio mtu mziri nahao wapambe, ukweli aukaliwi juu ya uongo haki niyahao watoto kiukweli

  • @mashannapapaaa9582
    @mashannapapaaa9582 Рік тому

    Ilasendeka nimwizi analoho mbaya

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 Рік тому

    Kiongozi migogoro ya.kifamilia. rafiki wa baba rafiki wa mama basi ndio maana wamekutunbua

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 Рік тому +2

    Riziwani hapo yanatakiwa maamuzi sio siasa hao washashindwana

  • @gaspermalyatabu1813
    @gaspermalyatabu1813 Рік тому

    Msizulumu ata kama mnanguvu

  • @mashannapapaaa9582
    @mashannapapaaa9582 Рік тому

    Liziwa nilikuwabnakuchukiasana nilijua kuwa nyinyi nimojawapomyliosababishaaisha magumu kwawatanzania kumbe wewenikiongozi muhimu kwenye alizi

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 9 місяців тому

    Hizo mahakama bubu mtawadhulumu watu ina maana mahakama haziwezi kutatua matatizo ya ardhi

  • @joshjoackimjacksonkisoso2914

    Ridhiwan ameiva

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk Рік тому +1

    Busaea ndio nini? Mnakimbizwa

  • @SimonMseyeki
    @SimonMseyeki 9 місяців тому

    Uyo mbunge kawaida yake iyo kunyanganya watu maeneo yao

  • @akimu-gl7zp
    @akimu-gl7zp Рік тому

    Hilo lizee niliizi litakua limegawa pesa kwahao vijana

  • @uwesuabdallah4053
    @uwesuabdallah4053 9 місяців тому

    mje huku Mtwara kuna naeneo
    mengi mno pia bei nafuu mno

  • @stellacosmacy4785
    @stellacosmacy4785 9 місяців тому

    Hiyu mbunge mjanja, mbona nyumba ipo , hao masai wanasema uwongo nyumba pagale hiloo

  • @omarycheyo5534
    @omarycheyo5534 Рік тому

    KTK NCHI HII HUWE MSHITAKI KIONGOZI HIVI HUYU DADA ANAWEZA MSHITAKI OLE SENDEKA AKAPATA HAKI YAKE?

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 Рік тому

    Watu wa ccmm

  • @tonyjames6658
    @tonyjames6658 Рік тому

    Mkuu wa mkoa hataki shida kanyamaza kimyaaa!!!!🤣🤣🤣

  • @magidalenarauya4286
    @magidalenarauya4286 9 місяців тому

    Mbona mawaziri mnafanya kazi za mahakama?

  • @delekalxon7221
    @delekalxon7221 Рік тому +1

    Fungua kesi mahakamani

  • @salcle9702
    @salcle9702 Рік тому

    Huyo mzee mwenye mvi anataka kiamba cha kufugia mooooo

  • @Team-t6k
    @Team-t6k Рік тому

    Warithi wamagu hao aliyo acha

  • @abuuchaula6961
    @abuuchaula6961 Рік тому +2

    Nchi hii hakuna marofa Tena watu akili n mingi mno

  • @dunstangeorge3263
    @dunstangeorge3263 Рік тому

    Ole tapeliii na fisadi mkubwaaaa

  • @azimiomgongolwa6668
    @azimiomgongolwa6668 8 місяців тому

    Hu

  • @nikemsongo6931
    @nikemsongo6931 Рік тому +1

    Huyu Mzee kazeeka bado anagombania tu ardhi...ya kazi gani?