"Tusileteane Ujinga Ujinga hapa, Kuanzia leo wewe sio Mkuu wa Idara" MAKONDA amtumbua Mkuu wa Idara

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 201

  • @kartelgizemc1590
    @kartelgizemc1590 4 місяці тому +23

    Anaesema makonda anafanya maigizo ni mwehu,,

  • @CharlesMwaluko
    @CharlesMwaluko 3 місяці тому

    Njoo tanga makonda tena uwanze na wilaya ya korogwe

  • @hamudshabani7801
    @hamudshabani7801 4 місяці тому +20

    Shida tunaweka viongozi wajinga ofisini ndio maana yanatokea haya makonda Fanya kazi yako ya kuwatumikia watu.

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 4 місяці тому +13

    Ebo! hata kama ana kaimu you should know what the hell is going on around you

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 4 місяці тому +27

    Makonda safisha wote hawana maana rushwa tu..Hongera Makonda

  • @ashakijaji5869
    @ashakijaji5869 4 місяці тому +19

    Kwa kweli Arusha wamepona stress mbalimbali

  • @davidfanuel3010
    @davidfanuel3010 4 місяці тому +14

    Mheshimiwa tunakuomba Geita, huku kuna mambo mengi ya rushwa tupu

    • @kasongoIDDi-mx7gz
      @kasongoIDDi-mx7gz 4 місяці тому

      SAS wewe wa geita wakina msukuma anafanya nini uko hawapo

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 4 місяці тому +6

    Mungu awatangulie katika kazi zako MAKONDA ❤❤
    Watu wamejaa viburi mtu apokea mishahara alafu anajibu jeuri

  • @KelvinAlfred-rc1hq
    @KelvinAlfred-rc1hq 4 місяці тому +8

    Chuma kipo arusha Mtakunya moto

  • @josephatmathiasgalagalabuh786
    @josephatmathiasgalagalabuh786 4 місяці тому +6

    Rais Samia asipodhibiti watendaji naona dharau inakomaa

  • @shaban6644
    @shaban6644 4 місяці тому +6

    Hivi ndivyo inapaswa nchi iendeshwe, Makonda ni Mfano wa Kuigwa na watumishi wengine Serikalini.

  • @EmmanuelSabibi
    @EmmanuelSabibi 4 місяці тому +5

    Makonda hafanyi maagizo Bali ,anafanya Kaz nzur kwasabab ndio nafsi yke ilivyo kutenda haki kwa watu, ingekua maagizo mbna wengne mikoa mingne wakuu wa mikoa wapo wapo tu hawayafanyi hayo kama ya makonda kama ingekua maagizo

  • @HamisiForogo
    @HamisiForogo 4 місяці тому +7

    Anajibu kama katoka ku.......na mke wake eti hujui na mshahara unachukua weka ndani baba makonda piga kazi MUNGU akulinde

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 4 місяці тому +15

    Kuwa na watu serious kama hwa ni muhimu sana

  • @stocks2545
    @stocks2545 3 місяці тому +6

    Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunahitaji mtu kama huyu Mr Makonda. Hata akae mwaka moja pekee atoe corruption na ujeuri ulio kwemye viongozi wetu🇰🇪🇰🇪

    • @breymbasa3451
      @breymbasa3451 3 місяці тому

      Kenya pazito watamtegea na lolote limpate ili apotee kwenye uso wa dunia😢

    • @johnsonlekashu7901
      @johnsonlekashu7901 3 місяці тому

      Pigweni kwanza mabom

  • @SalumuMashauri
    @SalumuMashauri 4 місяці тому +13

    Mweshimiwa makonda mungu akurinde sana iribadaye uwe mkuu wanchi yetu

  • @MasseTv1
    @MasseTv1 4 місяці тому +4

    Hii sio quality nzuri ya video kwa ukubwa wa media yenu

  • @ndolimanaamani9106
    @ndolimanaamani9106 4 місяці тому +3

    Mtu anajibu kibosi bosi

    • @ProudB719
      @ProudB719 3 місяці тому

      Dharau na jeuri,
      Inasikitisha sana.

  • @emilianchibinda82
    @emilianchibinda82 4 місяці тому +3

    Watumishi mnajiaibisha,si Arusha tuu bali popote mlipo yanapofanyika haya.

  • @justinog3105
    @justinog3105 4 місяці тому +15

    Rakini Makonda Mungu akupe maisha marefu unaleta amani kwa wananchi nami nakupenda sana nikama umetumwa na Mungu saidia wa nyonge ❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @YonaNgoka
    @YonaNgoka 3 місяці тому +1

    Uje ata tukuyu mweshimiwa kuna wala rushwa weng sana

  • @DeoUrio-k6f
    @DeoUrio-k6f 4 місяці тому +5

    Wanyooshe tu makonda

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 4 місяці тому +4

    Yaani mafisadi wangekuwa china ni kupigwa risasi tu, katiba ni muhimu sana kwa sasa

  • @CostantineChola
    @CostantineChola 3 місяці тому +1

    Yaani nakuelewa sana makonda RC, wezi hawawezi kukuelewa ila utawashinda tu jipe moyo.

  • @josephatmathiasgalagalabuh786
    @josephatmathiasgalagalabuh786 4 місяці тому +4

    Kuna dalili ya ujeuri wa huyu kaimu Mkuu Idara.

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd 4 місяці тому

      Ndio ashaliwa kichwa

    • @zuhrazuhra637
      @zuhrazuhra637 4 місяці тому +1

      Ni kweli kabisa, majibu yake tu ni ya dharau, ila kavuna alichopanda.

  • @mwamuzibonifasi
    @mwamuzibonifasi 3 місяці тому +3

    Big up Sanaa makonda✅✅

  • @valyagraphicstz799
    @valyagraphicstz799 3 місяці тому +1

    UA-cam yangu nikiingia tu ni MAKONDA tuuu

  • @edwardshija9630
    @edwardshija9630 4 місяці тому +3

    Turudishie Makonda wetu Dar

    • @WaziriOmari-f3h
      @WaziriOmari-f3h 4 місяці тому

      😂😂 acha ujinga wewe zamu Kwa zamu

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂

    • @EdnaMbowe
      @EdnaMbowe 3 місяці тому

      Pambaneni na Mkuu wenu huko Arusha zamu yetu sasa😅😅😅😅

  • @Kanyikatv2610
    @Kanyikatv2610 4 місяці тому +1

    Viongozi Hawa mbona wanajibu kwadharau sana, futa kazi hao

  • @lucyanney5948
    @lucyanney5948 4 місяці тому +1

    Najiuliza sana sipati jibu,,,,hivi mtu anapewa nafasi na ndio anapata chakula kwa kulipwa mshahara,,,ila anashindwa kuielezea na ndio kazi yake kila siku,,,aisee watendaji hawapo siriuz

  • @kasongoIDDi-mx7gz
    @kasongoIDDi-mx7gz 4 місяці тому +3

    Sasa, wewe geita wakina msukuma anafanya nini huko hawapo

  • @AshaMwamba-v2o
    @AshaMwamba-v2o 4 місяці тому +6

    Jamanii makonda

  • @HamisiForogo
    @HamisiForogo 4 місяці тому +4

    Piga kazi baba MUNGU yupo anaona

  • @purchasesunshine2752
    @purchasesunshine2752 4 місяці тому +3

    makonda you are the best piga kazi

  • @kulwankuba2785
    @kulwankuba2785 3 місяці тому +1

    Yaani nikose bando la kufuatilia makonda,nitaumia Sana

  • @tresphorymvulla363
    @tresphorymvulla363 3 місяці тому

    Mh. Mkuu wa mkoa Makonda endelea na mapambano watu wajitambue.

  • @deborajulius7772
    @deborajulius7772 3 місяці тому

    Kwani ameshakuwa na mamlaka ya kupandisha vyeo na kushusha

  • @agreykombe5396
    @agreykombe5396 4 місяці тому +1

    Nilishasema hamna mikoa korofi kama Arusha Kilimanjaro
    Kunawahuni walio shindikana

  • @MoshiOmary-p7x
    @MoshiOmary-p7x 3 місяці тому +1

    Uko sahihi huko Jamaa mjinga alitaka kujifanya mjeuli

  • @samsonkusupa6809
    @samsonkusupa6809 3 місяці тому

    Inawezekana jamaa anapiga kazi ila akiondoka anayaacha officin

  • @AsiaNgoleka
    @AsiaNgoleka 4 місяці тому +1

    Unaheshimisha nchi mheshimiwa,wakuu wa mikoa baadhi yao hulea maovu wewe unakitendea vizuri cheo chako hongeraaa chapa kazi baba,kuna uozo mkubwa ktk halmashauri na watendaji au wataalamu wengi.

  • @miriummbisse2278
    @miriummbisse2278 4 місяці тому +1

    Mungu yuko upande wako makonda mungu atapigana na wanaopigana na wewe usiogope chapa kazi

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 4 місяці тому +1

    Hongereni sana wana Arusha kwa kupata kiongozi shujaa anayetetea haki za wanyonge.Mungu amewaletea mtu sahihi.

  • @Deiwakatv
    @Deiwakatv 2 місяці тому

    ndo raha ya cha arusha ukitumia unakuw umenyooka saana

  • @pauloipanga7881
    @pauloipanga7881 4 місяці тому +2

    Mimi namwombea mungu aka tu miaka miwili juu monduli juuu

  • @philipombwambo1980
    @philipombwambo1980 3 місяці тому +1

    Kuna kitu hakipo sawa hapa muda utaongea

  • @MaabeshFungurume
    @MaabeshFungurume 4 місяці тому +3

    halmashauri tariban yote nchini shida kubwa

  • @cosmaskulaya5297
    @cosmaskulaya5297 4 місяці тому +5

    Maigizo yamahamia Arusha na waarusha wanajaaa. Hamna kitu

  • @salumjabir813
    @salumjabir813 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂....tanzania bhana..vituko kwel

  • @FrankMkome-df9bn
    @FrankMkome-df9bn 4 місяці тому +2

    mungu baba mbariki makonda anachapa

  • @SamweliMwita-ul2kh
    @SamweliMwita-ul2kh 2 місяці тому

    Huyu ndo anafaa kuwa rais wa tanzania

  • @GeorgeGibson-pi3xi
    @GeorgeGibson-pi3xi 3 місяці тому

    Hekima Bro,Maamuzi yafanyike Hila Utashi Wa KiMungu Pia Ukumbukwe.Toa Nafasi Ya Kusikiliza Jambo Kwa Kina,Shirikisha Washauri Wako Maana nao Wana lolote La Kukujuza(Naamini Wao Sio Empty Buckets).Vijana Wenzako Hao/Wazazi Na Walezi Kama Wewe🎩

  • @BarackaSamweli
    @BarackaSamweli 2 місяці тому

    Hiyo ngomaa ni yaa Kenya , 😂

  • @SamuelMelita-n4t
    @SamuelMelita-n4t 4 дні тому

    Matako wewe makonda

  • @albastarmkawa-gx8pg
    @albastarmkawa-gx8pg 4 місяці тому +2

    😂😂😂makonda anawapeleka mchakamchaka

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 3 місяці тому

    Arusha oyeee. Yaani nawaonea wivu at the same time najisikia raha sana kila nikimuona kiongozi kijana wetu makonda. Wala rushwa, waongo, wavivu mshukuruni mungu. Huu ni wakati wa ukombozi kwenu. Muda wa kunyooshwa umewadia. Tena mumpe heshima yake mkuu wa mkoa

  • @WillyKabadi
    @WillyKabadi 4 місяці тому +1

    Huyo naye kaingia 18 za Makonda

  • @CharlesMwaluko
    @CharlesMwaluko 3 місяці тому

    Ujeuri umemponza

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 2 місяці тому

    Mazingaumbwe

  • @wilsonsamike535
    @wilsonsamike535 4 місяці тому +1

    Kuna mtu simuoni kufika mbali 😮😂😂

  • @barryrioba3934
    @barryrioba3934 3 місяці тому

    Ewe Mwenyezi Mungu Mpe Ulinzi Huyu Mtumishi MAKONDA Aishi Maisha Marefu Na Afya Njema ili Awe Imara Asaidie Wananchi Wengi Walioumizwa Na Viongozi Mashetani.

  • @patrickmukundichalamila3038
    @patrickmukundichalamila3038 3 місяці тому

    Yani haya mambo yangekuepo tokea zaman aise hata taa za barabarani zisingekua za Sola,lami ingekua standard,mashamba ya miti yangekatwa ovyo,umeme usingekua wa mgao. Hakuna kitu kinanuma kama pale Mtera umeme unatoka pale afu eti kuna baadhi ya wenyeji wa pale hawana umeme😭. Tunazidiwa na Rwanda walianzisha tokomeza nyumba za nyasi na ikawa yani Rwanda nzima haina nyumba za nyasi afu umeme wa kutosha🎉

  • @dannyosolo2752
    @dannyosolo2752 3 місяці тому +1

    MAGUFULI Part 2

  • @PeterJohn-sg4oe
    @PeterJohn-sg4oe 3 місяці тому

    Kwa hiyo yeye anaweza ajili, anatoa promotion na demotion, utumishi wako wapi wakati watumishi wananyanyaswa?! Sheria na taratibu zikoje

  • @WaziriOmari-f3h
    @WaziriOmari-f3h 4 місяці тому

    Cku rc akidhurika tu tunaomba serikali ianze na viongozi au watumishi wote wa Arusha waliotumbuliwa na paul makonda

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri 4 місяці тому

    Jamani jamani mhe RC Makonda hapo hakuna kipingamizi juu ya hao Wananchi kurudishiwa vibanda vyao.
    Na hilo ni jambo kubwa sana baya Nchi nzima kwenye utawala wa JPM ambapo watu wengi walinyan'ganywa kwa dhulma vibanda vyao Mhe RC Makonda jamani.

  • @titusmwele6885
    @titusmwele6885 3 місяці тому

    Kaimu mwanasheria anakibur saanaa huyo mula rushwa

    • @ProudB719
      @ProudB719 3 місяці тому

      Yeah,
      Inaonekana ameripoti mkutano anajuwa litakapomfikia.
      Hapo alijuwa mapema lama kazi kwisha. Ndio maana anajibu kwa dharau na jeuri nyingi.

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 4 місяці тому

    Makonda fukuza wote wasikuchezee

  • @FatumaMombo
    @FatumaMombo 4 місяці тому +1

    Ukimaliza hapo njoo Manyara pia

  • @ericfelician7996
    @ericfelician7996 3 місяці тому

    Yani makonda uko vizuri ,nchi hii inahitaji watu kama mkuu wa mkoa wewe. Maana uzembe mwingi sana wa hawa wajinga

  • @AbrahamSekuza
    @AbrahamSekuza 3 місяці тому

    Kwa maoni yangu Dada atupishe 2025 ili tumheshimu daima Makonda anafaa

  • @mr.erickmwacha8575
    @mr.erickmwacha8575 4 місяці тому

    HERI JAMES umemsikia lakini??? mkuu wwa wilaya anakupiga majungu

  • @VictaLupenza
    @VictaLupenza 4 місяці тому +1

    Hongereni Arusha mungu amewaletea neema

  • @AbuodSeleman
    @AbuodSeleman 4 місяці тому +1

    chuga hyo chuga hyooo

  • @DaynessSteven-yr4ud
    @DaynessSteven-yr4ud 4 місяці тому +1

    Mungu akulinde Mh makonda

  • @PeterMollel-j1c
    @PeterMollel-j1c 3 місяці тому

    Makonda hoyeeeeeeerr

  • @HamzaMbasha
    @HamzaMbasha 4 місяці тому

    Arusha kuna madudu sana...
    Hile kauli ya Samia kipindi anamuapisha...
    Naona ni haya yanayofanyika...

  • @Mapitoyazamani-y7n
    @Mapitoyazamani-y7n 4 місяці тому

    Tungekuwa na wakuu wa mikoa 10 kama huyu mwamba, sema mwenyewe Tanzania ingekuwa katika hali gani?.

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 3 місяці тому

    Mh.Makonda piga kazi. Mungu anatosha kukulinda kwa uadui wa hayo majizi yaliyotopea

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 3 місяці тому

    😂🙏🙏🙏🙏

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 4 місяці тому +1

    Makonda the leader 🎉

  • @TabithaObellykasangila
    @TabithaObellykasangila 2 місяці тому

    Mungu naomba akulinde kila hatua Mh.Makonda safi sana

  • @HussainMaula-tz8dh
    @HussainMaula-tz8dh 3 місяці тому

    Eeeeeeeeee Arusha mtanizeeeesha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ajmstationery6157
    @ajmstationery6157 3 місяці тому

    😅😅😅

  • @khamismgunya4519
    @khamismgunya4519 4 місяці тому +1

    Makonda mm nakupenda bana

  • @BrayanMashauli
    @BrayanMashauli 4 місяці тому

    mmh samahani naomba kuuliza hivi kwani huyu makonda ni nani serikalini ndio magu au

  • @Piscesblair
    @Piscesblair 3 місяці тому

    We need serious leaders like this man in this country. Ana uthubutu unao takiwa.

  • @froma3732
    @froma3732 4 місяці тому

    Halafu anatokea mtu anasema Wananyanswa Ukifanya Utumbo unatarajia upewwe nin

  • @petrochester7795
    @petrochester7795 4 місяці тому

    Hiv kigezo gan ambacho kinamzuia makonda kugombea uraisi

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 3 місяці тому

    Makonda kazi ya kufukuza mtu kazi si yako

  • @Bugandotalents613
    @Bugandotalents613 4 місяці тому

    Ukifuata maneno utagundua vingi Ila kubwa ni kwamba viongozi na wapenzi walipoteleza

  • @AliAbdallah-yo8dx
    @AliAbdallah-yo8dx 3 місяці тому

    Kweli wafisadi tanzania wapo hoi 😂😂😂

  • @thobiasshikome1993
    @thobiasshikome1993 4 місяці тому +1

    Bagorolange gete ngalu

  • @vedastocharles
    @vedastocharles 3 місяці тому

    Ila Arusha inaitaji maombezi

  • @NeemaMasonga
    @NeemaMasonga 4 місяці тому

    Mwenyezi Mungu azidi kukulinda, kukupigania na akupe afya njema, Makonda wetu.

  • @reginatyler5849
    @reginatyler5849 3 місяці тому

    Mungu akupe Maisha marefu Muheshima Makonda

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 4 місяці тому

    Tukitoka kufanya kazi na makonda ni faraja kubwa sana

  • @UpendoNdosi
    @UpendoNdosi 3 місяці тому

    Twakupenda san mungu akupe maisha marefu

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 4 місяці тому

    Huyu mwanasheria jibu hawa ndio wala rushwa wakuu

  • @Daudi92Kapuya
    @Daudi92Kapuya 3 місяці тому

    Mh.makonda fukuza wote haoo