Magoli yote 19 ya Fei Toto msimu wa 2023/24 NBC Premier League
Вставка
- Опубліковано 12 чер 2024
- Tazama magoli yote 19 yaliyofungwa na kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwenye NBC Premier League msimu wa 2023/24.
Chuma ipi imekuvutia zaidi - Спорт
Man come and join chiefs
Kazi nzur ya kuvunja rekodi ndani ya kikos Cha Azam fc
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Good
La Kagera sugar
😂
Haya ndio nilikuwa nayasubiri sasa
Magoli yote ndani ya boksi hamna goli gumu wala zuri
Chuki hazikusaidii
Mim nakuonyesha mawili ukifika uwanjani mpira wa mitaani kwenu ufunge la kagera na la mwisho wa msimu
Kafunge weye
Ma home boy feila Sufi, Fei toto, Feisal salum,zizu wa zenji , Zanzibar finest.
Zenji tunamuita kwacha