Magoli yote 21 ya Aziz Ki NBC Premier League 2023/24
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- NYUNDO 21 ZA AZIZ KI: Tazama magoli yote 21 yaliyofungwa na Stephane Aziz Ki kwenye NBC Premier League msimu wa 2023/24
Goli gani lilikuvutia zaidi?
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #AzizKi #Magoli #YangaSC
Sema kama vile Wachezaji wa bongo aziz ki sio level zake anawaonea tu
boy you deserve to be in premier league
The man with Master Ki
Kenya naona tukifikia ligi y tz afta twenty yrs😢
True.. tuko chini.
😂😂😂
Sema polepole 😂😂😂😂
Bado sana tumewaacha mbali mnoo
Daah azizi wetu enzi izoh 😂😂😂 wakamloga 😅
Kaizer Chiefs will regret nothing about buying this boy❤
Ki Aziz master
Wa kwanzaa naombeni likess za tanga❤
Sio tanga niyanga au simu yako haina Y
Aziz ki mpira mwingi sana ⚽️
Congratulations 🎉🎉🎉🎉
Yanga tamu
yanga tafadhari tutumie hili dirisha kutafuta mshambuliaji mzuri, timu yetu imepiga hatua kubwa kisoka, tukitaka kupambana vizur clab bingwa msim ujao tutafute mshambuliaji mzuri, pengo la mayele halijazibika tukubali tukatae.. Msim ulopita tungekuwa na mshambuliaji makini tulikuwa tunawatoa sundowns dar wangelala hata goli 3, tulipata nafasi nzuri ila zilipotezwa na ukosefu wa uzoefu na clinicallity ya washambuliaji
Ni kweli pengo lipo lakini kumbuka tulishindwa kufuzu kwenda makundi ya Kilab bingwa alikuwepo na alipata nafasi ya kucheza
@@charlesbalinda4410 kipindi kile tim ilikuwa haijabalance, wachezaji walikuwa wanazoeana, mifumo n.k.. Saiz tim iko vizur shida ni mshambuliaji makini
WELCOME TO RS BERKANE🧡🖤🍊
Aziz ki will deserved to play in Europ
Na bado Ki Aziz ni moto
Chapao🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Hii ni kaliii
Man U wakimuona Azizi Ki tumekwisha 😢
Tulienjoy sana hii game ya mwisho
Allaah Akbar
The struggle was real
❤❤
Messi wa Bongo 🎉🎉
Azizi ki wa sasa ni marehemu 😂😂😂😂
😢😢😢😢
hamna kitu simba ya yanga achana nayo hayakuhusu
Kwani ligi inaanza lini?😅😅nimeimic timu yangu💛💚😊
Leo
lomalisa wetu dadeq
Huo ni wivu unawasumbua ss huyo ni wetu na tunamkubali mapungufu mengne ni ya kibinadamu hata wewe unayo
Hapo unyama
Nilicho gudua ligi ume change nka
Mkoshwa akili
Mareham mama yako
Hamna kitu yanga
Three against one kolo hawaelewi😂😂😂
😂😂😂😂@@EmilianJoseph-u5b
Hamna kit hap
Utakufa na roho yako mbaya
😂 KAWAPIGA MATOBO 😅
Acha ukorofi nimesha wajua walio pigwa matobo 😂😂😂😂
I want to be as you
Unajua