FEI TOTO : MASHABIKI WANATHAMINI SANA WACHEZAJI WA KIGENI KULIKO SISI WAZAWA
Вставка
- Опубліковано 3 чер 2024
- Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: profile.php?...
TIKTOK:
- www.tiktok.com/@crownmedialiv...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz
So kweli sisi tunashabikia mtu anayefanya vizuri natimu tunayoipenda
This time mmezingua,, interview imefanyika week iliyopita mnaipost leo,, oya msituharibie image ya crown media
Network mbaya🙈🙈🙈
Diara.Kwasi.msindo.bacca.Mandoza.Aucho.Pacome.Mdathiri.Guede.Fesal .Azizi key.....uko vizurii wewe ni Mkweli sana .......Kijana anaujua mpira na Ana macho
Fei uko vizuri endelea kupambana
Upo vizuri Fei
Tunathamini wageni kwa sababu wanajua ethics na professionalism katika kazi yao. Hawagubikwi na jeuri, kiburi, dharau na majivuno. Wanaheshimu kazi, wanawahesshimu wananchi. Zaidi ya yote wana elimu na uzoefu wa kutosha wa kujufungamanisha (interaction) na jamii inayowazunguka. Hawa si mambumbumbu!
Acha chuki Fala ww, vipi Dube, vipi mayele? vipo Enonga? Acha chuki tafuta hela
Roho inawauma fei kuondoka yanga mna roho mbaya
Yanga mna roho mbaya na mnarazimisha kubebwa Roho inawauma fei kuondoka yanga mna roho mbaya sana
@@muksinimbaruku1233 Hoja hujibiwa kwa hoja kutukana na makasiriko yanadunisha uwezo wa kiakili wa kujenga hoja kimantiki. Kawaida tabia ya matusi humrejelea mwenyewe. Hivi hao uliyowataja ndiyo professionals pekee wanaocheza nchini? Mbona wako professionals wengi ambao wanalipwa chini ya ujira wanaopata wazawa? Kwanza professionals wanalipa kodi kubwa kwenye mishahara yao kuliko wazawa na gharama za vibali mfano working permit, nauli za kuwapeleka makwao wakati wa likizo au dharura, mbona hayo hamyaoni. Pili kazi yoyote ya ajira, ujira huzingatia mambo matatu ujuzi, muda na ñguvu ya akili inayotumika. Kama wachezaji wazawa wana vigezo hivyo wanashindwa nini kutoka nje nao wakacheze Mpira wa kulipwa wapate nao kulipwa vizuri sawa na professionals wengine? Uwezo huo hawana , badala yake wanakalia majungu, fitina na roho za kichawi! Nani kamzuia Fei kucheza mpira wa kulipwa? Je, ni Klabu gani ya nje imeisha muwania? Kwa kifuoi Hana vigezo,. Lakini badala ya kutafakari mapungufu yake anakalia majungu. Kama kweli ana machungu na kipato kidogo Cha wazawa aanze kwa kushawishi uongozi wa Azam wampunguzie mshahara na marupurupu ili alipwe sawa na wachezaji wazawa wenzake wa Azam.
Takwimu zinaonesha wachezaji wakigeni ndo wachezaji wenye kiburi, jeuri, majivuno na zarau 🙏
Jamani mpira siyo uadui , kuna maisha mengine baada ya mpira! Zama za fei na Yanga zilishapita, sasa yupo Azam hebu mwacheni ajitafute kijana ! sawa kakose lakini hakuna mkamilifu tunaishi katika mapungufu .
FEISAL TOTO ndio mchezaji pekee anaejitambua kwa wachezaji wa ndani.. piga kazi FEI TOTO naamini utafika mbali sana na utakipiga nje REAL MADRID au ARSENAL inshaallah amiin..
Kiukwwli huyu Dogo Fei anajua sana.
Fei mdogo wangu kuwa mstaarabu kunyamaza kimya kwa watu ni jawabu zuri..yapuuze japo yanakera subra yako ndio mafanikio kwako
Feisal💥💥💥
Azam fey ndio amefanya makubwa kuliko alipokuwa lkn kama unajua mpira fkiria alichofanya
Mbona yanga wanamuimba Baka, Job, Mudathiri,Mzize na hata huyo Feisal mwenyewe waliimbwa sana,
Timu uliyopo ndio kila kitu,
Hivi nani anamuona Kipre Junior pale Azam? Hivi Fei anamkuta Kipre?
Lkn timu aliyopo haina nguvu kabisa, wachambuzi ndio mnamuimba
Wewe mtangazaji acha unafiki,
Umemuambia ataje chake afu waweka chako
Kipre ni mchezaj mzur ila anachelew kwenye maamuz kwa iyo anauwa xan mashambuliz ila fei anachez mpira wa akili xan atachelew kuumiy na atafik mbali coz anachez mpira wa kikubwa xan
@@TwalibKwelii AKILI?????
Good interview
nikweli watanzania wanayo tabia yakuwakubaliiii wachezaji wa kigeni?
Hamjuiiii
Hajui kingereza huyoo
❤❤
Video quality
🔥🔥
❤
hongera sana
Fei Bado anaupenzi sana na yanga
Si kweli we mshamba kwani wakati upo yanga ulipendwa sasa haupo mashabiki wa yanga hawawezi kukupenda ipo hivyo huwezi kumpenda adui yako
Yan hakukua na sababu yakuweka haya mahojiano wakati yanayo jadiliwa mengi yameshapita...kwa kweli crown media hapa mme puyanga
Aisee kumbe ndo maana Yesu licha ya kufanya makubwa bado kuna wengne hawakuyasadiki
Huwez kusaminika kama hufanyi vizuri na kuichafua tim hata siku mmoja
Yan mnachelewa kupost mnazingua
Mwandishi wa habari unaongea sana ,uliza swali alafu subiri mtu ajibu.
WA kwanza leo😊😊😊 ila hii mbona imechelewa asa
Nenda Pakistan
Safi, lakin hatujuwi kw nin hamkuipost kw wakat, coz mnajua ikiisha tu interview ndan ya masaa kadhaa baad ya kurevew inatakiwa ipostiwe sasa sjuw nn kiliwakwmisha.
Kameanza sasa kulialia 😅😅😅 nidhamu kana sifuri haka katoto, vipi kuhusu kutunyamanzisha 😂😂😂😂
Hana jipya huyo macho kulegea kunguni
Pablo 👑👑👑👑🇿🇲🇿🇲
Media mpya simlaumu saana mwanahabari the way anauliza maswali… nmependezwa sana na the way Feisal amehandle interview… nmeona utofauti mkubwa sana tangu vuguvugu lake na wananchi lilivoisha… nkiwa kama shabiki wa Yanga nimktakiw kheri tu katika maisha yake… Lakini tutaendelea kumzomea hadi siku tutapochoka tutaacha 😂
We mtangazaji bogazi uliza point man
Interview ya week juzi leo ndo mnapost ✍️✍️✍️
Hii media ya kindezi San
Hapo mmeharibu weken vitu updated kama mnataka kumaintain status yenu
Iv Kuna shida gan mnapost interview nusu nusu aziji kwa wakat au mmetumwa kuarb crown yetu
NAYEYE AENDE KENYA AKATHAMINIWE, KAMA WACHEZAJI WA NDANI AWATHAMINIWI.
Hayo ni makasiriko coz kawakimbia Yanga,,,,, 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂khaaah Jamaniii
Mwacheni kijana bado anajitafuta kimaisha....tulikuwa naye na sasa yupo Azam.....kila la heri Fei
Ndio tunathamini wageni kwa sabab wnafanya vile washabiki tunataka
Mbona ulithaminiwa kipindi uko yanga, umeondoka kwa vurugu watu wsiwathamini waliopo, hiyo kauli haiko sawa niya kibaguzi, wazenji achane tabia za kibaguzi , sasahivi mnaongea kauli za kibaguzi sana na kila mahali.
Wazenji nuksi saana bro
Fei acha kushindana na mashabiki kazi ya mashabiki ni kushangilia na kuzomea achana na mashabiki kabisa sisi tutaitetea Yanga milele
Ameshindwa kupata kiatu maana yy mama alimpa yeboyebo
Huyu jama anajitahidi lakin anaroho mbaya kW wengine
Kila mtu anafuata masilai niache milione 16 kwa kupata milione 4 za Yanga
Nishacheza mpira bongo ila fei kweye hizi timu,viongozi ni wale wale labda itokee miujiza.
Tunathamini anaecheza vizuri
Mbona mmefanana kama ndugu
Choko huyoooo
Analipwa mshahara si chini ya 20M sasa hapo utajua km choko ni yeye au wewe
Ata wake tunathamini wa nje iwe wachezaji acha umama kama vipi kacheze.dada zako ukumbini kwenu
Mnafanya kumshusha alikiba fanya mambo ya akili nyie mambo ya zaman mnapost leo😊
Anaekuchukia ww hajui mpira na ni mpuuzi😊
Wageni hawatukani viongozi wao.
Sasa c wanalipwa vizuri hata ww ukiwa top serikali unakula hela uwez kuona kama serikal inaviongoz Wala rushwa sababu ww umeshba
Yes wageni wanajuta misingi ya mpira
Wageni wanajuwa misingi ya mpira wa miguu
@@user-wl3sv2xn9e sio kwel sema masrai Yao yanasikilizwa mbona wabongo waliopo nje wapo vizuri ni kwasababu wanajaliwa tu hata hao wageni wenyewe wengine shida msiwajal muone Kwan mara ngap wagen wamezishitak timu zetu mara ngap kina Morrison wamefanya utovu wa nidham hapo issues kubwa ni maslah tu mchezaj yoyote yule ukimpa maslah yake vizuri hatokusumbua
Si kweli kuwa mashabiki hawawapendi wazawa, akumbuke alivokuwa Yanga tulivokuwa tunamuimba na kumpenda. Asijisahaulishe.
Lakin alvyokuja Aziz Ki tulimsusa Wala sio uongo
Ila kumuacha kipre jr nje ata kwenye sub ni tatzo 😅
Kwa mpira upi ulio nao wa kwenda kucheza nje wewe utaenda kucheza tabora united kwa ujeuri wako na hiv ulivyosusia medali
Kuwa nadabu ķuwa namaneno kidogo aca majivuno udapedwa badirika haucukiwi lahasha sema unakera mbone ivi unaongeya naheshima wacezaji wageni wanautulivu unatukanywa gushinda Saido ilayekimya anafunga kuriko wafulahiye wanamutukana ila hamutukani mutu Muze Saidi urishasikiya ngisi anamucamba nawengine wengi nawe sasa badirika mambo yako anyooke ushauli wambure
Wazawa ni wasaliti, wauza mechi. Wapambane na hali zao
Ajifunze kupitia ligi ya uingereza na spain cio kuongea vitu visivyo na tija
❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Toa pacome weka kipre jr
Azam mpelekeni arabuni tuu akajionee na pesa kama anataka.
Feisal hana roho mbaya kama yanga
Interview imekosa MWANDISHI
Tunathanini uwezo wa mtu , sio Kwa sababu mchezaji wa ndani na umezidiwa uwezo na mgeni halafu tukufagilie....huo ni UJINGA
Interview ya zamani haina thamani sasa
Hii chanel niya kizee na watu walio pitwa na mda wake
Pumbavu huyo alitukana viongozi wetu
Pepo mbaya wa kuzimu wewe kafie mbali changodoa
Sasa tukusamini ww wakati ni shoga bwabwaa 😄
Wakuunge mkono upumbuvu wako nyoooooo
Mnazingua mbwa nyie
Muongo wewe mpira ndo unakuushia hapo nje labda ukacheze malede TU hata huko nje hawakuchukuii huna adabu
Hunanlolote wewe feisalim acha zarau Dunia Haina mwenyewe
Acha ujinga dogo fanya kaz yako unalialia nini mpila ni nambaz sio kulegeza macho tu
Wageni hawatukani viongozi wao huyu shoga kajiona sukari kuwatukana viongozi wetu ,fucky u
Hata alivyokaa kwenye kiti anaonekana mshambaa tuu!!
Elimu ya madrasa kingereza hujui ukacheze nje?? Arafu we mtangazaji punguza maswali kwani umesikia sisi yanga tunadhiki na feisal wakati tunao top wanaupiga mwingi mpk unamwagika huwiíi tuna watu kuliko huyu dogo wew mtangazaji acha ushamba huwo
Kwa maringo yako hamna anayekukubali tena mkuu
Kuma nyoko ww Marengo Yako kucheza nje Kwa MCHEZAJI gan ww shoga Kuma nyoko Kuma la mama Ako msenge ww
Crown mnazingua yan mnachelewa kupost kaah hv hamsomi comment asilimia 90% wanalalamika mnachelewa alaf muelewe sasa hv michezo imekua zaid watu wanapenda sasa interview za seriously mnakaa mwez mzima mnapost khaa mtapotez mashabik kwa uzembe wenu ,Pablo kuwa seriously na kazi dogo
Walikuwa hawana Bando 😂
@@EvaJuakaliTV mahi siyo kweli😂 wanatuchezea akili zetu.
Huyu Mtoto Bado Mshamba Hajielewi Kijua Kwake Ndio Kumemponza Amekosa Kiatu
Ukiona mtu anamsifia huyu shoga basi ujue ni shoga mwenzie
Uyu ni mchezaji mzuri sana. Ila hanatabia za ovyo sana.
Kama zipi tuhambie
Siyo kweli! Huyu jamaa alikuwa akipendwa sana na washabiki wa Yanga kuliko wachezaji wa kigeni. Ila tamaa ilimfukuza.
Sio tamaa ni maslahi!Hata ww ukipata deal zuri lenye maslahi kuliko hutoliacha ata siku moja