Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Highlights | VPL 14/04/2021

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 кві 2021
  • SIMBA VS MTIBWA: Simba SC imetoa kichapo cha mabao 5-0 kwa Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara. Magoli ya Simba yamefungwa na Clatous Chama, Rally Bwalya, Luis Miquissone na Medie Kagere aliyefunga magoli mawili.
    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 108

  • @mukaplatnumz2313
    @mukaplatnumz2313 3 роки тому +6

    This is simba nguvu moja another level🦁🦁🦁 sisi watuache tu maana atuna level yetu hapo tanzania.

  • @linahmwakyandwike
    @linahmwakyandwike 4 місяці тому +1

    Mlio ludia hii mechi kama mala tatu iv gonga like 😂

  • @priscamhoja9490
    @priscamhoja9490 3 роки тому +12

    Gonga like kwa mnyama

  • @mohamedmandary9774
    @mohamedmandary9774 3 роки тому +5

    Chikwendeee umeua vibe

  • @valentine9079
    @valentine9079 3 роки тому +3

    😆😅This game Simba made it look like their training session...fantastic play🔥🔥

  • @lizzyshoo8084
    @lizzyshoo8084 3 роки тому +2

    Good game good simba good goals

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 роки тому +6

    Mpo wapi mashabiki wa simba tujuane tunaofurahia huh ushindi

  • @goodlucklinus141
    @goodlucklinus141 3 роки тому +2

    Mnyama mkali 🔥🔥🔥💪🏻💪🏻💪🏻

  • @Ram_1893
    @Ram_1893 3 роки тому +3

    Nguvu moja
    ❤🇹🇿

  • @messivini7440
    @messivini7440 3 роки тому +3

    I don't understand Swahili language but utopolo watasema kwann paula anadanga na Mama yake

  • @mohamedhaidar8040
    @mohamedhaidar8040 3 роки тому

    Polen sana AZAM TV maana mlikua mnaumiza vichwa sana kuiweka hi highlight ktk dkk chache kwan ilikua dkk zote 90 Simba inafanya maajabu..ila ht hz dkk 22 tumeridhika

  • @kaburaakbar7069
    @kaburaakbar7069 3 роки тому +3

    Simbaaaaa

  • @jaliamdoe1018
    @jaliamdoe1018 3 роки тому +2

    Simbaaaaaaa

  • @noelymushi5374
    @noelymushi5374 3 роки тому

    Hongera simba

  • @shabanipili4919
    @shabanipili4919 2 роки тому +1

    Chama alikua mtu sana tutamkumbuka sanaa

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому +2

    Jifunze quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli

  • @danielyosupat4464
    @danielyosupat4464 3 роки тому

    hongera sana simba

  • @rehemaester5264
    @rehemaester5264 3 роки тому +1

    Safi simba

  • @twalibmgagi1652
    @twalibmgagi1652 3 роки тому +3

    Huyu yupo level za Al-Ahly na Fc Vita mnampa acheze na Mtibwa kwel? Aaaah jaman huu uonevu sasa jaman!

  • @eazieofficial6209
    @eazieofficial6209 3 роки тому +2

    Jaman Mimi mkaka akinitongoza akaniahid kuwa atanipenda Kama team ya Simba na atanitunza nisiguswe na utopoloo yoyote Yule Kama parfet chikwende pia akanilinda Kama chama clatus na anipe utamu wa kagere mk14 na bila kusahau Raha za mikison wallah sichomoi🥰🥰🥰🥰

  • @rwangakugwabirakarl88
    @rwangakugwabirakarl88 3 роки тому

    Kwa kweli kbs

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 3 роки тому +2

    Jamani Kama kuna mtu anateseka aendelee kujifukiza

  • @singujiluma4807
    @singujiluma4807 3 роки тому +2

    Kwa simba hii, a, weka mbali nawatoto.

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 3 роки тому +1

    Simba hii vi-team vya Tz vitapigwa san ndo wajue kule club bingwa kuna watu wanateseka

  • @eligiusnestory1571
    @eligiusnestory1571 3 роки тому +2

    Simba hii labda mungu apange mwenyewe kufungwa Laaah!! Sivo ni mwendo wa kuadabisha watu hapa 😂🔥

  • @miriammsafiri6962
    @miriammsafiri6962 3 роки тому

    Mashabiki wa yanga Kama vile hawali

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 роки тому +2

    Kwa Simba hii Raha sanaa jmn 😂 Hata ije Man City anapingwa vzr tu 😂

  • @shebbywao3967
    @shebbywao3967 3 роки тому +2

    Nilikuwa natamani kuongea mnapost vipande vifupi mno ila nashukuru mmejiongeza 👏👏

  • @ibrahimkadibo810
    @ibrahimkadibo810 3 роки тому +1

    I haven't any comments from our neighbors wanatamani wawe wao lkn wanakwama.

  • @khalidbalala7753
    @khalidbalala7753 3 роки тому +7

    Asante azam kwa kutuletea highlights

  • @kondeinnoss2224
    @kondeinnoss2224 3 роки тому +3

    Simba mnyama wameshinda match 9 na kukosa match ngapi vile wadau

  • @baltzrluus3287
    @baltzrluus3287 3 роки тому +2

    Alichokifanya *Chama* hapo dakika ya 19:57 ni dharau kabisa ,

  • @suliathuman1565
    @suliathuman1565 3 роки тому +1

    Kwa Simba hii lazima jery MULO akae na Nuguza akalala kelele tena hana.HESHIMA KWA MABINGWA wa NCHI anae bisha haingii mbinguni.

  • @williamspeter2967
    @williamspeter2967 3 роки тому

    SIMBA YA MOTOOOO

  • @BigDreamsWorldwide
    @BigDreamsWorldwide 3 роки тому +2

    Tunakodisha furaha jamani kamaa ww ni mpinzani karibu kwa siku bei ya chenga ya Chikwende tu😃

  • @sniperbogo6210
    @sniperbogo6210 3 роки тому +2

    Kuna dhabiki wa yanga mwanzoni apo hadi anatia huruma mwe jamani si uhame tu timu mzee

  • @mariamdaniel8452
    @mariamdaniel8452 3 роки тому +2

    Yan simba rah jamani

  • @habibahashim5290
    @habibahashim5290 3 роки тому +1

    Simba nihatari leo yanga. Nyyingi

  • @hasheemabby2583
    @hasheemabby2583 3 роки тому +1

    Shikamooo chikwende

  • @amirhassan5618
    @amirhassan5618 3 роки тому +2

    Hiyo chenga ya Chikwende unachukulia mkopo world bank.

  • @simonshija2476
    @simonshija2476 3 роки тому +1

    ina na kipa hakuwa kwenye ubora, halafu ukweli hausemwi simba nao
    sio wangeweza kufunga magoli mengi sana wamefanya mako mengi
    wakiwa golini kwa mtibwa hata nane yangefungwa!!!

  • @bahiyajuma5975
    @bahiyajuma5975 3 роки тому +2

    Azam munakata Sana sikuiz inakua Aina ladha yan

  • @noelymushi5374
    @noelymushi5374 3 роки тому

    Simba hongeren

  • @Anza_tz
    @Anza_tz 3 роки тому +2

    Sasa hivi ukishakua shabiki wa Simba Wala hupati shida kumtongoza demu...wewe mwambie tuu hua Nina chart na Chikwende bhaaasi unakubaliwa

  • @allyhuyu1892
    @allyhuyu1892 3 роки тому +4

    Huyu kipa kajipanga kudaka mpira alipomuona Luis anakimbilia golini akamkimbilia akaacha mwanya ambao Chama kautumia aliyeiona gusa hapo

  • @maryamhassan6160
    @maryamhassan6160 3 роки тому

    Simba
    .

  • @singhamsamkisaki2334
    @singhamsamkisaki2334 3 роки тому +1

    Simba ataly

  • @johnmagina6379
    @johnmagina6379 2 роки тому

    Emanuel William ndalanhwa

  • @charlesnurumwasha7834
    @charlesnurumwasha7834 3 роки тому

    ofside nimeziona kadhaa!

  • @augustinokigawa2614
    @augustinokigawa2614 Рік тому

    Simba vs singida

  • @jefferyyahya4196
    @jefferyyahya4196 3 роки тому

    Asopenda simba mchawi

  • @jefferyyahya4196
    @jefferyyahya4196 3 роки тому

    😁😁

  • @isakadavid1767
    @isakadavid1767 3 роки тому +1

    Mnyama simba akifanya yake

  • @abdulkillya2655
    @abdulkillya2655 3 роки тому +2

    Highlights za dakika 20 mnatoa kwa Simba tu, utopolo naona ni dakika 3 tu😂

    • @2times273
      @2times273 3 роки тому

      @Yanga Mpya Tv 😁😀duh kumbe unajua. Na udabwi dambwi pia tunao hata tukishinda 1-0 highlights dkk 20

    • @BigDreamsWorldwide
      @BigDreamsWorldwide 3 роки тому

      @Yanga Mpya Tv Hahaaa umesalit kambi live 😃😃

    • @elishamkora4317
      @elishamkora4317 3 роки тому

      Highlights hutegemea!waonyeshe mbio tu za kisinda?

    • @abdulkillya2655
      @abdulkillya2655 3 роки тому

      @@BigDreamsWorldwide amenichekesha sana

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 3 роки тому +2

    Kuna watu wame dislike ,hao watakua utopolo.

  • @abdijama5962
    @abdijama5962 3 роки тому +1

    Yanga damu always

  • @mathiasulaiti5665
    @mathiasulaiti5665 Рік тому

    simba na singida vip

  • @arrickofficial
    @arrickofficial 3 роки тому +1

    Sasa Mtibwa kakosea nn ! ? Si Rayvanny na Paula ama 😂😂😂😂

  • @shukunyoni6865
    @shukunyoni6865 2 роки тому

    100

  • @chapaulingeproduction4768
    @chapaulingeproduction4768 3 роки тому +1

    PIRA BIRIAN,PIRA KACHORIII..PIRA MINYAMA MINYAMAAAA...UTALIPATA MSIMBAZI TUUUUU....WACHA TUWAKEEEEEREEEEEEE

  • @DESUGARTV
    @DESUGARTV Рік тому

    Ila ukimtoa mpenja anafata ibwe anajua kutangaza

  • @shabanimiraj8016
    @shabanimiraj8016 3 роки тому

    Simba niaatar

  • @gracesiwale7066
    @gracesiwale7066 3 роки тому

    Mtangazaji bwana eti yuko chikwende eti oo usinishike utanichafua

  • @khadijamisayo7476
    @khadijamisayo7476 3 роки тому +1

    aliyemuona shabiki wa utopolo akiwa mnyonge

    • @daudysolo8559
      @daudysolo8559 3 роки тому

      Siyo mnyonge Bali Hana afya timu ya utopolo imemkondesha😂

  • @steve_tz
    @steve_tz 2 роки тому

    Ivi mlimuona chikwende alivyo angusha mtu kule juu

  • @fedjuma7513
    @fedjuma7513 3 роки тому

    Ximba tupo pamoja

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 Рік тому

    Uroho wa viongozi wakabomoa timu mpaka leo timu inayumba yumba

  • @getrudalucas9141
    @getrudalucas9141 3 роки тому

    Dozi ya mtu mahututi hii ni kuwaonea mtibwa ilibidi iwafikie walengwa

    • @BigDreamsWorldwide
      @BigDreamsWorldwide 3 роки тому

      Siku chache tu watapata lkn tulikuwa tunaangalia ipo kweli?

  • @cathernemapunda2359
    @cathernemapunda2359 3 роки тому

    Ii Simba nyie

  • @andreamkenge5550
    @andreamkenge5550 3 роки тому +1

    Chenga ya chikwende unawezachukulia mkopo world bank

  • @juliusmichealy1397
    @juliusmichealy1397 3 роки тому

    Pass za visigino hairuhusiwi bana😁😁

  • @harunasaidmussa8585
    @harunasaidmussa8585 3 роки тому +1

    Corona

  • @mtullamtulla4884
    @mtullamtulla4884 2 роки тому

    The

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 3 роки тому +1

    Uyu kipa mwizi tu anawaibia mtibwa wala hakuna kipa

  • @linahmwakyandwike
    @linahmwakyandwike 4 місяці тому

    Mlio ludia hii mechi kama mala tatu iv gonga like 😂