APR FC 1-0 EL Merreikh Bentiu | Highlights | Dar Port Kagame Cup 12/07/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лип 2024
  • Goli pekee la mchezo kutoka kwa 'super sub' Mamadou SY limeipa APR FC ya Rwanda ushindi wa bao 1-0 dhidi ya El Merreikh Bentiu ya Sudan Kusini, mchezo wa raundi ya pili #DarPortKagameCup uliopigwa Azam Complex, Chamazi.
    Ilikuwa ni header iliyozaa goli dakika ya 70. Tazama highlights
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 61