Magoli na penati | Yanga 2-2 Azam | NBC Premier League 06/09/2022

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2022
  • Derby ya Dar es Salaam kati ya Yanga vs Azam FC imemalizika kwa sare ya mabao 2-2 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, katika mechi kali na tamu ya ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague
    Magoli ya Azam FC yametoka kwa Daniel Amoah dakika ya 25, na malickou Ndoye dakika ya 65 wakati Yanga ikijipatia magoli yote mawili kutoka kwa Feisal Salum dakika ya 57 na 77.
    Katika mechi hiyo pia Yanga imepoteza nafasi ya goli kwa kukosa penati dakika ya 69.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 537

  • @mjukuubujaga3230
    @mjukuubujaga3230 Рік тому +10

    Naipenda yanga🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @BA-fy7wb
    @BA-fy7wb Рік тому +7

    Fisal saloom, what a player!
    I wish my team al-hilal face you in the next stage. I love yanga very much and it will be a luxurious match. Good lock

  • @kiptoogideon2020
    @kiptoogideon2020 Рік тому +5

    Wa Tanzania mko n kiungo mshambuliaji fei Toto uyu Ako ligi y lampard,scholes gerrard🔥🔥

  • @sharhabilabas9183
    @sharhabilabas9183 Рік тому +14

    Mwakani huy mtoto faisal atakuwa Chelsea au liva madrid halafu tutashangaa

  • @p_ndengah
    @p_ndengah Рік тому +5

    Fei Toto.🔥🙌🏾

  • @jescacheyo1329
    @jescacheyo1329 Рік тому +2

    Ila mpenja daaah raha sana unajua kazi👏👏👏

  • @adrophwilliam3225
    @adrophwilliam3225 Рік тому +3

    Hongera sana Azam football club.ila lefa pole sana

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 Рік тому +3

    Prof:Nabi Kina cha maji hakipimwi na mguu!
    Utakuja kutuua na pressure prof, hizi mechi c za kujaribu wachezaji hasa Azam fc ambao wamefanya usajili mzuri!
    Kikosi cha leo ulivyopanga…..Mhhh. Kilinishtusha sana hasa Denis nkane pamoja na midfield wote walioanza kwa pamoja ( Bigirimana na Khalid Aucho) hawa midfield wana aina moja ya mchezo no 6
    Ndio maana kipindi cha kwanza kati kati tulizidiwa sana
    Any way ndio mchezo ila prof: tuwekee kikosi cha ushindi
    Ili tuendeleze record ya unbeaten
    Kudos Zanzibar Finest🙏🙏💚💚💚💚💚💚💚

  • @ezekielwatson2033
    @ezekielwatson2033 Рік тому +4

    Feisar ni nomaaaaaaaa😃😁😁

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 Рік тому +7

    Fei hakika ni mtaalam wa mashuti hakika. Safi sana Tanzania. Mimi ni wa Simba.

  • @Victor-gd9zb
    @Victor-gd9zb Рік тому +5

    Kuna mda msheri inabidi aaminiwe✊✊

  • @ilenemasiayi5109
    @ilenemasiayi5109 Рік тому +4

    Naipenda yangaaa

  • @saliminyusuph6122
    @saliminyusuph6122 Рік тому +8

    Feisali ni mkombozi wa Young Africans.

  • @fra9873
    @fra9873 Рік тому +1

    I writing can't wait to see Simba / Yanga

  • @titomachitedomtz4593
    @titomachitedomtz4593 Рік тому +9

    Yanga viva
    Nilicho penda yanga hawaku paniki baada yaku ongozwa

  • @hope_jr
    @hope_jr Рік тому +4

    Hongera sana feitoto wewe ndio furaha yetu wananchi. Bila wewe leo tulikua tunafungwa

  • @jacksonndutu4024
    @jacksonndutu4024 Рік тому +12

    Kila nikimwangalia huyu dogo Fei namuona Paul Scholes wa Man utd enzi zile, yaani hata sielewi sijui kaja Tanzania kwa Sura ya Kizanzibar ama?

  • @francisngosi6376
    @francisngosi6376 Рік тому +1

    Mpira ni mkali mnoooo!! One love to Azam fc!!!

  • @isackmbade3181
    @isackmbade3181 Рік тому +3

    Man of the match alikua refaa nadhani bodi ya ligi wajitathmini aise

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 Рік тому

      Kama umesha sema refa ndiye mchezaji bora sasa unaaka tff wafanyaje tena? Mi nadhani ungewaagiza wampe zawadi ya hudi milion 10.

  • @halimajuma2340
    @halimajuma2340 Рік тому +3

    Dah hongeren azam kwa kuchez mpra mzur san leo kam mpra ungechezexhwa kwa hak bc p 3 zingkua halal yenu lakn ndo hivy refa kawadhulum hak yen yanga mkubal mskubal mmebebwa hamn chochte mlichofany leo man of the match ni azam

    • @ismailsaid6136
      @ismailsaid6136 Рік тому

      Ni kweli Yanga wemebebwa, refa kapiga mashuti mawili na mabao wemepewa yanga

  • @fra9873
    @fra9873 Рік тому +1

    Good commentator 👍

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 Рік тому +4

    Jifunze hukmu za quran gusa picha yang mara 2 hapo kushoto kama hautojali

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe Рік тому +3

    Goli la kichwa kichogo 🔥🔥🔥🔥

  • @ichishinzeh8279
    @ichishinzeh8279 Рік тому +2

    Highlights ni ndefu sana

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 Рік тому +4

    Jifunze hukmu za quran gusa picha yang mara 2 hapo kushoto kama hautojli

  • @bonifacemathias7589
    @bonifacemathias7589 Рік тому +4

    Hlf et unbeaten 😂😂😂😂

    • @delimachesa5007
      @delimachesa5007 Рік тому +2

      Kwan sio unbeaten tumefungwa na nan!?😅

    • @bonifacemathias7589
      @bonifacemathias7589 Рік тому

      @@delimachesa5007 kwa penati za michongo na mpira unatoka nje refa anajifanya haoni kwel mtakua unbeaten kwny ligi ya Tanzania ila mkienda mashindano ya Caf mtakua Vibeten co unbeaten 😂😂😂

  • @stn4873
    @stn4873 Рік тому +5

    Huyu mtoto Feisal ana u Zinadine Zidane alafu ana u Thiago Alcantara.

    • @fadhilamaulid9843
      @fadhilamaulid9843 Рік тому

      Ahmed Arajiga sio zidane wala Alcantara

    • @NellyWaKidato
      @NellyWaKidato Рік тому

      @@fadhilamaulid9843 arajiga kafanya Nini Tena we Kolo Fc

  • @kibasatv1524
    @kibasatv1524 Рік тому +2

    Mnachelewa sana kuweka highlights jifunzeni kuwa shapuuu

  • @daudkhatib4678
    @daudkhatib4678 Рік тому +5

    Chamanzii. Hakunna. Tajiri

  • @edsoneliah2802
    @edsoneliah2802 Рік тому +4

    Yanga, defence hakuna. Mechi za kimataifa itakuwa shida sana.

  • @istonymbwilo3043
    @istonymbwilo3043 Рік тому

    hongera sana azam kwa kazi liyo fanya😃😃😃😃😃😃😃😃

    • @twahanuru6849
      @twahanuru6849 Рік тому

      Twaibu

    • @kondosaid216
      @kondosaid216 Рік тому

      Mnakumbuka cmba mlisare na azam game ya 3-3 then mkawadhurumu goli lao 1 leo mnaona ya yanga

  • @bensonbenezeth
    @bensonbenezeth Рік тому +5

    Tanzania atuna marefa, TFF fanyieni kazi hii, ndo maana marefa wetu hawaitwi CAF kwa ujinga huu.

  • @tinnywaukweli7080
    @tinnywaukweli7080 Рік тому +4

    Refa kazingua Sana hii game

  • @yemgaboytz7113
    @yemgaboytz7113 Рік тому

    Bigup

  • @francepaul7711
    @francepaul7711 Рік тому +2

    Football ya Viwango kwelikweliii 🙌🙌🙌

    • @crazydaddy9217
      @crazydaddy9217 Рік тому

      Mkibebwa huwa viwango
      Na TFF leo vioi hawajawaonea?

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 Рік тому +3

    Hivi ili lijibwa arajiga huwa halionagi macho anga??

  • @shalyansegereti8164
    @shalyansegereti8164 Рік тому

    The Big match 💛💛🧡💛💛🧡

  • @klangeniustz5767
    @klangeniustz5767 Рік тому +4

    Hello wapedwa wapira mm naitwa klan genius naombeni sapot yenu kuisikiliza nyimbo yangu andika klan genius song sawa

  • @abdulaziz703
    @abdulaziz703 Рік тому +4

    Feisal Salum ni kiumbe hatari kuwahi kutokea kwenye soka la Tanzania.. Byuti byuti 🔰

    • @isdorchuvu6280
      @isdorchuvu6280 Рік тому

      Amna kitu pale ,uyo ni butubutu tena pale kakutana na panzia .

    • @NellyWaKidato
      @NellyWaKidato Рік тому +1

      @@isdorchuvu6280 wivu Wa Nini Mzee

    • @isdorchuvu6280
      @isdorchuvu6280 Рік тому +1

      @@NellyWaKidato uto Kama uto watu butubutu Kama hao soka la mtaani hua tunawawekea jiwe la zege ndani ya mpira wavunjike vidole .

  • @saliminyusuph6122
    @saliminyusuph6122 Рік тому +4

    Pia kocha wa Yanga arekebishe mabeki wanakuwa wazito kuokoa mipira iliyokufa ndo maana wapinzani wanapata target ya kufunga.

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 Рік тому +3

    Uyu arajiga aje achezeshe ndondo siku moja atapigwa Kama ngoma.

  • @goldenprod3135
    @goldenprod3135 Рік тому

    Malick ndoye❤️⚽️⚽️🔥🔥🔥🔥

  • @hossenmuhaji9471
    @hossenmuhaji9471 Рік тому +4

    Nimeskia yanga wamepigwa Kama ngoma

  • @janaakimu6171
    @janaakimu6171 Рік тому +1

    Refa Kawa MAN of the MATCH😂😂....

  • @flolesizebedayo327
    @flolesizebedayo327 Рік тому +1

    Vizur sana azam

  • @bakaryCMD
    @bakaryCMD Рік тому +5

    Hili refa senge sana hili lime pewa pesa na yanga hili na hii mi utopolo imenunua mechi mana ime bebwa sana na hili refa la yanga senge/

    • @jumakassim8718
      @jumakassim8718 Рік тому

      Mtani unateseka ukiwa wapi naona unamwaga povu sana

    • @isdorchuvu6280
      @isdorchuvu6280 Рік тому +1

      Sema hawa mbwea wana bahati sana na ili butubutu lao Fei toto ,ila kesho Kmc anakufa na tukikaa pale kileleni atutoki mpaka msimu unaisha.

    • @bnttv8955
      @bnttv8955 Рік тому

      Kwani mzungu anasemaje

    • @NellyWaKidato
      @NellyWaKidato Рік тому +1

      Kwanini Tunapomfira Azam Makolo mnatonga Tatizo Nini Wasenge Ninyi 😂🤣💚💛

    • @delimachesa5007
      @delimachesa5007 Рік тому

      Kwan Zoran mmeshamsindikiza

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 Рік тому

    🔥🔥🔥

  • @amribihoga5127
    @amribihoga5127 Рік тому +3

    kweli deby yanguvu sana hii

  • @zamratallly4148
    @zamratallly4148 Рік тому +6

    Mzee wa mishuti kama kawaida yake

  • @ndayizeyejailosgordien2733
    @ndayizeyejailosgordien2733 Рік тому +1

    Azam ninawapongeza saaana 🙏🙏💯kua gushinda gool

  • @vailethmsigwa1987
    @vailethmsigwa1987 Рік тому

    Yanga tamu💚💛💚💛

  • @Sirkitwe
    @Sirkitwe Рік тому +7

    We fei utakuja kuua bwana mdgo😂😂😂😂

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 Рік тому +7

    Bora hata Azam anayepata sare,kuliko nyinyi mnaofungwa na Yanga. Sare apate AZAM nyinyi kinachowauma nini?

    • @barbiepixie92
      @barbiepixie92 Рік тому

      Bottom line Jana mmekaziwa na mna hasira kufungwa hata nyinyi huwa mnafungwa so Hamna jipya hapo

    • @wilsongeorge1353
      @wilsongeorge1353 Рік тому

      Kipa wa yanga Diara lile ni garasha .Nabi mpe msheri nae adake tuone kiwango chake

  • @bahatitinga2748
    @bahatitinga2748 Рік тому

    Nice

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 Рік тому +2

    Azam wako vizuri

  • @worldstartz
    @worldstartz Рік тому +3

    Azam kipa yuko vizuri ingekua mwingine Leo ingekua hatari

  • @crazydaddy9217
    @crazydaddy9217 Рік тому +4

    Yanga tukubali tu leo kama si msaada wa zaidi ya 100% kutoka kwa refa basi tumefungwa

    • @crazydaddy9217
      @crazydaddy9217 Рік тому +1

      Kweli na hili pia tulalamike TFF wanatuoneaa

    • @bnttv8955
      @bnttv8955 Рік тому

      Kwani makolo wanasemaje?

    • @crazydaddy9217
      @crazydaddy9217 Рік тому +1

      @@bnttv8955 wanasema kama.anavyosema refa
      Ile bahasha yake inone

    • @happyvalence5352
      @happyvalence5352 Рік тому

      Kolo kolo TU Huwa habadiliki hata utumie jiki na ommo.

    • @crazydaddy9217
      @crazydaddy9217 Рік тому +1

      @@happyvalence5352 ushindi wa bahasha utabaki kuwa bahasha hata kama inauma

  • @shaibumkullu4478
    @shaibumkullu4478 Рік тому

    Yanga tam💚💚💛💛👏👏

  • @latifapancras5734
    @latifapancras5734 4 місяці тому +2

    Fei rud yanga bwana mambo gan hayo jna lnakufa ujue

  • @suzancharles1639
    @suzancharles1639 Рік тому

    Kila nikisikia wakisema yanga mbovu naangalia hii mechi fantastic

  • @jackwilliamjack5023
    @jackwilliamjack5023 Рік тому

    Yes

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 Рік тому +2

    Huyu jama apewe ulinzi wallah anajua sana jamaa

  • @JamalJamal-vd9sf
    @JamalJamal-vd9sf Рік тому +1

    Fai toto good

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 Рік тому +4

    Fei toto anapenda sana mipira ya rebounds ... Mtoto mbaya sana huyu

    • @ndayizeyejailosgordien2733
      @ndayizeyejailosgordien2733 Рік тому

      Yanga mupengeze sans feitoto mukizuba mutashindwa walahi.

    • @snipershort6988
      @snipershort6988 Рік тому

      @@ndayizeyejailosgordien2733 mbona usiseme ya mayele na mandonga fc ngao ya hisani

  • @gracendumo6463
    @gracendumo6463 Рік тому +2

    Protecta imevunjika kabisa hii

  • @suleimankombo1743
    @suleimankombo1743 23 дні тому

    Mda ukifika natamani kumuona fei akiicheza real madrid INSHALLAH

  • @jayfadhil8404
    @jayfadhil8404 3 місяці тому +1

    Feysal anafaa kwend kuchezea club za uengereza

  • @luseshelomwangole2408
    @luseshelomwangole2408 Рік тому +3

    Feisal Salum🔥🔥🔥

  • @mickdadybakari6052
    @mickdadybakari6052 Рік тому +3

    Azam 2 refa 2

  • @marcomatikujr1841
    @marcomatikujr1841 Рік тому

    Faine tena,machupa maji

  • @zanzibar.
    @zanzibar. Рік тому +3

    Nani kaon morson alivo muekea kiat tumbon

  • @evaristkiiza1938
    @evaristkiiza1938 Рік тому +2

    Mabeki ni tatizo yanga please bangala acheze namba yake ya kiungo na mwamnyeto apumzishwe kdogo ama aingie sub coz ana mapungufu sn hawez kusoma hatariiii yan asaiv kadebweda sn na coach na bench lako please msidharau team pinzan sikuiz nao mpira wanaujua sn hii mechi tulkuw tunapoteza hatukuw sawa kiakil ad kukaba pindi hatunao mpira
    Big up to fei toto uwezo wk na unyumbulifu wk ufanye nn na mda gn uwe wp

    • @kibaikiramadhani1475
      @kibaikiramadhani1475 Рік тому

      Kwa nbereko au?

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 Рік тому

      Kibaiki...Umesahau Ngao ya Jamii eti? nako tulibebwa? makosa yamarefree yasikusababishe ukasahau kuwa hao unaowaona wamebebwa ndio waliokusababisha uanze kumtengenezea kocha wako mazingida yakumfukuza.Sema tu mliogopa kuipa Yanga pakusemea mkaona mumtafutie sababu mechi mbili za ligi na mechi 3 za kirafiki.Lakini tunajua toka mechi a ngao ya jamii kocha mak alishafukuzwa.Sasa naona leo mmehamia kuwa mashabiki wa Azam.Mtabadilika sana msimu huu maana timu lenu tia maji tia maji.Ngoja mkutane na Azam na Singida Bg Star.Ngoja muende Arusha kwenye uwanja wa mashimo na mzungu wenu,mkutane na Polic.Ngoja muende Tanga mkutane sijui na ndugu zenu wale!!! ndo utajua kwanini simba wamjini anaitwa wamaonyesho.

  • @marcokaroje8980
    @marcokaroje8980 Рік тому +4

    Mapoovu ya makolo ni zaidi ubwege

  • @ngongakyala9326
    @ngongakyala9326 Рік тому +4

    refa ali beti jana

  • @yasintasamson9178
    @yasintasamson9178 Рік тому +5

    Huyu lefa achukuliwe hatua tff

  • @Mary-rv4mg
    @Mary-rv4mg Рік тому +2

    Kwa marefa hawa atutafika

  • @kasimrajabu2068
    @kasimrajabu2068 Рік тому +3

    Kikweli kutoka moyon kwa huyu kipa bora mshel tu huyu sifa tu kubwa ila ni wa kawaida sana mwalim anze kumuamin mshel

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 Рік тому

    fei noma

  • @abuuswarehe9670
    @abuuswarehe9670 Рік тому +1

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👍👍👍👍👍

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 Рік тому +3

    Ili lefa linaitaji miwani ya lenzi.

  • @user-sy3qc9fc2h
    @user-sy3qc9fc2h Рік тому +1

    استمرو في الفرح الهلال السوداني ينتظركم فوقتها لا مجال لكم غير البكاء

    • @mswakisaid2320
      @mswakisaid2320 Рік тому

      😀لا تسقطنا في قتل ضفدع البر😀ونحن معكم

    • @user-sy3qc9fc2h
      @user-sy3qc9fc2h Рік тому

      @@mswakisaid2320
      احفظ هذا التعليق جيدا وانت تعلم انك لم تمر إلى المجموعات عبر الهلال السوداني
      فأنت لازلت صغيرا جدا

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 Рік тому

      Hilal ya Sudan tutawashughulikia, yanga ni bora

    • @sharhabilabas9183
      @sharhabilabas9183 Рік тому

      اعمل حسابك يا حبيبي الهلال 0 وياقا 3 احفظ كلام ده

    • @sharhabilabas9183
      @sharhabilabas9183 Рік тому

      @@user-sy3qc9fc2h لا يا اخي احفظ تعليق ده جيدا انا اعرف الهلالي فريق جيدا ولكن ياقا اولي من الهلالي

  • @laprincevonkingpin2538
    @laprincevonkingpin2538 Рік тому +2

    waaamuz wa kitanzania cyo makini ndo maana beji za fifa zinasumbua,, na mara nyingi kule kimataifa hatupewi nafasi kwa kuwa hawana ueledi katika kutimiza majukumu yao.

  • @Baba-JJ
    @Baba-JJ Рік тому +7

    Ujinga ni kudaka penati halafu unafungwa migoli ya mbali, Tototoooo. 😂😂

    • @omaryhajji1393
      @omaryhajji1393 Рік тому

      Acheni kujichekesha mmebebwa

    • @winfridantandu2870
      @winfridantandu2870 Рік тому

      Feisal ni monister 😂🤣🤣

    • @Baba-JJ
      @Baba-JJ Рік тому

      @@omaryhajji1393 kwa uzuri wa goli kuna makosa mengine inabidi yapuuziwe tu. Ndo maana tunasema VAR haina maana bora iondoke!

  • @bizzboy5490
    @bizzboy5490 Рік тому +2

    Tototoooooooooooo,

  • @kharidnyakamande4986
    @kharidnyakamande4986 Рік тому +4

    Ndio marefa wa bongo walivyo kwa timu kubwa.hongereni azam kwa mpira mwingi penalt yenu itawatesa sana msimu huu

  • @africanbeez3644
    @africanbeez3644 Рік тому

    Refa hakua fair

  • @harodphilipo8228
    @harodphilipo8228 Рік тому +8

    Acheni usenge nyie makima subir yakwenu yanga haiwahusu

    • @fridamnyambii7175
      @fridamnyambii7175 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣 mnahonga refa hamna ata aibu

    • @harodphilipo8228
      @harodphilipo8228 Рік тому

      @@fridamnyambii7175 muhongeni nanyie kama mnazo

    • @priscusaugust7251
      @priscusaugust7251 Рік тому

      @@fridamnyambii7175 😂😂😂yanga itachukua makombe mpka mfe kwa presha 😊

    • @rehemamkalawa3801
      @rehemamkalawa3801 Рік тому +1

      Kishawakuta kitu huko na wao tayari 🤣🤣🤣

    • @clarachikojo6399
      @clarachikojo6399 Рік тому

      @@fridamnyambii7175 Nyie mmeshindwaje kuhonga¿??😂😂

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 Рік тому +2

    Jifunze hukmu za quran gusa picha yang mara 2 hapo kama hautojali

  • @plusabracadabra5166
    @plusabracadabra5166 Рік тому +2

    Azam TV siku ya mechi za Azam dhid ya Simba au Yanga uwa mnaonyesha mpira kwa kiwango cha juu sana why mechi nyingine hamfanyi hivyo? Achen double standard kama mna camera za kutosha zitumike kwa mechi zote za ligi ya NBC na FA

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 Рік тому +2

    Refa,refa refaaa

  • @maishaedward3628
    @maishaedward3628 Рік тому +3

    Ndio maana kimataifa ni kuboronga TU harafu tulalamika eti tunaonewa Kwa huu mchezo ni aibu

  • @ndayishimiyeabdulkabir9793
    @ndayishimiyeabdulkabir9793 Рік тому

    Yanga ni team ya big 4 guys

  • @rashidkhamisjuma3714
    @rashidkhamisjuma3714 Рік тому +1

    ambital ok pale pal

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Рік тому +2

    Referee Maof this Match n

  • @saidijafari2812
    @saidijafari2812 Рік тому +3

    Mpira si ukitoka huu

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Рік тому +2

    Utopolo yamebebwa ila hayabebeki kumamae zenu

  • @afrodisiusvitus9157
    @afrodisiusvitus9157 Рік тому +1

    Azam iko juuu

  • @xingho3990
    @xingho3990 Рік тому

    Huo ndio mpira wakibongo....maisha hatutokwenda mbele.

  • @shamsachata2468
    @shamsachata2468 Рік тому +1

    This is---

  • @abdilahjuma2493
    @abdilahjuma2493 Рік тому +3

    Walioumia mechi ya leo sio yanga wala azamu, ni watu wa DEGJAN