MZEE SAID AKIRI KUMKUBALI AZIZ KI ACHEZE TIMU YETU YA TAIFA TU| MANARA CHANZO CHA CHAMA KWENDA YANGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лип 2024

КОМЕНТАРІ • 293

  • @westonyjob1747
    @westonyjob1747 21 день тому +53

    Leo nimekuwa wa kwanza liga like kwa mzee said

  • @Shadia544
    @Shadia544 21 день тому +17

    Jamaniii jamaniii jamaniii haya nilikuwa namsubili mzee saidi jamaniii chagamba na mzee saidi chagamba anainjoi sanaaaaaa 😂😂😂😂

  • @kapondadr5840
    @kapondadr5840 21 день тому +38

    Mzee saidi ni mmoja tu mtandaoni 🔥🔥🤣🤣

  • @daudikisoma2284
    @daudikisoma2284 21 день тому +15

    Mzee Saidi bhana,hauna mtoto wa kike nije kuoa mana natamani uwe ata mkwe wangu Kwa kwel unanipa raha sana

  • @jambia4515
    @jambia4515 21 день тому +24

    Mzee Said unanifurahisa sana unanifanya nicheke

  • @ramajr3762
    @ramajr3762 21 день тому +1

    Ulikua na umri gani kujua kama ukigusa comment mara tatu ni kuicopy?

  • @B.M-ix4rz
    @B.M-ix4rz 21 день тому +14

    ❤❤❤❤❤you mzee said kwa kweli unanisogezea siku kwa furaha

  • @user-li6zg6tg7o
    @user-li6zg6tg7o 21 день тому +6

    Mzee said nataman nikuone mzee wangu siku moja pia nakuombea Kwa mungu uishii maisha marefu saana na enjoy saan kumwona huyu mzee wangu big up changamba😂

  • @DicksonNasibu-tv7vr
    @DicksonNasibu-tv7vr 21 день тому +10

    Coacher wenu amerudi Rwanda mzee saidi

  • @OmanOman-hj7tv
    @OmanOman-hj7tv 21 день тому

    Chagamba mkorofi eti kingereza kitakusaidia nini😂😂😂😂😂😂

  • @neemadaniel6233
    @neemadaniel6233 21 день тому +40

    Mzee side we love you so much Young African fans

  • @musahairikha8135
    @musahairikha8135 21 день тому +5

    From congo nakupata father said like your interview

  • @user-zx1vk9pr1w
    @user-zx1vk9pr1w 21 день тому +12

    Hahaahahah ! Mzee side azizi yupooooo 🤣🤣 ! Jin lakooo 😂

  • @salumuomari
    @salumuomari 21 день тому +4

    Mimi nainjoy Sana kwa mzee said nafurah Sana daah mungu akuweke Sana mzee

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 21 день тому +10

    Yan Mzee Said Tu Ni M’moja Tu Kwa Bongo Nzima❤🎉

  • @kampista11
    @kampista11 21 день тому +4

    Mzee saidi, arajiga, mobeto na azizi ki nacheka sana. Watu wanashaanga nacheka nini kumbe huyu mzee. Mzee Mungu akuneemeshee barka.

  • @OctavianJohn-og7wg
    @OctavianJohn-og7wg 21 день тому +4

    Mzee said mwenyezi mungu akuweke unanifuraisha sana

  • @bonifacekankoma9663
    @bonifacekankoma9663 21 день тому +1

    Chagamba hongera sana kwa kutuletea mzee Saidi . Kwa mzee saidi nacheka kwa vituo😂😂😂🤣🤣

  • @MwanahamisiMchombo
    @MwanahamisiMchombo 21 день тому +9

    Mzee Saidi ni mmoja tu🎉🎉🎉🎉

  • @user-mq4rg9lu4h
    @user-mq4rg9lu4h 21 день тому +2

    Kila nikimwangalia Mzee saidi Yani nafuly kweri Mzee mungu akupe maisha malefu