Hakika Mungu akutunze kwa ajili ya Nchi yangu na kwaajili yangu Baba Christopher wewe umefanyika taa ya Nchi yangu Tanzania, Hekima yako yapita viwango, naomba uniombee mwanao Sarah Faida usinisahau uingiapo kwa maombi Baba. 🤲🙏
Hekima zako za Kimbingu ni NURU ni ombi langu kwa Mungu anijalie mke mwema na kusudio langu kupitia kwa Mungu ni kuijenga familia yangu yote katika misingi mitakatifu sana ya kiroho na kusudio langu ni kukiona kizazi changu kikiurithi ufalme wa Mungu, Mungu naomba utujalie HATMA iliyo njema maishani mwetu. Amen!
Nimekua mlimani Leo ni siku ya pili,dhamira yangu ni kuomba toba Kwa ajili yangu kama Mama,binti na mke,lakini sikua najua kifungu chochote cha kusimamia toba yangu zaidi ya Ezra 8:21...Leo kukutana na hili somo naamini liliandaliwa Kwa ajili yangu....holy spirit connect,thank you Jesus for your mercy and Grace!
Amina nimebarikiwa kujua nafasi ya mwanamke na nipo kujifinza zaidi nafasi amvayo Mungu ameweka kwa mwanamke. Amina mbarikiwe nyote Mwalimu mtumishi wa Mungu Mama na wanakamati wote Mungu aendelee kuwarumia katika viwango vya juu kwa utukufu wa jina lake.
Aasnte kwa neno. Mungu ana makusudi na maisha yetu wote Mungu tupe neema ya kukufahamu ili ututumie kwa kadri ya makusudi yako. Makusudi yako yaonekane kuanzia familua hadi Taifa na ulimwenguni pote jina lako litukuzwe na wake kwa waume na vizazi vyao. HALELUYA 🙏
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana, haya mahubiri yananigusa na kunijenga na kunibariki pia " mwanamke tunaye muona kwa macho ni tofauti na yule aliyeumbwa na Mungu"
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana tunakupenda sana maana umefanyika baraka kwetu Mungu akubariki pia akupe maisha marefu Baba hekima yako ni kubwa mno ili somo limenibariki sana
Naomba Mungu anijaalie mwanaume niliyempata tuweze kufikia lengo letu la kufunga ndoa ...na Mungu azidi kuzidishia baraka katika familia yetu tumjuwe zaidi🙏🙏🙏🙏
Ee mungu naomba utusaide tujue uumbaji wako na kusudi kwa wanawake na wanaume ili tusikinzane bali tuishi katika umoja kama kristo alivyo kusudia . Amen❤
Amina Amina baba Mungu anisaidie nijijue mimi kama mwanamke ni nani na nibebe uhalisia wangu wa mwanamkee nisimame na familia yangu atakayonipa Mw Mungu kama mwanamke.

Mwalim mungu ampe maisha marefu sana nimsaada mkubwa kwa taifa letu na dunia kwa ujumla
Hekima zako za Kimbingu ni NURU ni ombi langu kwa Mungu anijalie mke mwema na kusudio langu kupitia kwa Mungu ni kuijenga familia yangu yote katika misingi mitakatifu sana ya kiroho na kusudio langu ni kukiona kizazi changu kikiurithi ufalme wa Mungu, Mungu naomba utujalie HATMA iliyo njema maishani mwetu. Amen!
📞🙏🙏🙏
Hongera
ameni
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Amina baba ubarikiwe kwa somo zuri
GENEOUS, MWAKASEGE KANIFUNZA KITU KIKUBWA SANA
Nimekua mlimani Leo ni siku ya pili,dhamira yangu ni kuomba toba Kwa ajili yangu kama Mama,binti na mke,lakini sikua najua kifungu chochote cha kusimamia toba yangu zaidi ya Ezra 8:21...Leo kukutana na hili somo naamini liliandaliwa Kwa ajili yangu....holy spirit connect,thank you Jesus for your mercy and Grace!
Glory to God ,, hongera winner
MUNGU akupe afyaa bora ..Ili uweze kutupatia ujumbe kupitiaa wee. .amen amen ❤️🙏
Ni Mungu na sio mungu ndugu.
@@dreambig6093 ooh thanks alot it was typing error nimerekebishaa be be blessed 🙏❤️💙
Ee MUNGU wangu nakuomba unibari mimi na uzao wangu amen
Amina nimebarikiwa kujua nafasi ya mwanamke na nipo kujifinza zaidi nafasi amvayo Mungu ameweka kwa mwanamke. Amina mbarikiwe nyote Mwalimu mtumishi wa Mungu Mama na wanakamati wote Mungu aendelee kuwarumia katika viwango vya juu kwa utukufu wa jina lake.
Aasnte kwa neno. Mungu ana makusudi na maisha yetu wote Mungu tupe neema ya kukufahamu ili ututumie kwa kadri ya makusudi yako. Makusudi yako yaonekane kuanzia familua hadi Taifa na ulimwenguni pote jina lako litukuzwe na wake kwa waume na vizazi vyao. HALELUYA 🙏
Amen
Asante sana Mwl. kwa kurejesha tena hili somo. Kuna siku nililitafuta hapa UA-cam ila sikuliona. Asante sana, somo hili linanibariki sana
Asante sana Mwl. Mwakasege kwa kurudisha hili somo tena. Kati ya masomo ambayo nilikua najikuta nasikiliza tena na tena na tena bila kuchoka 🙏🙏
Amen,kila siku nafarijika ninaposikia neno la Mungu kwa kutumia kinywa chako
Mungu azidi kukubariki
Nimaombi yangu Mungu akutunze asante Mungu kwa ajili ya zawadi ya Mwakasege
Kwakweli umeliongeza ujuzi katika hihi somo, Mwenyezi mungu atubariki pamojo naweye, Donatien DRC goma.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana, haya mahubiri yananigusa na kunijenga na kunibariki pia " mwanamke tunaye muona kwa macho ni tofauti na yule aliyeumbwa na Mungu"
Umenifundisha. Kitu ambacho nillkuwa sikijui asante Sana nimeipata mwanga mkubwa sana
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana tunakupenda sana maana umefanyika baraka kwetu Mungu akubariki pia akupe maisha marefu Baba hekima yako ni kubwa mno ili somo limenibariki sana
Ubarikiwe Mwalimu Mwakasege,, Hakika kila atakayesikia. Somo hili kuna vitu atajifunza. Mungu akupe Maisha marefu ili umtumikie zaidi na zaid
Mzee Mungu akubariki wewe ni mwalimu kabisa ubarikiwe
Naomba Mungu anipe mkee mwema
Naomba Mungu anijaalie mwanaume niliyempata tuweze kufikia lengo letu la kufunga ndoa ...na Mungu azidi kuzidishia baraka katika familia yetu tumjuwe zaidi🙏🙏🙏🙏
Nime kuelewa sana mtumishi yerusalemu ya ufunuo nii familia
Mungu akubariki sana mtumishi..Huwa nafarijika sana kusikiliza mahubiri yako, Mung akulinde
Mchungaj mungu akubaliki Santa naomba uniombee maisha yangu no magum Sana naitwa renad thomas
Ni masomo ya kujenga sana. Mungu azidi kukibariki kipawa chake ndani yako Mwalimu.
Hallelujah hallelujah hallelujah Asante Yesu coz ni somo nililokuwa narihitaji sna
Ee mungu naomba utusaide tujue uumbaji wako na kusudi kwa wanawake na wanaume ili tusikinzane bali tuishi katika umoja kama kristo alivyo kusudia . Amen❤
Mungu anisadie kupata mme sahihi na nikawe mke mwema kama biblia inavyonitaka kuwa
Mungu azidi kukutumia, zaidi sana,akupe.maisha🙏🙏🙏👏👏
Marefu,
Mwalimu nashukuru kwa mafundisho yako naposikia mafundisho yako nafarijika Sana ubarikiwe
MUNGU akibariki mtumishi, najua MUNGU anakitumia kwa viwango vya juu sana....
Nabarikiwa sana na mafunzo yako mwalimu. Mungu wa mbiguni azidi kukutunza.
Mungu afanye uwe mwalimu wangu na mungu akuongeze miaka zaid
Amina mtumishi Mungu ,na Mungu was mbinguni azidi kukutunza ila aebdelee kukutumia amina
Amen mtumishi wa Bwana Mungu aendelee kukutumia kulisha kondoo zake
Mungu akubariki sana kwa somo hili limenifungua sehemu kubwa sana🙏🙏🙏
Asante sana mwalimu , nimeelewa hili fundisho kuhusu Mwanamke
Mungu huweka nadhiri za wateule wake toka tumboni mwa mama zao.
Am blessed much Barikiwa teacher wangu
Shukrani kwa mafundisho mimi nipo. Congo Mungu. Akubriki
Asante mwl kwa somo zuri naomba mungu anipe mme mwema
Nimejifunza kitu kikubwa sana hapa hakika. Mwalimu MUNGU wa Mbinguni akubariki sana
Mungu aendelee kuwa nanyi ee watumishi wake!♥️
Ameen, ubarikiwe Sana Kwa ujumbe mtumishi
Amina Amina baba Mungu anisaidie nijijue mimi kama mwanamke ni nani na nibebe uhalisia wangu wa mwanamkee nisimame na familia yangu atakayonipa Mw Mungu kama mwanamke.
Mungu naomba unijaliye kujuwa nilivyo na kutambua neno na kunipatie mume mwema mwenye kumjuwa mungu ilituliee watt wetu hekima Amen
Yesu nipe ufahamu wa kusimama kama mwanamke
Ubarikiwe sana, fundisho nzuri sana
Ee Mungu ninakushukuru kwa ajili mtumishi wako naomba unipe neema ya kusikiliza na kuyafanyia kazi mafundisho yako kupitia mwalimu
Baba,, hakika UMENENA ...naomba uniweke katika maomb yako kama mwanao
Asante sana mtumishi Mungu azidi kukubali san
Mungu ayabariki maombi haya, yakawe baraka kwangu🙏
Naomba Mungu anipe mume bora atakaye dumisha amani katika familia yetu
Amen, asante Mtumishi kwa ujumbe huu.
Amen Mtumishi. Ninabarikiwa sana na mafundisho yako. Ninaweka familia yangu mikononi mwa Mungu. Mungu aendelee kuwa mwalimu katika maisha yetu yote.
Asante sana MWALIMU kwa mafundisho Haya MUNGU anisaidie kuyaishi mafundisho Haya IN JESUS NAME (Zaburi 32:8, Isaya 55:6-11)
Mwanzo sura ya 1 ni uumbaji wa rohoni na mwanzo 2 ni madhihirisho ya kilichoumbwa sura wa 1, ( kuletwa ktk uhalisia wa kimwili),
Nimejifunza kitu
Asante Mwalimu 👏🏾, Sifa na utukufu ni kwa Bwana Yesu.
Amen ..Amen...,painful truth very unfortunate to men who don't understand the values in a woman.
Mungu aendelee. Kukutumia zaidi na zaidi amen
Ishi miaka mungu kwa ajiri ya kabisa ubarikiwe sana
Hallelujah 🧎♀️🙌🙌
Be blessed more Man of GOD .
Kupitia mtumishi wa mungu tumbo langu likawe la watoto wenye baraka
Mungu akubariki sana kuna kitu nimepata
Baba mungu akuzidishie maishamarefu
Amen mwalimu Asant sana kwa mafunzo yako Mungu akubariki sanaa
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu...
Asante mtumishi wa Mungu kwa ufunuo huu
Eeeeh Bwana nakuomba unikumbuke kila hitaji la moyo wangu kwako
Ameeen
Nimebarikiwa sanah
Mimi ninamchumba tayari hata ivyo namuomba sana MUNGU anisaidie niweze kuwa nae kama ni kweli ni sahihi kwangu na ni mpango wa MUNGU...
Mwenyezi mungu akuwe barikiwa sana baba
Mungu anafanya Mambo ambayo mwanadamu hajui kabisaaaaa.
Ubarikiwe mtumishi
Asante Mtumishi 👏👏👏
God Bless You Pastor👏🏾
⁰
@@colinehelmas6210 r ww
@@agnesuwarugira4746 111
Asante yesu ninaamini utaniponya Mimi pamoja na Uzao. Wangu
Ubarikiwe baba🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mwanamke ni msaidizi sio kiongozi na kuongozwa na mwanamke ni sawa na kuongozwa na shetani. Mimi ni mjumbe wa agano duniani.
Unakoseaaa sana brooo
Kamsome Debora alieongoza taifa la Israel akiwa kama mwamuzi,hivyo mwanamke bado anaweza kuongoza ikiwa tu atatambua nafasi yake
Barikiwa. Mtu. Wa. Mungu
asante kwa mahubiri mtumishi
Mwanamke ni Kanisa kibiblia
Mungu akubariki baba yetu
Mungu akubariki sana.
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu
🙏🙏🙏🙏 ameen. Ubarikiwe mtumishi
Mungu akubariki sana mwalimu 🙏🙏
May God keep you daddy!! We love and pray for you 😍
Asante kwa mafundisho mazuri. Mungu akubariki
Mungu azidi kukuinua Mtumishi
Baba Mungu akutunze sana
Mungu atembee na wewe baba
Gusa Tumbo langu gusa mtoto wangu nifungue bwana yesu
Maisha bila Mungu na heshima kwa watu ni batili mtupu
Mungu akubariki mno mtumishi
Naomba link ya application
UBARIKIWE MTUMISHI.
Amen. Mwalimu nimeelewa kabisa utofauti wa mwanamke wa kibiblia.
Ni mwalimu kweli kweli!!
Amina mtumishi kwa somo zuri
Live long Mwl Christopher Mwakasege.