Mungu nipe mtaji wabishara naomba ulinzi jua ya bifugo yangu kondoo mbuzi ngombe naomba ulinzi juu ya watoto wangu mungu nipe tergta ya kulima shambani mungu naomba ulinzi juu ya maisha yangu niepushe na mabaya yote hapa duniani niishi maisha yukupendasayo Asante mungu Ameen ameen
MUNGU baba mwaka huu tubariki kwenye kazi za mikono yetu, tuka jenge mijengo ya biashara,nikamalizie nyumba yangu, kipato changu kikainuke, nikamunue alphard ya kazi na pia mgodi wetu ukapate kutoa riziki amen Amen 🙏
MUNGU naomba mwaka huu niinulie watu sahihi watakaobeba kwenye maisha yangu na pia naomba unipe mme bora akae njia Mungu anipe kibali cha kujua kushona 👗 za aina zote kwa ajili ya utukufu wake
Mungu naukusihi sana uikumbike familia yangu malengo yangu mwaka huu ukayatimilize uniinulie mtu sahihi watakaonisaidia na kuyabeba yake yote niliyoyawekea malengo. Nifanikishe kiuchumi niondikane na madeni. Wadrni wangu na fedha zangu zilipo ziniijiebkutoka pande Nne za Dunia asiwepo wa kuzuia Toka Kaskazini, kusaini Mashariki magharibi isizuiliwe nifannikiwe katika kuitenda kazi yako kwa uaminifu In Jesus Name I pray
Ahsante yesu kwaajili ya mafundisho haya naomba uniinulie watu sahihi katika mwaka huu watakao nisaidia kutimiza malengo yangu🙏🙏 ubarikiwe mtumishi wabwana🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu naomba Toba na rehema unisamahe popote nilipoenda kinyume na mapenzi yako😭😭🙏 pia naomba unipe mtu sahihi wakusimama nae katika mipango yangu 2025
Mungu wangu naomba katika mwaka huu wa 2025 wakati na mda wa mimi kuolewa umefika naomba unipe mme mwema mwenye hofu ya Mungu ili tujenge familia yetu ya watoto wazuri tena wenye akili nyingi, zaidi ya yote awe mme mwenye maono ya kimungu na atakae nisapoti katika huduma yangu ya Maombi kwa jina la Yesu niko tayari kumpokea wakati wowote maana nafasi hiko wazi eeee Mwenyezi Mungu usinipite ndani ya mwaka huu. Nakupenda sana my Love Jesus!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mungu wangu asante kwa kunivusha 2025.naomba ni connect na watu sahihi 2025.nibadilishe nipe kibali cha kuinuka 2025.nipe upenyo na fursa .ktk jina la Yesu
Barikiwa kwa somo zuri mtumishi wa Mungu,hakika nahitaji neema ya Mungu kunipatia watu sahihi kwenye biashara zangu na mifugo yangu na wa nyumbani kwangu wa ndani ,mana kwa hakika wao ndio chanzo kikubwa cha kusitawi au kufa kwa biashara ,Mungu nikumbuke 2025
Namshukuru Mungu sana kusema nami kwa viwango vya juu sana kupitia somo hili,Mungu akubariki sana mtumishi pamoja na watu wote walioambatana nawe katika huduma yako,Mungu akuweke uishi mtumishi wa mungu,akujalie afya njema na baraka tele,ninaushuhuda mwingi sana kupigia madhabahu hi namshangaa mungu sana na kumshukuru kwa namna ya kipekee sana ,utukufu na heshima ni zako,nilikuwa nimezongwa zongwa sana kiafya kihuduma kwa habari ya watenda kazi, na kwa habari ya kuuzunguka mlima ,Ee Mungu wa Ibrahim,isaka ,na yakobo jina lako litukuzwe milele ,na sasa niko huru namshukuru Mungu sana
Mungu nakushukuru kwa neno lako naomba unipe watu sahihi wakunisaidia kutimiza malengo yangu muwezeshe mume wangu aweze kumalizia nyumba yetu ya kuishi pamoja na biashara ameen 🙏
Kiukweli mtumishi wa Mungu nakukubali sana tena sana ndani ya moyo wangu na kinachonifurahisha kwako hakika umesimamia neno tu na sio mambo mengine kama walio watumishi wengi wa sasa barikiwa sana naomba kupitia somo hili maombi yangu ya kupata mme mwema yajibiwa kwa jina la Yesu kristo muumba wa mbingu na nchi
Eee Mungu naomba unipe watu sahihi katika maisha yangu wakunidaidia kimawazo katika kufikili kwangu ili niweze kitimiza malengo yangu mwaka huu Amen 🙏🙏🙏
Mwenyezi Mungu naomba unisaidie mwaka huu nijenge nyumba,nifungue biashara hata ndogo tu,mwanangu achaguliwe shule nzuri kidato cha 5,mwingine afaulu vzr kidato cha 2,nipe kutembea katika njia zako nikutanishe na watu sahihi waliobeba hatima ya maisha yangu.Amina
Baba mwaka huu unipe mke mwema, tuje tusaidiane kuendeleza kampuni yetu, na kufikia maono ya kiuchumi ili tuisadie jamii na familia zetu, kwa manufaa ya Ufalme wako na Nchi yangu Tanzania. Unijibu maombi yangu 12 nilitukize jina lako
Mungu nakuomba linda familia yangu,ninakuomba uwape afya ya mwili na akili pia waepushe na nguvu zote za muovu shetani zikae mbali nawo🙏🙏ninakuomba ukapte kunibarikia kaz ya mikono yng na ninaomba ukapate kunipa mtu sahii kwny maisha yangu 🙏🙏
MUNGU Naomba kwa jina la YESU; nitembee na wewe na watu wako na kusudi lako; roho za kukata tamaa zituachie watoto wako wote kwa kutiwa Nguvu na Roho Mtakatifu.Amen,Amen,Amen
Hili somo limekuwa langu kabisa. Mungu anisaidie mwaka huu nipande na zaidi yakupanda kusudi lake litimie ndani yangu mwaka huu!! Huduma ya Mana izidi kukuwa na kuongezeka Wana WA Mungu
Mungu naomba mwaka huu unisaidie nitimize malengo yangu (nifaulu vizuri) pia naomba uniinulie watu sahihi katika maisha yangu watakao weza kunisaidia na sio kunishusha chini
Asantee Yesu kwa Ajili ya Mwalimu huyu wa Neno la Mungu kwa namna alinenalo neno na kufunua makubwa kama msingi imara ktk Ufalme wa Mungu na ukuu wake kwetu Wanadamu. Mungu wa Baba ktk Jina Yesu mbariki na kumuinua sana,mpe maisha marefu yenye Baraka nyingi na uzao wake na mamia,maelfu ,milioni ya watu wazidi kushika maneno haya ya namna ajabu hivi ktk Kristo Yesu.
MUNGU ninashukuru kwa maelekezo hii ambayo umenipa,Roho Mtakatifu kamata Fasi Yako Na unipe nafasi yangu juu ya watu sahihi Nina waitaji juu ya kusudi ya MUNGU juu yangu BWANA YESU ASIFIWE 🇨🇩
Mungu naomba usimame na mimi niongoze vyema nipe hofu niletee wat weny kujua na kutambua uwepo wako 😭😭 wew ulinijua tangu ningali tumbon mwa mama yangu
Asante Mungu Katika Malengo yangu ya 2025 nliandika nahitaji kupumzika week1 kabla sijaanza ajira yangu mpya na mwalimu umeongea ili barikiwa sanaaaaaaa Hakikaaaa Sijawai pungukiwa Katika madhabahu hi Mungu baba ukanibariki na watu sahihi mwaka wa 2025
Mungu naomba unijalie niweze kufanikiwa kutimiza malengo Yangu ,Ndoa ,kazi,utumishi Naomba uniinulie watu sahihi ambao watasimama na Mimi katika mwaka huu wa 2025
Eh Bwana Mungu naomba uniongoze kwatika huu mwaka ndani ya njia yako . Uongezeke kwenye eliminate yangu maisha yangu kwenye kazi yangu Kwenye imani yangu . Uongezeke eh bwana . Niokoe katika vifungo katika maagano katika viapo katika ndoa niokoe eh bwana
Marudio Mungu nisaidie kuelewa Neno nakutimiza malengo yangu ya mwaka 2025 Pia kumpata mtu sahihi wa kuambatananae 😭😭😭🙏🙏🙌🇦🇪🇦🇪
Amen tajiri mwenzangu🙏
@JoshuaHilgath ndio
@@magetemu barikiwa Tajiriii
@JoshuaHilgath upo sehemu gani Mtumishi Mimi nipo Sharjah
@@JoshuaHilgath ooh sawa Mtumishi
Mungu mwaka huu 2025 ninunue kiwanja nijenge nyumba,kibali cha kiuchumi na mipenyo ya kiroho yote ameeen
Mungu nipe mtaji wabishara naomba ulinzi jua ya bifugo yangu kondoo mbuzi ngombe naomba ulinzi juu ya watoto wangu mungu nipe tergta ya kulima shambani mungu naomba ulinzi juu ya maisha yangu niepushe na mabaya yote hapa duniani niishi maisha yukupendasayo Asante mungu Ameen ameen
MUNGU baba mwaka huu tubariki kwenye kazi za mikono yetu, tuka jenge mijengo ya biashara,nikamalizie nyumba yangu, kipato changu kikainuke, nikamunue alphard ya kazi na pia mgodi wetu ukapate kutoa riziki
amen Amen 🙏
Mungu akupe afya njema na maisha marefu daddy wewe na familia yako kwa jna la yesu❤❤❤
MUNGU naomba mwaka huu niinulie watu sahihi watakaobeba kwenye maisha yangu na pia naomba unipe mme bora akae njia Mungu anipe kibali cha kujua kushona 👗 za aina zote kwa ajili ya utukufu wake
Mungu naukusihi sana uikumbike familia yangu malengo yangu mwaka huu ukayatimilize uniinulie mtu sahihi watakaonisaidia na kuyabeba yake yote niliyoyawekea malengo. Nifanikishe kiuchumi niondikane na madeni. Wadrni wangu na fedha zangu zilipo ziniijiebkutoka pande Nne za Dunia asiwepo wa kuzuia Toka Kaskazini, kusaini Mashariki magharibi isizuiliwe nifannikiwe katika kuitenda kazi yako kwa uaminifu In Jesus Name I pray
Hallelujah, utukufu kwa Yesu milele yote. Tunakuombea sana pamoja na huduma nzima ya Mana kwa ratiba zote za mwaka huu 2025.
Ee Mungu wangu katika jina la Yesu Kristo aliye hai naomba hili litimie kiuhalisia kwenye maisha yangu. Nipate rasilimali watu sahihi
Ahsante yesu kwaajili ya mafundisho haya naomba uniinulie watu sahihi katika mwaka huu watakao nisaidia kutimiza malengo yangu🙏🙏 ubarikiwe mtumishi wabwana🙏🙏🙏🙏🙏
Nimaombi yangu Mungu anipe watu sahihi watakao niwezesha kufikia malengo yangu Mwaka huu.Amen🙏🙏
Mungu naomba niunilie watu sahihi pia nilionao kama ni sahihi ukawadumishe Kwa mapenzi Yako Amen
Nabarikiwa kupitia mafundisho yako.Mungu akubariki na akuongezee maisha marefu yenye baraka tele.Amen
Mungu naomba Toba na rehema unisamahe popote nilipoenda kinyume na mapenzi yako😭😭🙏 pia naomba unipe mtu sahihi wakusimama nae katika mipango yangu 2025
Mungu nisaidiye kunipa watu sahihi kwa huduma, maisha yangu.nakujuwa kuisha kwa neno lako, pia kusikiya sauti yako.ubarikiwe mwalimu Mwakasege.
Mungu wangu naomba katika mwaka huu wa 2025 wakati na mda wa mimi kuolewa umefika naomba unipe mme mwema mwenye hofu ya Mungu ili tujenge familia yetu ya watoto wazuri tena wenye akili nyingi, zaidi ya yote awe mme mwenye maono ya kimungu na atakae nisapoti katika huduma yangu ya Maombi kwa jina la Yesu niko tayari kumpokea wakati wowote maana nafasi hiko wazi eeee Mwenyezi Mungu usinipite ndani ya mwaka huu. Nakupenda sana my Love Jesus!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mungu tenda tena Bwana Yesu kwa ukubwa zaidi
Mungu wangu asante kwa kunivusha 2025.naomba ni connect na watu sahihi 2025.nibadilishe nipe kibali cha kuinuka 2025.nipe upenyo na fursa .ktk jina la Yesu
Barikiwa kwa somo zuri mtumishi wa Mungu,hakika nahitaji neema ya Mungu kunipatia watu sahihi kwenye biashara zangu na mifugo yangu na wa nyumbani kwangu wa ndani ,mana kwa hakika wao ndio chanzo kikubwa cha kusitawi au kufa kwa biashara ,Mungu nikumbuke 2025
Nashukuru Mungu kwasababu neno lako ni uponyaji,ufariji na msaada kila nipitapo kwenye magumu🙏🙏🙏
Asante MUNGU kwa kumfunulia mtumish wako somo hili
Ubarikiwe sana baba tumejifunza mengi sana
Mungu Naomba kibali cha bishara kibali cha ufungaji kibali cha kilimo watu wa kufanya KAZI nao bishara kwa usharu mashambani Ameen ameen
Namshukuru Mungu sana kusema nami kwa viwango vya juu sana kupitia somo hili,Mungu akubariki sana mtumishi pamoja na watu wote walioambatana nawe katika huduma yako,Mungu akuweke uishi mtumishi wa mungu,akujalie afya njema na baraka tele,ninaushuhuda mwingi sana kupigia madhabahu hi namshangaa mungu sana na kumshukuru kwa namna ya kipekee sana ,utukufu na heshima ni zako,nilikuwa nimezongwa zongwa sana kiafya kihuduma kwa habari ya watenda kazi, na kwa habari ya kuuzunguka mlima ,Ee Mungu wa Ibrahim,isaka ,na yakobo jina lako litukuzwe milele ,na sasa niko huru namshukuru Mungu sana
Amen Mtumishi.
Mungu anipatie watu sahihi wa kushirikiana nao kwa mwaka 2025 na kutimiza malengo yangu kwa Jina la Yesu.
🎉🎉 ubarikiwe sanan baba umejua kunivusha kupitia weewe nimemwona Mungu hakika❤❤❤
Bwana Yesu nikumbuke nami nijaze Furaha kwa uso wako. Amen
Hallelujah nampenda sana mwl Mungu ampe maisha marefu pamoja na mke wake tangu nianza kuwa fatilia maisha yangu yamebadilika
Mungu nakushukuru kwa neno lako naomba unipe watu sahihi wakunisaidia kutimiza malengo yangu muwezeshe mume wangu aweze kumalizia nyumba yetu ya kuishi pamoja na biashara ameen 🙏
Ubarikiwe sana mtumishi namuomba mungu anikutanishe na watu sahihi kama ahadi ya mungu kwenye kitabu cha isaya 43:4.
Kiukweli mtumishi wa Mungu nakukubali sana tena sana ndani ya moyo wangu na kinachonifurahisha kwako hakika umesimamia neno tu na sio mambo mengine kama walio watumishi wengi wa sasa barikiwa sana naomba kupitia somo hili maombi yangu ya kupata mme mwema yajibiwa kwa jina la Yesu kristo muumba wa mbingu na nchi
Ameeen Ubarikiwe sanaa na Mungu Mwl.
Mungu nifundishe kuanza nawe na kukuelewa zaidi ...asa Baba mwalimu
Eee Mungu naomba unipe watu sahihi katika maisha yangu wakunidaidia kimawazo katika kufikili kwangu ili niweze kitimiza malengo yangu mwaka huu Amen 🙏🙏🙏
Mwenyezi Mungu naomba unisaidie mwaka huu nijenge nyumba,nifungue biashara hata ndogo tu,mwanangu achaguliwe shule nzuri kidato cha 5,mwingine afaulu vzr kidato cha 2,nipe kutembea katika njia zako nikutanishe na watu sahihi waliobeba hatima ya maisha yangu.Amina
Mungu naomba unionulie watu sahihi wa kuniombea katika maisha yangu na familiar yangu nikaxidi kuwa imara katika imagine amen
Baba mwaka huu unipe mke mwema, tuje tusaidiane kuendeleza kampuni yetu, na kufikia maono ya kiuchumi ili tuisadie jamii na familia zetu, kwa manufaa ya Ufalme wako na Nchi yangu Tanzania. Unijibu maombi yangu 12 nilitukize jina lako
Mungu ajibu haja ya moyo wako
Mungu nakushukuru kwa kunihamisha na kunipeleka Mwandege,asante kwa kumaliza nyumba,asante pia kwa biashara yangu kupanuka na mambo yangu kukaa sawa.
Mungu nakuomba linda familia yangu,ninakuomba uwape afya ya mwili na akili pia waepushe na nguvu zote za muovu shetani zikae mbali nawo🙏🙏ninakuomba ukapte kunibarikia kaz ya mikono yng na ninaomba ukapate kunipa mtu sahii kwny maisha yangu 🙏🙏
Mungu naomba unisaidie kupata watu sahihi wa kunisaidia katika maisha yangu
Mungu naomba watu sahihi wa kunishika mkono kwenye bishara zangu Ameen ameen
MUNGU akubariki mtumishi wa MUNGU
Amina nimebarikiwa mtumishi
Yesu akutunze na kukulinda Baba
MUNGU wa Mbinguni akubariki kwa mafundisho haya
Sifa na Utukufu kwa MUNGU wetu aliye juu.🙏🏽
Barikiwa mtumishi umenipa neno la funguo na mwangazaaa huu mwaka ukawe wangu was kuinuliwa 1:15:37
Tumebarikiwa ktk maisha yetu, kwa uwezo wa Mungu . Amen
Mungu anipe hitaji langu la moyo ninalolitaman siku nyingi Amen
Mungu naomba mwaka huu unipe watu wakusaidiana nao katika kazi na unipe muda wa kupumzika.
Nakupenda Mwalimu Mwakasege.
MUNGU Naomba kwa jina la YESU; nitembee na wewe na watu wako na kusudi lako; roho za kukata tamaa zituachie watoto wako wote kwa kutiwa Nguvu na Roho Mtakatifu.Amen,Amen,Amen
Huuu ujumbe niwakwangu asante Yesu kwa kumtumia mtumishi wako kwa upendo mkubwa kutufunulia mambo ya ajabu nayakushangaza
Hili somo limekuwa langu kabisa. Mungu anisaidie mwaka huu nipande na zaidi yakupanda kusudi lake litimie ndani yangu mwaka huu!! Huduma ya Mana izidi kukuwa na kuongezeka Wana WA Mungu
Mungu baba nakuomba uwawezeshe watoto wangu wapate.kibali na mafanikio ya kazi malengo yao uwakutanishe na watu sahihi ibaba
Mungu wangu naomba mwaka huu niinulie watu sahihi kwenye maisha yangu asante yesu
Mungu naomba mwaka huu unisaidie nitimize malengo yangu (nifaulu vizuri) pia naomba uniinulie watu sahihi katika maisha yangu watakao weza kunisaidia na sio kunishusha chini
Mungu naomba unipe biashara yenye faida 2025 na stahiki zangu zote kazin in Jesus name Amen
Asante mtume Mungu akubariki kwa kukutuombea amen
Asantee Yesu kwa Ajili ya Mwalimu huyu wa Neno la Mungu kwa namna alinenalo neno na kufunua makubwa kama msingi imara ktk Ufalme wa Mungu na ukuu wake kwetu Wanadamu.
Mungu wa Baba ktk Jina Yesu mbariki na kumuinua sana,mpe maisha marefu yenye Baraka nyingi na uzao wake na mamia,maelfu ,milioni ya watu wazidi kushika maneno haya ya namna ajabu hivi ktk Kristo Yesu.
Very powerful sermon
Mungu naomba mwaka huu uniinurie watu sahh ktk maisha yang
Amen mungu akubariki Zaid na zaidi
Mwenyezi mungu naomba kibari cha kupata msaidizi wakutimiza malengo yangu
Mungu wa mbinguno akubariki baba maan Nilikua naan a kusema Yuko wap mwakase
MUNGU ninashukuru kwa maelekezo hii ambayo umenipa,Roho Mtakatifu kamata Fasi Yako Na unipe nafasi yangu juu ya watu sahihi Nina waitaji juu ya kusudi ya MUNGU juu yangu
BWANA YESU ASIFIWE 🇨🇩
Mungu naomba unikutanishe na watu sahihi katika biashara zangu
MUNGU naomba nisaidie nitimize malengo yangu 2025🙏🏻
Mungu naomba usimame na mimi niongoze vyema nipe hofu niletee wat weny kujua na kutambua uwepo wako 😭😭 wew ulinijua tangu ningali tumbon mwa mama yangu
Mungu Baba nisaidie niweze kutembea kwenye mapenzi yako
Kilichozuia 2025 hakitazuia2025 maana ahadi za Mungu ni kweli napokea kwa jina la YESU.
Mungu naomba niinulie watu sahihi
Mungu nipate watu sahihi wakusaidizZana katik mradi wangu mungu ingiria kati
Naomba Mungu nisaidiye kwa mipanga ya mwaka 2025..
Asante mungu kwa somo zurii🙏🏿
Mungu naomba watu sahihi nyumbano kwangu, kazini kwangu hata kwa majirani zangu
amen nimebakikiwa
Mungu naomba nisaide niweze kulijuwa neno lako na unifingulie milango iliyo fungwa 2025 iwe ya balaka nanipate watu wakuambatana nao🙏🙏🙏📖
Waoh..amazing message..barikiwa sana!!
Amina baba mungu akubariki kwa neno zuri limenibariki
🙏🙏🙏🙏🙏🧎
Ee Mungu Mtakatifu nifungue ufahamu wangu
MUNGU uishie milele mwaka huu simama pamoja nami katika kila hatua
Mungu akubariki sana mwalimu
MUNGU wangu ni connect na watu sahihi nipe na mume wa kusudi lako nimeshachoka kutapeliwa😢,,,,🌗🇰🇪🇸🇦👏
Naomba number yako ya simu
🙏🙏🙏🙏🙏
dumu katika kuomba mungu nimwamifu atakupa
utapata fasta
Mungu akutane na haja ya moyo wako katika Jina la Yesu.
Baba mbinguni naomba uninulie watu sahihi wa kuniombea Ameen ameen
Mungu unajua kusudi la moyo wangu naomba usisame nami baba
Mungu naomba watu sahii kwenye kazi yangu ya kupika Tena watu wa kuniongoza kwako mungu.
Naomba Mungu anikutanishe na watu sahihi na mume sahihi
Asante Mungu Katika Malengo yangu ya 2025 nliandika nahitaji kupumzika week1 kabla sijaanza ajira yangu mpya na mwalimu umeongea ili barikiwa sanaaaaaaa Hakikaaaa Sijawai pungukiwa Katika madhabahu hi Mungu baba ukanibariki na watu sahihi mwaka wa 2025
Mungu niweze kipata fedha ya kujenga ukuta kwa ajili ya usalama wa miradi yetu na kupunguza kero za majirani Rose kimaro Arusha
Mungu nisaidie kupata watu sahii
Hallelujah,Ameen🙏
Pianist anaondoa flavor ya music. Music ni ibada. Tafadhali, piga basic.. hasa unapopiga hymns.
Eee mungu wa majeshi,Ninakupenda,uimidiwe Milele,mwaka huu wa 2025 ukafanyike wa mafanikio kwangu na jamii yangu.
Asante Yesu wangu kwa neno hili la wakati halleluyah
Mungu atuwezeshe bila. Yeye hatuwezi 🙏🏾✍🏿
WAOOO AMEN MWALIMU WETU
Ee Mungu nitwalie watu wakuni shauri kwenye huduma yangu
Mungu naomba unijalie niweze kufanikiwa kutimiza malengo Yangu ,Ndoa ,kazi,utumishi Naomba uniinulie watu sahihi ambao watasimama na Mimi katika mwaka huu wa 2025
Marudio Mungu nisaidie mimi na watoto wangu tupate kupata watu sahihi tuweze kutimiza malengo ya mwaka huu
Hakika Mungu ni mwema wakati wote❤