Mfungwa aachiliwa huru baada ya kukamilisha kifungo cha miaka 24

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2022
  • Sababu kuu ya kuwepo kwa magereza humu nchini ni kuhakikisha kuwa yamerekebisha kwa njia ya haki wale wote ambao wametenda uhalifu. Decidelio Murioki hatimaye amekamilisha kifungo chake cha miaka 24 katika jela ya Voi kaunti ya Taita Taveta. Familia yake imempokea vyema tayari kwa maisha mapya.

КОМЕНТАРІ • 60