| MAKASISI WABAKAJI | Wasichana wakiri kubakwa na makasisi
Вставка
- Опубліковано 25 тра 2019
- Maeneo ya kuabudu ni maeneo yanayofaa kuwa takatifu, maeneo ambayo bila wasiwasi wowote utamruhusu mtoto wako kutembelea wakati wowote. Lakini tafakari haya unapokea taarifa kuwa mtoto wako amenajisiwa na pale unapokimbilia maafisa wanaoshughulika na masuala ya watoto badala ya kukusaidia wanakuambia ushahidi haupo na itabidi umrudishe mtoto wako anajisiwe mara ya pili ili kupata ushahidi. Huyu hapa mwanahabari wetu Purity Mwambia na makala ya maalum ya upekuzi 'makasisi wabakaji' #MakasisiWabakaji
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
plus.google.com/+CitizenTVKenya
/ citizentvkenya
Good job Purity. Probably the only proffesional journalist i recognise in Kenya. Majority choosing to follow politicians around glorifying them.
People r hiding behind the name of God but whatever is done in darkness shall be brought in daylight.. You will all pay for this😢😢😢😢
U4piiiiiiuiiuuiuiuiiiiuiiuiuiiiuiiiuipiuuuuuuuuuuuuiuuuuuputtt5ttu556piiuouuttt000000
Purity mwambia in reporting has really grown up. Kudos
purity mwambia the professional journalist we all yearn for
People should not take advantage kwa yatima, am very upset with this, coz they know no one to fight for there right
Alhamdulilah, naomba Rais Uhuru Kenyatta awafunge maisha ndani jela, mungu awahifadhi watoto wote InshAllah heri roho yangu yaniuma Sana analia Sana machozi yanitoka😭😭😭
Kama kenya hakuna sheria hata Uhuru atafanya nini
Satan. Jolejo na joroho kumbaff Sana, mbona Uhuru anaacha this fools
Uhuru at a hawezi shugulika
Kwani Uhuru ni hakimu
Mlevi huyo na bhangi
SubhanaAllah...Nahisi kama Huku Nuru ya Mtume Muhammad (S.A.W) haijafika....
Huyo mtume Kwanzaa ndo alikua worse ,alioa mtoto wa miaka 6 akamwingilia akiwa miaka 9 ,come on ati nuru ya mtume ,soma vitabu vyenu .
please mind your words Mr cz you don't really understand what you are talking about😐😐ubhanaAllah m
This is so painful and unfair!! Where are we heading now??
Painful and shameful... Nowadays never trust anyone.. Never 😭
Nowadays trust Only GOD
Only God we can trust plzz my dear friends
We
@green acre Amen AMEEN In God we trust
.
,
That woman needs to be locked up forever.
Yes
She makes me feel ashamed for being a woman, I hope she doesn’t have a daughter, sister,mother ,niece , aunt or any female relativ. Haki she is a devil very heartless may karma catch up with her someday
I truly hope justice was served. An evil society we live in!
How does one get the audacity to touch such innocent kids while Kuna watu hata wako biashara kujiuza...tena wanaapa in Jesus name really.Good job Purity
Washenzi wakubwa hao wanaume. Alafu wanajifanya Mungu, Mungu. Kamata wote funga maisha. Mashetani wa kubwa.
GOOD JOB MTANGAZAJI NA CITTIZEN KWA UJUAMLA
Just knowing of this today. Citizen you can do an update. Justice only happens when such people are followed up. Thank You for sharing this.
Two places to avoid in a 2019 and beyond. Church and prison
Ati mtoto abakwe tena😭😭😭who gives such an advice
U
Kenyan police
Gai pepo cristin
there have always been suspicion on the activities that these kids do in this church during the night in the absence of their parents ..this is just one of the few cases that came out.
Why does justice take too long to be done to such cases 😪 😫 😒, it's really hurting
May God rescue this generation 😢
That senior officer just disappointed the government 😢
You can cheat human beings but you cant cheat tha ALMIGHTY....
Ata ukiapa mungu anajua chenye ulitenda
Mungu mwambie asisimame mbele ya madhabau yako
Purity you are doing a good job God bless you
where are we heading as a people. a place of comfort ,refuge and prayer turns out to be a den of evil men preying on young kids. its utterly shameful.
Wat goes around comes around...kila mtenda wamwenziwe nawake atatendewa..mungu halali.
God protect our kids out there #966. May just prevail for this innocent souls.
You either serve a good who sends child rapists to rape children or you have a god who simply watches and says. ‘’When you are done I’m going to punish you...
If i could stop a person from raping a child ,i would .That’s the difference btwn me and your god
:tracie Harris.
@@mateliud26 God gave human beings free will. And evil to God includes fornication, adultery, using his name in vain, lying, basically the ten commandments and more. So if he was to stop evil, we would all be dead. Nobody is good only God. How many times have you lied, used his name in vain or done any other sinful act. Next time you wake up in the morning know that despite your evil deeds, remember God still loves you enough to let you, everybody in the world and I live.
Purity mwambia congratulation on what you are doing ur the best en keep it up I truly love your job en don't stop
Salalahhhh. Masaibu ya wakiristo
God bless you purity yuo are doing a good job
Trust no one with your child.
Nanyonga pastor wallahi....kesi baadae. Nimekasirika sana.
Wallai hata mm siwesi spear
Mungu shuka wewe mwenyewe, usitumane
😂😂😂 Martin mola ayabwna
You must be so foolish my friend shme on you! 🙊
Ni jambo la kuhuzunisha. Lakini umenichekesha. Mungu haleti mtume (aliyetumwa) mbaya. Suali la kujiuliza ni - je hawa watume wengine ni wa kweli?!
@@Ali-nl2du kama nani
AstaqfiruAllah
SubhanAllah 😭 Kenya yetu yaelekea wapiiii 😭😭
My God I can't hold my tears 😭😭
We pray justice to prevail, Christine is very rude achukuliwe atua pia.
Janet lupamo watoto wa siku hizi ni digital sio kama kitambo, Fanya umalize shughuli yako kwake bora usimmalize, Latter utatambulika atakusema
@@faithligaka7619 , Christine ni huyo Children Officer huyo ameambia mtoto arudi abakwe tena ndio apate evidence
Maybe I'm understanding Christine from a different side of the coin... You'll end up taking this Kasisi to court of law with no evidence...
janet
Subhanaallah ewemwezi mungu tusitili ana haya yanatokea duniani jamani 💔💔 Makanisa yamekuwa ndio haya aminiki kabisa tena naukimuona mtu anaapa kwa jina la mwenyezi mungu kila MARA ni mtu mbaya sana kumshirikisha mwenyezi mungu kwenye upumbavu wanaofanya
God bless you purity and citizen TV
God Show us The right ways🙏
Good job purity you're blessed
God bless you for helping those girls. GOD please have mercy
May God bless you purity.
It's sad & shameful 🙆 they need to be locked up forever
that why I say no pastor shall lay hands on my children ati ni kubariki ata sambaza this evil powers to them
Mbonaa yule Mama hajashikwa?aliyesema mtoto akabbakwe Tena ili ushahid upatikane hao ndio wanaofuga unyama huu kama Tz hata huyo Mama ana kesi yakujibu
I hope that Evil Christine isnt working at the institution, good job purity
Officer Ruto..ur good man representing the law before workin in dandora..keep up the good work
Hii dunia inaelekea wapi jameni. 😭😭😭😭😭😭😭😭
Binadamu tumekuwa wabaya kuliko wanyama wa mwitu! Wazazi, tuwache kuamini Hawa makasisi. Watoto walio dhulumiwa, poleni Sana.,ni sisi Wazazi tuliofeli kabisa
wee ile siku utakutana na crocodile ukiwa kwa boat ndo utaproof kenye unasema....anyway, binadamu wanaendelea kuharibika zaidi....so sad
Thank you our media houses for bringing this to live God bless you.
Sifa za kanisa LA uongo ni uzinzi na uuaji.Ukiona kanisa lenye kashifa ya uzinzi kimbia ufe maana Mungu hakai na watu hao.Alivyo baba ndivyo alivyo na mwanae.Utasikia MTU anasema dini ya wazazi wake.Sanamu kibao kanisani na nyumbani,mtaachwa kubakwa.Njooni kwa Yesu acheni ushamba.
Linus kaikai comes into this ....when he raised the question on vetting for pastors ...some of them came out threateaning him that he should concentrate on his work and leave things that dont concern him...its high time we start vetting them and get educated people
God have mercy on our children
Amen only God can protect them
Purity Big up Dadangu Mungu akulinde akupe maisha marefu
Purity mwambia nakupenda dadaangu
Trust no-one but love everyone
Christine inafaa ashtakiwe mara moja .
dah ww mtqngazaj hua nakukubali sana tena sana good job my😘
Wonderful story to listen and watch
My goodness this are things that makes my blood boil.
Lord God protect our kids
Amen
God have mercy too painful
Pole sana
Purity mwambia i lyk the u do your coverage
Well don mwambia nikiwa hapa kwenu laare
See Mungu tusamehe! Wajalie watumishi wako wakujue kweli kweli na waache tabia mbaya ya kishetani ya kunajisi watoto! Wape uwezo na maarifa viongozi na mamlaka za kisheria kutenda haki Bila kupindisha.
Am out of words, people swear in God's Name .They don't even fear God, His Name and the power in God's Name
Hello God u still there the same place do something to our kids fight for them let justice prevail please Lord why
Faithless clergy , Lord have mercy on us
Daaah imenium sanaaa
pole sana mama pamoja na binti yako.matendo haya yamekidhili sana katika kanisa hilo.Mungu atusaidie sana.hawa wanauo fanya hayo selikali ishike mkondo wako
This is utterly in despecable
So painful running away to a hyena in the name of kasisi.....😪😪
Mwenyezi Mungu anatwambia tokeni huko kwao maana thambi zao zimekuwa nyingi mpaka zimefika mbinguni. Tokeni msije mkapunishiwa na wao. Mnaenda kufanya nini huko wanafanya upuzi na zile pesa mnazo wapatia za sadaka mkijiacha bila kitu. Ombeeni manyumbani kwenu. Watu wametoka ka hilo kanisa lakini nyinyi Afrika hamtaki kuamka.
Surely madam officer!!! Surely!! I hope unalea watoto wako kwa planet haina wanaume..remember no one desires to be an orphan na hii tittle ya orphans kesho kesho watoto wako pia watatusaidia kuibeba....for the this men...i HV no words to describe my disgust "men of God" indeed....!!!! Mscheewwwww!!!
Nice work purity kudos 👏.....this are the people who need to be senteced death or life prison
😭😭 mtoto arudishwe kufanyiwa unyama dah! Kuwa mtoto yatima ni shida jamani. Hawa wanaume wananini jamani. Wazazi tuongeeni na wanetu maana wanawatisha watoto wasiseme ukweli.
Keep it up...purity mwambia
Keep doing good job
Our court system is very poor needs alot of effectiveness and independence
No words 😭😭😭😭😭😭
Inauma sana mwanaume na nguvu zako waenda lazimisha mtoto mdogo kufanya kitendo Cha mapenzi . Halafu nyinyi wazazi kwanini hamchunguzi Hawa wanaojiita watumishi wa mungu. Mahali alitoka na familia yake iko wapi. Image yeye nimtumishi na hajulikani hata familia yake ndugu ama dadake. Halafu anakua kiongozi wa kanisa . Unakuta wamama wanamuamini mtumishi huyo mpaka wanampea watoto wao ili wafundishwe dini .
Wah mbaya sana
Kudos purity ...great work
Inauma Ila nimecheka et nimempeleka kwachui akuliwe huko haha
Hii ni painful Sana 😭😭😭
These are the days which Jesus said "That the days will come when people will stop going to Jerusalem to seek God but they will worship in the spirit and Truth , People of God be wise.
gud job mtangasaji
May God intervene and protect our children
No, you intervene. It starts with you
Hii tabia hadi lini itakuwa kenya Mara kuku Mara wakasisi hii ni mapepo
watu wa yesu hao..mashetani watu
Mahali popote mungu yupo ukimuomba anakusikia heri niombe kwanyumba yangu nafamilia yangu
Yani mtoto aendlee kunajisiwa,unakula na huyo pastor nini,unataji fimbo haki
Legion maria is not a church but a cult, calling those guys kasisi is wrong!
I second You collo
But Collins what's the difference between kasisi and ocults
I second you
Not only Legio Maria but all churches.Look at what is going on in Catholic Church
@FaizHussein I think it's not only the church as PA say but all these immoral values cuts across all religious groupings... Remember we're putting our trust in men too much.
So sad that Purity Mwambia was hunted like a criminal by the criminals she exposed until she had to flee the country to the USA where life is so hard!
May God Almighty protect and provide for her
These things are happening in many churches and unfortunately the parents who are worshipping in the same churches are encouraging it because of money the children are given. If the act becomes public and police are informed, they are given money so protects the Church readers and so the the problem continues.
PPb dr
Mighty God please Lord protect our children always so sad
Pray for that person
Life is a melody,
Mtoto amezaliwa,ako na five yrs,DNA (mara mbili)ni wazi kuwa mtoto ni wa 'kasisi' na bado hajafungwa.Yesu kumbuka hawa watoto uwatete kwa haki na ukweli.
God have mercy 😥😥😥Ooh God My heart is bleeding
😭😭🙏🙏
This center should be closed with immediate effect. The operators are not professional at all.
If DNA was done and proved the baby is for the pastor what's the judge waiting for to rule out the case. Qatar
Ghai mungu tuhurumie ss na dunia nzima.Tafadhali hii kanisa ifungwe katika jina la yesu kristu.hyo mtu Afungwe gerezani.🤔
Uyu mbaba mzeeee ivi jinga type 🏹🏹🏹
Am sorry Kenyans 😢😢😢.