Wakaazi 100 kutoka Mwatate wasema kuna njama ya kuwafurusha kwenye ardhi yao

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 тра 2023
  • Wakaazi 100 kutoka eneo la kamtonga eneobunge la mwatate kaunti ya Taita-Taveta na wanaopakana na Ranchi ya choke na kutima wametibua njama ya kuwafurusha kwenye ardhi hio. mzozo wa mpaka kati ya shamba kubwa jirani na mashamba yao unatokota huku wakazi hao wakilalama kuwa kuna njama ya kuwapokonya ardhi ambako wamekuwa wakiishi kwa zaidi ya miaka 40.

КОМЕНТАРІ • 1