Wakazi wa Mshomoroni wavamiwa na genge lenye silaha
Вставка
- Опубліковано 2 кві 2024
- Watu watatu wakiwemo watoto wawili wanauguza majeraha katika eneo la mshomoroni eneo bunge la kisauni kaunti ya Mombasa baada ya kuvamiwa na genge la vijana waliojihami kwa mapanga na silaha butu. Genge hilo la vijana 30 linadaiwa kuteketeza nyumba mbili kabla ya kutoweka usiku wa kuamkia leo.
Polisi wa mombasa na wajua vizuri sana, kazi ni kuchukua ongo magweni. Bangi yauzwa mtaa mmoja hapo kongowea adharani, mombasa wale wanauza bangi ata hawafichi kwa sababu wanakula na polisi, hao polisi hadi wanamiliki magwe za kuuzia pombe haramu, vijana wako idle sana mombasa, kuanzia asubui mpaka jioni utawapata mitaani nyuma ya mijengo wakivuta bangi, mombasa yote usalamu umekuwa ukitishiwa sana, kwanza Diani police station, mikindani police station, makupa police station, nyali police station ni ovyo kabisa😢😢😢Diani ata vijana wakishikwa wazazi wao mida ya saa kumi na mbili uwa wamefika na elfu mbili kuwatoa waendelee kuibia watu. Niliishi mombasa na najua haya ni ya kweli, government must do sth. Mombasa is becoming another dandora or kayole little by little.
Bangi sio chanso cha uhalifu. Jambazi anategemea bangi au silaha. Bunduki anatoa wap
Imagine your child being attacked by neighbor A and another neighbor's child is being attacked by neighbor F. Then you decide to go and help the child being attacked by neighbor F. ''They're really on top of things''
Why should innocent people killed
" Hiyo si wizi/ Ukora tena ni chuki!! Naona siasa ndani! Nimesikia mara nyingi kwamba: Mishomoroni si yetu tena, mkalee anataka kuwa Mca kwetu, biashara nyingi niza watu wa bara!! A very dangerous language/ recipe for violence, na 2027 inangoja!!
Poleni! Lakini kama ni vijana wa mtaani chukueni viboko muwatandike
😢😢these kisauni gangs are a menace
hao magaidi dawa yao ni risasi
Game short
Kama wamefanya uyo mama ivo mbele ya watoto wadogo aki wauliwe hao vijana fck bana haya ni maonevu imagine hao watoto sai wanajiskiaje
Waachilie Ahmed Rashid apelekwe coast..afagie hawa watoto
Ni nani ..
😢😢 Hawa ni waekwe chini mojamoja,juu even innocent kids will suffer for their sake now 😢😢
Pole sana
Incompetent inspector general
Anajuwa tu kuuwa watu wa ODM wakiwa maandamano.
Kupunguza maafa ni sheria iwekwe ya kuua wakora wanaosumbua watu hivi
That is how Haiti choas started
Uuuuuuui I commented yesterday same comment bt different platforms
The way things are happening is like thugs have a field day. In Nairobi,if you have not lost your laptop,phone or bag you are very lucky.
Westlands is worse with the boda boda thugs
Mmeskia alichokisema huyo mama. Wanawajua hao vijana ila wakiwaripoti kwa polisi watakujiwa na hao vijana. Kwa hivo inabidi kimya. Ina maana genge linashirikiana na polisi kufanya uhalifu. Iweje mtu aripoti kwa polisi kuhusu uhalifu mara akujiwe tena na wahalifu wenyewe? Ni Polisi ndo wanataarifu genge mtu aliyewaripoti.
Wakifunga shule tu hao watoto wanaanza
Apa ni marwa ndio aliweza
Yaa, by the way Marwa alienda wapi? Mombasa was a great place with security
Apo kwa bangi umeharibu ,Wana mix na cozpam ndio wanavuta na vibugizi
Kwani GSU wako wapi mbn era ya Uhuru ao vijana walikua wakiekwa Tu Chini one by one
sa kama ruto mwenyewe mkora kwanini serikali yake iwe na watu wa ngwana broo like father like son
Poleni jaman
Kenya umeharibiwa na Madawa ya kuleviya na Bangi na pombe halamu, Mihandarati. So Government should do something about this issue.
Mishomoroni kunakuwaga na 40 brothers kila tribes frm before
Serikali kuondosha mugokaaa kuletwa mombasa ,we need job not zombies
Na junda police post iko hapo juu tu
Polisi wanalala
Hao ni watoto wenye wamefunga shule hakuna na wanajijuwa
sio vijana ambao wamefunga shule awa watoto ni wale wako mitaani awa watoto ni hawa wenyeji waungane na sio polisi
Kaa hujui mambo na mshomoroni ni 40 brothers frm before ok sio mambo na shule
@@luckydubebello1131 40 brother wa nini awana umoja watu wa visauni awa ambao mwawaita 40 brother walikuja maeneo ya kuvuka Feria miaka kumi ilio pita wakambiwa awawezekani mbona watu waliungana waliuliwa kwa dakika 30 wote walikua marehem nao awajakuja wengine mpaka kesho kutwa mbwa hao
Koome uko wapi.kwa nini msishike hao vijana na wanajulikana.poleni watu wa kisauni.wababa mshikane watu 20 na polisi tano kila mahali. Mhangamize hao majambazi.waliua shemeji.siku yao itawafikia
Risasi ndio dawa ya wezi
Waswe wakisema majina yao
The problem is a name