Waume Bwege? Wanawake Voi Walalama Hawatimizi Majukumu
Вставка
- Опубліковано 20 тра 2014
- Wanawake wasiopungua watano hufika katika afisi za utawala eneo la Voi kila siku kuwaripoti waume zao kwa kushindwa na majukumu ya kinyumbani. Mkuu wa wilaya ya Voi hamasi shivogho amefichua kuwa idadi kubwa ya wanawake hawa ni wale wanaowaripoti waume kwao kwa kosa la kuwa walevi chakari na hata kushindwa kuwatimizia tendo la ndoa.
Mie alhamdulilah namshukuru mola manani pombe niliacha miaka 5 yaliopita na ata nilipokuwa nakunywa nilikua namsugua mamamtoto kilasiku sikua nakosa ata siku moja kwaio tafuteni sababu yengine sio pombee
I have 2yrs tangu ni wache pombe now days Niko perfect hata nasaidia majirani because I am strong
Njoo western kwa waluyia waape squad no complains at all
I was 15 years old when i first heard such complains from this community! Sad to hear the same 45 years after!
wanawake wa voi waitishe backup huku kwetu
A very serious matter n something must b done to da safe da community
Marriage is by choice period by Steve Irungu Jermaine
i would ratherlive alone period by steve irungu jermaine
nani alicheka pamoja na mkuu wa wilaya?
Tuko pamoja
Wake akikisha mume anakula vizuri ata pombe haitasababisha hiyo shida.
mtapatia DC kibarua ngumu haki.
Nipate mmoja
Ukweli ni kwamba uchumi wa voi na taita -taveta kwa jumla uko chini sana ,very difficult to raise a family, apart from government where else is employment ?? ,the main market for farm produce is in mombasa ,all elected leaders need to think outside the box and come up with policies that can change the economy of Taita -County ( Samboja has failed , let us try mwakesi )
I am looking for work. I am moving to Voi right now.
Wakuje kakamega na kisumu
Waleteni huku Tanzania hao wanawake kama hamuwawezi
Umeona
Kujieni beggars wenye wamenjaa kwa streets huku Kenya
Lawama si pombe pekee! Lakini wengi wao ni wazembe hawataki kujishughulisha, hali wana midomo mikubwa kuwapuuza wenye kujaribu, wapo ambao ni walevi lakini wanatimiza wajibu wao, kwa familia yake.
daah mbna mm nna mseto snaa
dc awacheka
Wakuje Migori
Ama contacts zitaweza
Hata Mimi nilisaidia watu was maweni Niko na mtoto pale
Huyo DC achekaa chekaa ovyoo tu upuzi
Its 50/50 kwa majukumu,
Hahaha. Aiiii aibu kemkem
Masikini wanaume wavoi
Mbona miraa haijatajwa na ndio calprit mkubwa
Akuna lishe bana achana nakusem pombe hawali chakula boro
Nikuje na DJ Afro
oohh my god
mje mnikodi mm huku tz niwashughulikie . wengine tunatafuta wanawake wakufanya nao huko mnawachezea. Nikita huko naweza nikawa nap hata Nia na nikawashughulikia kweli kweli
The problem here is not alcohol ,it is poverty
Hhhha waume wakitaita mwamalizwa nambangara
Kwani DC atageuka mabwana zenu?
Mutembelee mombasa kiasi mupate dawa na mrudi home
Hehee... That County Commissioner
Pombe voi Kwanza maweni na tanzania
Wanaume Wnataka usaidizi voi.niko tayari
TBC
Niko apa kum kama mpango wa kando
Aibu ya pombe
you cannot force the animal 2 drink H2o
Courtnet Welch
Waache wakunuwe naja mimi
Hahahaha
Becky Beto kuddos
..
@@courtnetwelch7294 jmnjkooo0009ì99⁹ppplllll
wapeleken home pemba mtarudi mmezikamata mikononi mwenu izo
Destiny 4life 😂😂😂😂
Aibu ya pombe