Julius Wambua aliachiliwa akitumikia kifungo cha maisha gerezani Kamiti

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 гру 2020
  • Julius Wambua aliachiliwa akitumikia kifungo cha maisha gerezani Kamiti
    Ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma itaamua iwapo kesi itaendelea
    Binti ya Wambua alikiri kuwa alimsingizia babake kuwa alimnajisi
    Wambua asema amewasamehe mkewe na mwanawe, ataka waishi kwa amani
    Mkewe Wambua asema hajui Wambua amemsamehe kwa kosa gani

КОМЕНТАРІ • 179

  • @lilialilychiku2126
    @lilialilychiku2126 3 роки тому +254

    Wangapi wameona kazi nzuri ya bi lulu? Mpe like kwa kazi nzuri.

  • @nambasaashamiah9070
    @nambasaashamiah9070 3 роки тому +54

    This man will see the heaven 🙏🙏

  • @osmedhospital5236
    @osmedhospital5236 2 роки тому +49

    Citizen should organise fund raising for this man to start a new life again lets join hands and atleast we contribute hellp our people.

  • @melissahnasiche187
    @melissahnasiche187 3 роки тому +40

    You're one in a million may God bless you wambua🙏🙏🙏

  • @dionisiakaimuri8296
    @dionisiakaimuri8296 3 роки тому +55

    Wambua please leave this lady she dont love you. After you're good man God will give you another wife.

  • @blessings.f
    @blessings.f 3 роки тому +42

    It’s a pity that you need the media for justice to be done. God help our system

  • @annanmaramba4472
    @annanmaramba4472 3 роки тому +30

    Do not try to get that woman again brother, utajipata pabaya one day

  • @happyone5537
    @happyone5537 2 роки тому +13

    May God repay you the years you lost. Be blessed Mr Wambua.

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 3 роки тому +9

    Wewe ni tajiri sasa...andika kitabu utapata pesa nyingi hacha kulalamikia umaskini...una story nzuri sana nimekuwa nikifuatilia habari yako na machozi yalinitoka baada ya kuona umeachiliwa....I will be the one 2 buy...

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 3 роки тому +19

    Huyu mzee atauwawa tu na yule mwanamke wake, kama aliweza kumfunga izo miaka yote asiwe na huruma wa kumtoa jela, 🤔🤔😭😭😭😭😭

  • @hellennasambumasibo917
    @hellennasambumasibo917 3 роки тому +3

    Amen ule juliasi ni baba mwema sana mungu ambariki na muongesee miaka jinzi alivio muongesea Ayubu

  • @SmartS254
    @SmartS254 2 роки тому +9

    Citizen TV please let us know how Mr Wambua is faring. I am personally concerned about his life after prison

  • @bonnybonny8403
    @bonnybonny8403 Рік тому +14

    Forgiveness is an lame excuse for guilty people to continue hurting others. In this life whatever you do to others you will pay.

  • @johnkimani7944
    @johnkimani7944 2 роки тому +7

    Man, you're one of a kind; I however feel so sorry for your daughter who was involved in this

  • @allanareba3999
    @allanareba3999 2 роки тому +6

    Tuwache mchezo uyo Mama Dorcas anafaa akue Langata Sasa hivi

  • @pp8100
    @pp8100 3 роки тому +13

    Wambua huyo alikuwa bibi yako but sasa hivi sii bibi yako... Aliyekuzaliya wanawo hayimanishi ni bibi yako kama hauja mwowa.

  • @henrybitok8504
    @henrybitok8504 Рік тому

    Lulu Hasan Mungu akusaidie sana na akuelekeze uwatafute wengine uwahoji ukweli ijulikane waweze kuachiliwa pia Kwa kuwa kuna wengi wamefungwa bila nakosa Kwa kuzingiziwa.God Bless you.

  • @christinebelinda3498
    @christinebelinda3498 3 роки тому +3

    Nakutakia maisha mapya julius wambua Mwenyezi mungu akulinde & be strong

  • @josphinewere6759
    @josphinewere6759 3 роки тому +7

    Upande wa Bibi yako please please toka huko kabisa, unaeza zaa ata na chokora haimanishi ni Bibi yako ama bwana yako, wachana na huyo mwanamke kabisa endelea na maisha yako na watoto wako, ukimrudisha Kwa mwili atakuja kukuwua

  • @muthamamwololo
    @muthamamwololo 2 місяці тому +2

    There is God in heaven 🙏 He sets his people free

  • @ishmaellj8512
    @ishmaellj8512 3 роки тому +19

    sue the government if you don't you are leaving a gap that they may do the same to others. probarbly there are others like you who havent received a chance to share their stories. Besides; now that you dont have any income it will be hard to jumpstart your life.
    sue the broken system that ruind your almoost 10 years of life.
    forgive your wife but let justice have its way too

  • @mohamudomar7050
    @mohamudomar7050 2 роки тому

    Citizen tv wame fanya kazi ya roho juu kuwa kutopoa kesi ya julius. Thanks Citizen tv

  • @PurityWanja-fq8ew
    @PurityWanja-fq8ew 2 місяці тому +1

    Lulu God bless for that good job you've done.

  • @DjFKenya
    @DjFKenya 2 роки тому +2

    Lulu ulifanya kitu y maana sana wacha mungu akuongeze siku mingi y kuishi hpa duniani

  • @lynelee5846
    @lynelee5846 3 роки тому +14

    Forgiving is a must but reuniting is another tradgey

  • @lynelee5846
    @lynelee5846 3 роки тому +1

    Kuota umerudi shule ni maisha yako yamerudishwa nyuma Mungu akukumbuke sana..

  • @gasparchuma8169
    @gasparchuma8169 3 роки тому +5

    Achana na huyo mwanamke akijitokeza atakuua move on na maisha yako

  • @fredericcomonguzzi9652
    @fredericcomonguzzi9652 3 роки тому +12

    Mpesa tumchangie

  • @catejay2965
    @catejay2965 3 роки тому +4

    Thanks lulu hassan God bless u

  • @shufaaesala3511
    @shufaaesala3511 3 роки тому +4

    Inshallah mungu atakuongoza wambua.

  • @frolidahaule2941
    @frolidahaule2941 3 роки тому +2

    Kwanza niwapongeze timu mzima yaTv Citizen kwa kazi nzuri, lakin mzee wangu Wambua suala la kumsamehe aliyekuwa mke wako ni kwema. Lakin silingi mkono habari ya kurudia a naye naona kabisa awamu hii atakuua

  • @alimwinyi7370
    @alimwinyi7370 Рік тому

    Mungu aku bariki Mm lulu Hassan akupe umri mrefu wenye baraka kwanzda doa yenu iwe nabaraka tele tele...

  • @bostonogoti1460
    @bostonogoti1460 2 роки тому

    Asante sana LuLu,aki umetoa uyo baba mbali sana mungu asidi kukuongezea maisha safi

  • @denomaluki5644
    @denomaluki5644 3 роки тому +2

    Mungu abaraki Dorcas. Alisaidia sana.

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 3 роки тому +7

    Mzee msamehe mkeo lakini usirudiane naye kwa sababu mpaka sasa anaonekana hana nia njema na wewe

  • @jacklinebrian6716
    @jacklinebrian6716 3 роки тому +12

    Hapo kwa bibi hapana🙄🙄🙄

  • @lucylight9341
    @lucylight9341 3 роки тому +10

    Forgiving your wife en even admiting you love her more shows you are truly mature in your faith and thenx for knowing that it happened for a reason well known by God himself 🙏🙏🙏

    • @michaelbuoro3015
      @michaelbuoro3015 Рік тому

      It shows stupidity

    • @monicalewisky4925
      @monicalewisky4925 7 місяців тому

      Forgiveness doesn't mean getting back together.Someone who framed you with such magnitude of a case ,not to mention the humiliation that comes with it is capable of anything. If he dares to go back to that woman his fate is already sealed

  • @millicentmwangemi7711
    @millicentmwangemi7711 3 роки тому +5

    Aki mungu n mwema sana

  • @Makaufestus
    @Makaufestus 3 роки тому +3

    God bless.God bless HOPE Evangelist ministries Kitengela under Bishop Richard Ambundo for praying for Dorcas and julius wambua release.

  • @bednarekbaloyes
    @bednarekbaloyes 3 роки тому +25

    just forgive her but dont get back into a relationship with her

  • @Kimani_njoroge
    @Kimani_njoroge 2 роки тому +2

    God is good thanks 😊 give julus good health and mind

  • @Patrick-wz8cl
    @Patrick-wz8cl 2 місяці тому

    this man ako na roho safi ,jaji dci,bibi hawafai kuwa uhuru

  • @unclejonah7350
    @unclejonah7350 2 роки тому +3

    ndo maana mm upendo wangu n kwa Mungu tu

  • @Goch46
    @Goch46 3 роки тому +7

    Anafaa alipwe fidia. 10yrs jameni.
    Ati anampenda bibi yake sana 😂😂😂. Huo ni mchezo mingi sana Bwana Wambua

    • @sussykoinange3091
      @sussykoinange3091 3 роки тому

      Nashangaa how MTU anakuingiza jera then unamsamehe kivipi? Better awachane na huyo Bibi kabisaa

    • @Unclesam00001
      @Unclesam00001 3 роки тому

      Hahahaha

    • @blessedfaith4664
      @blessedfaith4664 3 роки тому +2

      Kusamehe so taabu na pia hurahisisha hali ,,,having a grudge may make the situation go from bad to worse ,,,,ila he doesn't need to have her back ....next time aneza mchinja ka kuku

  • @julius795841
    @julius795841 Рік тому

    God job lulu..... U have freed this man

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 3 роки тому +5

    Hapo ni sawa wambua but move on achana na huyo evil woman akirundi sasa atakuua kaa mamake hataki kuongea just move on

  • @whatsgoing2822
    @whatsgoing2822 3 роки тому +5

    may God protect him against that evil woman,n provide for him

    • @josphatngewa6633
      @josphatngewa6633 3 роки тому +1

      Julius wambua kwanza nakushukuru kwa kumsamehe bibi yako,ata Mungu atakubariki mpaka ushangae,lakini usiwahi hata siku moja kurudiana na yeye?pili napongeza msichana wako kwa kuongea ukweli,Mungu amubariki sana kwa hekima yake.

  • @sheilamjune1233
    @sheilamjune1233 3 роки тому +2

    Good is good God blesse you father be blesse more 😭😭🤔🤔🤲🤲🤲🔥🔥🙏🙏🇰🇪

  • @bernardmusyoki1205
    @bernardmusyoki1205 3 роки тому +3

    May God give you a new beginning.

  • @evaluna4318
    @evaluna4318 3 роки тому +5

    God answered his prayers after 10 years? There is God who i trust in heaven, he will answer me too.

  • @patrickwachira5380
    @patrickwachira5380 Рік тому

    Thanks to much for our citins media surely they help this..family so much thanks to much to pray this part throu our God to save this man..and this family thanks.

  • @FerraidFerraid
    @FerraidFerraid 3 роки тому +4

    Natamani wanadamu wote wangekuwa na nafsi kama ya huyu mzee 🙏

  • @geraldmakalala6091
    @geraldmakalala6091 11 місяців тому

    Umeonewa Sana ,umeumia Sana, miaka kumi jela bila hatia inauma sana

  • @AngelineMorwabe
    @AngelineMorwabe Місяць тому

    I am just happy for this man

  • @stevek8318
    @stevek8318 Рік тому +1

    Lulu Hasan, she looks compassionate and so caring

  • @brendahnyerere2190
    @brendahnyerere2190 3 роки тому +2

    Mungu akupee nguvu

  • @benjohnson1763
    @benjohnson1763 3 роки тому +5

    Kalembe akupe tittle deed ya ile shamba alikupa kabla uanze kuidevelop

  • @dominickowino9580
    @dominickowino9580 2 роки тому +2

    I remember the story of Paul and Silas. Surely I say I have never seen a man like Julias in the current world. I only read this from the Bible.!!

  • @pstianyuko5104
    @pstianyuko5104 2 роки тому +3

    Forgiveness is key, Thank you sir Julius.

  • @gesigaaamohamed3129
    @gesigaaamohamed3129 2 роки тому

    Takbir Allahu Akbar. Lulu Rashid the star in citizen

  • @daimavlog
    @daimavlog 3 роки тому +2

    Wooooowwww Asante Mungu

  • @kabugashija4836
    @kabugashija4836 3 роки тому +2

    Congratulation Lulu Hassan japo inaumiza

  • @millicentouma2071
    @millicentouma2071 2 роки тому

    Namba serikali ichukulie mamake Dorcas hatuwa.alivofanya huyu mama si vizuri kabisa.

  • @petermula1266
    @petermula1266 Рік тому

    May Almighty God bless your hands and shine on your on way

  • @belta_likethecar
    @belta_likethecar Рік тому

    This is son of God bless you sir🙏

  • @princeeddiekingsley8719
    @princeeddiekingsley8719 2 роки тому

    Mungu apewe utukufu kwa kumjalia huyu mzee haki yake

  • @maureenogenga8845
    @maureenogenga8845 Рік тому

    Am so happy to see this God is in Control

  • @jacobmungai4683
    @jacobmungai4683 Рік тому +1

    The power of forgiveness 😍😍😍😍😍😍

  • @azamajid9530
    @azamajid9530 3 роки тому +1

    Mungu Ashukuriwe

  • @vieterinamoko5087
    @vieterinamoko5087 2 роки тому

    library?
    May we have a like wambua,he is another Joseph in the bible.God give him back the days he has lost in prison.Bless him God of all trueth.

  • @janohngeno419
    @janohngeno419 Рік тому

    It is well bro, this is just a chapter in life, everyone has his/her own exam paper this was yours and the exam you have passed, go on with life and embrace love

  • @everlynesagina9478
    @everlynesagina9478 Рік тому

    Naomba mtembelee gereza ya naivasha ndugu yangu alifungwa huko pia kutoka 2015 nawaomba tafadhali anaitwa Elly josphat Amadade

  • @joleenmasha
    @joleenmasha Рік тому +2

    Mtu ukiota ndoto kama hizo za kuregeshwa shule ni mbaya sana

  • @zacharyayaga6661
    @zacharyayaga6661 Рік тому +3

    Kinuthia

  • @hellenawilly4184
    @hellenawilly4184 2 роки тому +1

    Mungu akujalie na mke mwingine u don't deserve that lady

  • @mikaelsalanga8888
    @mikaelsalanga8888 3 роки тому +3

    Huyu mzee ndie atakae kua wa kwanza kufka mbinguni

  • @margritkraeuchi8723
    @margritkraeuchi8723 Рік тому

    Ww mzee mwenzangu njoo tuishi pamoja

  • @ezekielenock5470
    @ezekielenock5470 3 роки тому +1

    Haya maisha Mungu ndio anajua

  • @vibewithjohnnie
    @vibewithjohnnie 3 роки тому +2

    GOD IS THE GREATEST

  • @cointhemoney9450
    @cointhemoney9450 Рік тому

    God will bless this grl....

  • @daina8258
    @daina8258 Рік тому

    I remember this story. May our loving God. For give them .

  • @gloryarozy8651
    @gloryarozy8651 2 роки тому +1

    Kweli Mungu anajibu maombi

  • @convinemukidanyi864
    @convinemukidanyi864 Місяць тому

    God bless you Lulu 🙏

  • @wilsonwafulachebokati4933
    @wilsonwafulachebokati4933 Рік тому

    Huyu mzee msenge sana MTU anekupeleka jela then wataka kurudiana nae but mkamba ni mkamba to

  • @felistuswanjiku6174
    @felistuswanjiku6174 Рік тому

    The man with great heart we thanks God he's out

  • @ruthgitonga5157
    @ruthgitonga5157 Рік тому +1

    Glory Be To God🙏

  • @vivosereni
    @vivosereni Рік тому +1

    Its the journalist who saved him.

  • @memmatias6373
    @memmatias6373 2 роки тому

    This man Will see heaven

  • @mohamedyeslam5194
    @mohamedyeslam5194 9 місяців тому

    Let's help this guy Kwa kitu chochote ili aanze maisha yake upya

  • @nancynjerimwangi5369
    @nancynjerimwangi5369 2 роки тому

    Thank Jesus Amen

  • @beatricechemutai5889
    @beatricechemutai5889 Рік тому

    Oooh thank you Jesus 🙏

  • @habbibty3274
    @habbibty3274 3 роки тому

    Malipo hapa hapa duniani kilichobaki wambua ww n kurudi kwa Allah na kuanzisha maisha yako upya na kumtegemea Allah zaidi cz bado maadui wamesikia uko uhuru

  • @stevek8318
    @stevek8318 Рік тому +1

    This man suffered for the lousy work of the foolish detectives na rushwa. Forgive the family but sue the stupid system wasifanyie wengine hivyo

  • @khadijamohanani6476
    @khadijamohanani6476 3 роки тому +1

    MUNGU NI MKUBWA. ALHAMDULILLAH

  • @janekagunda2034
    @janekagunda2034 Рік тому

    Huyo ni mungu mungu....

  • @user-ev9so1jc3f
    @user-ev9so1jc3f 2 місяці тому

    She beutiful

  • @Fondo0
    @Fondo0 2 роки тому +1

    10 good years ??? Waaah

  • @jaklinsloni1537
    @jaklinsloni1537 2 роки тому

    Mungu yuko pamoja nawe

  • @mikkello3590
    @mikkello3590 Рік тому

    Mama Dorcus ametuacha kwa mataa. "Tunangoja kidogo..." Wueh !

  • @eunexoproducts9145
    @eunexoproducts9145 Рік тому

    Arudiane na huyo bibi,, hajijui kweli,, akae maisha yake