Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
Mt. Kizito Makuburi - Maajabu ya Mungu + Nimeonja Pendo (Rehearsals)
Вставка
- Опубліковано 12 лис 2023
- Maandalizi ya Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi kabla ya Tamasha la Yesu ni Mwema 2023 (TYM 11).
Welcome to KMKMAKUBURI,
You can support evangelism through
⭐MPESA TILL NUMBER🇰🇪: 9948385
NAME: EVELYN JEPKEMEI
⭐MPESA LIPA NAMBA 🇹🇿: 5425652
Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
⭐MPESA 🇹🇿: +255742000089
Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
⭐Bank Name: Kenya Commercial Bank (KCB)
A/C No: 3390899162
Name: KWAYA MT. KIZITO - MAKUBURI
Branch: OYSTERBAY -Dar es Salaam, Tanzania
Swift code: KCBLTZTZ
You're warmly welcome
Ningeomba mfanye wimbo moja na solo ya huyu mwanadada anayesolo hapa
The gal who introduced Ametamalaki very talented
dada @upendo edwiga embu fanya jambo na huyu mdada, itakuwa kali sana
Nakuunga mkono kikamilivu❤
I eeish she's amaizing❤
Aisee Beatrice Gwitara in KMK 🎉🎉🎉 bravoo mlitisha aisee
Shout out to mwalim kiongoz himself @Zach bila kumsahau hendry Kimario 🎉🎉
In MEMORY OF FR ALOIS MSIGWA 😢 R.I.P baba MSIGWA uliujua mziki mtakatifu.
Napenda sana vile Zechariah anavyompatia huyu mwanadada kuwa mkakamavu na kuwa mwimbaji mjasiri
Congratulations St.Kizito choir
Thanks you all for good songs keep on my dear choir.Watching from Spain Sr.Eliza.Good job Mr.Zacharia
It never comes easy, There is much sacrifice. Kudos waalimu na wanakwaya kwa ujumula
Walai mkuje Kenya sasa mnichukue nikae kwa choir yenyu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂naipenda jameni... All the way from Kenyatta university nawaskiza..... How I wish you come visit Kenya wakuu😢😂❤❤❤❤❤
Jameni! They really lift ones spirit and an instant blessing.Long live Mtakatifu Kizito 🙏❤️
Enyewe kuna Baraka kwa hii choir
Naomba mkitoa ngoma tafadhali weka huyu mwanadada afanye solo pekee TAFADHALI TAFADHALI NAWASIHI
🎉nzuri saan
wote niwa Mungu wooote❤❤❤❤
I just love the transition from maajabu Ya Mungu tu nimeonja Pendo lako,top notch transition
Hongereni sana kwa kazi nzur sanaaaa sanaaa
Wote ni Wa Mungu... Pendeza sana
That's perfect 🤍
KMK
Blessings
Wa kwanza hapa. Salamu toka Kenya 🇰🇪 😍. Kazi mzuri
Good job 👏 👍
Hongeleni Sana Mungu awabaliki
Asante sana wana kmk nawapenda hadi sio poa
Very sweet 🎉🎉🎉....ur a blessing
Dada yangu Aveline hongera sana Kwa utume wa uimbaji Mungu akubariki sana
concrats my brother Zachariah Gerald
Munaimba vizuri sana❤❤❤
Mungu anabariki penye Nia njema na bidii.Mungu aendelee kuwabariki daima
I love your songs, mnapendeza sana🎉🎉 to try Zack, hongera kwa kazi nzuri unayoifanya. The song is lit.
Maajabu ya Mungu❤❤
#👏👏👏
Tumezisahau hizi nyimbo sana watu tunaimba vinyimbo vya kileo leo tu.
Zaka Nakupa Maua yako Kutiribu uko njema.
Nice
Sauti jamani
Kwaya hii ni gwiji sana hata kama umenuna utafurahi
I keep listening to this song on repeat ❤ Hongera KMK Makuburi. Baraka tele🙏
Very nice sweet voice
Very nice song
Wimbo bado upo ee😋😋
🎉🎉❤❤hatar san naupenda san huu wimb
Nawapenda sana nduguzangu❤❤❤❤
jamn bet anasaut snaa rafik angu.naomba asoloo kwen piaa
🔥🔥🔥🔥
Hongera sana solo uko vzr
Congratulations my people. Big dreams and very good planning..
Congratulations kwa kutuburudisha
From Bujumbura❤
Finally 😃 had missed this song ❤
❤❤huu ni wimbo
Nice song❤... Congratulations Beatrice ❤
Congratulations
Spectacular performance
Good Job , Thanks for Sharing 🌹🌹🌹
Congs
the lord be upon you and the same spirit leads you to compose more songs as we welcome new year
MUNGU NI MKUU🙏🙏
Dope 👌👌
Natamani angewaanzishia huyo binti jamani conductor kwa nini umemkatiza 😁 👏
vizuri sana jamani mwaimba vizuriiii, hingereni sana. jamani mmetusahau sisi ambao ni wapweke katika kitengo cha miito mbalimbali kwenye kanisa katoliki. kuna wandoa, makuhani, watawa na wapweke.(holy matrimony, priesthood, religious women /men and single life)
solo
Sasa mbona hii ni nzuri kuliko iliyo recodwa
Huyo dada wa mbele jamani mbona kama naweza tangaza ndoa na macho yake hayo😊
Mie kwanza naomba sana vile nawezamfikia
Ikiwa nichaguo lako na uwe unaimba kwaya pia utatangaza nae
Bado mdogo bwan
Wesema alianza kuimba mdogo kbs kama sikosei alikuwana 5yrs au 6
Bet ni kiboko ya solo. Fanyeni nae solo
Kuna kitu kabofya apo Vinny sjui na nyie kama mmemsikia 😅 dah