I thank you Jesus Christ for the crossover. You allowed me to enter 2025 with my entire family let your name be glorified. I also Lord ask you to bless those who put these songs on UA-cam to be listened by everyone.
Asante MUNGU kwakunipa pumzi ya uhai nakunilinda nakila vita ninavyo viona na nisivyo viona sistahili mbele zangu ila nakuomba baraka zako zitawale maisha yangu nina wewe tu YESU
Hakika Mungu ni Mkuu sana hulinganishwi, hakika nyimbo hizi zinainua sana moyo wangu, Naombq sana mt8 akiandika Yesu weka herufi japo kubwa ili kutofautisha unazungumzia Yesu yupi,au Mungu yupi asante sana kwa kazi.kubwa ya nyimbo hizi
Kweli Mungu amenitakasa nakuondoa uso ya shetani abao nilikuwa navaa nakunivika uso mupya hakika anajibu kupitiya maombi na nyimbo ,Mungu awabaki nanyi.
We thank God for everything 🙏 🙌 May his name be worship and spread in the truth 🙏 asante kw hizi nyimbo mwenyezi mungu akubariki sana (anyone listening in Jan 16 2025
Hakika mungu nimkuu haufananishwi nakitu kingine unafanya mambo makuu baba wa mbingun namshukur kwakutuamsha salama nakuiona siku mpya me pamoja nafamilia yangu Asante yes kristo🙏
Alfa na Omega haufananishwi na chochote baba , Mungu wavisivyo wezekana na vinavyo wezekana , Mungu muweza yote ,hakika uko Mungu uabudiwe ushukuriwe mwamba wa maisha yangu ,mlinzi wa familia yangu , asante Mungu wangu unastahili sifa nashukrani baba 🙏🙏🙏🙏
Umenitendeya mi hujiza sana, Kwa kuniokowa katika HALI ya ugonjwa uliyo Ni kamatiya inje ya Inchi yangu Ninasema Asante sana Mungu wetu uliye juu mbinguni, Wewe unaweza yote, Wewe ni Mungu kama wewe, Ueendeleleye unanipiganiya Kwa kunifunguliya njiya zangu zote, Nilirushiye HAKI zangu ,Nyota yangu iliyo hibiwa n'ama ADUWI tofauti, Wakiwa wanatumikiya kwenye Bahati yangu, Arapfu wanaikaa ndani ya OFSI yangu, Eeeeeh,Mungu Mkuu unaweza yote, Hakuna mwengine anaweza yote bila wewe, Unipiganiye niludichiwe sehemu yangu, Nirudishiwe kazini kama wengine, Unilinde kwa uyu mwaka 2025 ,nione mafanyikiyo,Amani ndani ya Familliya yangu,AFYA njema, Uniponye uyu ugonjwa wa PRESHA ulinikamata gafla Amen
Aksanti bwana wangu ,kwa wema na makuu unazo tenda ndani ya maisha yangu na familiya yangu .Nasema aksanti kwa zawadi ya ushai ,bariki kazi za mukono yangu katika huu mwaka 202🙏🙏🙏❤❤❤
Asante bwana kwa uzima wako pamoja.na familia yangu🙏🙏bila ww hatungefikia mahali hapa,jehova unafanya mambo ambao mwanadamu haezi.fanyauunatoa faraja ambao meanadamu hawazi fanya
Nina kila sababu ya kusema asante Mungu wangu kwamema mengi ya ajabu uliyonijalia mwaka 2024 naomba baraka zako zikazid kuambatana nami mwaka huu mpya2025
Merci seigneur 🙏 pour l'amour que tu as envers moi Guide Moi seigneur 🙏 aide Mon fiancé à accomplir sa mission Jésus Christ 🙏 j'ai confiance en toi seigneur soit avec nous jusqu'à l'éternité seigneur 🙏
utukufu, heshima, shukurani pokea Baba .Ahsante Mungu kwa yote una tenda kwetu. ZABURI 124:1-3 1.Kama si wewe bwana aliyekuwa pamoja nasi,israeli na aseme sasa 2.kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi,wanadamu walipotushambulia 3.Papo hapo wangalitumeza hai ,hasira yao ilipowaka juu yetu
It's 03:04AM, haven't catch any sleep, up thinking left, right and centre 😢. Stuck with life, like never before. Wondering where I could ever run to, where I can ever lay my head, where I can ever hide from the wrath of the world. This combination soothes my heart, it gives me hope. It's reminds me there's something else to live for, it's tells there's somewhere to run to. May your name be lifted forever Lord. May you reign forever 🙏
These songs has restored back my hope 🙏🙏,,, Anyone listening to the music in 2025 weka like ❤❤
Anyone worshipping with me January 2025 be blessed
Here
Amen
Be blessed Mightily too.
@@monicahngaruiya3084 be blessed 🙏
@paskolinenjuguna1924 God bless you
Asante bwaya yesu Kwa kunivush mwaka 2025 pamoj na familia yangu na watoto wangu na kaz yangu jina lako liendelee kuhimidiwa
Ansante bwana yesu haikuwa rahisi kuuona mwaka ninakushukuru kwa kunivusha mimi pamoja na familia yangu❤
Mungu nioshe ww nitakase
Bwana sante kwa uzima huu nlionao pamoja na familia 🙏🙏naomba mwaka huu baraka zako ziwe na mm bwana mapenzi Yako yatendeke juu yangu bwana.
Asante kristo haijawa harisi kuvuka mwaka ss niko 2025 pamoja na Familia yangu ni mkono wa neema na rehema nashukru yesu
I thank you Jesus Christ for the crossover. You allowed me to enter 2025 with my entire family let your name be glorified.
I also Lord ask you to bless those who put these songs on UA-cam to be listened by everyone.
uabudiwe Mungu wangu , haufananishwi haulinganishw , baba uko mwema yesu❤❤❤
asante Yesu maana wewe ndie uliyenipa kibali cha kuanza mwaka mwingine hakika nalitukuza jina lako kwaajili ya familia yangu
Nime barikiwa pia utukufu umurudilie Mungu pekeyake, Amen 🙏🏼
Asante mungu kwa kunitowa kwenye kipindi kigumu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿 naona mwanga kwenye maisha yangu.amen❤
Asante kubwa kwako YESU KRISTO 🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏
Asante sana kwa nyimbo izi
Asante MUNGU kwakunipa pumzi ya uhai nakunilinda nakila vita ninavyo viona na nisivyo viona sistahili mbele zangu ila nakuomba baraka zako zitawale maisha yangu nina wewe tu YESU
Asante mungu nashukulu kwa uliyo nindendea bila ww mungu cyo kitu kwangu 🙏🙏🙏
Hakika Mungu ni Mkuu sana hulinganishwi, hakika nyimbo hizi zinainua sana moyo wangu,
Naombq sana mt8 akiandika Yesu weka herufi japo kubwa ili kutofautisha unazungumzia Yesu yupi,au Mungu yupi asante sana kwa kazi.kubwa ya nyimbo hizi
Kweli Mungu amenitakasa nakuondoa uso ya shetani abao nilikuwa navaa nakunivika uso mupya hakika anajibu kupitiya maombi na nyimbo ,Mungu awabaki nanyi.
I thank you Lord I am blessed with these praise and worship songs
Hallelujah continue blessing my heart ❤️
We thank God for everything 🙏 🙌 May his name be worship and spread in the truth 🙏 asante kw hizi nyimbo mwenyezi mungu akubariki sana (anyone listening in Jan 16 2025
Hakika mungu nimkuu haufananishwi nakitu kingine unafanya mambo makuu baba wa mbingun namshukur kwakutuamsha salama nakuiona siku mpya me pamoja nafamilia yangu Asante yes kristo🙏
Asante yesu mwana wa mungu sifa na utukufu wacha sikirudie wewe nasema asante mungu wangu kwa mambo makubwa umenitendea,,, wewe ni alifa na omega 🙏🙏
asante yesu ❤ sifa na utukugu xikifuate ssante kwa uzima naidh8 kwa neeema yako 🙏
Kv
Yesu nisaidiee
Ahsante mungu kwa uzmii
Alfa na Omega haufananishwi na chochote baba , Mungu wavisivyo wezekana na vinavyo wezekana , Mungu muweza yote ,hakika uko Mungu uabudiwe ushukuriwe mwamba wa maisha yangu ,mlinzi wa familia yangu , asante Mungu wangu unastahili sifa nashukrani baba 🙏🙏🙏🙏
Oh dear Jehovah, receive this beautiful worship😭😭🙌🏾♥️♥️
Umenitendeya mi hujiza sana,
Kwa kuniokowa katika
HALI ya ugonjwa uliyo
Ni kamatiya inje ya Inchi yangu
Ninasema Asante sana
Mungu wetu uliye juu mbinguni,
Wewe unaweza yote,
Wewe ni Mungu kama wewe,
Ueendeleleye unanipiganiya
Kwa kunifunguliya njiya zangu zote,
Nilirushiye HAKI zangu ,Nyota yangu iliyo hibiwa n'ama ADUWI tofauti,
Wakiwa wanatumikiya kwenye Bahati yangu,
Arapfu wanaikaa ndani ya OFSI yangu,
Eeeeeh,Mungu Mkuu unaweza yote,
Hakuna mwengine anaweza yote bila wewe,
Unipiganiye niludichiwe sehemu yangu,
Nirudishiwe kazini kama wengine,
Unilinde kwa uyu mwaka 2025 ,nione mafanyikiyo,Amani ndani ya Familliya yangu,AFYA njema,
Uniponye uyu ugonjwa wa PRESHA ulinikamata gafla
Amen
Mubarikiwe waimbaji ❤mungu azidi kuabudiwa mana aliyotenda kwangu na familiya😢nashukuru2 mungu hizinyimbo acha nimuabudu mungu2😢😢I love you God❤❤❤❤❤
Asante Mungu kwa kunipa afya mimi pamoja na familia yangu amen
Those songs made my first day of 2025🙏
Asante Yesu cha. kutumaini sina ila Damu ya Yesu
Asante yesu kwa uhai,ulinxi wako tangu tuanxe mwaka adi sahii tumemalixa,naomba ukajidhihirishe kwa familia yangu ili watu wakujue ni wewe
Thank you lord for everything and thank you for ministre lucas kaaya for this songs❤❤
Sijue ni kushukuru namna gani Mungu wangu kwa makubwa na maajabu yako maishani mwangu asante kwa nyimbo hizi za kumuabudu Mungu ❤
What a wonderful and powerful worship 🙏 am blessed
Mungu wa mbingini wewe haufananishwi na yeyote wewe ni mungu mkuu hakika umetamalaki katika maisha yangu sifa na utukufu zikurudie wewe ee bwana
This song mix has taken me to another level .ooh thank you Jesus Christ
Yesu muweza wa yote fanya njia pasipo na njia kwenye maisha yang
Katika nyimbo za kuabudu munaukuu Wa Mungu,,, Amina sana tumebarikiwa sana KIROHO
Karibu YESU katika maisha yangu
Aksanti bwana wangu ,kwa wema na makuu unazo tenda ndani ya maisha yangu na familiya yangu .Nasema aksanti kwa zawadi ya ushai ,bariki kazi za mukono yangu katika huu mwaka 202🙏🙏🙏❤❤❤
Asante bwana kwa uzima wako pamoja.na familia yangu🙏🙏bila ww hatungefikia mahali hapa,jehova unafanya mambo ambao mwanadamu haezi.fanyauunatoa faraja ambao meanadamu hawazi fanya
Listening to this as I get ready for church. Totally a blessing. May everyone listening be blessed in a mighty way
Mungu ni Mkubwa 🙌Ahsante Yesu kristu kwa yote unaendeleya natenda mu maisha yangu. Amen❤❤❤❤
Asante yesu wangu uliy e mlinzi wangu.fadhili zako ni za milele
Baba Mungu wetu,
Ninasema asante sana
Kwa Familliya yangu,
Umetulinda Ku vitu vingi,
Ninaomba utufunguliye safari ya Familliya yangu
Ya kwenda inje,
Thank you very much for these songs.May the almighty bless you abundantly.
Utukufu na ukuu ni wako YESU 🙏 wangu mungu kupitia nyimbo nikapate kubarikiwa Kila kiitwa Leo 🙏
😅😅😅n
.....n .😊
Amen
Thanks lord umenitoa mbali ni asubui na neema na baraka tele
Asante Mungu wangu 😢😢😢😢naku shukuru sana Mungu kwa kila kitu umenifanyia, umekua,na mimi kila siku naku inua baba
Ahsanteni sana ❤ mungu ni mkuu hakika huwezi mfananisha na kitu kingine
Asante yesuu kwa kumariza mwakq tuko wazimaà😭😭🙏🙏
Nyimbo hizii huwa zinapeleka uwepon mwa mungu maana ukiimba kwa hisia lazima kuna kitu ujazwee1🙏🙏🙏
Amen 🙏 🙏 a powerful song nitaingia ni hizi mwaka mpya
Ces chansons m'ont vraiment amener dans une dimension soyez béni
so so so inspirational
and soul upliftinng.
🙏🙏
Blessed beyond measure.please make this downloadable
Mungu.upewesifa.milele.namilele.ninamutukuza.Mungu.pamoja.nahawa.ndungu.kwahizi.nyimbo zakumwabudu.Mungu muumbaji.nimebarikiwa.muno
Asante mungu baba kwa zawadi ya uhai, zawadi ilio ju ya zawadi zote 🙏🏾
Dear lord thanks for your marvelous mercy u have shown to my life...now stretch your hand am tired ..🙏
Ni kwakweli Mungu yupo na uwepo wa roho matakatifu upo katika hizi nyimbo
Asante yesu wangu kwa yote uliyo fanya kwangu na kwa yote unayo endelea kufanya🙏🙏🙏
Nimebarijiwa na hizi nyimbo mungu azidi kukupa kibali cha kumwabudu na kubariki watu wake
🎉🎉naishi kubadirishwa completely very great Gospel songs Mey you God all Grory reserved 🎉🎉🎉
Hakuna mungu Kama wewe ewe mungu wangu... ndio maana tunasema Asante 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿
Thank you lord for everything you done for me 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🤲🏿
Mungu ni mfalme😅🎉😊😮😢❤❤
Mungu ni alfa na umega❤🎉
A😊Santé
Ahsante yesu kwa kunivushsa na ckuona mwaka2025 pamoja na familia yangu..hizi nyimbo zinanibariki sana na ninaomba ziniinue kutoka chino kwenda ju♥️🙏
Nasema asante yesu❤
Ooohh my beautiful God
I love you God
So wonderful to worship the Lord ...He alone deserves our worship...am. Blessed
This songs have made my 2025 despite challenges
Amen nyimbo hizi zinauwepo wa Mungu ndo tumekuwa nazo Mungu tunakushuku sana
Hakuna Mungu kama wewe ewe wangu.....ndio maana tunasema Asante
Nasema ahsante kwa Mungu wangu kwa watu wote...........
Amen Amen nyimbo zamaabudu kuwa zinanibariki sana 🙏 🙏🙏🙏🙌🙌👏❤️❤️
Ahimidiwe Mungu wetu kWa ukuu wa utukufu wake ❤❤❤❤❤❤❤
Bonjour mes frères et sœurs, vraiment je suis fortifiée, que Dieu vous inspirent encore, soyez bénis au nom de Jésus Christ
Amen 🙏 🙏 MUNGU awadhidishie na awabariki 🙏
asante mungu kwa vyote ulivy nitendea na vingn najuwa navingine sijh asant kwa jil ya familia yangu mung
Ni mwenye upendo Wa ajabu Bwana Yesu🙏🙏
Nimebarikiwa saaana na nyimbo hizi. That made my day may God bless you people mupate ufunuwo kuzidi
Thenk you for nice worship songs
Mungu atabaki kua Mungu Asante Yesu
Sifa na utukufu ni kwako yesu .
Kweli haufananishwi na kitu kigne Jehova . Ahsante kwa Kila kitu , Ahsante kwa nafasi nygne Tena Jehova
Jehovah haufananishwi na chochote pokea sifa za moyo wangu
Asante mungu kwa kujibu maombi yangu hakuna kama wewe❤
Aksante sana nime farijiwa, Mungu awabariki
Nyimbo hizi zimenibariki sana. Ahsante sana ubarikiwe!
Sifa na shukran zikurudilie mumba wetu daima mileleeeee🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nikweri mungu ni bwana sio mwana du anastahili sifa asante sana
Nina kila sababu ya kusema asante Mungu wangu kwamema mengi ya ajabu uliyonijalia mwaka 2024 naomba baraka zako zikazid kuambatana nami mwaka huu mpya2025
Merci seigneur 🙏 pour l'amour que tu as envers moi
Guide Moi seigneur 🙏 aide Mon fiancé à accomplir sa mission Jésus Christ 🙏 j'ai confiance en toi seigneur soit avec nous jusqu'à l'éternité seigneur 🙏
Asante Mungu kwa kunilinda mm n familia ygu sifa n utukufu zikurudie
Amen asante Yesu kwa roho wako
Nashukuru Sana mungu Kwa umbali amenitoa ❤❤
Nimebarikiwa ninaona uwepo wa roho mtakatifu usiku huu❤🙏🙏🙏 God bless you
Nasema asanti yaweh 🙏 🙏 🙏 kwa umbali huu umenileta na baraka zako za milele za dumu
Asante mungu wangu kwa kunivukisha mwaka salama pamoja na wazazi wangu na wengineo
Amem wimbo huu umenibariki sana MUNGU awabariki
Eeee Mungu kupitia nyimbo nikazidi kubarkiwa kila iitwapo leo mimi na familia yangu🙏
Tu mérite l'adoration mon roi 🙇🙇🙇🙇🙇💪💪💪💪💪💪
utukufu, heshima, shukurani pokea Baba .Ahsante Mungu kwa yote una tenda kwetu.
ZABURI 124:1-3
1.Kama si wewe bwana aliyekuwa pamoja nasi,israeli na aseme sasa
2.kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi,wanadamu walipotushambulia
3.Papo hapo wangalitumeza hai ,hasira yao ilipowaka juu yetu
It's 03:04AM, haven't catch any sleep, up thinking left, right and centre 😢. Stuck with life, like never before. Wondering where I could ever run to, where I can ever lay my head, where I can ever hide from the wrath of the world.
This combination soothes my heart, it gives me hope. It's reminds me there's something else to live for, it's tells there's somewhere to run to.
May your name be lifted forever Lord. May you reign forever 🙏
Jesus is here to help you, run to him, he will will help you and give you the desires of your heart.
Ee mungu kupitia nyimbo naombo ukajibu hitaji la moyo wangu
Asante Mungu wangu kwa kuniwezeshe kufika mwaka huu wa 2025 pamoja na familia yangu
2025 nabarikiwa sana na nyimbo hiz Mungu asimame nawew pia unae sikiliza kwa mwaka huu 🙏
Ee MUNGU wangu nibariki Mimi mume wangu watoto wangu wazazi wangu wadogozangu kaka zangu na uko wangu wote🙏
This was our crossover 2025 with my wife..God still is on the throne we shall come with a testimony.
Thankx
Asante Mungu wangu, sifa na utukufu narudisha kwako🙏🙏🙏 unastahili kuabudiwa