Mt. Kizito Makuburi - 150 (Live Performance)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 чер 2024
  • Imepita zaidi ya Miaka 150 tangu Ukristo ulipoingia Nchini Tanzania.
    Mwenyezi Mungu amekuwa Mwema, na amelitendea Mambo Makuu Kanisa la Tanzania. Jina lake litukuzwe Daima.
    Karibu Kutazama Wimbo 150 ulioimbwa na KMKMAKUBURI ukielezea Historia ya Ukristo Tanzania tangu umeingia Rasmi nchini zaidi ya Miaka 150 iliyopita.
    WIMBO : 150
    WAIMBAJI : KMK MAKUBURI
    MTUNZI : BERNARD MUKASA
    KINANDA : FRIDOLINUS MUSHOBOZI
    MTIRIBU : GASPAR PAUL

КОМЕНТАРІ • 26