Mnamtesa tu huyo mbwa wa watu hapo chini...haelewi chochote dah. Ila bonge la ngoma aisee...mwamba hukoseagi hasa lile goma la Chuga iyoooooo nalikubali sanaaaaaa
Big up sana Fido upo vzur sana ila jitahd ufanye Ngoma na jcb pamoja na Jombii pia anzisha jimu pamoja na dojo maraia kibao wana kukubal anzia kwaidd ngaramton kijenge juu moshono kiserian wee ni mkali
ukiongea kuhusu krg the don from kenya nlikuwa nadhani we ni rapper kumbe ni mdomo tu ata Dipper rato amekutoa yako ni mdomo bro rudi shule ama kam nikufunze ni k3 gng fameree from kenya we dare na si mdomo
Aliyerudia kuangalia hii ngoma zaidi ya Mara mbili agonge like
Asee kama unamkubali huyu jamaa kama nnavyomkubali gonga like aminia fido ✊
Ololo aipigwi mazee fido vato ni mdidu nakukubali sana mtu wanguu😊
Nakubaliiii hii ndo hip hop og acha na wachawiiii weusiiii wemechokaaa mbayaaaa kabissaa
Mnamtesa tu huyo mbwa wa watu hapo chini...haelewi chochote dah. Ila bonge la ngoma aisee...mwamba hukoseagi hasa lile goma la Chuga iyoooooo nalikubali sanaaaaaa
Ololoo nimezaliwa tunatupa sumu
Umetisha rambo..aminia ..ololoooo
Hiiii imeeeeendaaa big up brother Fido vato hapa najiuliza hiyo ololooo ipoje nitaenda Arusha nikaione ololooo
Haha respect sana Fido na dipper rato hii kitu Ni Kali wazee
Hii ni mbaya sanaaa ‘Ololoooo’ 🔥🔥🇹🇿 Huyo mtoto Mzuri pia ni noma ❤
Mwimbo wakufungia mwaka... ni motooooo
Owae bonge la ngoma hatali kwale wanang wa hiphop tialayick iweunyama sana.
From Uganda 🇺🇬 Int'l Congo DRC 🇨🇩 To Tanzania 🇹🇿 Big up 🔥🔥🔥🔥
Demu mkalii Sana mistarii nimemkubalii
Safi sana bro... ololoo
Nilikuwa nasikiaga t fidovato. Hakika huyu ni fidovato OG.
Wajuba hii kali kuliko#Fido vato we n mnyamwez# mjuba una style ya kmbele..Ngoma kali sana..Nime miss mitaa yangu ya kaloleni na pics za shivaz aisee.
Big up sana Fido upo vzur sana ila jitahd ufanye Ngoma na jcb pamoja na Jombii pia anzisha jimu pamoja na dojo maraia kibao wana kukubal anzia kwaidd ngaramton kijenge juu moshono kiserian wee ni mkali
ukiongea kuhusu krg the don from kenya nlikuwa nadhani we ni rapper kumbe ni mdomo tu ata Dipper rato amekutoa yako ni mdomo bro rudi shule ama kam nikufunze ni k3 gng fameree from kenya we dare na si mdomo
Motooo sana hiii Fidovatoooo🔥🔥🔥✊
Gang gang bang bang
Daaaaaaaaaaaaaaaa hiii ngoma baba unanifanyia nitamani kuvamia bank
Rambooooo waharibie tu mayoyooo
Fidooooo mnyamaaaaaaaaaaaa
Safi sana Fidovato na huyo mtoto mzuri kamaliza kila kitu
Dude kali sana hili
Fido vato ndan ya ololoo# respect Sana bro#vatolokosoldiers
Pia mimi natoka ololooo Nairobi.
Tishaaaaaa saaanaaaaaaa olololoooooo is ma hood brooooo
Funga Mwaka lakibabe
Noooma saana ARF 🔥 pigen mangoma Fido muache kulala
moja kati ya rules za hip hop ni kurepresent unapotokea this is hip hop bro fido weusi mayoyoooooo
ololoo bang bang nigga
Ngoma Kali sana
mayoyo lazima wakae
flow kari sana
Sana Fido umetisha
Ololoo 💪💪💪🔥🔥hatari Sana
Best of December 🔥🔥🔥
hii quality aisee 💥💥
Weusi Mayoyooo
hiiii ngoma ninoma man
Fido fire
Bro uko up 🔥🔥🔥🇴🇲🇹🇿
Ramboooo ✌️🔥
Always rep mitaa unaotokea ...respect brother fido nimekumis ile laana..ARUSHA MUSIC UP!!!!!
Real shit big up mi general fido vato nimemis kutokea kwenye chupa kali sanaaa but respect you have made it.
Kisanga na nusu vato
Rambo like lion 👑 love chuga rato you kill it queen chugamaica.
Hip Di Hip hop
Baba fido fanya mpige ngoma na rado kiraka amerdi naona kitu between you real nigas itakuwa hot saaana watu waung'urume sana umo ndani
BIG UP MR.ARACHUGA KENYA WE SEE YOU BRO💥💥🔥🇰🇪
They our fellows Kenyans 💯
Uyu Manzi ni kwere Tz Ame mkalisha Rosa Ree 💚🖤 chuga
Weusi mayoyooo💉💉
Kuna ololoo254 jiji 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 big up A town
Broo wa ololoo
Ngoma kaliii great comback
Ololoo big up vatoloco soldiers ✌✌
Weusi mayoyoo
Wataelewa tu
Hongeraaa
Ngoma kali..
Kaboom
Noumaaaa
I got your vibe bro.....ololooooo
Nimezaliwa ololo, nimekula ololo
Stan C "meru boy"
Chugga king
weusi mayoyo 😂😂😂 bongonyo
UMETISHA DIPPER RATOOOO
Chugastan ✌️✌️
hamiduuu
Fidovato#hiphop#hii ndo hip-hop sio mayoyoo
Oyaa ni noumaa,,ololooo Weusi..🤣😀
Noumer Sana ololo✌️🔥🔥
Ngoma Kali sanaaaa
Atariiiiiii sana broo
Oyooo nako 2 nakoo
Mwenye hip hop yakee;; ao bulteria nimewaelewaa
Nakubali my brother fido
Ololooooooo
mnyamaaaaaaa baba chaukokola ololooo
🔥🔥🔥
Kali
Nomaa
Fido vatooo locco
👊👊👊👊👊
my real niggah fido vato👊
Ololoooo mko vizur
Chuga nkwere
Dem kafanana Rosa ree
DOPE 🎵
Hadi wasafi TV inapigwa hii ujue no kisanga
Classic song mzee wangu
Og og ololo ololo ni vitaaa olo olo fidooo my nigga ni wa olo olo 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Big up free sadiki mkindi
Ebhana nimewakubali sana
ololoo ni balaa
Fire chuga boy
Lolololol 💥💥💥💥💥💥💥
Level za mbele arifu
Safi kutoka 🇰🇪🇰🇪