Don Classic ft Fido Vato - Muhuni (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 23 вер 2023
- Produced by @lickytouchez Directed by Canny Classic
FidoVato Booking Info:
Email: fidovato@gmail.com
Catch Up With FidoVato On:
Instagram: / fidovato_official
Facebook: / fidovato.official
Twitter: / fidovato_official
#DonClassic #FidoVato #Muhuni
Ukienukia utampenda makini lakini ukikomaa akili utamwelewa fid vato zaidi..chuga finest Rambo kaskazini hakutoki fala
Leo nimeskia raha kaka mkubwa kabonyeza upendo..shukran fido Vato
UMEFIKA WAKATI WA MAFUTA KUJITENGA NA MAJI KWA SASA SIJAONA MWAMBA KASKIZINI ZAIDI YA HUYU MWAMBA, FIDO VATO NILIKUWA NAMKUBALI TOKA KITAMBO MARA YA KWANZA NILIMSKIA KWENYE WIMBO WA GEEZ MABOVU HUYU N%GGA NI KWERE HUYU NDIYE MWAMBA WA KASKAZINI HALISI MIAMBA MINGINE NI MIDOLI TU, RESPECT FIDO VATO, VATOLOCO SOLDIERS ON TOP 🔥🔥🔥🔥💪🏿✊🏿✊🏿✊🏿
Fido umeuwaaaa mbayaaaa
Ni MAUAJI UMO NDANI💥
Nimemiss beet na sauti ya fido❤❤❤❤❤
Kwa sasa HIP HOP arachuga ipo mabegan mwa Fido vato 🔥🔥🔥
Hii sauti huwezi pata sehm nyingn
Alietengenezaaaa beet NAOMBAA ukanywe unachopenda affu nitafuta dm
@defxtro @noizmekah 💯
Fido Vato mwaka huu ameamua, upewa maua yako bro na huyu Classic yuko poa, Forever Young 🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷 R_Chuga'
Nommmmmmm🔥😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥muhuni kazaliwa jela😂😂😂🙌🙌🙌🙌💯😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
From kenya if it was not for don classic that song would be shiet
Fido vota muhuni anakuwa house kali
🎉🎉hii ngori niga pull up
Dodo kajitaidi fido utasema ngoma ni yako dogo kajitaidi sasa mwamba fido wainue madogo wapate mikwanjwa wakuwekee respect big up ngoma la muhuni iko chonjo
Swahili tv ya wa chuga lete interview kali za chuga tuelewe wasanii wetu wa kaskazini Swahili tv off cose
Ngoma kali sanaaaa ikipata promo inagia trend
Don class yan mpaka usemee
Apo ndo umekutana na mdudu ndo kusemaaa🚬
Hahahaha
🤣🤣🤣
Saut ya zahabu ya Fido vato kauwaaaa
Mhuni
0:00 nakubali uwezo babaaaaaa❤❤❤
Hiiii ngomani🔥🔥🔥sematubongo wanasaport ngomazakisenge
Hi lazima waisapoti maana nikali
Oy fido kazikubwa xana hiiiiiiiii ✍✍✍👈
Brother sauti yake ni balaaaa😂😂😂 haipo nchiii hiii
Love from burundi 🇧🇮❤️❤️❤️
Noma nasaa
Ngoma kali sana asee
Wee omba namba sisi tunaombaaa.......,
Hiii imeendaaa dingiiiii
A town stand up 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nakubal Sana # mi nyang'au sio muhuni dogo
Fido Nilikuwa Simuelewi hila Sasa Nishaanza kumulewa Bonge Song
Wahuni Sanaa tuu Kwa Fido twakutambua 001🔥🔥🇰🇪 hawakuwezi bado moja Na darassa
Don classic anakipaji kikubwa sana pia nimbunifu kila nyimbo akifanya namsanii anabadilika tumpe sikio na support zaidi hongera vato umemshika mkono
vato ipaushe arusha kakaa
Finest beats and exchange of words.
Uhuni ni kuwekeza/Investors
Daaah noma Sana nimefeel vibe ile mbaya msimamo fidovato namba one hip-hop Tanzania
Ar chuga hio 🔥🔥🔥
Fido my king
Oy chuga kam chuga rambo umetishaa 🔥🔥🔥hakika kubwa we love A city
Respect to my brother fidoo , anaiheshimisha hiphop ya chuga❤❤
Muhuni anamiliki nyumba kali pembeni ya bahari
Video nikali kinoma fido ajitoa kiaina
Fido unajua mpaka unaboa
A TOWN CITY FIDO
Fido Vato Nyang'au a.k.a Nyang'ng'a,hili dume ni umemeeee!!! Kaskazini hatokagi fala.
Eeeh bhn hii weak ya Moto Sanaa🔥 nikiwa pande za Rock City💪 nakubal Sana Fido
Fido 💪
Ngoma Kali ..🎉🎉🎉😂😂😂
Kaliiiiiiii
Mkuu wa wadudu arusha
Fido unajua broo iko wazi.
Nomaaaaaaaaaaaa
Dogo mi ni nyang'au sio muhuni💪💪💪 Brapp Family again on the air💪
Ni kweree jombii! Mmeuaa
RAMBO Nyang'aU 👽
waaaaaahuuuuni🎉🎉🎉🎉
Fidooooo celebrate from banda mbili
Oyaaaaa weka like hapa OMBA NAMBA SISI TUNAOMBA #PUSSY😂😂😂😂 1:06
Mwimbo mzuri
Home by😍
Nice job Donny❤❤
😂😂😂😂sema mwanangu fido umenikosha hp ndo pangu mm ujuw
Og 🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤ Fido umetisha mwanangu
Genius jini x66 my foot kasia
Muhuni kazaliwa jela
Jela pia kuna mapunga na Masela
ANOTHER ONE
A. Town ololoo
❤❤❤❤❤❤ chunga kama chuga
Don classic always delivery
Much love
Iyeeee ni noumeaaa
🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hii imeenda
Mi nyangau
Mmm Kuna kuma
Ngoma ime tuli ipo poa sana na mkubali vido
Tunakubali huyu jama Fido,from Germany
🔥🔥🔥🔥 you kill bro big respect vato myama A-town one ❤️💯💯💯💯🍁
Mm nasikia kelele tena zisizo maana.
Sauti ya vato imekubli kwa wimbo..... Nakubli sana
Keeping og
😂😂😂Unyama sana vato
🔥🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥 chugara
Vato acha utoto wa kukaza sauti huo sio u-gangster huyo dogo amekupoteza mbaya
Hiyo ndio sauti ya fid vato ilivyo labda wewe ni mgheni kwake
Vocal ya Fido is kukaza ny'aa+ask ololo..
@@mugadimon3563 Anaongea sauti ya hivyo huyo?
Mwamba Fido vato mkali wa hp 🔥🔥🔥🔥nakukubali Sana
Vato fido
Number one
Kak na kukubali
Super
❤vato nyang'au
Ndonaingia rapper dee
Moto
Song kal kinoma ase
🏆🏆
VATOLOCO on top taking hipop to another level
hii si hiphop hii ni reaggaeton
Kaka umenikosha
Hii ndoo HIP HOP TONAYOTAKA CHUGA
Kenyans ,likes hapa❤😅
Bonge ya song
👊👊👊👊👊
Fido vado🤝
like kamanda kubali sana vado
vido vato
Wahuni hawaombi namba wanaomba nyaauu 😂 Fido noma ✌🏽
❤❤❤❤