SHUHUDIA CHIDI BENZI AKIMCHANA MAKAVU HARMONIZE "HAMNIWEZI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 377

  • @awadhiismail3154
    @awadhiismail3154 4 роки тому +243

    Harmonize kweli kawa mtu mkubwa yaan kaanza mziki 2014 Leo hii anamlipa cheed benzi wa miaka ya nyuma Sana daaah jamani embu gonga like hapo

  • @sadikhanboy
    @sadikhanboy 7 місяців тому +3

    Namkubali jeshi Konde boy for everybody 💯🙏💪🔥💥🎤Jeeshi all the way!! Sadikhan boy from KENYA

  • @ImamshiraziMwidau
    @ImamshiraziMwidau 4 місяці тому +1

    Its all about creativity mambo na Ubunifu..

  • @muhambeKalubala
    @muhambeKalubala 6 місяців тому +2

    ww ni jechi tuh hakuna mwengine kabisa Kazan naile kipaji man❤ 9:40

  • @tobaramadhani7139
    @tobaramadhani7139 4 роки тому +21

    Jeshi anajitahidi sana kuwabeba ila mijitu bangi haibebeki mbona kiuchifu katulia na maisha mazuri tu yanaenda

  • @lulanatty8474
    @lulanatty8474 4 роки тому +2

    Teja ataka shindana na king harmo jeshiii mtu mwema 😍😘

  • @danieljems7810
    @danieljems7810 3 роки тому +1

    Harmonize noma sana Kweri we ni jeshi

  • @YusuphMtulla
    @YusuphMtulla 6 місяців тому +2

    Jamaa namkubali san

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 4 роки тому +12

    Hata aropoke vipi.... atajijua mwenyewe.... tunasepa mbele... huyo Chizi tulishamsahau... hana jipya. Konde Boy to the World.🤣🤣🤣🤣🤣

  • @omarimtoro58
    @omarimtoro58 4 роки тому +3

    bro chid unalipwa laki 3 na madogo mlio wa inspire. unga haujawahi kumuacha mtu salama. @chidbenz na tid.

  • @حمودسالم-ل8ص
    @حمودسالم-ل8ص 4 роки тому +15

    Uyo chid benz analake tu kwa konde man km kishajua atapewa lak3 kwnn ackatae boya tu uyo ss mbn kakubal na pes kachua kwa mzik gn alokua nao mpk alew milion naend uk

    • @zenamadhan2517
      @zenamadhan2517 4 роки тому +1

      Uyo konde anahaja nae nn asingemuita atakuja muazirisha bure..teja hana amani

  • @muhambeKalubala
    @muhambeKalubala 6 місяців тому

    ww ni jechi tuh hakuna mwengine kabisa Kazan naile kipaji man❤

  • @halimapatricia5882
    @halimapatricia5882 4 роки тому +12

    Sahii walipwa na madogo na ww uliokomaa kwa mziki hahah unga hauachi mtu salama

  • @IqbaraAzizi
    @IqbaraAzizi 5 місяців тому +2

    Nmemuona h baba

  • @williamtarama4589
    @williamtarama4589 4 роки тому +8

    Nashangaa watu wanavyoropoka km huyo chiz mwnzao chid! Laki tatu kapewa kasaidiwa tu kafanya kaz gani ya maajabu hapo!? Kpewa ya kula ck kadhaa tu! Kuliko angepewa bila kufanya chochote, angejishtukia kupokea 😂

    • @feyramsozclass4015
      @feyramsozclass4015 4 роки тому

      Tatizo wanafata akiwa tayali kashakula vitu vyake

    • @ndevundavo7798
      @ndevundavo7798 4 роки тому

      William Tarama ata apewe milioni ishilini yote atakula unga

  • @alicetowo3645
    @alicetowo3645 4 роки тому +17

    Sjui alitak apewe sh ngp?? Binadamu bhnaa hatulizikii, angekaa tu hiy el angeipt wap Sasa, !!!,

  • @jwasafiog5416
    @jwasafiog5416 4 роки тому +5

    Duh kaaibishwa mdogo wangu

  • @flightclubtanzania1638
    @flightclubtanzania1638 4 роки тому +1

    Laki 3 hela ndogo kwa maisha haya na mziki hiiii ya zamani chid come on banaaa

  • @lucaswalogwa3821
    @lucaswalogwa3821 4 роки тому +31

    Chid Benz amenivuruga sijaona alichofanya zaidi ya mambo ya kitoto kabisa

  • @meshacksamson1008
    @meshacksamson1008 4 роки тому +10

    Kama unamkubal harmonize gonga like hapa maana namkubal mbaka naumwa yaan

  • @titobernard383
    @titobernard383 4 роки тому +14

    Hizi story zinatokea wapi !? Jamani hebu tusizenguane hapa !

  • @bonnysureolkokolaboy4342
    @bonnysureolkokolaboy4342 4 роки тому

    Huyu chalii anajiskia sana sa ndio ilikua anajiandaa mda wote huo kwenye kosta, acha ujinga mmakonde wew

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid5360 4 роки тому +3

    Laki 3 hela ndogo hasa kwa msanii mkubwa kama benzi japo 5 basi

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 4 роки тому +64

    Kwani kama kaona laki 3 ndogo si angekataa!!!! Kwani kashikiwa bakola au? Konde mbele kwa mbele aturudi nyuma

  • @yasinitwalika1565
    @yasinitwalika1565 6 місяців тому +1

    Chid kichwa chake kishapagawa unapomuita sehem utegemee lolote kutokea,
    Mm nimeckia mc kasema mimi masi yeye kasikia chid benzi

  • @geofreyniyonkuru5724
    @geofreyniyonkuru5724 4 роки тому

    😱😱😲😲🥴🥴😸😸😸😂😂😂chid haki nushabiki wangu na wewe kwisha umezingua laki tatu sikidogo

  • @monalisalucas6078
    @monalisalucas6078 4 роки тому +1

    Watu kama woteee

  • @omelausufu602
    @omelausufu602 4 роки тому +1

    Bro chidi benz sio mzima ule ni msenge tu

  • @brightonchedego8100
    @brightonchedego8100 4 роки тому +1

    Mbona hata na yy hajatumia gharama ya kutafuta hata wa kuwalipa sasa laki3 inakuwaje ndogo wakat kuperform kwenyewe hakufk hata dk10 pia alikuwa peke yake,akiwa anapotezewa anaanza kulalamika kuwa hakumbukwi,,usipokuwa makini Chidy kila msanii mkubwa atakuogopa kukuita ksha urud kwenye kuperform kwenye mabaa na kupewa elfu20 kama miaka kadhaa iliyopta 😃😃😃

  • @salimsalum7728
    @salimsalum7728 4 роки тому +4

    Ijapokua chid benz ni mla unga bado thamani yake ipo pale pale, hakuna msanii bora wa hip-hop Tanzania hii kama yeye lazima apewe respect yake msimdharau kiiivyo

    • @rukyaabdilo7921
      @rukyaabdilo7921 4 роки тому

      Umeonaa

    • @mwitajohaness8816
      @mwitajohaness8816 4 роки тому

      Naona umewasahau binadamu wamjali ana nini??? Au apewe heshima ya nini shida ya wasanii Wa bongo wanajisahau sana

  • @benhorta5121
    @benhorta5121 4 роки тому +1

    Kweli leo ndio nimeshtuka chid bez kumbe anaakili za kitoto kbs.. Kwan hata angefanya bure kwani amelazimishwa kuja pia sisi inatuhusu nini kama mashabiki, Dogo jinga kbs shoo yenywe ya bure akuna kingilio chochote sasa laki 3 kwa dakika 15 mbona pesa nyingi sana..
    Oya temu mm shabiki yako since before 5000 subscriber ..

  • @mussajacob8346
    @mussajacob8346 4 роки тому +12

    Teja afadhiliki ashazoea maisha ya uteja chidy afadhiliki

  • @sirijoseph655
    @sirijoseph655 4 роки тому

    Chidy benz wew fara ungeji tambua mapema usinge kuwa hapa

  • @saidijuma9386
    @saidijuma9386 4 роки тому +28

    Chidi ashakuwa hater ana chuki za wazi wzi km ktu hutk ni bora useme tu kulko chuki za kijinga hvy punguza chuki haisaidii

    • @mwajujomba7782
      @mwajujomba7782 4 роки тому

      Huyu hampendi harmonize si aliwahi kumponda sasa ndo hiyo anafanya laki 3 nyingi sana kwa yeye na anaimba nini sauti lishakufa

  • @henryd.rcongo2287
    @henryd.rcongo2287 4 роки тому +4

    Ili li bwana chid Benz pesa zote atauza dawa ya kulevya na iyo ma unga.konde boy fire

  • @alimairakoze3784
    @alimairakoze3784 4 роки тому +2

    Jeshii

  • @sideboy3164
    @sideboy3164 4 роки тому +1

    Madawa noma aiseee

  • @giftbrezzy2226
    @giftbrezzy2226 4 роки тому +1

    Jeshiiiiiiii

  • @RajabuShaibu-m6d
    @RajabuShaibu-m6d 7 місяців тому +1

    Jamani uyo si h baba alie mtusi konde boy

  • @raheemyusuph5694
    @raheemyusuph5694 4 роки тому +5

    chid anazngua sanaa yan kiukwel daaah chid anazngua,..

  • @osmanmussa6596
    @osmanmussa6596 7 місяців тому

    Namuona h baba hapo mlangoni amempisha njia konde boy mziki sio uadui

  • @fadyshaby8320
    @fadyshaby8320 4 роки тому

    Nadhan Kama pesa aliolipwa ni tofaut na makubaliano alitakiwa kufuata utaratibu kudai haki yake,.....alichofany n kudhalilisha tamasha na aliempa dili.......mbn kunawakati wasanii walikua wanafany shoo kwa kupewa nauli tuu....chidy atafany watu wapate hofu kumpa shoo zao........

  • @cassianowaeast1108
    @cassianowaeast1108 4 роки тому +1

    Hivi unavaaje jacket kwenye joto mmakonde mwenzangu unaniangusha 😂😂 KONDE MTOTO

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 роки тому +41

    Wakati mwingine ukimsaidia mwenzio nae ingalau apate chochote kitu,matokeo yake ni kulaumiwa na matusi,ni bora usimsaidie mtu ili uepushe nongwa.

    • @officialmrtop1018
      @officialmrtop1018 4 роки тому

      We boya kweli laki tatu kwa msani kamsaidia nini? Chizi

    • @kamaakamaa1795
      @kamaakamaa1795 4 роки тому +1

      Mariam Fritsi subscriber channel yangu apo

    • @seifdisail3007
      @seifdisail3007 4 роки тому +1

      @@officialmrtop1018 mla unga unataka apewe ngapi?!

    • @UzalendoNaUtu
      @UzalendoNaUtu 4 роки тому +2

      @@officialmrtop1018 laki 3 kwa dakika 10 alizoperform ni ndogo? Hapo kalipa watu wangapi na yeye kaingiza ngapi?

    • @mxofmfk8406
      @mxofmfk8406 4 роки тому +3

      @@officialmrtop1018 swali ni kama laiki 3 ni ndogo mbona kapanda jukwaani kuperform, mi nilijua angekataa kupanda jukwaani na ansingekuja kwenye hiyo show

  • @thabitisimba1143
    @thabitisimba1143 4 роки тому

    mshahara wa mtumishi wa serikal wa mwezi ye anaona ndogo msenge nini hata hivo konde anajitahi masaa tu laki tatu duuu

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 4 роки тому +14

    Hakika hela ndo kila kitu laki tatu zinaenda kukusumbua na ulegendary wako!!

    • @abastansanga7256
      @abastansanga7256 4 роки тому

      😂😂😂😂

    • @pgabbermusic5423
      @pgabbermusic5423 4 роки тому +2

      Ukiwa huna akili huo ukubwa wako unakua haina mana amelipwa laki tatu ila hajalazimishwa so hapo utaona upeo wa mtu kama yuko sawa au la

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 4 роки тому +1

    si angataa kwanini kakubali kupiga show chid chiz mkorofi.

  • @inoskingreskape8476
    @inoskingreskape8476 3 роки тому

    Harmonize jeshi king

  • @sammysammy2001
    @sammysammy2001 4 роки тому +2

    Hamonaz Big up

  • @yohanamollel988
    @yohanamollel988 4 роки тому +1

    Chid Benz ni msenge kinyama kama ulikuwa na hiyo laki tatu si ung'ekataa kwenda kupiga hiyo show fala kweli!!utakufa na maunga yako so jeshi usikatwishwe tamaa na mataga kama huyo

  • @faidamakoye7735
    @faidamakoye7735 4 роки тому

    H nakupenda kama nini yan tembo OG yani

  • @arushamix6036
    @arushamix6036 4 роки тому +10

    Hiyo laki tatu Chidi alitakiwa kupewa tu bila kufanya kazi yoyote, kumpandisha stejini mnatakiwa kumpa pesa zaidi ya hiyo.

  • @kingrasdee445
    @kingrasdee445 4 роки тому +2

    Flag sana kw Konde boy, sem2 chid madawa yalmfanya kaarb na kutaka kumshusha!!

  • @SaibMafimbo
    @SaibMafimbo 7 місяців тому +1

    LAKI 3 YA TANZANIA 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @saeedmassoud256
    @saeedmassoud256 4 роки тому +3

    Play back c mzuka izo ni show mbovu

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 4 роки тому

    Haha haha huhuhuhu hahahaha dunia wadaa ulimwengu shujaaa

  • @mcdondosha4151
    @mcdondosha4151 4 роки тому +2

    Kaka mkubwa chid nae kwani hakujua au alialikwa kama underground😂😂😂😂

    • @saidally4106
      @saidally4106 4 роки тому

      Utoto mwing child benz

    • @mcdondosha4151
      @mcdondosha4151 4 роки тому

      @@saidally4106 amesahau kama ni mfano kwa wadogo zake sasa kama anafanya hivyo haileti picha nzuri

  • @umizandonga8867
    @umizandonga8867 4 роки тому +1

    Huu ulimwengu unakwenda kuisha Sasa, watu wa hovyo hovyo wanaopotosha jamii ndio wamekuwa waheshimiwa, viongozi wa dini ambao ndio warithi wa mitume wanauwawa na kusekwa magerezani kinachofata ni nn unadhani?

  • @juliasitemba4410
    @juliasitemba4410 4 роки тому +3

    Chaka yes

  • @yudadaniel4867
    @yudadaniel4867 4 роки тому +12

    mijitu kama hii ndio maana inaachwaga tu yeye alikuwa anataka million 10?

    • @kamaakamaa1795
      @kamaakamaa1795 4 роки тому

      Yuda Daniel subscriber channel yangu

    • @UzalendoNaUtu
      @UzalendoNaUtu 4 роки тому +1

      Alivoona kumejaa alidhan ye ndo kajaza hahah

    • @mariamfritsi9761
      @mariamfritsi9761 4 роки тому

      Tatizo ndio hivyo unapomsaidia mwenzio ingalao apate kitu,matokeo ni kulaumiwa,bora usisaidie kuepusha lawama.

  • @shillaedmund
    @shillaedmund 4 роки тому +4

    Tishaa sanaaa Konde BoY🔥🔥

  • @DisBes
    @DisBes 7 місяців тому

    Ukiwa mteja sehemu yoyote lazima uzarauliwe

  • @rabaonetv
    @rabaonetv 4 роки тому +1

    Jamani baada ya kumwona chuma
    Basi twendeni tukajifunze uzalishaji wa bidhaa mbali mbali za viwandani huku kwenye channel yetu RABAONE TV
    Mafunzo ni BURE KABISAAA
    Tunafundisha uzalishaji wa bidhaa mbali mbali kama vile sabuni aina zote, lotion, cream, mifuko na zinginezo nyingi.

  • @humphreymwamasage9805
    @humphreymwamasage9805 4 роки тому +4

    Haikustaili mkubwa kumuonesha hayo Mdogo ako ...kakukumbuka mpe hekima yake

  • @joshuajoshua7092
    @joshuajoshua7092 4 роки тому +4

    Mtt wasimba huyu anawanyosha saf chid alitaka nn

  • @muhambeKalubala
    @muhambeKalubala 6 місяців тому

    ww ni jechi tuh hakuna mwengine kabisa Kazan naile kipaji man

  • @johnsilima6789
    @johnsilima6789 4 роки тому +8

    Hahahaaaaaa nimecheka eti na nmepiga hii show kwa laki 3 tu hahah jamn sio saw bwan

    • @jumayusuph8471
      @jumayusuph8471 4 роки тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂 daaaah jamaa anazingua aiseee

    • @samiramadenge953
      @samiramadenge953 4 роки тому +1

      @@jumayusuph8471 angepewa 50 tu inatosha kwa unga

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 4 роки тому +1

    Kumbe wenyewe hamjui kilichomkera, mbona head lines mnasema kulipwa laki tatu

  • @costantinejoseph4907
    @costantinejoseph4907 4 роки тому +17

    anazngua kamma ndogo kwa nini alipanda jukwaani? sio ustaarabu

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 4 роки тому +2

    Konde yuko juu balala mijitu yote hio inaipa milo mitatu 3 af miaka sasa

  • @Favour-keys
    @Favour-keys 4 роки тому +1

    You got it men 👊

  • @hameesmohamed9236
    @hameesmohamed9236 4 роки тому +9

    Bange bwana 😂😂😂😂😂😂

  • @amourabbas2306
    @amourabbas2306 4 роки тому +6

    Laki tatu izo Mie nazi subiri mwezi mzima aisee yeye amezikamata ndani ya siku moja. Maisha hayawezi kuwa sawa kwa kila mtu

    • @johnsilima6789
      @johnsilima6789 4 роки тому +2

      Omary ndio Mimi wew hiyo ni show bro na ndo kaz yake wenzie wanaparfom had kwa million 100 kwa show moja

    • @officialmrtop1018
      @officialmrtop1018 4 роки тому

      @@johnsilima6789 kabisa kwa msani kabisa kulipwa laki tatu ni maajabu sana

    • @s.y.b..0039
      @s.y.b..0039 4 роки тому +2

      Wasanii wa bongo wamekata tamaa wajikuta ma legend wakat mafanikio kma chd yuko poa ila kashaa jkatia tamaa kwajili ya mafanikio ya wenzake na huo ni wivu mchekin na dudubaya ndo hao ma legend wanao tukana wasanii wadogo koz hawana mashair ya kuimba kizazi kipya
      Kama unapenda mzki sikiliza miziki

  • @dastaniguni5599
    @dastaniguni5599 4 роки тому

    Huyo maza na mjezi wa utopolo tumbo km Molinga

  • @khalifahmtata8659
    @khalifahmtata8659 4 роки тому

    Kweli shetani ana nguvu sana haya yote ni maasia wallaah c biblia wala msaafu unakubaliana na hii kitu
    Mola tujaalie mwisho mwema

  • @MubarakaSaid-w7w
    @MubarakaSaid-w7w 9 місяців тому

    fire❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @danielmwangonda8380
    @danielmwangonda8380 4 роки тому +5

    Kuwa makin na kazi mbona hakuna alicho fanya chid kwa konde

  • @PIDOCHUGA
    @PIDOCHUGA 4 місяці тому

    Hi

  • @kaitaramadan6340
    @kaitaramadan6340 4 роки тому

    Duh

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 роки тому +21

    NILIKUWA NAMPENDA ILA ALICHEMSHA MDOMO AWACHIE WANA WAKE NA MAUNGA HAYAMUACHI MTU SAWA ...

    • @indiaboytz5731
      @indiaboytz5731 4 роки тому

      Kweli asee uyu mshkaji ata mm amentoka kabisa nilikua fans wake mkubwa ila kafanya ungese fala uyu ana maana teja abebeki

    • @hassansalumu932
      @hassansalumu932 4 роки тому

      We aunaakil

    • @nicehamis2448
      @nicehamis2448 4 роки тому

      Hahahaha 😀

  • @susanmwalili4365
    @susanmwalili4365 4 роки тому

    My son loves You KONDE boy

  • @hamisisuleiman9487
    @hamisisuleiman9487 4 роки тому +4

    Good jeshi

  • @tekonmwangi4232
    @tekonmwangi4232 4 роки тому

    Me I love you harmonice

  • @6VEVONEWS
    @6VEVONEWS 8 місяців тому

    Chid benzi ni chizi tuu huyo

  • @tumabhay8576
    @tumabhay8576 4 роки тому +2

    Watu wamepinda vby.

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 4 роки тому +11

    Ana tafuta sifa mie huwana mkubali Sema kazingua uyu kwel bangi ndo mana dudu Ana mchamba teja ni teja tu kaniboa sana

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 4 роки тому +2

    Mabaunsa nafikir wako vzr

  • @japharykassim6371
    @japharykassim6371 4 роки тому +7

    Duuuh awa mabaunsa hizi walizovaa masikioni nao wana jamaa zao wanaoripotia kama viongozi wakubwa kumbe

  • @Anonymous00018
    @Anonymous00018 4 роки тому +4

    Huyu nae mshamba vibaya. Joto hilo la bongo kaenda kuvaa jacket la baridi? Khaaa

    • @muddykitumbi4456
      @muddykitumbi4456 4 роки тому

      Kulikuwa na mvua inanyesha Dar ckuiyo acha kuongea bila kuwa na uhakika

    • @bonnysureolkokolaboy4342
      @bonnysureolkokolaboy4342 4 роки тому

      Hako kachalii linajiskia sana miwani haon mbele

    • @kingkabeje9273
      @kingkabeje9273 4 роки тому

      Duh hakuwepo sisi tuliloa mvua ila tukamsubir konde

    • @kamaakamaa1795
      @kamaakamaa1795 4 роки тому

      Poor Millionaire subscriber channel yangu

  • @alexnyawa2770
    @alexnyawa2770 4 роки тому +2

    Back stage ni hilo bus hahaha mziki ni mgumu sana

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 4 роки тому +5

    mia tatu...

  • @ericbeston1423
    @ericbeston1423 4 роки тому

    Nakukubar sana

  • @mptv2549
    @mptv2549 4 роки тому

    Good job harmo, keep up with the good job. And can someone tell ray to start thinking of his next step na achane ni baba yao harmo kabisa

  • @ismailmajala2802
    @ismailmajala2802 4 роки тому +3

    Kichwa cha habari cha kutafutia viewers 😆😆😆🤦🏽‍♂️

  • @nivogee9830
    @nivogee9830 4 роки тому +4

    Chid benzi analipwa laki3 sasa underground atalipwa ngap mamaee

    • @40kstore
      @40kstore 4 роки тому +1

      laki kwa chidi ni mkwanja mrefu sana,Kiukweli kabisa chidi hana thaman ya laki 3,hiyo show hakumaliza hata dakika 60 kulipwa laki 3 ni fair kabisa yaani,hali ngumu saa hivi...

  • @zarhaalmasi7170
    @zarhaalmasi7170 4 роки тому

    Bangi mbaya

  • @edwardmbonika8433
    @edwardmbonika8433 4 роки тому

    Kweli tejaa abebeki broo kubali kushidwa

  • @ameeraaljassim4138
    @ameeraaljassim4138 4 роки тому +3

    Kwani alilazimishwa iyo kitu alikua akitumia bado inamtatiza awepole

  • @dancerschanel8682
    @dancerschanel8682 4 роки тому

    tisha mbaya mwanang konde gang😂

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 4 роки тому +1

    Chidi nae Sai anazeeka vibaya.....