Draw hawapati God is great Kila wakati next level sio level za chini wala za kati just play your part. Hahahaha your the first and only Msukuma mjanjaa on 🔥🔥🔥🔥🔥 like zangu jaman
Msodokiii nisie ogeaa dodoki hata waje na Gun hawachomoki watoto wengi wanaforce tufanane ila mimi natoa Hits song usku wamananeeeeeeeeeeeee🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🇹🇿🕦🧠
Ipo siku mtanielewa kwanini nasemaga Young killer ni best rapper dunia nzima. "... Juu ya map ya dunia namba maja Basi mwambieni Roma arudi nyumbani kumenoga..."
Hawa watu kama young killer ndio tunatakiwa kuwapa sapoti mno,sio hawa,wapiga kelele wanaoimba upuuzi,mpaka wimbo unaisha hakuna cha maana walichoimba,dizasta ashasema "wanaficha ubovu wa mashairi yao kwa uzuri wa flow"
Leoo namimi nimekuwa watano naitaji like 10 tuu ili hii song ifikee mbali zaidi
Go get a job please
Ngoma kali
Kama una amin young killer ana beba top râper award gonga like apa😊🎉🎉❤❤
Deeemmmm, 🔥🔥🔥
Huyu Sasa ndiye Msodoki tuliyekua tunamisi kabisa!!Happy come back Msodoki Young fire 🔥🔥🔥
"Boss hana neno ila wapambe ndo wana nguvu."
Kama umeielewa deep sana hii line, gota like mwamba❤❤
Rapper in Tanzanian🇹🇿 gonga like kama unakumbali young killer
Jamani na mimi naombeni like leo cjawai kupata ata like moja kwl msodoki the son
Mspdokii
Unafiki tuache huyu bro anajuwa sema alisema ameangwa na a
Sato kwo musimchukulie powa ❤❤❤❤
Draw hawapati God is great Kila wakati next level sio level za chini wala za kati just play your part. Hahahaha your the first and only Msukuma mjanjaa on 🔥🔥🔥🔥🔥 like zangu jaman
A kenyan🇰🇪🇰🇪here salutes this dude..
Am a Rapper from kenya
And now this is wat we call rap
From the Audio to the visuals
Big up Tz
"moyo una Amani karume yan masoul is free
Sitback relax,..open eyez and see"
King of verses in Tanzania ndan ya beat ngum✊🏾✊🏾
Msodokiii nisie ogeaa dodoki hata waje na Gun hawachomoki watoto wengi wanaforce tufanane ila mimi natoa Hits song usku wamananeeeeeeeeeeeee🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🇹🇿🕦🧠
Chaajaaaabuuuuuuu zaidiiiiiiii muhuni anatoa song af leo sk yake ya kuzaliwa ndo maana ya 13
"Ukihisi njaa kisela kula story halafu shushia na maji"🤓💯🙌🔥🔥🔥
Mwenye njaa hana choice Kila kitu atasema ndio .. ndio ndio ndio 😁🔥👊🏾🏁
Msodokey huna Baya ...... Alafu hii imfike Yule anajiita MBUZI.. ❤❤❤❤❤❤❤
Oiiiiiiiiiii sasa mkono unailamba vp wakati umekula kwa macho mwite Erick msodoki whoooooza mtu wa maana kabisa
“Mikono unailamba vipi wakati umekula kwa macho!”…Killer💯
Ngoma iyi nitaisubiri kwahali na uvumba lazima niwe wakwanza kuisikiliza
Oya tujuane Basi Mimi naisubiri nikiwa Lusaka Zambia 🇿🇲🇿🇲
Yule Favourite rapper wa rapper umpendae he is back on it 🔥🔥😊
Great come back msodokii aliye fany ulale ndy kafany uamkee 😂😂
Léo umeuwa brother 🔥🔥🔥🔥 Tia like kama unamkumbali msodoki
Msukuma mjanja 🔥🔥🔥.
Nakubali msee from+254🇰🇪
🎉🎉🎉awe live tumpee hongelaa ake af leo live kirumba stadium kuchek pambaaa akiwa na shem letu mzunguu
Erick msodooooookii bro we hauna mpinzan mwanza mwanza❤❤❤
Tz tuna young mmoja wengine wote takataka. No one like msodokiii!🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kila Boss ana Boss wake 🔥
BOSS hana neno lakini wapambe wana nguvu😂🔥🔥🔥
Young muuaji umebakiza mwenyewe kwenye kizazi Cha ma young
Nakubali kaka 🔥🔥🔥Sana2 wasukuma naomba like zangu
The first Kenyan to comment 0:39
Skupingi kaka kaz nzur
(Salamu kutoka kwa mdogoake na *silabi*
Unajua mzee hakuna rapa kama ww bongo
Kila boss na boss wake ila ushindi lazma🎉
Jana umesema inatoka sasita leo tena naona itatoka sa5...hii ngoma tumeisubili kwa hamu sana fanya kuiachia sa5 bax
Jamani hata like mbili basi 😂😂😂😂
Happy birthday broo.🎉🎂🎂
(Wote waliocomment wakwanza hawajui ni birthday yake leo, Nipeni LIKES zangu😂😂)
#Msukumamjanja😂❤ndio leo kazaliwa aiseè wasukuma to the top🎉😂😮
Konde aje ajifunze kizungu hapa🙌🏾
Bonge la ngoma!!!!Msodogi hatar sana.
Yan watajua hawajui mwili wa sungura ila mapafu ni chui.
YOUNG KILLER GANG
MWAGA MA ❤❤❤
HAPA ❤❤❤❤❤❤❤
MSUKUMA MJANJAAA😂😂😊
Michano mwanzo mwisho yaani kama ujasikia chores nipi like za 254
hivi unafanya kazi ili ule au ule ndo ufanye kazi🚀🚀🚀🚀🚀killllleeeeeeeeer
Msodoki on fire nakubali sanaa 💯💯
Mwenye killer zake 🔥🔥🔥🔥
Ii ni bonge la ngoma ✅✅✅✅
Jamaa anajua tuache utani🇺🇬🇿🇦
Tunao subiri tu like hapa tafadhali🔥🔥🔥
Young ni mmoja tu hapa Tz. Ambae ni Young Killer
This generation never get old 🔥🔥
Ipo siku mtanielewa kwanini nasemaga Young killer ni best rapper dunia nzima.
"... Juu ya map ya dunia namba maja
Basi mwambieni Roma arudi nyumbani kumenoga..."
Kuna rapars Young but ukizungumzia rapar bora killer ni mmoja @msodoki young killer
Much love from kenya Boss. Confirmed by Fortune Music ❤❤
Mistari iko pw ila biti imepoa.biti limekaa kimakumaku sijalipenda
Kakuambia ukiona anachofanya ni easy fanya wewe ko pga bit unaloltaka ww yy kalitaka hlo
Ebana
Ww n ww tu young killer the one and only
Msukuma mjanja.
Sio kila young NI killer ..msodoki... God is good kila Wakati 🔥🔥🔥🔥🔥
Kama una 6 kaa pembeni wenye 7 wasababishe 🔥
Namuona bro angu Tuma apo
One love from Uk to tz❤❤
Young killer mi nakukubali sana kak naitwa YOUNG six6 RAPPER MBISH ila iiih ngoma umeuwa niweke basi kwenye lebo ya SINAGA SWAGGA Broo najuwa kuimba
Oyiiiiiiiiiiii wangosha sasa like
Mkono unaulamba aje Wakati Umekula kwa Macho 😅😅😅😅💪💪💪🤜💥🤛
Hivi watu mnaoomba like, mnapataga nn na hzo like?
😂😂😂😂😂zinakaz yake ukiwa tayar kujua utajua
😂😂huwa sielewi yaani, wanavyozililia hadi inaboa
@@GilbertProneth ipi sasa kaka
😅😅
ahahahahahahahahahahah
My favorite artist in Tanzania 🙌🙌
Young K. Msukuma mjanja 4 life congrats brother...
Me sikusifiii Sana MSODOKI we ndo unae nifanya ni fnye hip hop lol modo wangu 🚀🚀🚀🚀
Hii ndio hip hop Sasa , tunayo sikiliza wanaume, uyo munae mshindanisha nae , wana msikiliza wadada tu,
Killer Mbaya sana Ila sahv mabit wanayompigia mabovu sana
DRC tunakukubali killer napenda sana hip hop Yako kutoka Beni Kivu ya Congo mindo shabiki namba moja
Kila boss anaboss wake🔥🔥🔥 killer msondokiii.... unajua mpaka unakeraaa🔥
Mzigo nimeucheck naona niwenyewe kabisa
Japo nilicherewa this rock is Young killer, if you agree with him, click like here, there are many
Mwanza mwanza nyimbo nzuri hip hop
Big up Y .K # much respect # I am your fan @mvune boy from burundi
Mliomwambia anizuie kanambia pitaah, usiyemdhania ndo atakaekukunjia nditaah, oaaaa gonga like hapooh. 😂😂😂😂
young killer mkali kuliko mbuzi mxhamba 2 😢😢😢😢😢😢
Msodokiii nataka kuwa kama we we nixaidie
🎉😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅sisi tunatabasamu nipeni laini zangu
Banger Hit Noma Sana Hatari 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪
Hawa watu kama young killer ndio tunatakiwa kuwapa sapoti mno,sio hawa,wapiga kelele wanaoimba upuuzi,mpaka wimbo unaisha hakuna cha maana walichoimba,dizasta ashasema "wanaficha ubovu wa mashairi yao kwa uzuri wa flow"
Mipangilio mizuri ya maneno ase... Safi sana msofoki
Unajua xana we msodoki the son
Killer sio Mtu mzuri #klmy
Sema Kaka unajuaa❤❤
Killer ni Young done
Home boy nakukubali sana unachezea maneno vilivyo sio yule mpiga kelele anajiita beberu je ngosha nimuite nani? Dah
Mistari mikali ndani ya beat gumu sana any way ❤
Sodoki🔥🔥📽
Young killer and young lunya wote level moja chuki ya nini?this guys hatari sana
Nakubal young killer
Mlie mwambie anizuie ameniambia pita young killer nimmoja east
Hii ji sawa na mtu kasomewa albadir alafu hajabadilika , 😂😂🔥🔥🔥🔥
Jaman wa kwanza mm nipen like zangu
Young killer huna mpinzan salam ziende kwa yule ajiitae mbuzi mshamba akitoa nyimbo kelele za jenereta
HAPPY BIRTHDAY ERIC MSODOKI, 13 April ,young that kills the beat,young mwenye city yake
katika wasanii ninao wakubari kaka wew namba moja mungu akulinde kaka🙏
Legezaa mashairi hayo na beat mwanangu
Na pisi zikusikilizee
ndo maana Og alikwambia ngoma zako za ssa hazieleweki. ni kweli kwa sasa style yako haifrahishi
Dah unawat wengi sana ambao tunasubili mamb hay Tisha San ❤❤❤
yess young killer killing this song👊
@sawa mm nimshamba wew kipi kikustikishacho#msukuma mjanja.
Wa kwanz mm
Mikono unailamba aje wakati unakula kwa macho💯👌🏽