MUSUKUMA AMCHANA PROF JANABI BUNGENI" USHIKE BREKI, MIMI DAKTARI MWENZIO, ANAHESHIMIKA SANA AJIELEWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 472

  • @user-kk3fp2yq2d
    @user-kk3fp2yq2d 3 місяці тому +4

    Afathari na Nyinyi Watanzania mnavyakura vyakutosha kupambana nahizo pombe feck hapa kwetu Rwanda Kigali unakuta vijyana miaka kumu na Tano wanajikojorea sababu ya hizo pembe akinywa hata asipo kunywa Asante sana Msukuma

  • @JoyceAlfred-dv6cw
    @JoyceAlfred-dv6cw 3 місяці тому +24

    Hongera sana Mh Msukuma,msema kweli Mpenzi wa Mungu,big Mb

  • @MsafilymsafilyChaless
    @MsafilymsafilyChaless 3 місяці тому +32

    Sema kiongoz wetu tuko pamoja,

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 місяці тому +38

    😂😂😂😂😂 Msukuma yuko sahihi saana kwa Wakulima na wafanya mazoezi chakula hakikai, ushawahi muona mchezaji wa Mpira Ana kitambi , ila wakiacha mazoezi waendelee na diet

    • @RamadhaniJitelani
      @RamadhaniJitelani 3 місяці тому

      Janabi hataki mazoezi unayoyasema wewe

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 3 місяці тому

      ​@@RamadhaniJitelanikwa hiyo anataka nini

    • @shakurfaith
      @shakurfaith 3 місяці тому

      Anataka kuolewa​@@agnesjohn9382

  • @neemabright3635
    @neemabright3635 3 місяці тому +14

    Safi sana Dr. Mm ni mwanafunzi wa SUA umenena vyema .... Wanaotufundisha wengi hawapractice n hawafahamu vizuri kinachoendelea mjini well..... Research is everything in a developing country well said....

  • @SimbaM2kufu
    @SimbaM2kufu 3 місяці тому +37

    This guy is very much on point. We need to be self-reliant. We can't just sit and wait for westerners to bring us their misleading research.

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 3 місяці тому +2

      wao ndo wanaogoza research kubwa kuubwa zpte duniani research ni investment do we invest au porojo? hakuna research za kukalili lazima uingie field na uinvest wenzetu wana invest

    • @Soon815
      @Soon815 3 місяці тому

      Well said

    • @SimbaM2kufu
      @SimbaM2kufu 3 місяці тому +1

      @@ChoroTesla Rukia kusoma comment yangu. I didn't say we have invested in research, I said we need to.

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 3 місяці тому

      @@SimbaM2kufu i got you sasa msukuma anataka vitu vijiiibue ajue wenzetu wanashinda maaabara sie tunashinda tiktok na instagram mama anaupiga mwingi

    • @tolisso4287
      @tolisso4287 3 місяці тому

      😂😂 we jamaa

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 3 місяці тому +37

    Hii tanzania tunaweza letewa sumu na tusijue tukala na TBS ndo imepitisha tule

    • @misangasaidih8764
      @misangasaidih8764 3 місяці тому +4

      Kabisaaa

    • @simasima8084
      @simasima8084 3 місяці тому +1

      Sbb yy ni pr..

    • @mussakimaro5588
      @mussakimaro5588 3 місяці тому

      @@simasima8084 hasa hizi matirial ya vinywaji vikali ni hatari sana waliambiwa tuipitishe gongo bungeni ili ipikwe kiasili zaidi nadhani tungekunwa vitu original sana tusingeugua mafigo na maini tungekula vitu vya asili kabisa

    • @mussakimaro5588
      @mussakimaro5588 3 місяці тому

      @@misangasaidih8764 Gongo haram sumu zinazotoka nje halali na TBS wanapitisha wanakwambia hii imepimwa hii nchi tunauwana wenyewe kwa wenyewe

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 3 місяці тому

      sio tanzania ni Tanzania

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 3 місяці тому +35

    Professor Janabi kaeleza vizuri, shule yake ni kwa wale wasiofanya mazoezi au wasiokuwa na kazi nzito wasile hovyo.

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 3 місяці тому +1

      ndo wabunge wetu hao... anakuja bila tafiti chanjo hiizi hua zinakuja kutokana na idadi ya ugonjwa kwenye records za hospitali zilivyo haziiibuki kuhusu bajeti punguzeni matumizi ya serikali uanzishe maaabara na nyie mlioko bungeni mnawashambulia wataaalamu.

    • @jahatvonline
      @jahatvonline 3 місяці тому +1

      Dr Janabi anazungumza tafiti yupo makini sana

    • @reynaaalrawahi4137
      @reynaaalrawahi4137 3 місяці тому

      Dokta yupo vizuri alichosema. 🎉🎉🎉

    • @dominickmahela1581
      @dominickmahela1581 3 місяці тому

      Huyu jamaa leo ndo kaongea pumba tu pengine anaangaliaga meme kuhusu Janabi na hajawahi kumsikiliza😂

    • @phakundigervas1360
      @phakundigervas1360 3 місяці тому

      Kwa Mbunge huyo kila asichokipenda YEYE ni Suomi fake lakini ni mjinga wa bangi believe it.

  • @shabanramadhan7632
    @shabanramadhan7632 3 місяці тому +12

    Jamaa Yuko vizuri sana

  • @Chaser2497
    @Chaser2497 3 місяці тому +37

    Mbunge Msukuma kaongea point ambazo ingefaa zichukuliwe kama zilivyo kwenye utekelezaji!!!!
    Hapo Kuna wasomi uchwara wanajua hayo ila sjuwi nani aliyewaloga😢😢

    • @user-sm4jq6hq1t
      @user-sm4jq6hq1t 3 місяці тому

      Huyu mtu ni darasa la Saba lakini anapointi zilozo sheheni nondo za kutosha

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 3 місяці тому +1

      Mkiumwa mfateni msukuma awatibu

    • @Chaser2497
      @Chaser2497 3 місяці тому

      @@mustaphahassan589 ukitaka kuuua mti kata mizizi sio kukata majan na kuacha mzizi.....
      Mf.ukipunguza wanga halaf ukala Nyama ya Kuku aliyekuzwa mwezi au wiki kipi bora

  • @bakarishabani5538
    @bakarishabani5538 3 місяці тому +11

    Kweli msukuma kuna baadhi ya mambo hayahitaji ufike hata chuo.sijui kwanini hatuwezi kutumia akili.Watoa maamuzi mtusaidie.

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 3 місяці тому +21

    Mbona professor janabi anasaidia watu wengi sana, kupitia mitandao,, naomba mwacheni mzee wetu afanye kazi kuelimisha, na kuboresha afya za watanzania. Msimtengenezee kinyongo,,, serikali inapaswa kuwapa kipaumbele watu kama professor janabi. Na sio kwenda tofauti nao.

    • @samsonhamery3809
      @samsonhamery3809 3 місяці тому +1

      Hujamwelewa mbunge msukuma je wewe unakula kijiko kimoja kama mlo wako wa siku?

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 3 місяці тому

      @@samsonhamery3809 kwani dr alisema watu wale kijiko kimoja.

    • @ramadhanijuma4130
      @ramadhanijuma4130 3 місяці тому

      Ukiwa hujaelewa ni vema ukanyamaza au ukaomba kueleweshwa.

    • @fatmaallyabdul1732
      @fatmaallyabdul1732 3 місяці тому +1

      Tatizo letu huwa tunapenda kuleta negativity kwenye ukweli,ni kwa vile tumetofautiana miili yetu mwingine hata ale vipi hanenepi ,mbunge hapo aametoa mfano wa mtu anayefanya kazi ngumu what about Mimi ninaeshinda ofisini??Mimi Niko pamoja na professor Janabi katika hili kwa mustakbari wa afya yangu,sina muda/nafasi ya kufanya mazoezi basi acha nifuate kanuni za ulaji bora

    • @farajachiwile7388
      @farajachiwile7388 3 місяці тому

      Ila ni kweli ukipungua wakati wa ujana, utateseka uzeeni. Mtu akifika miaka 50 anapungua muscle na mwili unalegea. Unabaki mifupa.

  • @masoudabdi6076
    @masoudabdi6076 3 місяці тому +3

    Mungu akupe maisha Msukkuma...
    Hawa viongozi ni shidaa sanaaa....hatuna kiongozi anaetetea Maisha ya Mtanzania

  • @euniestherwilliam1513
    @euniestherwilliam1513 3 місяці тому +12

    Tanzania yangu. Profesa watamuelewa wenye ufahamu mkubwa. Ila kwa upande wangu nampongeza Prof Janabi kwa elimu kubwa aliyotupa.

    • @MesiaMtui
      @MesiaMtui 6 днів тому

      Ndugu we wa mjini jembe hulijui Wala sio mjenzi mfuate

    • @RehemaMtiwa
      @RehemaMtiwa 3 дні тому

      😊

  • @alexdukes5547
    @alexdukes5547 3 місяці тому +3

    Msukuma hajuwi kumbe hii nchi inaongozwa Kwa wahisani,mmoja tu aliekataa huu upuuzi wa kufanyiwa majaribio,laeo hii hayupo tumebaki kama mbayu mbayu,janabi anatufundisha vizuri,ukitaka kuchagua tunza hela uje uzitumie kwenye matibabu au tunza Afya uje utumie afya yako vizuri...chagua we mwenyewe.

  • @b1vevo
    @b1vevo 3 місяці тому +1

    The leader he know how to protect the citizens, thanks Dr. msukuma

  • @hezekiamtera3559
    @hezekiamtera3559 3 місяці тому +5

    Wabunge zungumzie bima ya afya kupitia mashuleni.Vigezo vilivyowekwa havitekelezeki.Wanafunzi wengi wana bima kupitia wazazi wao ambao ni waajiriwa.Idadi iliyowekwa haitekelezeki

  • @elifariji
    @elifariji 3 місяці тому +12

    Da! Kweli "Bunge" halina mipaka. Hata Professor Janabi mwamsasambua? Hapana!! No! No! No. Nitafurahi Sana nikisikia mumemuomba radhi. Yaani "Wabunge" mnahitaji Sana elimu ya Dr Janabi maana mnashinda mmekaa na %kubwa mna vitamin vya kutisha. Ingekua Bora Sana Kama mngemkaribisha akawapiga darasa siku moja

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 місяці тому

      Hili jinga linatumia kipaza sauti vibaya kutukana wenye taaluma zao!haifikii hata nukta alichokisomea profesa janabi!amuombe radhi hadhi ya janabi haifii hata kwa ukucha!Toka apewe udaktari wa funza chooni basi amekua namadharau sana bungeni Lenyewe halikwenda shule sasa linataka na wengine waonekane wajinga kama yeye! Nashangaa sana kila likiongea nikuwashusha wengine utadhani yeye kafanya la maana huko jimboni kwake madudu matupu!limekuwa natabia likifika bungeni kukosoa wengine

    • @HalimaJuma-hz4qe
      @HalimaJuma-hz4qe 3 місяці тому +1

      Hahahha akakufundishe nyumbani kwako sie tunajua

    • @johndeogratias8099
      @johndeogratias8099 3 місяці тому

      Ukiwa na kichwa kigumu huwezi elewa kamwe alichosema msukuma

    • @JosephMpangala-wd5mp
      @JosephMpangala-wd5mp 3 місяці тому

      Nikweli ukosahihi.

  • @apostlelukumay1856
    @apostlelukumay1856 3 місяці тому +2

    Msukuma ameongea point, japo hoja zake zinakosa mashiko kwa sababu wanaopaswa kuwajibika wamekaa kimya.

  • @TheresiaAndrea-hv9dg
    @TheresiaAndrea-hv9dg 3 місяці тому +7

    Msukuma anachosema yuko sawa kwa kiasi furani. matikiti maji yanayodungwa sindano na kuku wa wiki tatu ukila vinaadhiri mwili kwa kiasi gani?? I love you Msukuma you are so geneous.

  • @FrankMwakalinga-k9y
    @FrankMwakalinga-k9y 18 годин тому

    Mh.Msukuma nakwelewa sana kwa unayoyaongea ni hatari kwa afya yetu😢

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 3 місяці тому +2

    Ee yesu yasn msukuma umeongea mnoo mpaka nimelia uwiii😢😢safi.mnoo sijui itafatiliwa jamani

  • @YonaMollel-y7k
    @YonaMollel-y7k 3 дні тому

    🎉😂❤😂 congratulations msukuma

  • @MojamojaMojamoja-lw2ph
    @MojamojaMojamoja-lw2ph 3 місяці тому +5

    Ni kweli hatiwezi kula kijiko kimoja ugali kutwa mara 3 janabi tusamee😂

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 3 місяці тому

    Hongera mh msukuma na Esther Leo mmeonggeea. Kitu chamaa maana sn kweli kunnatatizo mahala kweny vinywaji. Hivi vipo vvya ovyo vingi. Viina itwa. Smart gynni vinyywajji. Gani hivvii. Ni. Ovyo kwa kkweli

  • @African511
    @African511 3 місяці тому +18

    Alooooo msukuma umegonga kwenye mshono,hahahhaaa aloooooo❤❤❤

  • @nyangiboboazi3188
    @nyangiboboazi3188 3 місяці тому +5

    Msukuma una akili sna wew na unastahili kua Doctor

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 місяці тому

      Hujui kama alipewa medali ya doctor wa funza chooni?

    • @JonasPhilimon
      @JonasPhilimon 3 місяці тому

      Wanauza bar ndio uwezaji wamaprofessa

  • @saidabdallah2649
    @saidabdallah2649 3 місяці тому +4

    😂😂aisehh sio lazima usome sana kikubwa nikujiuliza kabla ya kusema kitu jamaa anajua sana huyu

  • @Fundnlly
    @Fundnlly 14 годин тому

    Safi sana bila hivi tutaisha

  • @TimotheoPeter-pr3ve
    @TimotheoPeter-pr3ve 3 місяці тому +2

    Nice speach

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw 3 місяці тому +2

    Hakuna kizuri mpaka mwisho wala kibaya mpaka mwisho. Mwerevu ni yule anayetambuwa uzuri kwenye kibaya pia kutambuwa ubaya kwenye kizuri. Akili ya kuambiwa, changanya na ya kwako.

  • @GSaleh-xr3vn
    @GSaleh-xr3vn 3 місяці тому +12

    Dhana tulijengewa waafrika ni kila cha mzungu ni bora

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 3 місяці тому +1

      Kabisa upo sahihi na hicho ndio kinachotumaliza

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 3 місяці тому

      wao ndo wanaongoza kwa tafiti kubwa duniani huwez wapinga km jnapinga uje na facts

    • @GSaleh-xr3vn
      @GSaleh-xr3vn 3 місяці тому

      Nimekuelewa maana Hata ushoga na usagaji wameufanyia utafiti na kugundua kua hauna madhara ​@@ChoroTesla

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 3 місяці тому

      @@ChoroTesla kama wao wanaongoza kwa tafiti duniani kwanini na sisi tusijifunze kuwa watafiti? Tunasubiri tu wao wafanye utafiti sisi ni kupokea tu

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 3 місяці тому

      @@NeemaSamson-ti8pc ume invest?

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 3 місяці тому +3

    Janabi ni mtu ganii Kwa mjomba Sasa nimemjua Mungu akupe maisha maref Janabi tundu la sindano

  • @thabititv3783
    @thabititv3783 3 місяці тому +2

    Msukuma da!! eti sipingani nae dada angu kwakuwa yeye ni mteja wa hvyo vitu

  • @MahmoudMohamed-gx1fk
    @MahmoudMohamed-gx1fk 3 місяці тому +7

    Dr janabi amefafanuw vzr watu wanofany kaz ngumu wale vp watu wa ofisin wale vp yani zikilizen vzr ufafanuzi wa daktari ,

  • @KahambasDaughterTherock
    @KahambasDaughterTherock 3 місяці тому +2

    chanjo kweli zimezidi😂😂😂Msukuma bwana😂😂

  • @michaelmoro4801
    @michaelmoro4801 3 місяці тому +1

    Niko pamoja na wewe mkuu wangu umesema kweli kabisa Mungu Akubariki

  • @RechoMasunga-rp9dr
    @RechoMasunga-rp9dr 3 місяці тому +1

    Msukuma wewe ni jembe nakuombea mungu akubariki Sana

  • @pascaldomel1551
    @pascaldomel1551 3 місяці тому +1

    Mzee unasema kweli,nani kasema msukuma siyo msomi.Mimi naona msukuma anasema ukweli wote ambao sasahivi Tz tumekuwa kama pango la kuletewa chanjo za kila aina.Kama nchi tusipoangali tunaweza kumalizwa na hawa wenzetu kutoka magharib,kwani kumekuwa na magonjwa ya kila aina,mengine hayana majina kumbe ni kwa sababu ya vyakula na chanjo zisizo thibitishwa na wataalamu wetu.

  • @patricksebastian3593
    @patricksebastian3593 3 місяці тому +1

    Doctor Msukuma nakubari sana kazi yako

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 місяці тому

      Kazi gani ameifanya ikaonekana na kusifiwa? tuambie nasi tumsifie

  • @EmmanuelMlawa-ee3oq
    @EmmanuelMlawa-ee3oq 3 місяці тому +7

    Akuna Cha pointi uchaguzi umekaribia

  • @geofreykayombo401
    @geofreykayombo401 3 місяці тому

    Musukuma yupo vizuri sana,kweli bhana south africa hawana hata haya machanjo,mama akitoka hospitali imetoka hiyo,ukirudi ni checking za kawaida

  • @ladislausmoris9638
    @ladislausmoris9638 3 місяці тому +4

    Swala la chanjo hapo mr pm mungu akubariki sana endelea kuwa muwaz na kusema bila kigugumiz maana hali n mby saanaaaa tunaumia

  • @sayunimkongwa9830
    @sayunimkongwa9830 3 місяці тому +2

    Kweli msukuma chanzo zimezidi Sana.

  • @user-tv8ub4fk5i
    @user-tv8ub4fk5i 3 місяці тому

    Namuelewa sana my msukuma anasema anaeishi korogwe ni kweli kabisa amewahi kuniuzia viatu,naomba Bunge limlinde na kumtunza ana maoni ya mbali atatufikisha pazuri speed nafasi zaidi

  • @alphamenson3784
    @alphamenson3784 3 місяці тому +5

    Jamaa wanashindwa kuelewa Professor Janabi anachozungumzia ni issue ya mlo mmoja kwa siku, mlo unakuwa na aina zote za virutubisho yani ni mlo kamili. Hii ni moja ya tiba nzuri. Najua kuna watu wanajua zaidi yangu wanaweza kunisahihisha

    • @shukranisibale1739
      @shukranisibale1739 3 місяці тому

      Uwezo watu wanao wa virutubisho

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 3 місяці тому

      uko sawaa kabisa msukuma hajaenda shule yani anakuja kulalamika wakati hata usikute hali mlo kamili

  • @Swalehemwatika-n9b
    @Swalehemwatika-n9b 5 днів тому

    Mh msukuma ni Nuru ya taifa anasimama sanaa Kwa wananchi

  • @mohamedimiraji5495
    @mohamedimiraji5495 3 місяці тому

    Excellent argument

  • @ladislausmoris9638
    @ladislausmoris9638 8 днів тому

    Yaan msukum cjui kwann hupew nafas ya juu katk uongoz wa SERIKALI au ndo ile tanzania hatupend wasema ukweli???? Mungu akubarike saaaaan nakupenda unanifrahisha

  • @juliusmartin1839
    @juliusmartin1839 3 місяці тому +1

    Upo sahihi Pro. Janabi sijamwelewa

  • @brotherbenety
    @brotherbenety 3 місяці тому +1

    Msukuma noma sana😂😂

  • @chrismkama4889
    @chrismkama4889 3 місяці тому +5

    Nilichogundua Watanzania wengi tunachagua wabunge ilimradi.mliyopo kwenye jimbo la msukuma muandikieni notsi za lishe kwenye kimem chake cha bungeni.

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 3 місяці тому

      Ubaya wa kutokuwa na wasaidizi wa kushauri na kuchambua issues kwa ajili ya uwasilishaji!

    • @user-zi4hx4jf3o
      @user-zi4hx4jf3o 3 місяці тому

      We nawe toka ulichogea ata akieleweki Msukuma anasema ukweli hili Taifa tunakula sumu nyingi sana tukidai tunaletewa protein kumbe sumu

    • @frankkajoba8372
      @frankkajoba8372 3 місяці тому

      Sasa hapo hujaona alichoongea kina tija? Kwani kipi cha uongo?

    • @user-zi4hx4jf3o
      @user-zi4hx4jf3o 3 місяці тому

      Wewe unamatatizo inamana umeona kuwa Msukuma kaogea utumbo

  • @SamwelBalya
    @SamwelBalya 4 дні тому

    Kwan kua mbunge unatakaiwa uwe na nn maana naona nikikaa na mm mtambo unawaka😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @TellaaxisTz
    @TellaaxisTz 2 місяці тому

    Noma sana❤ #tellaaxistz

  • @jukiboy7012
    @jukiboy7012 3 місяці тому +1

    Iki ni kichwa dah 🙏🙏

  • @danielndilili7525
    @danielndilili7525 3 місяці тому +1

    Au bass msukuma njoo nikupe ng'ombe make unanigusaga kwakwel

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 3 місяці тому +18

    Msukuma unaakili sana kuliko hata hiyo mijamaa inayojiita wasomi uchwalwa

    • @fatmaallyabdul1732
      @fatmaallyabdul1732 3 місяці тому

      Wivu tu eti wasomi uchara,kwani yeye ndio alikwambia uishie darasa la sita???😂

  • @kazimoto-eq2th
    @kazimoto-eq2th 3 місяці тому +2

    Ajawai kukosea msukuma baraa sana

  • @user-gw8wv2zf2g
    @user-gw8wv2zf2g 3 місяці тому +1

    Bunge ni mara chache sana kusimamia vitu vyenye maslahi muhimu kwa nchi ila vyenye shinikizo la kutoka nje hapo kwa mzungu bado hatujachomoka chanjo hizo ndo vifo vya ghafla haviji kuisha. Msukuma Mungu akusaidie umeongea unaloweza kuongea kwa kifupi umenawa. Tanzania nani wa kuisemea nani wa kuiokoa na mikono ya mabeberu 😭😭

  • @user-fi6sh5qd2p
    @user-fi6sh5qd2p 3 місяці тому +2

    Akılı kubwa sana

  • @hemedallyabdallah133
    @hemedallyabdallah133 3 місяці тому

    Kaka uko juu
    Mi nakuelewa hongera sana

    • @LatwifSued
      @LatwifSued 3 місяці тому

      Kwakweli msukuma uko vizuri, sana sana, ninatamani nikuone nikae na wewe angalau wiki moja, .kwakweli mungu akulipe.

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 3 місяці тому +9

    Wasukuma huwa wanapointi nzuri

  • @abdillahchikota4303
    @abdillahchikota4303 3 місяці тому +1

    Dah Tanzania yangu

  • @DM_15
    @DM_15 3 місяці тому +2

    Darasa lasabu ndio linautashi kuliko digirii digirii kwenyefamiliazao wanavaa vichupi sebuleni nawatotowao halafu lasaba watoto niwatoto baba ni baba mama ni mama familia ya darasalasaba inajisitiri hakuna kubusiana baba na binti wala baba na kijana , njoohuku kwa wasomi baba ana must binti ye bilatatizo , naunga mkono darasa lasaba nangumbaluo hiz digirii hazina utashi

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 3 місяці тому

      na kweli naona hata kuandika kuna kushinda rudi tena shule

  • @immaknight4414
    @immaknight4414 3 місяці тому

    Apooo kwenye chanzoo nomaa Sanaa ckupingi DR MSUKUMA 😂😂😂😂😂

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 3 місяці тому

    Allah jaalia kila mwenye majungu allah amtie nguvu

  • @user-cf3fe3cu8v
    @user-cf3fe3cu8v 3 місяці тому

    Msukuma umetsha baba😂😂 hongera

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 3 місяці тому +7

    Mimi janabi kanisaidia from 120 kgs to 95kg sina chakumlipa ila mungu atamlipa, kama kitu hakina umuhimu kwako ni bora kunyamaza sababu sio kila kitu ni cha kila mtu pleasee tuachien janabi wetu

    • @cr1sp1n64
      @cr1sp1n64 3 місяці тому

      Naomba kuuliza amekupa ushauri kitu gani?

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 3 місяці тому

      Janabi wako tena 😂😂

    • @kellyngogo3319
      @kellyngogo3319 3 місяці тому

      Amesema wao wa vijijini.wewe wa mjini unakula mno na hupo busy hushiki jembe huna kazi nzito. Uwe unamsikiliza mtu anaongea nini

    • @kazkaz1943
      @kazkaz1943 3 місяці тому

      @@kellyngogo3319 sasa aloambiwa walikua wanaambiwa wao wa vijijini nan? Kwanza mtu wa kijijin hata janabi hamjui mpigie ndugu yako wa kijijin muulize unamjua prof janabi? Au unaongelea kijiji gan?

  • @JosephMpangala-wd5mp
    @JosephMpangala-wd5mp 3 місяці тому

    Professors yupo sahihi kabisa kulingana na mzingila na kazi ya mtu anayofanya, Mimi nimojawapo ninayemfuatilia sana, msukuma nendapole.

  • @DansonMtambi-fq2ff
    @DansonMtambi-fq2ff 3 місяці тому

    Hongera sanaa musukuma

  • @Manase_js
    @Manase_js 3 місяці тому +2

    Pombe nyingine ni ambiance hiyo ni moto

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 місяці тому +10

    TUZIKATAAE CHANJO JAMAANI. ULAYA WATU HAWALAXIMISHWI.

  • @innocentyusuph7762
    @innocentyusuph7762 3 місяці тому

    Hongera mh, Msukuma

  • @jeffreywilliams1171
    @jeffreywilliams1171 3 місяці тому

    Hii point muhimu sana, mkiendelea kuwafingulia milango hao watu weupe huko kwa uchu natamaa za chapaa,kweli mtaisha mtakuwa mapunga mpaka mtu usiyetarajia,mpango wa hao watu ni kurithi rasilimali ambazo nyie mpaka leo hamzioni

  • @evancegidion9155
    @evancegidion9155 3 місяці тому

    Shida kubwa iko kwenye usumbufu wenu ninyi wanasiasa maana kila utafiti unapofanyika watu wanatumia vyeo vyao na utaalamu hamna kisa kimtu ni kiwaziri basi ni kuamlisha mambo tu ila mtajichumia laana kwa kutuangamiza wananchi kwa kuizinisha na kubariki mambo ya hovyo kuja kwa wananchi na kubishia majibu ya wataalamu mnayopewa na kutumia siasa kwenye mambo yanayohitaji utaalam kutumika

  • @erastonyoka5021
    @erastonyoka5021 3 місяці тому

    Mweshimiwa msukuma hanaga mambo ya kupinfisha maneno yuko sahihi sana

  • @abudulingasa6413
    @abudulingasa6413 3 місяці тому

    Mungu akupe miaka ming dunian uwatumikie wana nchi

  • @seifkulwa3346
    @seifkulwa3346 3 місяці тому +14

    Chanjo za watoto wadogo 10 zote za nn?

    • @hagailanda8575
      @hagailanda8575 3 місяці тому

      Zinakazi tofauti, na ukweli tangia enzi tanzania hatuzalishi chanjo zote tunategemea nje. Kuchanja ni muhimu kusema watoto wanavunja ungo au kubalehe mapema ni mtindo wa maisha na siyo chanjo

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 3 місяці тому +3

    Akili za Janabi changanya na zako

  • @hezekiamtera3559
    @hezekiamtera3559 3 місяці тому +9

    Professor yuko sahihi.Tulitegemea wabunge muwe na ufahamu mkubwa.Janabi hajakataza kula.Anakataza kula ovyo.Wagonjwa wengi wanakuja hospitalu abawaona

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 місяці тому

      Huyu msukuma ni taahira, hovyo kabisa!linashindwa kutumia ufahamu wa kuzaliwa hata kama halijaenda shule,akili tu zakuzaliwa halina, sijui lilipata ubunge hili? kupiga kelele tuu kuharibu spika

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 3 місяці тому

      ​@@aairraahseif5648utakuwa na hasira na wasukuma wewe pole

    • @fatmaallyabdul1732
      @fatmaallyabdul1732 3 місяці тому +2

      Wanasubiri hadi daktari aseme nakuamdikia dawa utazitumia kila siku na chakula hiki na hiki na hiki usile tena ndio wataelewa nini Professor alikuwa anamaanisha,hebu tuone yeye mwenyewe alivyo na siha njema

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 місяці тому

      @@fatmaallyabdul1732 mashaallah hakika umenena 🙌

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 місяці тому

      @@agnesjohn9382 Sio hasira na wasukuma!mimi mwenyewe msukuma! Ninahasira na msukuma sindo ajiita hivyo

  • @jemaidamdengede9697
    @jemaidamdengede9697 3 місяці тому

    Well said

  • @AbdillahiNdashwa11
    @AbdillahiNdashwa11 3 місяці тому

    Allah akujalie inshallah

  • @ChoroTesla
    @ChoroTesla 3 місяці тому +13

    Pale mwerevu mjinga anapopambana kuonesha ujinga wake hadharani

  • @HuseinMwakindole
    @HuseinMwakindole 7 днів тому

    Uko sawa mfarume wetu, hapo ndo kinachonifanyaga nikuapresheti mzee, unajua shida sio kisomo shida ni nini kichwa cha mtu kimebeba ndani yake, hakika wewe ubongo wako ni elimu tosha

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 3 місяці тому +1

    Wewe mwenyewe msukuma unasaratani ya ubongo, unajua kukosoa wengine yako huko vijijini yanakushinda,nguvu za mdomoni tu

  • @mkakapower4022
    @mkakapower4022 3 місяці тому

    Uyu jamaa yuko vizuri sana.

  • @wilfredywilhelm1426
    @wilfredywilhelm1426 3 місяці тому

    In Bwege's voice! Haya sasa tufanye kuwa uchaguzi ujao mnaingia bungeni ninyi wenyewe! Hakuna upinzani! Mtaanza kushikana mashati ninyi wenyewe! Mara paap wamepitishana.... wapinzani walikua wanachelewesha maendeleo.... mwaka wa nne huu hapa... wapo wenyewe... maendeleo ndio kama mnavyoona nao wananyooshana kisawasawa.. Hapa msukuma kasema watu wanaona sawa. Lakn kama kungekua na upinzani halafu mpinzani akasema hili lugha ingekua ingine kabisaaaa

  • @mhenitv
    @mhenitv 6 днів тому

    Unajua siasa na TAALUMA havikai PAMOJA kwa UHURU,,,,Fainali baadaye

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 3 місяці тому +9

    Tatizo Msukuma Chama Chako Ndo Tatzo yanaishia Apo Apo

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 3 місяці тому

      HAPO HAPO AKAE AWACHANE AKIWA UPINZANI HATOWEZA

  • @user-vy9pz7sk4z
    @user-vy9pz7sk4z 3 місяці тому

    Iliswara la vinywaji cyo la mzaa lifanyiwe kaz msukuma yuko vizur sana

  • @ndarujames3036
    @ndarujames3036 3 місяці тому

    Bigbrain Broo msukuma

  • @epielamu891
    @epielamu891 День тому

    Swala la ushoga ni kweli aisee msukuma umesema kweli tunawatukuza wazungu yatatupata yaan twafaaa

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 6 днів тому

    Nikweli kabisaa mbunge wanaweza kuchomekea chanjoo tuwe mashogaa tupaze sautii watanzania

  • @reginas1832
    @reginas1832 3 місяці тому +1

    KATIBA MPYA NI SASA. Kuingia bungeni lazima uwe na degree atleat ya sheria. Acheni kudhalilisha wasomi

  • @dunstankihaa2383
    @dunstankihaa2383 8 днів тому

    Hilo la profesa Janabi kiukweli msukuma hapo kajichanganya

  • @yohanashingashinga3974
    @yohanashingashinga3974 5 днів тому

    Msukuma upo sawa ,mm sielewi Hawa TBS Wana kazi gani,juzi nimenunua dawa ya meno ya Vigor doctor inapukutika nikagundua n feki,,baada ya kufuatilia kwa takribani mwezi,nikabaki kujiuliza Hawa TBS wanakazi gani

  • @hezronmlwale7416
    @hezronmlwale7416 3 місяці тому

    Hili la utafiti na chanjo za holela nakuunga mkono, miaka michache ijayo kutakuwa na jamii ya ajabu sana hapa nchini. 🤔🤔

  • @user-ff7hl3mh3h
    @user-ff7hl3mh3h 3 місяці тому

    Chi gwaa na shingwaa mbona kichina,duuh watanzania tunamalizwa hivi hivi,chanjo daah😢😢

  • @JumanneKasuwi
    @JumanneKasuwi 3 місяці тому

    Point sana

  • @maribaisack2097
    @maribaisack2097 3 місяці тому

    Prof janab ni daktari by professional, wewe ni daktari wa heshima... heshimu shule za watu wewe mzee