Millard we jamaa unajua sana kufanya presentation aiseee hii habari nimeiona kwenye channel kadhaa but the way unavyoipresent now nahisi sijaiona aiseee
Aliyegundua hii nyumba imejengwa kwa ajili ya biashara agonge like .coz hii nyumba inaweza pangishwa kwa ajili ya matumizi ya presidential na ikamuingizia pesa nyingi tu kwakuwa huyu ni tajiri mwenye kufikiria Sana ,matajiri huwa hawafanyi vitu kwa makusudi .all in all big up kaka umewainspire matajiri na wachacharikaji wengi
Wadada sasa hapo, mmh Mungu aniepushe na tamaa. Ila Mambo kama haya wanayaeeza wenzetu wazungu, wabongo umetangaza Vita. Mungu aendelee kukusaidia. Millard nampenda huyu kaka, Mungu akutunze na akujalie lililo la kheri na familia yako
Millard hapa umeshkuru kwa herufi kubwa sababu ni jina la mama Millard! Big up home boy unafanya poa sana! Super proud of you!❤ Msalimu maza sana chuga tumemmiss sana!
🎉🎉nimepitia comments nimegundua saiv wa Tz wamebadilika sana coz ungesikia Freemason …but watu wana struggle …. Ukiwahuna just say sina but some people are really blessed, #Millard ur blessed too en uko na hekima hutafuti kiki ,ur the best 🎉🎉🎉
Nimemwelewwa sana jamaa yuko vizuri sana. Mnyenyekevu, mcha Mungu, ana fikra huru, ana kila sifa ya uzarendo kwa nchi yake, nimeshindwa kumtofautisha na Luge. Big up sana bro. Naomba mawasiliano kuna mambo uweze kunisaidia
Vijana tufanye kazi sana kuliko tulivyowahi kufanya maishani. Hatuna muda wa kupoteza kwenye jambo lolote ,wanawake wapo na wanaume wapo ( Starehe zipo ). Pia tumpe Mungu nafasi ya kwanza kabla ya jambo lolote. Hatujui huyu alipataje mali, tumemjua baada ya mafanikio yake. Tufanye kazi. Asante @Millard Ayo , kwa kuwa jicho letu kuona yanayojili duniani.
Big up sana kwa kaka yetu Mulokozi!! You really inspired many young people to become successful just like you💯big up sana kwa Mtu mzima the Rude boi’ kaka Millard Ayo!! Ebwana unaweza sana✊🏾
Uyu bro looks humble and I liked the way alivyokuwa anajibu..more grace bro . Siyo kama mwijaku, gorofa moja kelele nyingi,,wapo watu wenye pesa kama mulokozi, very simple , and inspiring.
Congratulations to Mr David aka Mulokozi.Ninamfahamu 2015 hivi alikuwa na hustle za kawaida sana Arusha.Ni mkristo pia na mpole kama alivyo! Akiona comment hii lazima atavuta hisia akiwa Arusha hicho kipindi cha kujitafuta.
Ukiacha "TBC UKWELI NA UHAKIKA" sasa Tuna "MILLARD AYO UKWELI MTUPU"mimi Binafsi nikisikia kuna habari inayotrend mitandaoni kama nisipoiona Kwa MILLARD AYO Wala ata sihangaiki tena kupoteza Bando Langu MUCH RESPECT BRO MILLARD MIMI NI MMOJA WA VIJANA NINAEKUPENDA SANA 🙏🙏
much respect mulokozi halafu anaonekana hana majigambo na ni bilionea tunashukuru sana kutuwakilisha kwenye nchi za watu wajue tz pia wanaweza vipi diamond yuko wapi na vicheni vyake ni machinga
To me, it looks like luxury resorts & future luxury air BnB, the owner he's a real visionary man. Congratulations & salut for this incredible investment. Thanks, Millard, for this amazing interview. God bless.
Mimi sisemi kitu Basiii 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏Nashukuru MUNGU Brother David Mulokozi Uliwahi kuniambia ya miyoni kabisa kuhusu kipaji changu na ukanitia Moyo sanaaa MENGINEYO NAPAMBANA HUKU NIKISUBIRIA WAKATI WA MUNGU....... UBARIKIWE SANA MY FRIEND 💪🎸🎤🎹🎺
Hongera sana Millard kwa interview yenye tija kwetu sote. Sasa nisaidie nipate namba ya kaka mulokozi anisaidie jambo fulani ktk ushauri. Kaka Millard kwa kweli hakuna anaeweza kuifikia kazi yako you are the number One. More congratulations to you and my brother mulokozi
Jmn nimependa sanaaaa kuna watu wanaish mwijaku atulie sasa hii ndio nyumb sasa alf amn makelele meng amn sifa nying neno la mwish tufanye kaz kwa bidii 🎉
Duh!!!🎉🎉🎉🎉 Nimependa sana alivyo humble hasa pale alipowaambia wale wadada sijui ni wadada wa kazi au veep kwamba "samahani tunataka tuje na huku" yaani katumia lugha nzuri sana.
Mr Mlokozi ! Hongera naendelea kutafakari ukuu wa Mungu kupitia kwako kwa uweza wa Mungu naamini najivika imani hio Mungu attendance kwa wkt songe mbele br
Mulokozi Hongera sana sana. Ujenge kila Region Hiyo ni Hardwork and Taste of your choice. W nerd Many Brothers like you.God bless you more and more so you Also Give charity in Billions.
Mashaallah kinachosikitisha ni siku ataiacha hiyo nyumba na Mali zake zote atakwenda kulala sehemu dhalili Tena ndogo na hata kwenda na chochote na ataacha Kila kitu kwa sekunde moja TU.namuombea kwa Allah ampe afya njema na maisha marefu ya uchamungu.
Brother Mulokozi, safi sana, nyumba nzuri yenye thamani kubwa, furniture zenye thamani ya hatari, vito vyenye thamani ya hatari, security ya hali ya juu, kikubwa zaidi ni kwamba you are very cool huna kelele na mtu. May God bless you, brother.
Alhamdulillah cyo tu kuangalia ila tumejifunza kitu kutoka hapo Allah atujalie umri mrefu wa kuweza kufanya ambavyo atatujaalia kuvifanya na kupata mafanikio.
Dakika ya 19-21. Nilikuwa nasubiri kusikia kwa hamu saana kuhusu music aliyonayo na ameikata kiu yangu nakujua kuwa jamaa ni mtu makini. Hii kitu BOSE LIFESTYLE ni zaidi ya muziki. Bei moto lakini sound quality is a such rejuvenating one. Haina mpinzani
Haki ya mama nitafute pesa...unyama unyama unyama mara trillion..glass house my dream house kbla sijafa must kutimiza ndoto zangu ntakua naangalia kipande kila asbh kunitia moyo lazima nipambane...mulokozi asante uninistua nianze mapambano
Aiseeeeeeeh aiseeeeeh congratulation my brother milad unajua sanaaa uyo brother aiseee Kama nyumb za wasaniii Kama kris brown Yan mbelee tu kumb ata bongo wapo aiseeee izo furniture Ni balaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤😮😮😮😮
Millard we jamaa unajua sana kufanya presentation aiseee hii habari nimeiona kwenye channel kadhaa but the way unavyoipresent now nahisi sijaiona aiseee
ASANTE SANA MARJEBY
very clear kabisa👌
Ngoja nikusaidie kuitaja ilikuwa global tv nikaavhana kuangalia nikasema mzee Millard akienda ntaichek l.Jamaa yuko serious sio wale wenzake
Kabisa jamaa anajua balaaa
Mwijaku yuko wapi hahha😂😂
Milad na wewe mungu akupe sikumoja tutaona nyumba yako nzuri sana ..hongera kwa kazi nzuri❤❤❤
Hongera Sana billionaire Mwenangu Mabilinea Wenzangu tukutane hapa
😂😂😂
Aliyegundua hii nyumba imejengwa kwa ajili ya biashara agonge like .coz hii nyumba inaweza pangishwa kwa ajili ya matumizi ya presidential na ikamuingizia pesa nyingi tu kwakuwa huyu ni tajiri mwenye kufikiria Sana ,matajiri huwa hawafanyi vitu kwa makusudi .all in all big up kaka umewainspire matajiri na wachacharikaji wengi
Una Akili sana Mkuu 😅
Kwakweli kwa hili nimejiona mjinga kabisa! Huyu kaka ana aakili jmn 🤣🤣🤣🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Unajidai ndio umefikiliiiiiiiaaaaa acha izo fikilia viwanda na wewe ujenge
This is how the rich stay rich
Hata mwenyewe kasema hivyo hivyo.. itakuwa hukusikia
Mungu amjalie mme wangu na liziki tufike mbali🙏
❤❤
😂😂😂😂unachekesha
Amen
Sema akujalie wewe mwenyewe sio mme wako
Lakini sio hapo
Wadada sasa hapo, mmh Mungu aniepushe na tamaa. Ila Mambo kama haya wanayaeeza wenzetu wazungu, wabongo umetangaza Vita. Mungu aendelee kukusaidia. Millard nampenda huyu kaka, Mungu akutunze na akujalie lililo la kheri na familia yako
Acheni kukimbilia Dar maisha nipopote hongera Mulokozi umetufundisha kitu
MashaAllah 🎉🎉🎉tufanye kazi jamani...hatuezi kuwa mabilionea wote,ila tunaweza kuwa na maisha bora
Ma sha Allah, KWENYE vinywaji vya kulevya ....nyie vipi......
Hakika
True
Millard Ayo unaweza unaweza unaweza tena, yo the best presenter in Tanzania and Abroad, I do like your work🎉
Milady watu tunakuamini saana unajitofautisha saana na media online zingine salute BROO🙌
ASANTE SANA MARIAM
Millard hapa umeshkuru kwa herufi kubwa sababu ni jina la mama Millard! Big up home boy unafanya poa sana! Super proud of you!❤ Msalimu maza sana chuga tumemmiss sana!
Ifike mahali nimshukur mungu kwa hatua nilonayo.. Na nitafika hutua hii InshaAllah.
Inshaallah tumshukuru mungu hata tulipo tuseme alhamdulilah
Alie ona Millard anageuza maji ya afya,. ili yaonekane vizuri weka like apa
Maji yenyewe hayanywi kudadeki
Roho mbaya hiyo.
Yaani hilo tu ndo umeona kati ya yote yaliyo onyeshwa???
🎉🎉nimepitia comments nimegundua saiv wa Tz wamebadilika sana coz ungesikia Freemason …but watu wana struggle …. Ukiwahuna just say sina but some people are really blessed, #Millard ur blessed too en uko na hekima hutafuti kiki ,ur the best 🎉🎉🎉
Struggle uone km utafikia hpo haya mambo yanaitaji nguvu za kiroho usidhan atakwambia kila kitu
@@flm1530 kiukweli dont judge too much coz ,, kila mtu ana njia yake ishu nikumuhukumu mtu without knowing 😂😂😂tuishie hapa kwa cku yaleo dear
Milady watu tunakuamini saana unajitofautisha saana na media online zingine salute BROO🙌 na Uko humble ndo maana hata wanaokupa mahojiano wanakuamini
SHUKRANI MARIAM !! MUCHLOVE
Kipindi nipo chuoni Augustine tulikuwa tunamwiya CR was taifa,tunakupenda na tunakukubali San bro❤
@@millardayoTZA kaka ume oa kweli
Mungu akuzidishie akupe na afya njema wakwetu akika mungu amejibu maombi yako daaah nimebak mdomo waz kw ela zilizotumika apo kwenye ujenz
Na mimi nitjenga nyumba nzuri zaidi ya hii siku moja
Amen and Amen 🙏🙏
Inshallah
In Shaa Allah
Inshallaha ndugu yangu inawezekana kabisa ,usife moyo pambana na hakika Mwenyezi Mungu yu pamoja na wewe daima
InshaaAllah
Kila mpambanaji Mungu uumpa kadili ya juhudi zake hongera Bilioner umeweza umeweza umeweza tena
Yaani kuoparate system za nyumba tu lazima IT anaejielewa, Mulokozi ni next level 🎉🎉🎉
Hii nyumba nzuri mwambie anipatie kazi kwenye kiwanda chake
Nimemwelewwa sana jamaa yuko vizuri sana. Mnyenyekevu, mcha Mungu, ana fikra huru, ana kila sifa ya uzarendo kwa nchi yake, nimeshindwa kumtofautisha na Luge. Big up sana bro. Naomba mawasiliano kuna mambo uweze kunisaidia
😅
@@AnethLwaitamasasa mbona unamcheka mwenzako😂😂
Atukuzwe Mungu milele kwa ajili ya billionaire David Mulokozi. Amina🙏🙏🙏
Wahaya Shikamoo
Vijana tufanye kazi sana kuliko tulivyowahi kufanya maishani. Hatuna muda wa kupoteza kwenye jambo lolote ,wanawake wapo na wanaume wapo ( Starehe zipo ). Pia tumpe Mungu nafasi ya kwanza kabla ya jambo lolote. Hatujui huyu alipataje mali, tumemjua baada ya mafanikio yake. Tufanye kazi. Asante @Millard Ayo , kwa kuwa jicho letu kuona yanayojili duniani.
Unataka kusema tuache kuomba namba za madem
shida siyo kufanya shida ni kuimiliki pesa na namna ya kuisimamia
@@ackshuba8679😂😂😂😂😂
@@francisthomas1717tuna paswa kuwa na adabu na pesa ase maana bila hivyo haya tutayasikia Kama movie
Hongera kaka ww unaishi🤝mvumilivu hula mbivu 👏👏👏
Nimeipenda hii, Mike Sonko wa kwetu Kenya nadhani hafikii level hii
Hongera sana usisahau kutoa sadaka kanisani
😂😂😂😂
Much inspired by the way the housegirl is being treated in this family. This will give you more payback!
Very true ,In most luxurious home they forget this aspect it was really beautiful to see that .
Nilicho kipenda na wewe millard ayo umevurugika tutafte ela😊😊
Wahaya gonga like yaha boy umetisha sema umefeli kutoujenga kagera kwenu
Mulokozi anaonekan si tajir wa Mali tuu hata Moyo mzuri anao the way alivyo humble Mungu ampe zaid na zaid
NI KWELI
Kumbe umeliona?
Hakika
@@millardayoTZAkaka vipi
Mwenyezi mungu akujalie zaidi ya iyo bro✌️ appreciate 🤲🙏 frm 🇿🇦
Shukran Millard ayo na tajiri Kwa kutupa mda wote huo na hajikwez ni mnyenyekevo ishii sana tajiri 🙌
Wallah hakia MUNGU MUNGU amuweke huyu baba kwakuona tu chumba cha mfanya kazi wa ndani inaonyesha anaupendo na watu wote bila kuchaguwa ❤️❤️❤️❤️❤️
Nawaza hivi na housegirl wa nyumba hio atakuwa msumbufu pia?😢
Mungu amueke atakuwa na maadui Sasa
@@muslimahbossnetworktz😂😂😂😂😂
@@muslimahbossnetworktzsio rahisi hao huwa wanalipwa pesa ndefu mpaka kuacha kazi unaona hasara
...@@muslimahbossnetworktz...Huwezi kujua , anaweza kufikiria kumpindua mama mwenye nyumba..!..🤣🤣🤣
Hili ni kasri sio nyumba Mungu amzidishie hii ni motisha itasafanya vijana wafanye kazi kwa bidii angalau kuwa sehemu nzuri ya kulala baada ya kazi
Millard ulivyosema "hapa ni wapi" , nkamkumbuka mwl wa matheeee. Hongera sana to this guy... good-hearted and very inspirational
Daaah ongera sana brother MULOKOZI umefanya mambo makubwa sana brother
Eeeh! Mwenyezi Mungu nikumbuke nami unapowapa wengine ufari mkuu namna hii
Achana na ya duniani
Big up sana kwa kaka yetu Mulokozi!! You really inspired many young people to become successful just like you💯big up sana kwa Mtu mzima the Rude boi’ kaka Millard Ayo!! Ebwana unaweza sana✊🏾
This is Amazing 👏 🙌 😍
Millard Ayo you're the best Presenter,I salute You.
Tajiri Yesu akutunze Mr Mlokozi si rahis tajiri kujishusha jaman uzidi kufanikiwa very inspiring
❤ huyu jamaa anaishi kama maraika.vijana tutafute pesa
Khaaa Tanzania nzima huyu ndo Ananyumba Sasa khaaas❤❤❤❤❤
😂😂😂
Tembea ww nenda Mbweni au ununio ukaone watu wanamizigo ya hatari !nchi hii inawatu matajiri sana ila wamejificha
Uyu bro looks humble and I liked the way alivyokuwa anajibu..more grace bro .
Siyo kama mwijaku, gorofa moja kelele nyingi,,wapo watu wenye pesa kama mulokozi, very simple , and inspiring.
Congratulations to Mr David aka Mulokozi.Ninamfahamu 2015 hivi alikuwa na hustle za kawaida sana Arusha.Ni mkristo pia na mpole kama alivyo! Akiona comment hii lazima atavuta hisia akiwa Arusha hicho kipindi cha kujitafuta.
Mungu akupe maisha marefu kaka mulokozi ni mtu mwenye moyo safi na unatupa hamasa vijana
Jamaa yuko Humble sana
From kenya. This is so amazing. Great Content Millard🙏
bless u karibu Tanzania
PAMOJA SANA FRED
🌹🥀🥀🥦☘️🌻🌻🌺💐🍁@@millardayoTZA
Mashallah hongera zake kaweza wallah ❤❤❤
Ukiacha "TBC UKWELI NA UHAKIKA" sasa Tuna "MILLARD AYO UKWELI MTUPU"mimi Binafsi nikisikia kuna habari inayotrend mitandaoni kama nisipoiona Kwa MILLARD AYO Wala ata sihangaiki tena kupoteza Bando Langu MUCH RESPECT BRO MILLARD MIMI NI MMOJA WA VIJANA NINAEKUPENDA SANA 🙏🙏
Mpeni salam Yule chawa Mwinjaku anaetupigia kelele kajenga nyumba ya 1.3bilion mwambiye Kuna mwamba huku hatar Masha Allah
Bismillah...Masha'allah ...mngu nijaalie. Na. Mimi siku Moja nipate kile ulichokikusudia Kwangu..❤❤.... tupambane. Vijana..uyu Kaka MNGU ampe afya njema na ulinzi wake. ☑️📌
Vitu vya haramu ndiyo zenye pesa
@@aishamsandawe3029 we ndo umesema
Ndiyo huoni ni biashara ya pombe halafu unasema bismilah
@@aishamsandawe3029umesema hivo sababu unajuwa hauwe yamiliki😂😂😂😂😂
much respect mulokozi halafu anaonekana hana majigambo na ni bilionea tunashukuru sana kutuwakilisha kwenye nchi za watu wajue tz pia wanaweza vipi diamond yuko wapi na vicheni vyake ni machinga
😂😂😂et machinga jmn
Much respect kwako milard pamoja na cameraman wako mungu akuzidishie kipaji na akupe uvumilivu katika kazi zako
Hongera Billionea mlokozi hakika umepambana, umefanikiwa katika umri mdogo kiukweli ume insipire sana bro. Mungu akupe maisha marefu sana.
To me, it looks like luxury resorts & future luxury air BnB, the owner he's a real visionary man. Congratulations & salut for this incredible investment. Thanks, Millard, for this amazing interview. God bless.
Ma Shaa Allah
He already mention that
Airbnb babati huko porini😂
@@ahz6907 huko ndo sehemu za kupumzika haswa.
Mimi sisemi kitu Basiii 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏Nashukuru MUNGU Brother David Mulokozi Uliwahi kuniambia ya miyoni kabisa kuhusu kipaji changu na ukanitia Moyo sanaaa MENGINEYO NAPAMBANA HUKU NIKISUBIRIA WAKATI WA MUNGU....... UBARIKIWE SANA MY FRIEND 💪🎸🎤🎹🎺
Jumba zuri kweli. Exposure pia inasaidia
Mungu awabariki watu wote wanaojituma kwa bidii na kumtegemea yeye,,hongera sana kaka mulokozi kwa kazi nzuri
Hongera sana Millard kwa interview yenye tija kwetu sote.
Sasa nisaidie nipate namba ya kaka mulokozi anisaidie jambo fulani ktk ushauri.
Kaka Millard kwa kweli hakuna anaeweza kuifikia kazi yako you are the number One.
More congratulations to you and my brother mulokozi
Daah, yaani kungekua hamna kufa watu wangekula maisha sana, hiyo tv tu mimi ningekua kwangu
hahaha 😅 lasima watu wakufe na wache via ndunia
Kuna watu wanaishi Jaman Mashaallah Mashaallah hongera kaka umetisha
Wallah tena na kuna sisi tunasindikiza tuu😢
😢😢😢😢
Kuna sisi tumekuja kutembea😂😂😂😂
Yaan hatare tz kama mbele
kuna sis tunaojificha😅
Broo mulokozi hongera sana unatufanya tuzidi kupambana zaidi
Jmn nimependa sanaaaa kuna watu wanaish mwijaku atulie sasa hii ndio nyumb sasa alf amn makelele meng amn sifa nying neno la mwish tufanye kaz kwa bidii 🎉
😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
Safi sana kila mtu kapewa na mwenyezi mungu kwa kiasi Apendacho hongera kwa kuwekeza nyumbani TZ
Kazi nzuri broo ayooo tusake pesa na pongez kwako broo mlokozi Mungu akuzidishie mara mia zaidi
Duh!!!🎉🎉🎉🎉
Nimependa sana alivyo humble hasa pale alipowaambia wale wadada sijui ni wadada wa kazi au veep kwamba "samahani tunataka tuje na huku" yaani katumia lugha nzuri sana.
Power of money pazia linafunguka kwa umeme aloo tusake ela
Tajiri yupo vizuri,angekuwa tajiri mwingine,ungesikia nawahi airport,tutaongea siku nyingine😂😂😂😂🎉
Jamaa yuko very humble aiseee Mungu ambariki...Nice job Millard❤
Nyieee shkamoo mulokozi. I'm more than inspired
Hongera sana kaka mulokozi hujatuangusha kabisa,you have inspired many of us.
Mr Mlokozi ! Hongera naendelea kutafakari ukuu wa Mungu kupitia kwako kwa uweza wa Mungu naamini najivika imani hio Mungu attendance kwa wkt songe mbele br
Mulokozi Hongera sana sana. Ujenge kila Region Hiyo ni Hardwork and Taste of your choice. W nerd Many Brothers like you.God bless you more and more so you Also Give charity in Billions.
Mashaallah kinachosikitisha ni siku ataiacha hiyo nyumba na Mali zake zote atakwenda kulala sehemu dhalili Tena ndogo na hata kwenda na chochote na ataacha Kila kitu kwa sekunde moja TU.namuombea kwa Allah ampe afya njema na maisha marefu ya uchamungu.
Jmn kuna watu wanaishi nyie hongera mulokozi mungu akubarikii😢😢
Hongera kaka Milard Ayo, wewe ni mfano mzuri kwa vijana wote wanaopambana.Kazi nzuri.
It's the David I know... Bravo bravo Bro! Glory to GOD.
Mungu akubariki sana mulopozi unayo roo nzuri sanaa🎉🎉🎉
KAZI NZURI MILARD.. TUNAOMBA SIKU MOJA UFANYE MAHOJIANO NA CAMERA MAN WAKO... JAMAA ANACHUA VIDEO KWA VIWANGO VYA JUU SANAAAAAA
ASANTE SANA SONGWE !!
Hii nimeipenda sana
🔥🔥🔥
@@millardayoTZAHi Millard ayo
@@millardayoTZAKAZI nzuri🇰🇪
Brother Mulokozi, safi sana, nyumba nzuri yenye thamani kubwa, furniture zenye thamani ya hatari, vito vyenye thamani ya hatari, security ya hali ya juu, kikubwa zaidi ni kwamba you are very cool huna kelele na mtu.
May God bless you, brother.
Kaka mulokozii kama utabahatika kupitia hizi comment naomba unisaidie milioni mbili tu nimalizie kukarabatii nyumba ya mama anguuu😢😢
Mi ata milango ndio nmekwama
We acha TU ndugu yangu wengine tualala nje Bora wewe una hi ho kianzio
Acha uombaomba
Hongera xana mulokozi
@@letthedeadburythedead2148 Asantee ndugu
Upo safi sana baba angu yaan nafurahi sanahaujisikiii yaan kama hana kitu lakini kumbee billonea big up Sana boss mungu anijalie sana
MUNGU ambariki mulokozi, nimejifunza kitu ngoja tupambane inawezekana Amen
Umejifunza nn
Nmeacha kubishana watu Wana hela big up insha'Allah nasi tufke
Mungu akuwekee ufurahie maisha ya dunia ..mana amekubalik
Milard your humbleness will take you higher and higher may God humble you more
Bro millard nafuatilia sana makala zako...NICE sana kaka....hongera snaa ....hii documentary ni ya ubora na viwango vya juu sana ....safi
Alhamdulillah cyo tu kuangalia ila tumejifunza kitu kutoka hapo Allah atujalie umri mrefu wa kuweza kufanya ambavyo atatujaalia kuvifanya na kupata mafanikio.
Aisee, sisi tunaopenda nyumba unatufanya tusilale kwa mawazo. Aisee . Hongera Tajiri
HUYU ANA PESAAA ALAFU ANA JUA KUCHAGUA VITU VYA KISASA !!! SAFIIII SANAA TANZANIA 🇹🇿 HIYOO UTAZANI NYUMBA YA JAY-Z, I SALUTE YOU!!!!!
Tajiri mungu akuzidhishiye tunataman kuwa kama wew
He is so blessed, baraka zimepata mtumiaji.. Mungu unikumbuke na Mimi🙏
Huu mwaka hee🤝🤝🤝🤝💐💐💐🥀🥀🥀🥀chukua maua yako tajiri
Dakika ya 19-21. Nilikuwa nasubiri kusikia kwa hamu saana kuhusu music aliyonayo na ameikata kiu yangu nakujua kuwa jamaa ni mtu makini. Hii kitu BOSE LIFESTYLE ni zaidi ya muziki. Bei moto lakini sound quality is a such rejuvenating one. Haina mpinzani
Haki ya mama nitafute pesa...unyama unyama unyama mara trillion..glass house my dream house kbla sijafa must kutimiza ndoto zangu ntakua naangalia kipande kila asbh kunitia moyo lazima nipambane...mulokozi asante uninistua nianze mapambano
Mafanikio ni Siri lkn kufanikiwa sio Siri✍️
Mulokozi unashi Jamani hongera sana kaka yani natamani japo nifike Robo ya hatua uliyofika mungu ni mwaminifu 🙏💪
Natamani kujifunza ktu kutoka kwahyo Kaka anaonekana ana utuu sanaa
Hongera kaka wewe si mtu wa kawaida wewe ni ginias .ni mtanzania wa kwanza anae sema kweli hongera
Aiseeeeeeeh aiseeeeeh congratulation my brother milad unajua sanaaa uyo brother aiseee Kama nyumb za wasaniii Kama kris brown Yan mbelee tu kumb ata bongo wapo aiseeee izo furniture Ni balaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤😮😮😮😮
Millard ayo umetisha sanaa mtu wangu wa nguvu☑️☑️
Jamaa is very humble na hii itamwinua zaidi
Kudadeki tv million 60 jaman up Mr mlokoz💪💪
Watching live from kenya Nrb kweli pesa sabuni ya roho