Asante Sana doct nimekuwa nakusikiliza ulaji na unywaji kwakweli umenisaidia Nimekuwa napima afya mara kwa mara sasa nipo vizuri Sana mungu akuzidishie maisha marefu usaidie na wengine
Binadamu bwana baba wawatu katuelimisha kama hujamuelewa acha endelea kuishi maisha yako hakulazimishi lakini siyo kumvunjia heshima siku ukuendea pale afya imegoma ndipo utajuwa umuhimu wake tujaribu kuwa na heshima jamani
anayo ongea Dr ni kweli mm nina baba yngu ktk maisha yke ajawai kuumwa Wala kulazwa magonjwa yote makubwa Hana anakula kwa nizamu tokea ujana wke mpaka Sasa...anamiaka 80 na anendesha baskeli kutoka yombo dovya mpka kigamboni mpaka sisi tunamzuia ....anatembea yombo mpka ilala mpka mikocheni kwa miguu Jamani yupo strong ....uvuti sigara hakuwai kunywa pombe sigara wala starehe zozote starehe yke anayopenda ni kula pilipili sana....tutunze afya zetu zitusaidie...@@JoseHaule-tx7lu
Baada ya kusikiliza hii maisha yangu yamepata mwanga mpya sana.. Ubarikiwe sana daktari kwa haya maarifa mimi ninafanyia kazi, kiukwel afya ndio mtaji wa kwanza ukichezea afya leo utaaabika sana kesho utatumia gharama kubwa sana
Ubarikiwe sana mh Mohamed janab hii elimu unayotoa kwa umma hakika mw Mungu atakulipa kwa sabb watu wanatumia vitu vyenye ma madhara lkn hakuna wakuwatetea
Hongera sana Prof Tbs wamerelax sana hata hawajiangaishi na maisha ya watanzania wapo kimya tunakula na kunywa ving TBs wapo kimya dawa nazo zinapitishwa kinyemela'mafuta ya kula nayo hayapimwi ma tbs kazi kwelikweli
Wananikera sana baadhi ya waandishi wa habari.Badala ya kuongeza msisitizo wataalam wavyo tufundusha wao wanatoa dhihaka.Niliwasikiliza sana hawa clouds,haukua ujinga waliokuwa wakiufanya bali ni upumbavu.Mpo kwaajili ya kutuelimisha na kutuburudisha,ila linapokuja swala la afya zetu hiyo ni elimu tusifanye mzaha.Tusipotunza afya zetu ujanani afya itachezea pesa zetu uzeeni.Bora umewapa kubwa profesa Janabi.Ninakufuatilia sana,Mungu akupe maisha marefu.
Mungu akubariki sana Prof. Janabi. Nimebadili mfumo wangu wa maisha. No soda, no wali, no ugali. No ngano, no Juice. Nimeona mabadiliko makubwa ktk maisha yangu Mungu ATUSAIDIE.
Kweli dokta anatoa elimu nzuri sana sana japo kuna watu wanakejeli elimu anayotoa yaani tunafanya utani kwenye kila kitu inasikitisha utani wa dini mpaka kwenye afya
Janabi yupo sawa mlo mmoja kwa siku ni kitu kinacho fuatwa na wengi waliohamka mimi ni mmojawao kwa miaka7 na tangu hapo sijawahi kurudi hospitality nashangaa watu wanamuona kama kituko wataofaidika ni watakaomfuwata na elimu ya LISHE ni Dhahabu 🇹🇿
Kwenda hospital ni swala la Mungu kakaa Shukuru sana Mungu kwa kutokufika huko Kunawatu hata mlo mmoja kuupata ni kipengele lakini wanaumwa kila siku... Wanashindia matembele yasiyo na mafuta matunda na vyakula kama hivyo lakin wanaumwa kila siku
Watanzania tusiwe wabishi faida za kuwa na maprofesa ni hizo tujivunie kuwa na wasomi wetu wenye mioyo ya kutuelim8sha. Na mambo ya ubishi juu ya maisha yetu siyo tija kabisa.
Asante Dr mm nimefuata maelekezo yako nimeweza kupunguza uzito kutoka 82kg hadi 62kg kwa muda wa miez sita kwa sasa najiamin nina rangi mzur shep mzur kwa kweli asante
Dr barikiwa mnoo nimedondosha kilo 10 kutoka 74 hadi 64 kwakuwa uref wangu ni sm 164 hivyo niko ktk standard, kweli kula kula hivyo ni kukaribisha maradhi na kifo , kalikuwa kananitoka katambi nimekafyeka kote😂😂, dr pokeaaaa🎉🎉🎉🎉🎉 yako
Ahsante sana kwa elimu,siku hizi watu wakiambiwa watembee na mtu mwenye UKIMWI wapewe 5000000[5M] wanakubali.baadaye mambo yakiaza kubadilika wanaanza kujuta.
Matibabu bei kubwa muhimbili kunamda nafuu hata india masikini wasaidieni figo kisafisha laki na samanini muogopeni mungu wahurumieni wanyonge muogopeni mungu mkiwasaidi masikini nchi mungu ataifungulia baraka nchi itapata neema nchi itapata amani viongozi mungu atakulindeni na kila aina ya mitihani
Aisee kama ulikuwepo hata mimi hivohivo, afu nikimwona mtu anakunya soda namhurumia sana na nikiona mtu anakula chumvi ile ya pemben mwa sahani ya chips au nyama had nashtuka kama vile mtu kaniwekea barafu ktk uti wa mgongo😂😂
Nikweli hata mimi nilikuwanajua magonjwa hayo niya wazee. Lakini ngoja nianzie leo kutengeneza uzee wangu wenye afya tele. Naanza leo dokta. Tena namshukulu Mungu aliyesababisha wewe ukawepo duniani, na kukupa maarifa mengi
Prof nimefuatisha mawaidha yako yamenisaidia sana mfano intermittent fasting, kupunguza sukari yaani hata kuzeeka kumepungua! Nakupa maua yako Prof. Ubarikiwe sana
Cheza sasa kupiti shorturl.at/jqzU6 na ushinde
Hongera Dr Kwa somo zuri.... keep it up.... achana na hao wanatoa kweli.
Daniel Robinson
Asante Sana doct nimekuwa nakusikiliza ulaji na unywaji kwakweli umenisaidia Nimekuwa napima afya mara kwa mara sasa nipo vizuri Sana mungu akuzidishie maisha marefu usaidie na wengine
Nikweli dokta nafwata maelekezo yakoo sasa mambo nimazurii asante sana baba👏👏🙏
❤❤Amen ❤❤🙏🙏🙏
Binadamu bwana baba wawatu katuelimisha kama hujamuelewa acha endelea kuishi maisha yako hakulazimishi lakini siyo kumvunjia heshima siku ukuendea pale afya imegoma ndipo utajuwa umuhimu wake tujaribu kuwa na heshima jamani
Sawa sana daktari ila ukumbuke Kuna kukosasa na inakula chochote unachoata. Hali za maisha kwa Sasa hata kutunza afya ni vigumu labda isile
Huyu dr mi namkuli mno na namfuatilia sana,tatizo la watz wanapenda mno kula sijui kwnn
Umeona eeh
Mzee wa watu anatufundisha watu ila watu hatumuelewi tunamahukuru sana baba
anayo ongea Dr ni kweli mm nina baba yngu ktk maisha yke ajawai kuumwa Wala kulazwa magonjwa yote makubwa Hana anakula kwa nizamu tokea ujana wke mpaka Sasa...anamiaka 80 na anendesha baskeli kutoka yombo dovya mpka kigamboni mpaka sisi tunamzuia ....anatembea yombo mpka ilala mpka mikocheni kwa miguu Jamani yupo strong ....uvuti sigara hakuwai kunywa pombe sigara wala starehe zozote starehe yke anayopenda ni kula pilipili sana....tutunze afya zetu zitusaidie...@@JoseHaule-tx7lu
Kweli 100% tutunze afya yetu itakuja kutusaidia Uzeeni. 👍asante Doctor.
Tunashukuru kwa elimu Dr.Allah aendelee kukulinda tunajufunza sn kutoka kwako
Afya ni mtaji kwa maisha bora ya sasa na baadae, tukishupaza shingo lazima tutamkumbuka Prof. Janabi tukiwa kitandani.
Asante dr.janabi kwa elimu nzuri mimi nimekuelewa sana mungu akubariki.
Mungu akulinde Prof Janabi. Wewe unaupendo wa kweli kwa wa Tz
mashaAllah this is the best education that we need to understand the most.
Barikiwa Dr. kwa kutuelimisha
Baada ya kusikiliza hii maisha yangu yamepata mwanga mpya sana.. Ubarikiwe sana daktari kwa haya maarifa mimi ninafanyia kazi, kiukwel afya ndio mtaji wa kwanza ukichezea afya leo utaaabika sana kesho utatumia gharama kubwa sana
😢😢😢😢kweli broooo
Nilijifunza zaidi kwenye vyakula vya wangaa, kekiii kweli cjui tena, asante Baba Mungu akulinde.
Pr janabi yaani elimu yako mimi naifutilia sana na inanisaidia sana mungu akubaliki akulinde uzidi kutupa elimu
Mwenyezi Mungu akubariki sana Prof kwa elimu unayotoa ingawa wengine wanachukulia kama mzaha.
Mangu aku bariki sana sana kwa elimu na maelekezo yako afya yangu ni bora kabisa yani nime pona kabisa Dr
Prof.Daktari thanks soo much for the wisdom..You are a God Inspired Doctor..
Safi sana Professor, unaelimisha sana.
Mungu akubariki. Dr
Prevention is better than cure.❤ Muhimu sana kujichunga afya
Mungu akubariki utusaidie pf tuishi maisha marefu
Ubarikiwe sana mh Mohamed janab hii elimu unayotoa kwa umma hakika mw Mungu atakulipa kwa sabb watu wanatumia vitu vyenye ma madhara lkn hakuna wakuwatetea
Asante prof, wewe ni miongoni mwa wasomi wenye tija na hazina ya Taifa letu.asante kwa elimu yako ya afya.
Very true Dr Janab.Mwenyezi Mungu azidi kukupa maisha marefu, tunajifunza mengi kutoka katika mada zako.
Hongera sana Prof Tbs wamerelax sana hata hawajiangaishi na maisha ya watanzania wapo kimya tunakula na kunywa ving TBs wapo kimya dawa nazo zinapitishwa kinyemela'mafuta ya kula nayo hayapimwi ma tbs kazi kwelikweli
Dr asante Kwa SoMo hili, umesaidia watanzania wengi mno wanaochukua hatua na kubadilika mwenendo wa ulaji kiafya.
Wananikera sana baadhi ya waandishi wa habari.Badala ya kuongeza msisitizo wataalam wavyo tufundusha wao wanatoa dhihaka.Niliwasikiliza sana hawa clouds,haukua ujinga waliokuwa wakiufanya bali ni upumbavu.Mpo kwaajili ya kutuelimisha na kutuburudisha,ila linapokuja swala la afya zetu hiyo ni elimu tusifanye mzaha.Tusipotunza afya zetu ujanani afya itachezea pesa zetu uzeeni.Bora umewapa kubwa profesa Janabi.Ninakufuatilia sana,Mungu akupe maisha marefu.
Asante Prof kwa ushauli ni nzuri sana na endelea mimi nafuata nadha i na wengi
Asante sana Dr. Janabi kwa hii elimu. Mungu akubariki
Ndani ya Doctor namwona Mungu kabisa ,Mungu akubariki mwenye masikio na Asikie
Apewe maua yake Le professor mm namkubali sana
Prof.,thank you Sir .My God bless you man of God.
Mungu akubariki sana Prof. Janabi. Nimebadili mfumo wangu wa maisha. No soda, no wali, no ugali. No ngano, no Juice.
Nimeona mabadiliko makubwa ktk maisha yangu
Mungu ATUSAIDIE.
Ko unakula nini ndg
Nielekeze na mimi unachokula. Mana mi sioni kingine
Kweli dokta anatoa elimu nzuri sana sana japo kuna watu wanakejeli elimu anayotoa yaani tunafanya utani kwenye kila kitu inasikitisha utani wa dini mpaka kwenye afya
Aksante docta kunielekeza sihitaji kuzeeka kabisa nna majukumu mengu ya kuhubiri Injili
Asante dr. Kwa ushauri. Mimi nipo tayari kubadilisha lifestyle.
Asante Professor Janabi
Allah akulinde kwa huduma unayotupatia
Mungu akupe umri mrefu DK wetu, Na Allah ampe moyo wa huruma zaidi mama yetu mpenzi mh .rais samia she luhu Hassan kukupa kazi bora zaidi
Janabi yupo sawa mlo mmoja kwa siku ni kitu kinacho fuatwa na wengi waliohamka mimi ni mmojawao kwa miaka7 na tangu hapo sijawahi kurudi hospitality nashangaa watu wanamuona kama kituko wataofaidika ni watakaomfuwata na elimu ya LISHE ni Dhahabu 🇹🇿
Tatizo mazoea
Kwenda hospital ni swala la Mungu kakaa
Shukuru sana Mungu kwa kutokufika huko
Kunawatu hata mlo mmoja kuupata ni kipengele lakini wanaumwa kila siku...
Wanashindia matembele yasiyo na mafuta matunda na vyakula kama hivyo lakin wanaumwa kila siku
@@OchoaHomeDecor_Mungu amempa mtu akili , acha kumpakazia Mungu kwasababu yakukosa kwako kuitumia akili yako sawa sawa
Huyo Dr wako mwenyewe anatumia miwani ya macho
@@venancemeshack3709miwami ni msomi alie bobea kuangalia karatasi, computer, kucheza viungo vya binaadamu na umri alio nao acha kuongea tu
Thanks 🙏🏿 so much for your advice
Ubarikiwe Prof.
Mungu akupe maisha marefu tuendelee kuchuma elimu toka kwako 9:03
Watanzania tusiwe wabishi faida za kuwa na maprofesa ni hizo tujivunie kuwa na wasomi wetu wenye mioyo ya kutuelim8sha. Na mambo ya ubishi juu ya maisha yetu siyo tija kabisa.
Ubarikiwe sana dr kweli kula ovyo kunazeesha unakula masukari mengi mawanga mwisho unakuwa manyama uzembe
Kwa nini kitengo cha lishe kimefungwa.
Pfs janab yupo sawaa .ukimsikiliza utapata faida. Yaa.afya yako ❤❤❤❤.prfs.janabi
We are lucky to have such a person🎉
Asante Prof kwa Darasa
Ukiwa bado huna panapo kuwasha Unaweza jua huyu mtaalam ana chekesha usiombe yakukute ya sikie kwa jilani yako. Fata maelekezo
Daah kaka Emmanuel umesema kweli
Mungu akulinde Docta wetu
Asante ubarikiwe abarikiwe aliekusomesha
Hizo Mada Zako ni Nzuri Nakuomba Tunga Kitabu ch Kiswahili itakuwa Umeacha Urithi Mzuri Kizazi na Kizazi Mwenyezi MUNGU akubaariki
Watanzania wengi hatusomi vitabu acha atuambie kwa mdomo tunamuelewa kuliko kuandkiwa kitabu acha mambo ya kiAmani
Comment makini kuliko zote 🤝
Yeap kwa faida ya vizazi vijavyo itapendeza hizo nondo ziwekwe kwenye docomentary
Kweli
Hasa tena hili ndilo litalotusaidia, sisi wengi
Asanten sana je Kahawa tunywe kiasi gani
Mungu akubariki Prof. Usichoke kutushauri
Asante sana doctor
Yaani Ur very good hakika unatuelimisja saan
Asante san dr
Clouds mmemsikia Daktari acheni mambo yenu ya kufanya dhihaka mnapotosha jamii
Dr wangu pambe nakukubali sana
Asante Dr mm nimefuata maelekezo yako nimeweza kupunguza uzito kutoka 82kg hadi 62kg kwa muda wa miez sita kwa sasa najiamin nina rangi mzur shep mzur kwa kweli asante
Umefanyaje ndugu kupunguza❤uzito
😂 hata mimi nimezidondosha kilo 10 kutoka 74 hadi 64 kwakuwa nina urefu wa sm 164 hivyo niko ktk standard
Ahsante sana kwa elimu d.r upo sahihi kabisa ,endelea kuelimisha Jamii ya Watanzania
binafsi mzee amebadisha maisha yangu namuelew sana mzee ana nia njema na anatoa sadaka kubwa kwenye jamii
Mungu wangu uwe nasi siku zote amina tanzania 🇹🇿
Prof uishi siku nyingi elimu yako inamanufaa sana 🤝
Doctor Mungu akuweke nimeacha soda nashukuru Mungu
Mungu azidi kukutunza
Allah atulinde na maradhi dr MashaAllah antoa elimu vizuri ,ningefurahi zaidi angelinganisha elimu yake na kitabu kitakatifu cha quran
Mzee Yuko sawa ana nyoosha huu kwele japo Kila kifo kina Sababu
Congrats.🎉❤
Dr barikiwa mnoo nimedondosha kilo 10 kutoka 74 hadi 64 kwakuwa uref wangu ni sm 164 hivyo niko ktk standard, kweli kula kula hivyo ni kukaribisha maradhi na kifo , kalikuwa kananitoka katambi nimekafyeka kote😂😂, dr pokeaaaa🎉🎉🎉🎉🎉 yako
Ahsante sana kwa elimu,siku hizi watu wakiambiwa watembee na mtu mwenye UKIMWI wapewe 5000000[5M] wanakubali.baadaye mambo yakiaza kubadilika wanaanza kujuta.
Ubarikiwe
Ubarikiwe sana
Elimu nzuri sana
Matibabu bei kubwa muhimbili kunamda nafuu hata india masikini wasaidieni figo kisafisha laki na samanini muogopeni mungu wahurumieni wanyonge muogopeni mungu mkiwasaidi masikini nchi mungu ataifungulia baraka nchi itapata neema nchi itapata amani viongozi mungu atakulindeni na kila aina ya mitihani
asante kwa masomo,,
Ubalikiwe sana
Umenisaidia sana
Sikuhizi Kila niki taka kula chipsi au kunywa soda, natokewa na sura ya huyu jamaa😢😢😢
Mungu tusaidie tu
AISEE tunafakamia tu
Aisee kama ulikuwepo hata mimi hivohivo, afu nikimwona mtu anakunya soda namhurumia sana na nikiona mtu anakula chumvi ile ya pemben mwa sahani ya chips au nyama had nashtuka kama vile mtu kaniwekea barafu ktk uti wa mgongo😂😂
Hahahaha 😂nimecheka kwa sauti
Dr swali langu ni kwamba je tatizo la presha huwa linapona?
Pro f oyeee🎉
Mhh Doctor Janabi
Dr Janabi yupo sahihi kwa asilimia zote ,,,,,Fainali uzeeni
Asante Dr
Mashaallah mungu atakulipa
Nikweli hata mimi nilikuwanajua magonjwa hayo niya wazee. Lakini ngoja nianzie leo kutengeneza uzee wangu wenye afya tele. Naanza leo dokta. Tena namshukulu Mungu aliyesababisha wewe ukawepo duniani, na kukupa maarifa mengi
Tunajivunia kuwa na mtu wa maana Kama huyu professor, nashukuru MUNGU kwa kuipa Tanzania professor janabi
Nakuelewa mnooo mkuu
Dr boazalikuwa sahihi
Mukali sana
Big up
Dr asantee
Nimekuelewa
Naomba kuuliza hata matunda ya sukari haifai naomba kujua
Asante
Golden Star...
Heavy Talk
Zingatia maelezo yake kwa faida yako. Kejeli hazisaidii.
Yaani watz mna dharau sana"mnapewa elim kwa faida yenu"unamponda kisa mlevi na unavuta sigara
Anazungumza kweli kabisa
Prof nimefuatisha mawaidha yako yamenisaidia sana mfano intermittent fasting, kupunguza sukari yaani hata kuzeeka kumepungua! Nakupa maua yako Prof. Ubarikiwe sana