MBUNGE MUSUKUMA AMWAMBIA WAZIRI “UNANISIKILIZA AU UNACHATI? OLE WAKO UJE NA MAJIBU YA MAWENGE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 тра 2023

КОМЕНТАРІ • 153

  • @ommarysaid7391
    @ommarysaid7391 Рік тому +44

    Msukuma Ana Akili Nyingi Sana Genius Mwenyezi Mungu Kaamjalia Hekima na Busara Kuliko Hata Wanaojiita Wasomi Kazi Yao Kupiga Dili tu Kuiba Hela za Serikali, Mwenyezi Mungu Akikkupa Hekima na Busara jua Amekupa Jambo Kubwa Sana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @abdulazizsharif2984
    @abdulazizsharif2984 Рік тому +33

    Ama kweli akili sio lazma usome sana zipo akili za kuzaliwa #Msukuma 💪

  • @robertabel6984
    @robertabel6984 Рік тому +13

    Huyu ndio Dr. Musukuma msomi wa mtaa yuko nondo kinoma big up jembe...unaelewa vizuri shida za wananchi na kuzitetea

  • @frankjohn287
    @frankjohn287 Рік тому +5

    Hii ndo ingne ya ukumbusho wa wengne hongera sana kqako mzee msukuma ww na kishimba ndo watu sahihi zaid📌

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 Рік тому +18

    Msukuma nakupenda kwa kazi unavyofanya sawasawa. Bora ungekuwa raisi siku za baadae tutakuchagua.

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Рік тому +10

    Huyu mbunge anaongea kwa hisia kali sana tena inaonekana ana uchungu na jimbo lake saf...👊👊

  • @elizabethmvumu1881
    @elizabethmvumu1881 Рік тому +7

    Wapo wanaobisha kua hakuna akili zakuzaliwa,
    Kwa hakika kuna akili za kuzaliwa na za kufundishwa, lkn akili za kuzaliwa ni bora zaidi, kuliko zile zakufundishwa,

  • @stanleyfsosthenes-pz8nz
    @stanleyfsosthenes-pz8nz Рік тому +6

    Huyu mbunge yupo Honest sana nakubaliii 💯

  • @josephsanduli.5216
    @josephsanduli.5216 Рік тому +5

    Fungeni kwaza kuku hereni😂😂😂😂😂

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no Рік тому +19

    Mpaka sasa tukianzia kwake JPM Hadi huyu hapa inaonekana wasukuma kuna viongozi wazuri kabisa ambao wanaweza kuendesha nchi ipaswavyo kama JPM

  • @gsimba
    @gsimba Рік тому +6

    Ila wasukuma wanaakili sana

  • @erad-tv5001
    @erad-tv5001 Рік тому +23

    Wamuache na mataarifa yao bhana huyu Msukuma yuko Vizuri sana

    • @comanbo
      @comanbo Рік тому

      Nakupenda sana unahitajuka kuwa rais

  • @vicentkusaduka8348
    @vicentkusaduka8348 Рік тому +7

    Imagine huyu mwamba angepiga kitabu, ana Akili Kubwa Sana ✊🏿

  • @manuelsaramba2138
    @manuelsaramba2138 Рік тому +5

    Ahsante sana Mr msukuma Mungu akubariki ufike mbali

  • @farajamichael7574
    @farajamichael7574 Рік тому +6

    MUNGU akutunze dr Msukuma nakupenda mzee wetyu.

  • @francismillinga4591
    @francismillinga4591 Рік тому +7

    Msukuma ni genius ni bahati mbaya tu hakupata bahati ya kwenda shule na unaweza kuta ilikua tu sababu ya umaskini wa wazazi

    • @daudimkumbo5922
      @daudimkumbo5922 Рік тому

      Angeenda shule asingezungumza ukweli. Hapo ni risk taker

    • @mudighurayra
      @mudighurayra Рік тому

      Hoja nikufuta ujinga tu masomo yenyewe tunapangiwa na wazungu tu

  • @elidiustudoy2640
    @elidiustudoy2640 Рік тому +2

    Yan awa wabunge. Niwakulaba viboko KILA mmoja maana naona wasutana. Tu akuna maendeleo 🇹🇿🇹🇿🙌🙌🙌

  • @zakayokinasa4577
    @zakayokinasa4577 Рік тому +4

    Kakayangu unaakili nyingi sana mngu akubaliki

  • @jacksonmwita468
    @jacksonmwita468 Рік тому +8

    Nakubali sana mheshimiwa

  • @shaibumkwanda6934
    @shaibumkwanda6934 Рік тому +8

    namkubari sanaaa huyu mbunge xnaaaa nataman sanaaa hta niwepo jimbon kwake

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 Рік тому +5

    Hongera msukuma unaitumia akili ya kuzaliwa

  • @raurentkorosso2014
    @raurentkorosso2014 Рік тому +3

    Hongera saaana Broo

  • @korneliokangai5068
    @korneliokangai5068 Рік тому +5

    Msukuma yupo sahihi sana mngekua mnajua tabu tunazopat wafugaji mngetuonea huruma sana mifugo kwenye hii nchi haithaminik kabisa hakun eneo ya malisho hukun mabwaw za kunyweshea mifugo halaf mnatulitea dili zenu amba hazielek

  • @mushamkina2694
    @mushamkina2694 Рік тому +4

    Big up sana logically,upo vizuri ndugu yangu komaa ivoivo usigeuke nyuma utageuka jiwe

  • @jacksondaniel5577
    @jacksondaniel5577 Рік тому +22

    Msukuma natamani uje uwe raisi wa hii nchi, Ili utufikishe sehemu frani ambako tungetakiwa kuwa kwa sasa. Mungu akulinde na uzidi kuwatetea wanyonge kama sisi

    • @zawadikitime233
      @zawadikitime233 Рік тому +1

      yaani hata i wish huyu awe rais kwa kweli

    • @benitaladiraus7557
      @benitaladiraus7557 Рік тому

      ​@@zawadikitime233 😊

    • @annamakusa3740
      @annamakusa3740 Рік тому

      Angeshapewa uwaziri Ila shidah shule,inamfanya aishie ubunge tu chakufanya ajiendeleze kielimu,anakitu atafika mbali

    • @peemsafi6068
      @peemsafi6068 Рік тому

      kabadika sana huyu sio msukuma wa zamani

  • @user-uf6jg3zv2s
    @user-uf6jg3zv2s Рік тому +1

    Mungu akupe maisha marefu mzee kiukweli unawatetea sana wanyonge

  • @eligiverkamnde510
    @eligiverkamnde510 Рік тому +1

    Ver good..uko vzr msukuma..Yesu akufunike upige kaz

  • @linnusaloyce6559
    @linnusaloyce6559 Рік тому +7

    Huyu ndio doctor msukuma mtoto wa maskini mwenye master ya standard 7 akili mingi wenye elimu zao wanashindwa kufanya mambo mazuri kma haya serikali tupunguzieni haya maumivu kila kona mnataka kutupiga tu jmnani

  • @rashidkalabi8212
    @rashidkalabi8212 Рік тому +4

    Msukuma upo positive

  • @elibarikigasper448
    @elibarikigasper448 Рік тому +4

    Msukuma nakubali hoja yako

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe Рік тому +11

    Msukuma ana akili sana aisee

  • @aminamavura6834
    @aminamavura6834 Рік тому +4

    Msukuma umejua kunifurahisha njoo ukunywe soda

  • @pelekinemo474
    @pelekinemo474 Рік тому +4

    Ubarikiwe sana umetuwakilisha vyema

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe Рік тому +6

    Big upa sana Mzee

  • @johnkigina1696
    @johnkigina1696 Рік тому +4

    Yaani hizi Ni dili za watu wachache

  • @user-qt4ni6ns2l
    @user-qt4ni6ns2l 10 місяців тому

    Mungu akulinde ndo ujue weny elimu hawan maan

  • @kolaniwentibegelana616
    @kolaniwentibegelana616 Рік тому +4

    Huyu very geneous na Elimu ambayo amehtimu hakika inafaa na huyu anafaa kuwa rais

  • @stephanomakoye6936
    @stephanomakoye6936 Рік тому +1

    Big up sana mheshimiwa

  • @jumamakamba2212
    @jumamakamba2212 Рік тому

    Asante ngosha

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 Рік тому +4

    Hivi hii ichi ya ovyo kiasi mtu akiongea kingereza anaonekana wa maana sana utumwa wa lugha

  • @KareemMfanga
    @KareemMfanga 10 місяців тому

    Msukuma mungu akulinde uwenaujasiri hivo hivo kusema ukwel

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 Рік тому +2

    Haha😀
    Msukuma bhana! Anachat huyo. Wala hakusikilizi! 🤣

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 Рік тому +3

    Yaani tunataka watu wenye experience ya maisha kama msukuma na sio wasomi wasiojua maisha ya watu wanakula kuku kwa mrija hawajui watu wa chini wanataka nini na wanaishije hawana kabisa mbinu za kurahisisha maisha ya watu ni wizi tu wanawaza dili

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 Рік тому +3

    Jenius 👏👏

  • @jramadhanmgonja6110
    @jramadhanmgonja6110 Рік тому +3

    Msukuma Anajua Sana

  • @suleimanismail8414
    @suleimanismail8414 Рік тому +5

    Msukuma kama msukuma

  • @geeva99
    @geeva99 Рік тому +7

    Iyo elimu ta mtaa kwa mtaa inatakiwa kabisa tena na weekly test kabisa ziwepo

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 Рік тому +3

    Rais wetu msukuma njoo chadema uwe rais

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx Рік тому +2

    Musukuma ni mtu na nusu bana kwanza anaenda kwenye point directly

  • @evaakyoo3009
    @evaakyoo3009 Рік тому +15

    Kaka Millard Ayo wananchi wa dodoma kunamahali wanateseka tafadhali kama yupo mwakilishi wako natamani kupata mawasiliano yako nimuelekeze na wanaofanya hayo niwaajiriwa wa serikali tafadhali sana kaka nakuomba nijuwe nampataje mawasiliano yenu ilikufika sehemu husika tunyanyasika mno tafadhali jamani

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 9 місяців тому

    Nakuelewaga sana mhshmw

  • @dadamwajuma5155
    @dadamwajuma5155 Рік тому

    Well done musukuma

  • @Truly_Afrikan
    @Truly_Afrikan Рік тому +10

    Akili nyingi sana, u don't even need a degree 🤗😁

  • @OmmariKhamis-yl2xk
    @OmmariKhamis-yl2xk Рік тому +1

    Nakubari sana kak af w ungerikuw t rais

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 Рік тому +4

    Washindwe KBS inshallah kuwazurumu watu vimburu hao mabepali

  • @allyhassan6794
    @allyhassan6794 Рік тому +9

    Mtoto wa magu

  • @gyundadaniel4737
    @gyundadaniel4737 Рік тому

    Msukuma is gifted

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 Рік тому +2

    Wasukuma tumejaliwa viongozi wa watu

  • @JohnaMoleh-xu1lh
    @JohnaMoleh-xu1lh Рік тому

    Du kweli

  • @hatibushemahonge2055
    @hatibushemahonge2055 Рік тому

    Good msukuma

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 Рік тому +3

    Nakupenda Sana Mbunge Wangu

  • @shairaniadam1752
    @shairaniadam1752 Рік тому +2

    😢😢magufulii mwngne

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe Рік тому +6

    Hili jambo likwame na lisikifanikiwe kabisa

  • @user-jh3yu7wl9r
    @user-jh3yu7wl9r 8 місяців тому

    😢😢😢😢

  • @gideons5265
    @gideons5265 Рік тому +1

    Ngoma ikilia sana, itapasuka.

  • @annakletayohana4561
    @annakletayohana4561 Рік тому +1

    😂😂😂msukuma bna

  • @ephraimsilayo1080
    @ephraimsilayo1080 Рік тому +1

    Hawa ndio wabunge sio wasenge wengine

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 Рік тому +2

    Serikali hii imekaa kipigaji tu😢😢

  • @dicksonjailos670
    @dicksonjailos670 Рік тому +2

    Kweli mnatupiga sio poa

  • @marrymenas
    @marrymenas Рік тому

    Muheshimiwa waziri unanisikiliza au unachat😂

  • @franaelisumari5108
    @franaelisumari5108 Рік тому +4

    .....Kusoma kwa mtaa.....Mnapitisha madili ya watu.....ikiwemo gas kwa kisingizio cha kutunza mazingira

  • @victormtani7170
    @victormtani7170 Рік тому +1

    Msukuma ana akili za kuzaliwa ukweli

  • @ashirawaziri3195
    @ashirawaziri3195 Рік тому +4

    Huyu baba ameongea ukweri kabisa

  • @user-my9hc6uf9l
    @user-my9hc6uf9l Рік тому

    Kanichekesha sana,
    eti " mpiga dili kahamia wapi? "

  • @salomemassawe5824
    @salomemassawe5824 11 місяців тому

    😮huna baya baba

  • @Paidatz
    @Paidatz Рік тому +1

    Bhagosha bhajameni😂 hem gonga hapo likes jamani

  • @user-ep7js3qd7q
    @user-ep7js3qd7q 10 місяців тому

    Sawa

  • @ellytech9757
    @ellytech9757 Рік тому +1

    Bunge siku hizi duuh! Hakuna taarifa hata moja kati ya hizo inayoqualify kuitwa taarifa.

  • @imatisatv9239
    @imatisatv9239 Рік тому +4

    mbunge ww uje jimbon kwangu

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 Рік тому +3

    Common sense ni muhimu kuliko vyeti vya PhD zao na masters na degree la saba anawatoa jasho

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 Рік тому

    Uyu jamaa kichwa yaani awa jamaa wavaa suti ndo tatizo la Nnchi hii yaani wezi sana wenyewe wanajiita waeshimiwa awa ni majangili wa Taifa

  • @donnyshule7432
    @donnyshule7432 Рік тому

    Huko sawa kabisa msukuma wanalera nonsense Kwa Nini wasije na mpango was kue ndeleza wafugaji

  • @user-gy3bv7nm7d
    @user-gy3bv7nm7d 2 місяці тому

    😂😂😂 wanywa gongo

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 Рік тому +2

    wanajitengenezea madili ya pesa waambie hao shule walienda lakini common sense hawana

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs Рік тому

    Wabunge wengine umo nivilaza kazi makofi 2 ata oja kazi makofi😂😂😂😂😂

  • @erickabel6201
    @erickabel6201 Рік тому

    Akili kubwa 😮

  • @petermabula4492
    @petermabula4492 Рік тому

    Msukuma mh tutee ndungu yangu

  • @anwarkashaga3573
    @anwarkashaga3573 Рік тому +2

    😂😂😂😂😂

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Рік тому

    Mngekuwa mnaruhusu waje na viboko huko ndani tuone wachangiaji watakavyowacharaza viboko 😂😂😂

  • @RashidMwanambiga
    @RashidMwanambiga 10 місяців тому

    Msukukuma kuhusu bandari kunakitu amekura pia tunawasiwasi Sana nae huhusu bandar

  • @helakridiwella6120
    @helakridiwella6120 Рік тому +2

    🤣 🤣 🤣 🤣

  • @angelchimamy9775
    @angelchimamy9775 Рік тому +3

    Sa wewe mtangazaji unaongea kulko mbunge ndo nn sasa

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 Рік тому +1

    Unaniskiza au upo wasapp?

  • @jumajames7819
    @jumajames7819 Рік тому

    Jamaa yuko vizur Sana Hawa ndo viongzi tunaowata😂

  • @MichaelCharles-fn8wg
    @MichaelCharles-fn8wg 8 місяців тому

    Anachat

  • @brysonmandari5694
    @brysonmandari5694 Рік тому

    Unanisikiliza au unachart?

  • @ayshahussen7452
    @ayshahussen7452 Рік тому +2

    Hii nchi bana mmh, Mungu turudishie Magufuli mwingine, yaani ni badili tu kila mtu anaangalia tumbo lake bila uoga kweli watanzania tunaumizwa na hatuna pa kukimbilia wala wa kututetea😢😢😢😢😢

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 Рік тому

    Wananikera hao na taarifa zao

  • @joanesphocus1152
    @joanesphocus1152 Рік тому

    Huyu jamaa ukweli ndiye namuona anaakili kuliko wabunge mazuzu humu bungeni

  • @giddie_barnabas
    @giddie_barnabas Рік тому +1

    Hana unungu na JPM kweli huyu