ALLAH akujaalie kheri brother na akufungulie kila hatua yako inshaallah na akulinde dhid ya husda. uwe na afya njema maisha mema kila la kheri allah akumwagie mzize warid na akuepushe na mitihani.
Mzize,wewe ni kijana Bora na mchezaji Bora pia,tulia na endelea kujifunza ulipo,mungu atakufungulia makubwa zaidi na unayoyaona,wewe ni zaidi ya mchezaji,I know soccer,punguza zaidi mapungufu yako,pambana zaidi na sikilizia watu positively hata kama wapo negative,nakuhakikishia,utakwenda mbali zaidi,namaanisha komaa zaidi,mungu akuongoze
Nice interview..Mzize umejibu maswali vizuri sana kama ustaarabu mkubwa sijasikia kauli ata moja ya usela kama ilivo kwa wachezaji wengi sana...sauti yako imejaa nidhamu na shukrani pia..Allah akujaalie uwe na safari njema kwenye taaluma yako.
Naomba wanaomfikia kirahisi wamwambie aongeze mazoezi ya kufunga kwa kichwa. Akilimudu hili anaenda kuwa very complete and top top striker ever hapa nchini. Mungu mbariki Mzize.
Mzize alivyokuwa anaongea huko mwishoni imenifanya nipate nguvu ya moyo wa utowaji maana hatujui nani atafaidika na kwamda Gani. Asante Moja inaweza badilisha maisha kiujumla
Ila siyo mbaya mdogo wangu ukawataja tu, japo baadhi maana wakianza kujitaja wenyewe itakuwa kama wanajisifu. Washukuru mdogo wangu na usiogope kuwataja.
Umeongea vizuri sana mzize naona kesho yako mzuri mwenyemungu akujalie ufike mbali
WANANCHİ tumtafutie zawadi mzinze❤❤❤🎉🎉
Nakuunga mkono asilimia 100% Twende Instagram ukatoe wazo chap
Drogba wetu wananchi tunakupenda sana na una kipaji kikubwa sana na utafunga sana mwamba🔥🔥🔥🔥💚💚💚💛💛💛💛
Niamini mimi yanga bingwa kama unaamini nawe pia like apa🏆🏆🏆💪💪
Priva anahoji vzr sana 🙌 Clement amejibu vzr sana very matured ✨🙌 keep it up Dogo💛💚✨
Clement Mzize mchezaji Bora wa mwezi August
Nimchezaji wangu pendwa napenda run zake na nguvu na pressing ya hali ya juu
Safi sana kijana wetu Clementinho endelea kupambana kwa ajili ya club iliyokutoa. Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉
ALLAH akujaalie kheri brother na akufungulie kila hatua yako inshaallah na akulinde dhid ya husda. uwe na afya njema maisha mema kila la kheri allah akumwagie mzize warid na akuepushe na mitihani.
Wanaoamini mzize kwanzia kanyoa kipara ni hatari tugonge like hapa🪛🪛
😂😂💛💚💛💛💛💛💛
😂😂
😅😅😅😅😅 dah
Bald Mzize is out of this world 🎉🎉
Safi sana kijana pambana💛💚💛💚💛💚
Mzize,wewe ni kijana Bora na mchezaji Bora pia,tulia na endelea kujifunza ulipo,mungu atakufungulia makubwa zaidi na unayoyaona,wewe ni zaidi ya mchezaji,I know soccer,punguza zaidi mapungufu yako,pambana zaidi na sikilizia watu positively hata kama wapo negative,nakuhakikishia,utakwenda mbali zaidi,namaanisha komaa zaidi,mungu akuongoze
Mdogo wangu pambana asikukatishe tamaa mtu muombe mwenyeezi mungu akuepushie majeruhi inshahallah
Kila la kheri mzize Allah akuongoze saaana nakuonaa mbali saaaana Mzizee
Mzize sisi yanga tunakkubali sana achana nayo manen ya akina jemedar na oruma pamoja na Jeff hawa c watu wazur kwako
Kila la kheri Mzize, naami Allah atasaidia ktk kipaji chako
Hongera sana kijana wetu Clement Mzize Mungu azidi kukupa kipaji zaidi
Safi sana dogo las umeongea vzr,Mungu akupe uimara zaidi,pambana mzize Taifa linakutegemea sanaa,
yanga ndo inamtegemea sio taifa kwa timu ile bora ata ajiuzulu tu
Huyu mzize nakuombea duwa wewe ndie mchezaji utakae uzwa kwabekubwa tanzania aminaamina😢😢
NILIKUA NAISUBIRI KWA HAMU AISEE😻😻😻
He's very mature, na ana akili he's the best na tumsupport
Mzize sasa UMEKUA. Hata majibu unayotoa ni ya kiutu uzima.
Nice interview..Mzize umejibu maswali vizuri sana kama ustaarabu mkubwa sijasikia kauli ata moja ya usela kama ilivo kwa wachezaji wengi sana...sauti yako imejaa nidhamu na shukrani pia..Allah akujaalie uwe na safari njema kwenye taaluma yako.
Tunahitaji kumlinda mzize kwa gharama zozote ikibidi kutoa hata uhai ukimuangalia mziZe unapata Maan ya maisha❤
Daima mbele
Mzize tunae na tunatamba nae
Naomba wanaomfikia kirahisi wamwambie aongeze mazoezi ya kufunga kwa kichwa. Akilimudu hili anaenda kuwa very complete and top top striker ever hapa nchini. Mungu mbariki Mzize.
Komaa Kijana Pambana 🔥💥💯✨
Privah mzuri ukiwa unahoji siyo kuongea wew 😅
Mungu akubariki mzize
Leo mm wa kwanza love u more clementnho mrth sahh wa John bocco
Mzizeeeeeee❤
Safi sana Mzize wewe unaenda kuwa bonge la mchezaji la Tanzania
WA KWANZA LEO LIKES ZANGU🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👑💚
Anaweza kujieleza
Talent Man ✅✅✅✅✅✅✅✅💚💛
Kazi kazi mzize
Top Score wetu wa Msimu huu Clemetinho49 ⚽💚💛🔥
Huyu jamaa hata asipofunga nampenda sana akifunga ndo namfurahiya sana
Home boy 🔥 🔥 🔥
MUNGU akujali afya njema ukafike mbali kaka mdogo
Dogo upo vizuri mungu akusaidie mzize ufike mbali
Hongera sana Mzinze kuiona kesho yako hayo ni maono
Mzize bonge la striker
Kijana ameanza kukomaaa kisoka kabisa Safi sana😊😊😊😊🎉🎉🎉
wanachi tuchange Mia tano tano mzize apate zawadi please ❤
Kabisaa jmn anapambn saaana
💚💚
Wahid mzize mwenyezimungu akuzidishie zaid
Oy 2024 nilikuepo hapa wajukuu zangu like zenu
Piga kazi una uhaland ndani yako pambana kijana
Hongera mzize upo vinzuri kiukweli
Mzize alivyokuwa anaongea huko mwishoni imenifanya nipate nguvu ya moyo wa utowaji maana hatujui nani atafaidika na kwamda Gani.
Asante Moja inaweza badilisha maisha kiujumla
Sema Priva hizi fani umevamia!
Good work guy walk up
Kijana yuko vizuri na kwenye taifa stars ajitahidi
MZIZE anajua mpira nkutia juhudi tu... Lkn pia nmefurah kusikia kuwa unachukua maamuzi mazur juu ya Maoni ya mashabiki zako
hakikaa wee ni stricker umebadilika sna yangaa daima
Mbona hamuipandishi Part Two
Said chitelula🙏🏿🙏🏿 tunakushukuru sanaa kwa kukiona hiki kipaji MUNGU AKUBARIKI 🙏🏿💛💚💪🏿
Yanga bingwa inshallah
🔥green en yellow
Big up my bro
Wachakaze
Mzize tunaye na tuna tamba naye
Let's go kijana wetu💚🖤💛
Safi Sana Mzize, ni kweli umebadilika, Mungu awe nawe daima!
Part Two
ayis wew ni muchezaji wangu ko mwanangu wa kwanza namuita muzize
😊💚💛💚💛 safiii
me yangaaaassaaaaaaa
❤❤
Mzize Kama kholliso mudau siku iz tangu unyoe para unakiwasha kinoma sanaaa
Ukiwa karibu na Walidi utanukia baada ya kuslim ukachagua jina zuri lenye harufu nzuri lazima unukie Walidi Mzize
Kaka mwanangu kiwashe ivyo ivyo nakuombea mungu ufanikiwe kwakila kitu bonge moja la player
wa kwanza kwenye comment
Number one here
Home boy 🔥🔥🔥🔥
part 2 jamani
Jamaa anapambana sana,big up sana Mzize,nidhamu,kujiamini,kujituma,ni vitu muhimu,mungu akupambanie malengo,mpira wa Sasa unalipa
Great job, you have a talent keep it up 🎉🎉🎉
Ufike mbali Sana, hongera
Ila siyo mbaya mdogo wangu ukawataja tu, japo baadhi maana wakianza kujitaja wenyewe itakuwa kama wanajisifu. Washukuru mdogo wangu na usiogope kuwataja.
Nice interview 👏🏾👏🏾🔰
Mzizinho
Fanya kazi yako mdogo wetu usikilize maneno ya wachambuzi muda ukifika utapata timu zuri na kubwa
Clementiho a. K. A drogba 🎉
Katulia kwenye interview 100%
Hongera sana all the best
We wish you the best of luck bro. You are developing and delivering. 🤝👏👏
💚💚💚💛💛💛🔰🔥🔥🔥🔥
Mzize ataisadia sana timu yetu ya taifa
what a player🔥🔥
Jah bless u mzize
Nakupenda kwali unavyojitumaa
nakkubar sana askari Wang pambana usjar uko vzur
Clement
Mwamba 💚💚💛💛
Izi interviews ni nzur sana mkiendelea iv mara kwa mara kwa wachezaj tofauti tofauti channel itafika mbali sana na ata kipato kitaongezeka
Kijana wetu MUNGU wetu aendelee kukupa nguvu zaidi na akujalie mambo makubwa ktk tasnia yako ya mpira🙏
🔥🔥🔥
Tatizo mzize anaweza akarelax kwa vile sahivi anajiona ni star 😂😂 Naogopa saana
Safi kaka 🎉🎉🎉
Big up bro✊🤜🤜
wa kwanzaaaaa
Nakubal mzize pamoja