MBUNGE KISHIMBA AWAVUNJA MBAVU WABUNGE BAADA YA KUINGIA NA UNIFORM ZA SHULE NA MADAFTARI KUWAONESHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • "Asilimia 50 ya presha ambayo watu wanayo sasa hivi ni suala la elimu na suala hili sio kwenye elimu yenyewe, leo nimekuja na mfano wa daftari ambazo shule zinasomea, shule binafsi wanasomea daftari la sh 200 ambapo kwa mwanafunzi madaftari 11 itakuwa 2200 lakini shule ya Serikali inasomea counter book, counterbook 11 ni sawa na sh 55,000 ambayo ni sawa na gunia la mahindi au mpunga sasa inawezekanaje matajiri wakasomea daftari la Sh 200, maskini wakasomea daftari la sh 5500 na mnasema watu wana stress ni kweli watu hawana raha na shule, nina mfano wa uniform hapa, shule za binafsi ni rangi hizi, uniform za shule za Serikali ni rangi nyeupe ni vipi mzazi ataweza kufua kila siku, Wazazi wanashinda wananunua sabuni na kufua tunaongeza umaskini badala kuongeza elimu"-Mbunge wa Kahama Mjini Jumanne Kishimba akichangia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2021/22.

КОМЕНТАРІ • 499

  • @adamumbise9755
    @adamumbise9755 3 роки тому +43

    Mm sichoki kbsa jmn kuangalia hii clip... naombeni like

    • @HashimuHashboy-bo2wl
      @HashimuHashboy-bo2wl 4 місяці тому

      Hata mm sijawahi kuchoka ntaangalia maisha yangu yote yaliobaki

  • @maimunakassim2840
    @maimunakassim2840 3 роки тому +26

    Mzee wetu huyu ametugawia sana madaftari na kalam shule za msingi igoma mhandu na nyakato mwanza enzi hizo.mungu akulipe shujaa wa elim

  • @sospeterkansapa1748
    @sospeterkansapa1748 3 роки тому +13

    Hakika Kishimba is a Natural Genius. Nakushukuru Mheshimiwa Spika kwa Kukazia Tafsiri ya Kazi.

  • @Sangaadam
    @Sangaadam 3 роки тому +6

    Mzee Kishimba huwa una kwenda right to the point......
    Ubaya kila kitu tunacopy toka kwa wazungu Kuna haja ya kubadilika na kua na module zetu kulingana na mfumo wa maisha yetu....
    Kweli nimekubari "Great minds discuss ideas"

    • @happynesskibona2679
      @happynesskibona2679 3 роки тому +1

      Wapi bw mbona hata wazungu wenyewe Hawavai sare za shule Africa tubadilike jamani

  • @ediusgabriely615
    @ediusgabriely615 3 роки тому +17

    Mheshimiwa kishimba ishi daimaa sana nakukubali sana, unaongea uharisia wa mambo, Mungu akubariki sana🤝👊💪

  • @yosephnguyaine2810
    @yosephnguyaine2810 3 роки тому +12

    Hawa ndiyo Wabunge wanaohitajika katika jamii ya Kitanzania. Hongera sana Kishimba.

  • @peterkalii5939
    @peterkalii5939 3 роки тому +7

    I like your contributions Mheshimiwa Peter Kalii Kenya

  • @ahmedabry3508
    @ahmedabry3508 3 роки тому +38

    Huyu mzee anaongea vitu muhimu Sana lkn tatizo kufatwa huo ushauri wake... Elimu ya Tanzania hamna kitu kabisa Yan.. Elimu mbovu Sana... From Muscat/Oman 🇴🇲

    • @bernardjohn8788
      @bernardjohn8788 2 роки тому

      Kwani biology chemistry, physic nk tunayosoma Tanzania ina utofauti na.aehemu nyingine.duniani? Acheni ujinga elomu ndio hiyo hiyo hakuna tofuti

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 3 роки тому +15

    Akili ya waliolishwa vichwa vya samaki Sato wa ziwa Victoria 😁 Safi sana Mb Kishimba Profesa

  • @aminamano775
    @aminamano775 3 роки тому +17

    Very intelligent person. Mungu akupe maisha marefu.facts of life

  • @tonyspencer1928
    @tonyspencer1928 3 роки тому +39

    Kuna huyu mzee kishimba na polepole nawaelewa Sana 😊😊💪💪💪🦾

  • @raimajimoto1122
    @raimajimoto1122 3 роки тому +40

    Uyu mzee namuelewa sanaaaaa

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 3 роки тому +42

    Mbunge wa wanyonge hongera Sana kishimba

  • @issahsaid7759
    @issahsaid7759 3 роки тому +13

    Umesema uharisia wa maisha ya Mtz, hongera tajiri yangu w Zamani

  • @josephmwashambwa357
    @josephmwashambwa357 3 роки тому +5

    Hongera sana kishimba kwa upeo mkubwa wa mambo.

  • @getaride-tanzaniacarpoolin7508
    @getaride-tanzaniacarpoolin7508 3 роки тому +10

    Very powerful, anaongelea elimu inayohusu dual vacation education and training/duale Ausbildung

  • @martinhinda5233
    @martinhinda5233 3 роки тому +17

    Mzee kishimba huwa anafanya research kwanza ndo anaongea huwa hakurupuki tuu afu naona amezungukwa na watoto wakali safi sanaaa

  • @officialsteeve2384
    @officialsteeve2384 3 роки тому +6

    Mh.Kishimba mungu akulinde mbunge wangu na aendelee kukupa maarifa zaidi uweze kututoa apa tulipo mana mawazo yako n yenye nguvu sana kwa ustawi na maendeleo ya taifa letu🙏🙏🙏

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 роки тому +6

    Wakulima wanayo sikukuu yao na maonesho yao. Hongera Spika kuwa na Mh kama Prof Kishimba.

  • @alvinbernad6549
    @alvinbernad6549 3 роки тому +9

    Mzee yupo vizur sana anafikiri mbali sana!

  • @averynusrwebangila4119
    @averynusrwebangila4119 3 роки тому +20

    Wapunguziwe mishahara wabunge at least walipe mil moja kwa mwez alaf tuone kama hosp zitakosa dawa, na wanafunz watakula bure throughout the year, serkal inapoteza pesa nying kwa kulipa baadhi ya watanzania pesa nyingi mno kwa kweli hili liangaliwe

    • @loveofficial74
      @loveofficial74 3 роки тому +1

      Hospitali zitakoxa dawa km kawaida nijibu nikuelezee kinachoendelea.

    • @CTM.24Updates
      @CTM.24Updates 3 роки тому +1

      @@loveofficial74 nn kinaendelea😋😊

    • @CTM.24Updates
      @CTM.24Updates 3 роки тому +1

      Kweli baba

  • @Jackson-Novat
    @Jackson-Novat 3 роки тому +20

    Mzee wangu umeongea vizuri sana. Mungu akubariki sana.

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 3 роки тому +9

    Safi Sana we mbunge mm nafua mashati ya wanangu kilasiku

  • @emmanuelromanus2757
    @emmanuelromanus2757 3 роки тому +4

    Mzee uko vizuri...umeongea more than points. Big up mzee.

  • @fortidaskashaigili7496
    @fortidaskashaigili7496 3 роки тому +6

    Huyu Mzee yupo kwenye field ya Maisha kwa miaka mingi sana,na practically ameiva Sana,ndio maana haamini katika kukaa Sana darasani,ni kweli tunapoteza muda,mfano unataka kuwa billionea,utasoma Hadi lini,wenzetu miaka 25 kama hujatajirika basi tena wewe unakufa masikini Tu,lbd uanze kutumia ndumba uue watu.

  • @ALLYIMZEE
    @ALLYIMZEE 3 роки тому +10

    Positive Ideas Mr. MP

  • @danieltenson4175
    @danieltenson4175 3 роки тому +32

    Katika Tanzania huyu ndo mbunge wangu ingawa hayupo kwenye jimbo langu! Mzee ana akili nyingi sanaaaa! Mama Mtazame sana huyu dingi apewe uwaziri wa elimu, ndalichako awe naibu waziri wake! Yaani yuko na maakili mingi sanaaaaaaa

  • @adeltusbashara9720
    @adeltusbashara9720 3 роки тому +20

    Kishimba uko juu sana aisee!

  • @nginirasaire5876
    @nginirasaire5876 3 роки тому +7

    This man is very creative

  • @priscamedadi1108
    @priscamedadi1108 3 роки тому +3

    Uongozi ni hekima sio elimu hakika mungu azidi kukubaliki. Mzee wangu. Ulicho eleza nikweli kabisa

  • @bensonjr4879
    @bensonjr4879 3 роки тому +2

    Viongozi wanaotoka kanda ya ziwa so Genius

  • @classicscoresmartine9098
    @classicscoresmartine9098 3 роки тому +4

    Mzee chukua mirinda nyeusi popote ntakuja kulipaa👍👍👍

  • @pius_kiraka
    @pius_kiraka 3 роки тому +13

    Hongera sana, Mhe. Kishimba, kwa kujaribu kudokeza namna elimu yetu inavyotakiwa kuwa. Elimu inayoakisi mazingira yetu. Lakini "wasomi" wanaotakiwa kuleta mabadiliko ya aina hiyo hawatakuelewa. Wataishia kucheka tu, halafu hoja yako itapotezwa. Tuisuke upya elimu yetu. Tuchanganye mawazo ya "wasomi" na sisi wananchi wa kawaida ili kupata mitaala ya elimu inayowafaa watoto wa wananchi wa kawaida wa nchi hii. Tumezama kwenye biashara ya English Medium, taifa linateketea.

  • @daharanirashidi4655
    @daharanirashidi4655 3 роки тому +2

    Mzee kishimba watachelewa kukuelewa Kwa sababu wabunge wengi ni wa mjinin maisha ya kijijin awayajui nakpongeza sana

  • @patriciacosmas5944
    @patriciacosmas5944 3 роки тому +15

    Darasa la Saba tuko vizuri Sana tatizo hatujaa vaa tu Yale majoho yao.mnaona point zetu .👍👍👍

    • @geeva99
      @geeva99 3 роки тому +4

      Sometimes yale majoho ni mkosi, ni sawa nukuambiwa wewe ni spiderman alafu unapewa na vazi la spiderman na verification card kumbe hamna kitu sio spider man ilikuwa halloween party tu

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 2 роки тому +1

      You what, probably, oh may God, okay, ooh Yes , ok I do haaaaaaaaa

  • @ligobertwile6590
    @ligobertwile6590 3 роки тому +4

    Daah, Mzee kishimba uko vizuri! Asante kwa mawazo yako kwani tukiyafanyia kazi yatatufikisha mbali!!

  • @sariellameck9134
    @sariellameck9134 3 роки тому +9

    Safi sana mbungee.
    Nice comment MH spker

  • @ousmanjuma3396
    @ousmanjuma3396 3 роки тому +5

    My president prof.kishimba

  • @zainabumbondei8635
    @zainabumbondei8635 3 роки тому +5

    Aaah baba angu mwenyewe muheshimiwa profesa yaani huwa napenda nikikusikiliza hoja zako nisiwe na shuhuli yoyote yakunichanganya kwakweli MUNGU akubariki sana zikifanyiwa kazi hoja zako tutafika mbali nshaallah

  • @majutoomary4037
    @majutoomary4037 3 роки тому +19

    Dah huyu mzee namkubali sana🤣🤣

  • @georgiamasangu6025
    @georgiamasangu6025 3 роки тому +9

    Safi sana mbunge akili kubwa sana sana👏

  • @ryobabinagwa1281
    @ryobabinagwa1281 3 роки тому +7

    Mzee wetu anaongea point sana

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 3 роки тому +3

    Safi sana mbunge kishimba na spika wabunge alafu hizi sherehe naona nisikukuu zawafanyakazi waselikalini tu sisi wengine zinakuwa kama hazituhusu vile

  • @saidaal1679
    @saidaal1679 3 роки тому +10

    Uliosema yote kweli huo uasli ndio unaotakiwa ili tusonge mbele na tukifuata huo utaratibu Tanzania lazima tutafika uchumi wa juu nakupongeza sana endelea kutusemea nakukubali sana

  • @gipsonmwankobela2825
    @gipsonmwankobela2825 2 роки тому

    natural creative mind. hongera kishimba

  • @abdulhalim5950
    @abdulhalim5950 3 роки тому +2

    anasoma vehicle mechanic, anajua definition ya mechanic,anajua network's rulls zote,anajua mahesabu yote ya mechanic, anasomeshwa hadi what's the meaning of car,, kwa mda wa miaka 4 ili apate degrees na kapata GPA ya kwanza ,,lkn kutia na kutoa tyres hajui, hawezi , aliefeli shule hajui definition ya chochote ila ukimpa miaka 2 tu garages anakufungulia engine na anairudisha ,,, thus why i say dunia inabadilika tena very fasta kuna gari zinakuja zitakua zinajiendesha zenyewe lkn hadi kesho ukienda driving school wanakuambia ni only Manuel car ndo wanasomesha ,yani kama skuli inatoa elimu Basi kwa sasa elim za shule zishapitwa na wakati ,,, UKITAKA SAII UFANIKIWE
    1, SOMA DINI HADI UFIKE CONCLUSION YA KUA IPI DINI SAHIHI
    2,SOMA INTERNATIONAL LANGUAGE
    3,JIAMINI HUNA AMBACHO HUWEZI
    4,INGIA MTANI UJIFUNZE KILA UNACHOKITAKA KWA VITENDO, COS UKIELEWA VITENDO VYA KAZI FLANI UHAKIKA THEORIES UNAWEZA UKAANDIKA MWENYEO,,,,,
    4,ACHA USHAMBA WA KUJIPA UZALENDO WA NCHI ,JIAMBIE DUNIA NZIMA NCHI YAKO ,NENDA UNAPOTAK DUNIANI KMA HUKO UNAISI UTAPATA RIZIKI,,
    I LOVE U ALL, AM #HAPPY TO BE #MUSLIM

  • @geeva99
    @geeva99 3 роки тому +24

    Hata enzi zangu nasoma kama ingekuwa mdaftari mkubwa huo kama muasibu ningeacha shule, kwanini daftari kubwa hivyo primary khaah!!

  • @casperegreen3034
    @casperegreen3034 3 роки тому +19

    Dahhhh akili kubwa sana

  • @tumainimnzava320
    @tumainimnzava320 3 роки тому +3

    Mbunge hodari sana kwa hoja nzuri tu kila wakati tunashukuru

  • @kiddyadams
    @kiddyadams 3 роки тому +3

    Tatizo Uko mbele ya muda ila iko siku watakuelewa tuu siku moja. keep pushing J4

  • @jacksonndutu4024
    @jacksonndutu4024 3 роки тому +6

    Yan kama Wabunge wote wangekuwa na akili kama huyu nchi ingepiga hatua kwa kasi sana

  • @adriannkuli2145
    @adriannkuli2145 3 роки тому +10

    Anaongea Kama anachekesha lakini ni Mambo ya msingi Sana.🤔🤔🇹🇿🇹🇿

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 3 роки тому +1

      Hivi kwanini rais hampo huyu MH kishimba uwaziri wanelimu? Anafaa Sana ungekuta kuna mabadiliko manzuri mno? Huyu anaona mbele sana

  • @Wami-Sababisho
    @Wami-Sababisho 3 роки тому +4

    Mzee kishimba bhana,sijui kwa nn hawakupi hata unaibu Waziri

  • @ayubumligi6663
    @ayubumligi6663 3 роки тому +16

    Genius sana huyu jamaa

  • @japhetheliakimu4678
    @japhetheliakimu4678 3 роки тому +4

    Sawa kbs pro...kishimba

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 3 роки тому +10

    Hakika huyu mzee ana madini sana.

  • @Abdulsattar-gb1no
    @Abdulsattar-gb1no Рік тому +1

    You are my teacher thank you professor

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 3 роки тому +15

    tatizo letu,tunaiga kila kitu,hatuendi na hali halisi

  • @tynnahpaul8639
    @tynnahpaul8639 3 роки тому +1

    Thanksssss kwa kukumbuka daraja la chin

  • @agnessndakidemi2775
    @agnessndakidemi2775 3 роки тому +2

    big up kishimba, uko vizur

  • @iddyrashid1009
    @iddyrashid1009 3 роки тому +1

    Nampongeza sana mbunge kishimba kwa kuona umuhimu wa elimu kwa watu wa hali za kawaida, ni kweli elimu yetu ya tanzania inavipengele ambavyo ni vigumu, tunamuomba mh waziri wakae chini kuliangalia hili swala kwa kina

  • @dieudonnejohnson5200
    @dieudonnejohnson5200 2 роки тому

    Huyu Mzee ni kichwa saaana tena sana yaan!!👌💪💪💪

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 3 роки тому +5

    Hakianani Kishimba na Msukuma huwa mnanivumba Mbavu Aseee!!

  • @issazakaria863
    @issazakaria863 3 роки тому +9

    Akili kubwa sana

  • @comrademlewaisavile336
    @comrademlewaisavile336 3 роки тому

    Uyu mh kishimba he's unstoppable man namuelewa sana.
    Anafaa kuwa wazir. Ana points nzur coz anakaa na wananchi yaan anakuwa anayajua matatzo na asili yake🔥💪💪

  • @josephkaitira4735
    @josephkaitira4735 2 роки тому

    Wow! Mh. Kishimba uko vzr, unazungumza vtu vyenye uhalisia, lakn kw bahati mbaya tunaokuelewa n wale tulio upande wa makali, wao walio upande wa mpindi ndo Kwanza hawajali lolote Wala chochote, maana ELIMU y sehem kubwa Dunia ipo under control y colonial master, hvy implementation inakuw pasua kichwa!

  • @frankkaijage9726
    @frankkaijage9726 3 роки тому +10

    Napenda sana.kumsikia Kishimba 👏👏👏

  • @abdulrahmanally1412
    @abdulrahmanally1412 3 роки тому +1

    Mashaallah, an apt speech is big up

  • @dickson6684
    @dickson6684 3 роки тому +5

    Mawazo yako yakitendewa kazi your de legend kishimba

  • @HACKJEMMYLITE
    @HACKJEMMYLITE 3 роки тому +24

    Una akili Sana ww mzee, I wish I could be there to clap for you.

    • @ibraimoissiaca6058
      @ibraimoissiaca6058 3 роки тому +2

      Badala ya ku sapot wanacheka cheka tu

    • @HACKJEMMYLITE
      @HACKJEMMYLITE 3 роки тому +1

      @@ibraimoissiaca6058 watasapoti vp wakt lugha ngumu kumeza imetumika?? Uwezo wa kuchanganua n mdgo sana

    • @mkwavi
      @mkwavi Рік тому

      One day you'll be there Insha'Allah,,,,

  • @amrimwingwa994
    @amrimwingwa994 3 роки тому +15

    Huyu mzee ni Critical thinker

    • @martinmaryogo3676
      @martinmaryogo3676 3 роки тому +2

      sana sana sana huyu mzee anafkikiria beyond kabsa daaaah

    • @amrimwingwa994
      @amrimwingwa994 3 роки тому +1

      @@martinmaryogo3676 sanaaaa mawazo kama haya ni Falsafa ...tukisoma kwenye vitabu thnaambiwa huyu ni mwana falsafa kama akina Plato na akina St.Thomas.

  • @gmdecoration6044
    @gmdecoration6044 3 роки тому +3

    Mzee anaongea vizuri Sana Yuko sahihi Kuna mahali nilienda tulikuwa namzee wamakamo Kuna mtoto alifungulia mifugo akawa anapeleka kunywesha maji asubuhi mzee alichekasana ukiangaliya niwengi awajui pia shati nyeupe nikweli licha yasabuni nakuchakaa pia mzee kishimba apewe uwaziri😅😅😅😅

  • @andreamsemwa7872
    @andreamsemwa7872 2 роки тому

    Hongera mh. Kishimba mungu akupe nguvu unaongea point very nice

  • @hamzamohamed8297
    @hamzamohamed8297 3 роки тому +5

    Akili kubwa sana hii

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 3 роки тому +6

    Jamaaa anaakili sana

  • @deusmgema8612
    @deusmgema8612 3 роки тому

    Safiiii sanaaaa mh kishimba unatoa darasa bungeni kwa lugha inyoeleweka sana wabunge unganeni na kishimba kuishauri serikali vijijini kuna hali ngumu sana ya maisha . wanakahama hongereni kumchagua MTU huyu ana akiri nyingi sana

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 3 роки тому +5

    Mbunge wangu nakupenda sana Huwa unakuja na vitu halisia

  • @ebenezaestate5045
    @ebenezaestate5045 3 роки тому +3

    We mzee upo bomba ukikutana na mm nakupa zawadi

  • @boscoafikile4737
    @boscoafikile4737 3 роки тому +11

    Proffesa kaja na vitu vipya, hahaha

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 3 роки тому +5

    Kweli kabisa

  • @Itarusii
    @Itarusii 3 роки тому +3

    Siyo lazima watu wafundishwe kizungu! Hatuna budi kuunda vya kwetu!

  • @johnmaina6081
    @johnmaina6081 3 роки тому +1

    Mheshimiwa kishimba kachimba.... Big up Sana kwake

  • @edwardkanchori2665
    @edwardkanchori2665 3 роки тому +3

    Infact prf kishimba en speaker

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 3 роки тому

    Kumbe spika pia uko vizuri hivyo! Mungu awajalie kusimamia ukweli na uhalisi wa mambo kwa taifa wakati wote.

  • @issarashid1421
    @issarashid1421 3 роки тому +5

    Siku zote mawazo yako nitofauti kabisa ubongo wako unaushulisha sana Mheshimiwa Kishimba

  • @frankkaijage9726
    @frankkaijage9726 3 роки тому +2

    Kuusu yuniform. Napenda rangi ya Njano shati inamuonekano mzuri sana.

  • @kangaelias7782
    @kangaelias7782 Рік тому

    Da!😂😂😂😂😂😂😂😂, Nakukubali Sana mheshimiwa kishimba

  • @karimunjaulesahihi1459
    @karimunjaulesahihi1459 3 роки тому +4

    Mashalla

  • @jumannemfaume
    @jumannemfaume 3 роки тому +1

    Ukisikia mbunge ndio huyu sasa very smart

  • @zawadisisto8188
    @zawadisisto8188 3 роки тому

    Huyu mbunge anaufahamu wa juu Sanaa hakuna mbunge mwenye ufahamu kama huyu anakumbuka alikotoka

  • @honmaka6200
    @honmaka6200 2 роки тому

    Job ukiwaga kwenye usawa wako you are too genius and visionary man but shida yako ilikuwaga tu hasira ila hapo uliongea sana point ukiimarisha hoja ya Kishimba the genius Mp

  • @dr.amos..ngailomd
    @dr.amos..ngailomd 2 роки тому

    Very intelligent person

  • @cecykaitanus7873
    @cecykaitanus7873 Рік тому

    Very clever man. A true leader

  • @hellenajohn6341
    @hellenajohn6341 3 роки тому +2

    Points with facts

  • @kitambiluwingo8659
    @kitambiluwingo8659 2 роки тому

    Point sana kwa mbuge ,kishimba

  • @alexjackson6608
    @alexjackson6608 3 роки тому +1

    Well done!!!!!!!

  • @ayubuhamisi7314
    @ayubuhamisi7314 2 роки тому

    da aiyisee nilikuwa nakukubali sana mheshimiwa ndugai

  • @chumawambura3375
    @chumawambura3375 3 роки тому +6

    mzee nimekuerewa tunaitaji watu kama wee wenye kusema ukweli

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 роки тому +4

    Ameongea maneno mazuri sana

  • @monicakalinga8258
    @monicakalinga8258 3 роки тому

    Huuyu baba nmempenda bure ni bonge la genius