May God bless you brother. Your songs are really ablessing to me and my family. May God prolong your life. Everyday I have to check in UA-cam if you have uploaded for us any song.I love your songs.
Uu wimbo tulikuwa tunaimba choir nikiwa 12years and now am 48y na nasikia Uwepo wa mungu sana ndani yake may God continue to uplift sifuna for good work
Naungama dhambi zangu kwa maandalizi ya nafsi yangu ili hii siku ijapo nami niwepo.Halelluya Jehova wewe ndiwe mkuu wa wakuu wala hapana yeyote aliye kama wewe.Amen.🙏❤❤🤲
Asante sana kwa huu wimbo mtumishi wa mungu 👍👍👍🙏🙏🙏🙏,,,,mungu azidi kukuzidishia baraka siku sote,, that's Avery touching and powerful song in lord jesus,,,, amen 🙏🙏🙏
Amen Amen nasikia Raha Dani mwangu sikuizi nimekuwa mtu wa kusamea mtu better izi songs zako zimenipatilisha na kushuru sana pia na shukuru kukupea hi kipachi be blessed 🙏🙏
Praise God ❤hallelujah this are revival songs we shall sing them in the crusades as we win souls for the end time.God bless you so much God increase you and multiply you.may God's protection be upon you.
Nice song .....be blessed 🙏🙏🙏
Amen amen ❤❤
Amen nice song be blessed man if God ..... much love from gulf
Amen amen
Be blessed ❤❤
Stay blessed brother Daniel
❤❤❤❤❤❤❤Aaaaaaamen
May God bless you broh
Amen❤❤
Nice song 🙏
Amen❤
Amen 🙏
Halleluya ,Mungu usianiache aki 😢😢😢
Amen❤❤❤❤❤
More grace upon you
Amen amen❤❤❤❤
Praised God
Amen ❤
Amen
May God bless you brother. Your songs are really ablessing to me and my family. May God prolong your life. Everyday I have to check in UA-cam if you have uploaded for us any song.I love your songs.
Amen amen amen❤❤❤❤❤
Asante kwa kunikumbusha wimbo huu
Amen amen❤❤❤🙏
Uu wimbo tulikuwa tunaimba choir nikiwa 12years and now am 48y na nasikia Uwepo wa mungu sana ndani yake may God continue to uplift sifuna for good work
SSfdgu😊😊
Just imagine ❤
Was looking for the chorus... I miss those years.
We ni mwenzangu jameni.Dunia imechakaa hii 😢
May God help me this calls for a new salvation surely wakati umekwisha
ubarikiwe mtumishi wa Mungu jamani,,,, nakumbuka hii tulikuwa tunapenda Sanaa kuiimba na marehemu bibiyanguu,, enzi z uhai wake daaah
Amen amen amen.
Pole kwa kumpoteza❤😢😢
God bless you for the good work you are doing
Amen amen amen❤❤❤❤
When Gospel was.Gospel
Lord have mercy on us. We announce restoration.
Amen❤❤❤
Jina la Bwana libarikiwe🙏🙏
Amen amen❤❤❤❤❤
Amen Amen blessed brather
What song a song aish may God blessings be upon you bro ,kila saa ninaposikiliza nyimbo zako huwa zinaniitia nguvu
Amen❤❤❤❤❤
Naungama dhambi zangu kwa maandalizi ya nafsi yangu ili hii siku ijapo nami niwepo.Halelluya Jehova wewe ndiwe mkuu wa wakuu wala hapana yeyote aliye kama wewe.Amen.🙏❤❤🤲
Kazi safi ,wefwe, chikhabi 🙏🙌❤
Amen amen❤❤❤
Gob bless you m
Amina wimbo mzuri mno barikiwa mutumishi mungu na akuinue viwango adi viwango uendelee kumutumikia na roho wake akutawale milele na milele
Amen amen amen❤❤❤❤
Karibu
Huu wimbo ni Moja wa nyimbo zilizofanya nijue kucheza guitar
Wow amen amen ❤❤❤❤
❤❤❤🙏🙏🙏🙏
Dah , kama Kuna wimbo bora wa injili kuwahi kutokea katika ulimwegu huu bc huu naona ni wimbo bora zaidiiii❤
Amen amen
Naomba nisiwe miongoni mwa watatenda mabaya, Eee Mungu niwezeshe😢
Amen amen❤❤
Wimbo. Mzuri. Sana. Barikiwa ndugu. Yangu
Amen amen❤❤❤
Mtumishi wewe ni chombo cha Mungu, ahsante kwa upako huo Mungu akubariki sana ❤
Asante sana kwa huu wimbo mtumishi wa mungu 👍👍👍🙏🙏🙏🙏,,,,mungu azidi kukuzidishia baraka siku sote,, that's Avery touching and powerful song in lord jesus,,,, amen 🙏🙏🙏
Hizi ndizo nyimbo hiki kizazi kinahitaji.Mungu akuzidishie neema ndugu Daniel
Amen❤❤❤❤🙏
From TikTok lazima ningefika apa God bless you I always download your songs wakati nkona stress naskiza najipa moyo
Huu wimbo Huna mafunzo mengi sana ...Tafadhali wakisto tubuni kila wakati
Huu wimbo ulikua tunaimba nikiwa 13yrs now am 38yr mungu akusaidie sana ainue vipawa vyako
Wimbo unatupaa tutafakari siku ya mwisho😭😭😭😭😭😭
God bless you man nice song mungu abariki kazi ya mikono yako when I listening this song i remember my life between me and God ❤❤❤❤
Mungu akubariki pastor Daniel
Nampenda Sana hiyo wimbo god bless you ❤❤
🙏🙏🙏😭😭
❤❤❤😢
Nimelia lakini machozi sana na machozi yangu imekataa kuisha wala kufutika😢😢😢oh lord forgive us our sins kama yet still in this earth😢😢😢
Mungu nisitesheke humu duniani ,nikija kwako pia hunikumu hapana mungu naomba unionyeshe njia zako
Ninanyenyekea chinie ya miguu ya Bwana 🧎Halleluyar Baba
Amen amen amen❤❤❤❤🙏
Best song God bless you brother wherever you are ❤
🎉wow, sooo amazing 💪😘😘
Na Mungu akuinue zaid kkng🤝
Cku hiii ya leo nimeskiza hii wimbo nimeskia ni kma message yngu Barikiwa sana Daniel
Nikisikia huu wimbo machozi yananitoka 😭😭😭😭😭 mungu kuwa nasi kila siku😭😭🙏🙏
Mungu nitakuwa wapi wakati wa hukunu mungu niokoe nitoke katika dhambi🙏🏿
Wimbo mzuri sana, ukiusigiza unaanza kupiga darubini maisha yako jinzi yalivyo. Mungu akuinue na uzidi kutubariki na nyimbo zako.
Amen wimbo unifunza mengi sana❤❤❤❤😂
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Wow ❤my favourite song, kwaya zako hunikumbusha nyuma kwenye nilitoka, barikiwa sana 🙏🙏
Asnty sna juu imenigusa sna
Amen mtumishi
Wimbo mzuri huu ndio wimbo tunafaa kuimba, Sio kujiimbia nyimbo ambazo hazina utukufu
Amen amen ❤❤🙏
Amen dugu mungu akuinuwe sana .
Barikiwa
Halleluya very nice song 🎵 👌
Nyimbo zako kaka zinanifariji sana zinaniongezea hatua ya wokovu. MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI WA MUNGI AZIDI KUKUINUA KATIKA KAZI YAKE
Amen good and touching song 😢😢 blessings 🙏🙏
Sifuna unabariki moyo wangu sana pia ww mungu akuinue kabisaaa ❤
Hallelujah🙌🙌🙌🙏 yes Lord unastahili bwana 🙏🙏🙏🙏
Upo kitabu gani
Amen Amen nasikia Raha Dani mwangu sikuizi nimekuwa mtu wa kusamea mtu better izi songs zako zimenipatilisha na kushuru sana pia na shukuru kukupea hi kipachi be blessed 🙏🙏
Hizi ndizo nyimbo zinafaa ni nyimbo za kutujenga mioyo zetu na pia nyimbo kutoka kwenye bibilia may God bless u sifuna 🎉
Ninekumbuka nwaka 2003 tulikuwa na kwaya tuliuimba sana huo wimbo aisee kaka umenikumbusha mbali MUNGU akubariki sana
Amen amen amen
Praise God ❤hallelujah this are revival songs we shall sing them in the crusades as we win souls for the end time.God bless you so much God increase you and multiply you.may God's protection be upon you.
Amen
Sure Amen
Gd songs God bless Amen Amen Amen Amen
Duuu wimbo huu unaujumbe mzito sana tutie nguvu MUNGU
Napenda sana nyimbo zako na huwa pia naziiba kanisani mwetu..umbarikiwa sana
Amen barikiwa sana mtumishi wa mungu
Amen❤❤❤❤🙏🙏🙏
Umenikumbusha enzi za ujana wetu ,huu wimbo tuliuimba kwa mashindano ya kwaya kwa makanisa zetu.
Nice song I love ur song it's inspiring me alot may God bless you 🙏
Amen amen
Barikiwa sana ndugu mungu akuzidishie nyimbo nzuri❤
Nice song be blessed ❤❤❤❤
Ubarikiwe🙏🙏🙏🙏🙏🎉🎉🎉
I feel very happy like going in the heaven. Amen 🙏🙏
Amen amen 🙏
God lift you for his Glory.I receive the message lord have mercy on his people mercy upon us😢😢😢🧘🧘🧘🧘🧘🧘
Nyimbo tamu naipenda sana
Hallelujah hallelujah hallelujah Amen mtumishi barikiwa Sana tumurudieni Mungu
Mungu ni mkuu🙏
I remember this song tukiimba pale AIC siyiapei children's home❤❤
Wimbo mzuri sana unatukumbusha Kwa hapa duniani sisi ni wapitaji
Nashukuru sana wimbo mzuri sana mwenye mafuzo mengi
nice song
Am happy God bless you brother
Amiina Mukama akuwe omukisa Ssebo, I love your songs ❤❤❤
Woooiii amazing barikiwa bro keep on 🔥🔥
Prayers please mtumishi
Bwana naomba sana watakao kua n ww nikue hapo, naugama n dhambi zangu zote , nikijua mungu ww upo ukiwa. Mkuu wa wakuu, asante bro kwa wimbo mzuri
Waooh ..Amen
Amen❤❤❤❤🙏
It's my first time to hear from this song but is very powerful song
Nice one 🙏🏽🙌🏽🙌🏽 more grace brother
Amen amen amen yaya❤🙏
My favorite song ❤❤❤❤🙏🙏🙏👏
Nyimbo nzuri ya zamani saana
😢😢😢😢😢nisamee mungu wangu
Ee hiwimbo jamani,nlikuwa wapi ikitoka,tamu,Mungu azidi kukutumia,mtumishi sifuna kwa nyimbo zako
This music is always sweet..never gets old❤
Thank you God bless you brother Amen 🙏🙏🙏🙏
Nice one
Amen amen❤❤❤🙏
Wow that sounds amazing brother ❤❤❤❤
Aaaaaaamen amen❤❤❤❤🙏
Such a nyc song be blessed my brother
God bless you So much servant of God. You revelation is special
Amen amen