Tawala taifa lako tawala waliyowako, ututawale BWANA tawala wote walio wetu also vyote vilivyo vyitu. Kwasababu tukojitawala au kujiongoza pekeyetu tutaangamia ututawale BWANA 🥹😓🙏🏾!
Hakika be blessed servant of God Nime pokeye uponyaji ku pitiya nyimbo zako🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Nikiwa Europe . May you God azidi ku ku ongezeya huduma kwa ku wa bariki wengine❤️❤️❤️❤️❤️❤️. Amen 🙏🙏🙏
Amen. Wimbo mzuri Sana mungu wa mbinguni akubaliki Mtumishi
Wimbo umeniguza,umenirudisha karibu na mungu direct
Be blessed Evangelist
Amen brother, nyimbo zako zagu mioyo kabisa , Mungu azidi kukubariki
Amen
Wimbo huu ungekuwa ombi letu sote wasikilijaji nawasihi
Amen❤🙏
Amen and Amen
Mungu azidi kukuinua bro nice song nmekubali bwana❤
Amen❤❤❤🙏
Nimekubali Bwana utawale maisha yangu ...naungama dhambi zangu zote mbele zako Jehova😢😢
Wimbo nzuri wa kujisalimisha Kwa uongozi wa Mungu.Mungu akubariki na akutee ndugu Sifuna,kizazi hiki kinaitaji huu ujumbe.
Amen amen amen.
Very true my siz🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤
Nyimbo zako zinanifanya nijisikie amani sana mtumishi mungu akubariki ❤❤
Amen amen🙏🙏❤❤
Tawala taifa lako tawala waliyowako, ututawale BWANA tawala wote walio wetu also vyote vilivyo vyitu. Kwasababu tukojitawala au kujiongoza pekeyetu tutaangamia ututawale BWANA 🥹😓🙏🏾!
Mungu akubariki sana mtumishi
Napenda sana nyimbo zako
Ubarikiwe sanaa
Amen my brother
Nimekubali bwana tawala maisha yangu bwana God bless you pastor and God continue protect your team🙏🙏🙏🙏🙏
🙏.what a touching song may God use you us Hi vassal
Barikiwa sana mtumishi wa mungu kwakunibari na nyimbo zako zote Amen 🙏
Tawara maishangu bwana tawara nafamiriyayangu
Nimekubali bwana utawale maishayang utuogoze bwana kwakilakitu amen
Bwanatawala maisha yangu ,,familia yangu maisha ya yule mama ,,yule dada yule kaka ,,yule mzee na wote wenye sijui🙏🙏🙏🙏🙏
Wow.....am repeating this song as it triggers my spirit. Ndugu Sifuna ubarikiwe sana❤
Nimekubali tawala maisha bila ww maisha ya gulf sio rahisi bila mungu
Very hard majaribu mingi
Mubarikiwe sana kwa kazi nzuri ya nyimbo huu unawo burudisha moyo Na kutiya nguvu Na kuimiza la
Aaaamen
Mungu atawale maisha yangu ninapoenda Marekani
Ni mengi nimewaza,ni mengi nmefkiria kuyafanya,ila baba nmekubali unitawale,na pia utawale maisha yangu
Amen amen amen
Wele akhulinde mwana wawele kimienya kioo imenikusa sana barikiwa
Nyimbp zako zimefanya nimemjua mungu be blessed
Bigp sana 6:05 💯🙏
Amina 🙏🙏 bwana nimekubali kapiza utawale Maisha yangu siku zote kwa maana bila wewe mungu Mimi si kitu Karibu yesu🙏🙏🙏❤️❤️
Amina nimekumbali bwana hawala maisha na familia yangu na pia kazi yangu Amina.
Nimekubali BWANA nimekubali, BWANA nimekubali BWANA tawala maisha yangu 🙏🏽🤲🏾🙌🏾
Amen mungu tawala watoto wako
Heko Sifuna, shikilia na hapo na nimetthika kutawaliwa na Bwana.
Mungu awe nasi daima naakubaliki mtumixh wa mungu Daniel sifuna huu wimbo nimeshinda kunyamaza Kila nkiusikiliza dah I love you God bless them
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu unanitia nguvu sana na nyimbo zako wakati nimekata tamaa ya maisha my God bless you
Amen amen amen❤❤❤🙏
@@roseseriani8072 Amen amen
Barikiwa zaidi
Nimekubali bwana tawala familia yangu na maisha yangu bila wewe jehova siwezi 😢
Mungu ashukuriwe sana
May GOD grand you wisdom ableness to do avideo.keep up.❤🎉
Mungu nimekubali utawale maisha Yangu 🙏
Hakika be blessed servant of God
Nime pokeye uponyaji ku pitiya nyimbo zako🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nikiwa Europe .
May you God azidi ku ku ongezeya huduma kwa ku wa bariki wengine❤️❤️❤️❤️❤️❤️.
Amen 🙏🙏🙏
A good and a blessing song
Ukweli kabisa anaweza mambo yote unty
Wow my song,I love 💕 it
Amen
Nyinmbo zako ,zina utukufu wa mungu,,ninapo sikia,naona ushindi wa mungu,and may God bess you pst
Nahisi uwepo wa Mungu Kila nikisikiliza huu wimbo ,Mungu aendelee kukutumia
Nimekubali bwana tawala maisha yangu amina amina
Amen
Nice song,God bless you bro
Amen ❤
Amen prophets of truth and justice....watching from kenya
Tumekubali kabisa mungu usituwaje asa wenye tuko inchi ya lnje tuliwaja familia yetu nyuma uwalinde usiwaje wangamie Amen
Maisha yetu iko mikononi mwa bwana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
God Love hahaha ♥ ❤ 💖 💕 💓 💗 ♥ ❤ 💖 💕 💓 💗 Moyo asante Malibu uber son
que Dieu te benisse mon frere pour ce don
Hallelujah ndugu Daniel sifuna, MUNGU na azidi kukupa haja ya Moyo wako Kwa wimbo mzuri,🙏🏼
Amen amen amen❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
Nimekuli bwana tawala maisha yangu, hii hali ngumu yenye nikomo ya vita lebanon
Tawala maisha yangu amen amen.
Nawasihi watumishi msilale bilakumkabidhi bwana maisha yenu ili atawale
Congratulations bro 👏👏👏..,...I love listening you're songs ❤️..... you're songs means alot to my life 💞 🙏
Amen❤❤🙏
Ndio chauku yamoyo wangu BWANA TAWALA MAISHA TOKASASA HATASAA Y'A KUFA KWANGU
Amen❤🙏
Hata ndugu zangu wanitenge ila nimekubali bwana utawale maisha yangu amen.
Listening live from Oklahoma city 🏙️ USA.
Grace shall speak one day 😢
Trucking for life🚛
Live long Babu ✌️
Amen amen
Tawala maisha yangu bwana wimbo huu unanitia nguvu sana barikiwa ndugu
Huu wimbo umefanya hadi nikakufollow aki very touching😢😢😢
Aaaaaamen thanks
If what the song means it can happen to me today I can give all what I have to people and follow Jesus christ
Ameni barikiwa sana na nyimbo hizi Mungu akuinue zaidi na zaid
Amen asante bwana kwa kutawala maisha yangu
Tawala maisha yangu nice song Amen
Nice song my precious people, much love frm kenya❤, be blessed.
Great worship
Amen nikikumbuka penye Mungu amenitoa hakika nakubaliana na wewe nimekubali Mungu tawala maisha yangu😢😢😢😢
Amen amen amen amen
Nimekubali bwana tawala maisha yangu pamoja na familia yangu ❤❤❤❤
tawala Marshall yangu,bwana pamoja na familiar yangu
Nimekubali bwana Tawala maisha yangu,,Maadui ni wengi but nikiwa na wewe Niko salama
Waluhya mko wapy jamani
😅
Mungu akusamehe
Niko apa
Amen, hakika mungu anaweza
Bwana tawala maisha yangu pamoja na familia yangu amen
Amen 🙏 bro God bless you
Amen amen
Bwana tawala maisha yangu haswa kwa ndoa yangu changamoto ni mingi sana
Imenikuza moyo kbza.., tawala bwana tunalia
Nimekubali bwana tawala maisha yangu licha y ugumu Ile Niko ndani sayi
Naomba unifanyie maombi nisianguke imani mtumishi nasumbuliwa na kuanguka imani kila nikipatwa na matatizo
Amen Na Milele Amina God bless you my brother 🙏🙏🙏🙏💕
wimbo nzuri
Let God continue to bless the holy spirit in you bro.
Amen
Ee mungu njoo katika maisha yangu unitawale 🙏🙏🙏🙏
Nimekubali Bwana nitawale haswa huku gulf sio rahisi kama si wewe Bwana. Amen and Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Amen amen🙏🙏🙏🙏❤
God will see u through
@@jonahyator6671 Amen
Amen 🙏 🙏
Kaz yako ni njema mtumishi
❤❤❤❤Asante San kwa nyimbo nzulii.Mubalikiwe🎉
Kweli Bwana tawala maisha yangu ninapokamilisha Safari yangu katika dunia hii ya shida na taabu tele
Amen God bless listening from Uganda
Amen amen amen ❤ 🙏
Be blessed Son of the most high God
Kitoko vraiment
Kweli ,nimekubalI bwana unaware maisha ,umbali umenitoa na,mahali niliko mimi ninkwa neema yako hasa tunao fanya kazi za nyumba
Amen amen
Amen
Mungu akubariki naakuweshe kwakazi yake.akupe mwisho muzuri kuliko mwanzo
Amen nitawale Bwana
Ndugu yetu Marco Mungu amekupenda zaidi pumzika kwa amani
twala maisha yangu bwan uku gulf nikugumu bila wewe siwezi
Naomba Mungu atawale maisha yangu atakama napitia mangumu.
Blessed by your songs
Nice 👍 song
Amen God bless you brother it's really touching
Aaaaamen
Be blessed too
Nimekubari bwana yesu tawara maisha yangu mimi na familia yangu amen hareruya jehova
Mungu naomba use kiongozi was maisha yangu nisifanye kinyume n mapenzi yako
❤❤❤❤❤ Safi sana
Amen
The song is touching me
❤❤❤❤amen
Mungu azidi kukutumia mtumishi, nimekubali bwana tawala maisha yangu
Hamjabo uko mbarikiwe san
Nimekubali yesu
Amen
Tawala i surrender my life