Naacha hii comment hapa Kwa wote ambao walipitia kipindi kigumu Cha ndoa, magonjwa, kudhulumiwa kupoteza wapendwa wenu , nmekuja kuwaambia huu ndo wakati wa kusikiza hizi nyimbo saa kumi asubui , omba ambia malaika jinsi Yakobo alivyokataa kukuachilia hati umbariki naye akubariki pia. Am here to testify after kuponea mauti nikiwa mjamzito wa miezi Saba Kwa ajili ya ndoa lakin Mungu naye kasema mwanangu kifo sio sehemu yako nataka unitumikie Kwa sasa am among intercessors nothing is difficult ukiwa na huyu Mungu. Blessings be yours @brother Daniel sifuna endelea kurejesha mioyo za waliopotea kupitia Kwa nyimbo wajue life is spirit, when u die spiritually physically u can't survive 😢😢😢😢😢🙏
Bwana yesu akubariki mtumishi kila ninapo sikiliza hizi nyimbo napata faraja na nguvu mpya taji yako utaikuta kwa Jehovah's usingegeuke simama mwanangu kesho yako utavikwa heshima. Mimi ni mamaako niko Tanzanian🇹🇿🇹🇿🇹🇿 mungu aikumbuke Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤sisi ni majirani mungu atapata ushindi kwa Jehovah's 🙏🙏🙏🙏🙏
God help me am jobless ,,paper zangu zimekwamia shule die to school fee,,naishi thika kwa rafiki sina makao rasmi ,,,sina amani my young siz is seriously sick nikumbuke ee Mungu nikumbuke na kama ni laana nimeikataa katika Jina la yesu
5:54 to the store 🏬🏬🏬🏬🏬🏬🏬 to get a new one for the kids too I don't know what to say to someone who lost a new one for the kids too I don't know what to say to dear I love it so far I love it so far so ❤❤❤ it was the same but siyo kwako uoni my 💕❤️💖 Wacha niashe kukusubua ukitaka utanipikia to be a good fit xai to be a new phone yet but nisawa
Mniombee siku moja nipate mke mwema tuishi pamoja tuanze familia yetu,,,nimekua na bahati mbaya, nimejaribu mara mingi lakini hakuna mwenye anakaa, wanaenda tu😢😢😢
This is my spirit healer everytime I wake up here in Saudi Arabia, this worship makes me feel like everything am going through here, my God has my back. I get really blessed
Nakuwa mwenye kusikiliza nyimbo zako kaka yangu atasiendi kanisani nasikia mahubiri ndani ya nyimbo zako Mungu wangu wambinguni ambaye ameniponya magonjwa ya myaka mingi 😢 akushangaze mbele ya watu ukule matunda ya inch naya Mbinguni 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Asante sana mutumishi wa bwana umefungua kifua changu nlikuwa na mambo mengi moyo wangu umekuwazito, mawazo ya mesimama lakini nimefunguliwa l have peace of mind for now, thank you lord for using soul to open broken heart and soul 🙏🙏🙏🙏
No .3 ...maisha yangu mungu ndo anajua....nimepitia kilio kiingi sana ...najua mungu anajua haya yote na nitakua mshindi naamini he will change My situation 🙏🙏🙏
Only your tears and knees can save you right now my dear sister. Pray and believe in the Lord Almighty, that's the only weapon which helps me during trial times
So powerful nyimbo nzuri sana za kukueka iweponi ata kama hauna nguvu ya maombi unapoeka hizi nyimbo utajikuta ukiomba maana zina upako mkubwa wenye nguvu za maombi ubarikiwe sana mtumishi wa mngu
@@danielsifuna7377amen amen amen pastor yaani ninashida nikiria pastor juu ya mashida mingi yenye nko nayo mm pastormm nko saudia bt akuna ile yenye sijapitia pastor mm kaaa nimajini nimebatana nayo pastor lakini mungu nimukubwa sana pastor kwangu
@@danielsifuna7377pastor ninaomba number yako nikuongerese plz moyo wangu iturie plz plz plz juu sioni number yako hapaua ninasikia marimba says sana pastor ata simefanya aki Leo nitalala aki pastor asante pastor plz plz plz nisaidie tu juu ata mm nimtoto wako pastor yaani kichwa kinaniuma akuna usingisi ata moja yes baba wangu nisaidie bira ww ukwerimaisha hii ningumu pastor nww tu amen amen amen
Kwa safari yangu 😢Eh Bwana naomba uniangalie usiniache pekee yangu siwezi😢Niangalie Eh Bwana vile ulivyoangalia wanawaisraeli jagwani 😢mbele ya Faraho ukajitukuza ya kwamba wewe ni Mungu 😢 Yehovah Jire😢
Asantee sana mungu akubariki nkiwa nko biz na kazi zangu au nkiboeka hizo ndio nyimbo naskiza nkiwa huku gulf,, natamani nkija kenya nfike kwa kanisa lako na uzidi kuniombea maana mambo kwangu ni mengi mno
Ameeen napenda sana nyimbo zako zinanibariki zaidi Mungu ananijua zaidi ya binadamu barikiwa sana mtumishi hizi ndio nyimbo ziko kwa simu yangu nazipenda sana pia zinanibariki🙏🙏🙏

Amen ❤
Amen amen
Amen
Amen
Worshiping & Serving God is the best you can do while on earth
Amen mtumishi ❤❤❤
Bwana yesu akubariki mtumishi kila ninapo sikiliza hizi nyimbo napata faraja na nguvu mpya taji yako utaikuta kwa Jehovah's usingegeuke simama mwanangu kesho yako utavikwa heshima. Mimi ni mamaako niko Tanzanian🇹🇿🇹🇿🇹🇿 mungu aikumbuke Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤sisi ni majirani mungu atapata ushindi kwa Jehovah's 🙏🙏🙏🙏🙏
😅😊😊😊😊😅😅😅😊😊😊😅q😅😅😅😅😅😊😊
😊😊
Amen amen❤❤❤
Qqq11❤❤❤❤l@@KamalaMaria
God help me am jobless ,,paper zangu zimekwamia shule die to school fee,,naishi thika kwa rafiki sina makao rasmi ,,,sina amani my young siz is seriously sick nikumbuke ee Mungu nikumbuke na kama ni laana nimeikataa katika Jina la yesu
5:54 to the store 🏬🏬🏬🏬🏬🏬🏬 to get a new one for the kids too I don't know what to say to someone who lost a new one for the kids too I don't know what to say to dear I love it so far I love it so far so ❤❤❤ it was the same but siyo kwako uoni my 💕❤️💖 Wacha niashe kukusubua ukitaka utanipikia to be a good fit xai to be a new phone yet but nisawa
Remember God ako believe n him
nisaidie maisha yangu mm nimmi mmangu watto wangu ndug zangu nmmi nliachwa sina pakupitia kma n umasikin nmekata kwa jina layeus
Mniombee siku moja nipate mke mwema tuishi pamoja tuanze familia yetu,,,nimekua na bahati mbaya, nimejaribu mara mingi lakini hakuna mwenye anakaa, wanaenda tu😢😢😢
Mungu kumbuka uyu ndugu hapa sikia maombi yke amen 🙏
Pole Sana, angalia pia upande wako usiwe mbovu
Pole dear
Muombe mungu akupe alie sahii aloumbwa kwa ajili yako
Mungu akupe muke mwema
Mtumishi wa Mungu nabarikiwa nikiwa saudia Arabia
Amen amen
My God bless 4:59 5:05
This is my spirit healer everytime I wake up here in Saudi Arabia, this worship makes me feel like everything am going through here, my God has my back. I get really blessed
Aq@@danielsifuna7377
May God bless you man of God 🙏🙏🙏
Nakuwa mwenye kusikiliza nyimbo zako kaka yangu atasiendi kanisani nasikia mahubiri ndani ya nyimbo zako Mungu wangu wambinguni ambaye ameniponya magonjwa ya myaka mingi 😢 akushangaze mbele ya watu ukule matunda ya inch naya Mbinguni 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Asante sana kwa nyimbo hizi zinabariki na kuinua miyo iliolengea nakuchoka,Amen
Mungu akutie nguvu mutumishi na hazidi kubariki na hakutie nguvu kwa utumishi wako unatubariki xna na kutupa jia ya kukaa ndani ya nyumb ya mungu
Unatusogeza mbele za MUNGU Kwa hisia kweli. Akutumie Kwa matakwa yake yeye aliye JUU ya vyote. Barikiwa Sana.
Amen❤❤❤
Nikiwa manyara nimebarikiwa na nyimbo zako hakika maisha yangu ni wewe unajua baba
Amen
Amen amen
Rb
Uinuliwe viwango vingine mtumishi wa mungu
Amen amen🙏🙏🙏❤❤❤
Honestly this mix is making me change my ways....be blessed mtumishi 🙏🙏🙏
Ubarikiwe mtumishi wa mungu bwana akuinue viwango vingine
@@danielsifuna7377 please help us with the downloading link man of God
I love it
Mungu unikumbuke Kwa Yale magonjwa yanayoniandama naamini ya kwamba wewe ndio daktari mkuu eee mungu uniponye.Amen
Hzi moyo😮
Amen
have faith in your prayer and God will answer your prayer
Pokea uponyanji Kwa jina la yesu
God bless you all kwa like comments zangu
Tuangalie Baba wewe ndiwe kila kitu kwetu. Nice song❤❤
Amen amen🙏❤❤❤
Shalom shalom shalom
Asante sana mutumishi wa bwana umefungua kifua changu nlikuwa na mambo mengi moyo wangu umekuwazito, mawazo ya mesimama lakini nimefunguliwa l have peace of mind for now, thank you lord for using soul to open broken heart and soul 🙏🙏🙏🙏
Amen🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤
Amen mtumishi wa MUNGU, MUNGU aliejuu mbinguni akubariki
mungu akubariki sana mtumishi wa mungu,,,,naunikumbuke kwa maombi huu wakati wa shinda
Mtumishi wa mungu ubarikiwa nikiwa kenya
Hizi nyimbo zinanibariki kweli kweli mungu akubariki sana
ubarikiwe sana mtumishi wa mungu uinuliwe milele
I salute the Kingdom of heaven Kwa sauti tamu uliopewa
Amen amen❤❤❤
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙏 🙏
Nyimbo zako hunibariki sana hata kama mambo ni ngumu naamini Mungu ataingilia🙏
Nabarikiwa sana bro
🎉🎉🎉amen amen ninafuraha nimebarikika sana sana kw hizi nyimbo Wacha mungu atukuzwe amen
Aaamen
Uinuliwe na Ubarikiwe.Amina
Be blessed brother ❤ nyimbo zako nikiomba ndio nasikia kwanza 🙏🙏🙏🙏🙌🙌
Mungu Ni Nani Jamani asituinue
Nmebarikiwa sana Mungu akubariki ndugu, na wote wanaosikia hizi nyimbo katika jina la Mungu pia wao wabarikiwe daima milele
Mungu akubariki kwa nyimbo hizi nzuri
Thank you Jesus magonjwa zote sikaweza kushidwa katika jina la yesu amen 🙏 thank u 🙏 lord
Amen Wacha Mungu anitumie msaada Moyo wangu unaumia
No .3 ...maisha yangu mungu ndo anajua....nimepitia kilio kiingi sana ...najua mungu anajua haya yote na nitakua mshindi naamini he will change My situation 🙏🙏🙏
Aaaaaamen
Mungu anakupenda sana mtumishi
Maisha yangu n wewe unajua baba 🙏🏻🙏🏻
Nabarikuwa nikiwa Nairobi amen
Hsante sana ndugu ua nabarikiwa sana na hixi manyimbo xako ,,Kwaza hili nitamkemea shetani inanifikisha mahali
Muimbaji Mungu akubariki maana nimebarikiwa sana
Naitwa Ng'ononin kutoka cheptais,Nyimbo zako zinanibariki kila ninaposikiliza,neema ya MUNGU iwe nawe daima
Hongera kwa kazi nzuri ya kumtumikia Mungu Mtumishi
Naeza pata oduo pekeake ya izi nyimbo,ni zavaraka saana
Asante pst kw nyimbo nzuri, zinanipa nguvu, na matumaini ya kuishi.
Ameena amena mtumishi hapa niko mkazi na ninaburudika Mungu apewe sifa kwa haya unayotusaidia. Asante sana❤❤
Amen amen amen❤❤❤❤
Asante mungu wangu amen and amen
Barikiwa zaidi love your songs....ziko🔥🔥🔥🔥
TAWALA MAISHA YANGU BABA
Aise kaka mungu akubariki sana yaani nyimbo zako zinagusa sana hata mm zinanifariji sana mungu akubariki sana
Aaaaamen❤❤❤
Ubarikiwe sana
Maisha yangu Mungu ni wewe unayajua🙏 help me out dear Lord🙏
❤
Hizi nyimbo zinanibariki kwa kweli 🙏
The songs are so powerful. I'm passing through difficulties. No job, homeless and to make matters worse no parents. God give me strength 💪💪💪
sorry siz. may God provide
May the Lord God Almighty graciously see you through mummy. Hugs and more hugs dear🙏🙏🙏🙏
Mungu akufungulie njia my sister❤❤❤
Only your tears and knees can save you right now my dear sister. Pray and believe in the Lord Almighty, that's the only weapon which helps me during trial times
Put all your trust in God. He never disappoint. One day you'll comment here with a powerful testimony.
Nimekubali lnanitia nguvu xana
Mungu tukombele kwako udupiganiye tunaomba musada kwa maisha❤❤❤❤yako hakuna chakufanya mungu ukomuponyaji wa moyo wawatu
Asante sana brother sifuna for those sweet songs, napenda sana
Glory and honor be unto Jesus Christ away maker,a promise keeper,a covenant keeper,a healer, a deliverer thank You Jesus Christ ❤❤❤
Nimebarikiwa sana na nyimbo zako.
So powerful nyimbo nzuri sana za kukueka iweponi ata kama hauna nguvu ya maombi unapoeka hizi nyimbo utajikuta ukiomba maana zina upako mkubwa wenye nguvu za maombi ubarikiwe sana mtumishi wa mngu
Amen amen amen🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤
6:36 @@danielsifuna7377
@@danielsifuna7377amen amen amen pastor
@@danielsifuna7377amen amen amen pastor yaani ninashida nikiria pastor juu ya mashida mingi yenye nko nayo mm pastormm nko saudia bt akuna ile yenye sijapitia pastor mm kaaa nimajini nimebatana nayo pastor lakini mungu nimukubwa sana pastor kwangu
@@danielsifuna7377pastor ninaomba number yako nikuongerese plz moyo wangu iturie plz plz plz juu sioni number yako hapaua ninasikia marimba says sana pastor ata simefanya aki Leo nitalala aki pastor asante pastor plz plz plz nisaidie tu juu ata mm nimtoto wako pastor yaani kichwa kinaniuma akuna usingisi ata moja yes baba wangu nisaidie bira ww ukwerimaisha hii ningumu pastor nww tu amen amen amen
Amen Amen vzuri kbs
Nitembelee bwana pamoja na jamii yangu naomba amen
Kwele yesu nibwana, nikesikeya his nyimbo nina barekiwa
Amen ,n'a furayi sana kwa nyimbo zinazo tu tia ki roho zaidi mungu apewe sifa kwa uduma ame kupa ku ubiri ndani ya wimbo
❤🎉 Amen Amen Amen Amen Amen Amen
Ubarikiwe sana
Kweli maisha yangu ni wewe unajua ubarikiwe sana.
Mungu wangu unajua maumivu ya roho yangu nisikie ee mungu wangu
Ubarikiwe
Hallelujah......nyimbo hizi cnanifanya nasongea karibu na Muumba wangu Mola.
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu akuinue viwango.
Kwa safari yangu 😢Eh Bwana naomba uniangalie usiniache pekee yangu siwezi😢Niangalie Eh Bwana vile ulivyoangalia wanawaisraeli jagwani 😢mbele ya Faraho ukajitukuza ya kwamba wewe ni Mungu 😢 Yehovah Jire😢
Amen amen amen
Yeyote atakayesoma ujumbe huu acha mungu akakufungulie milango iliyofungwa na maadui mwaka huu
Asante pastor kwa nyimbo za kuleta imani yetu kwa kristo
Mtumishi wa mungu congratulations
Mungu unikumbuke Yale yote napitia mwili wanAMgu magochwa yako Kwa mwili wangu AMEN
Amen
Usingalie nyumba baba we love you ,unatubariki sana
Asante mungu kwa kunibalika nafurahi mungu ♥️♥️♥️♥️🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mungu.akuinue.mtumishi
D'adjoint de la grâce de Dieu aussi par le père de Dieu nous fait croire qu'on est dans la ❤de Dieu
Angali bwana yesu
My favorite worship song when I was CU leader, ANGALIA BWANA, barikiwa saana mtumishi,GOD BLESS THE WORK OF YOUR HANDS,
Hakika Yesu tuangalie tunapitia magumu kwa maisha yetu ila baba utuangalie 😢😢😢🤲🤲🤲
Amen, continue ,kunyenyekea mbele za Mungu
Amen amen nimebarikiwa sana Asante mtumishi ❤ 🙏🙌
Asantee sana mungu akubariki nkiwa nko biz na kazi zangu au nkiboeka hizo ndio nyimbo naskiza nkiwa huku gulf,, natamani nkija kenya nfike kwa kanisa lako na uzidi kuniombea maana mambo kwangu ni mengi mno
Glory be to God 🙏
Me too much love from riyadh
Amen
Nihangalie mungu na inchiyote uyihangalie ❤❤❤❤
Mungu akubariki sana kijana mtumishi wa bwana maana kanisa la leo linaitaji vijana kwakweli. Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Aaaaamen ❤❤❤
Mungu tawala maisha yangu na utimize haja za moyo wangu kulingana na neno lako, be blessed man of God
Ubarikiwe saaana na Mungu akukumbuke katka siku ile iliyo kuu ya kufunuliwa kwake
Servant of Jehovah my God bless you abantonly sir your sutch blesing
Naomba mungu ukumbuke rafiki yangu caren wakati huu anapitia changa mwoto katika geresa kuu Bahrain 😢Naomba mungu ufanya jambo 😢😢😢
Ameeen napenda sana nyimbo zako zinanibariki zaidi Mungu ananijua zaidi ya binadamu barikiwa sana mtumishi hizi ndio nyimbo ziko kwa simu yangu nazipenda sana pia zinanibariki🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤❤❤
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
May God bless this artist forever for his great work of uplifting our souls
Amen amen❤❤❤❤
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana,nyimbo zako hunipa urejesho,na kunipa tumaini maishani.
Kweli nimebalikiwa sana , Mwenyezi Mungu akuongezee mafuta
Asante pastor hizi nyimbo hakika zinaniguza sana barikiwa sana
Baba ni wewe unanijua kuliko wazazi wangu 🙏🙏🙏🙏🙏
Amen❤❤❤
Yani ulibarikiwa na saut nzuri sana
Nimefurahi sasa kusikia sauti bro mungu akusaidie kwa kila jambo
Amen amen amen❤❤❤❤
Ubarikiwe nice one
Asante sana mtumishi mungu akubariki sana
Asante mini naishi Rwanda amina❤❤
Wow amen amen ❤❤❤❤
Nice
Ni ww bwana akuna mwigine yesu wangu tujalie yalio mema ,,,tuodolee vita zote amen
Am just addicted to your songs mtumishi wa Mungu sifuna .just blessed nikiwa Lebanon 🙏🙏🙏
Amen 🙏❤❤❤❤❤
Hswa pia mm nikiwa lebanon nahisi neema ya ajabu hakika barikiwa mtumishi wa mungu
Amen be blessed mtumishi