If you know you always repeat listening to Daniel's song every single day gather here and let us appreciate the good work he is doing❤👏👏God bless you and more grace man of God🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏 mtumishi wa Mungu barikiwa sana unapoendelea kutuletea nyimbo za kuabudu hakika yesu anaweza zidii kutuombea pia nasi Mungu atuonekanie kupitia kwa hizi nyimbo zakumtukuza mwenyezi Mungu
Amen amen ubarikiwe sana kaka wakati mwingine huwa najikuta nimefika mwisho lkn nikisikiza nyimbo zako huwa nafarikika sana narudi najipa moyo mungu azidi kukufungulia kipaji
Foreign country, motherland niongoze bwana nifikie hatima ya moyo wangu, spiritually usiwai ruhusu shetani aje kuona ulichonipa, Kila wakati weka kitu Cha maombi Kwa roho yangu, niwashe taa yangu usiku na mchana kama bibi harusi. Be blessed great man of God 🎉❤ great job.
Amen mtumishi wa Mungu hakika nabarikiwa sana kwa nyimbo hizi. Siku hizi nyimbo nyingi hazina utukufu wa Mungu maana waimbaji wamejichanganya ila nakuombea sana uendelee kuongozwa na Roho Mtakatifu hadi siku ya unyakuo tukutane paradiso tufurahi pamoja tukishangilia.
Niusikilizapo wimbo huu, najiona sina kitu chochote hapa duniani zaidi ya KUMSIFU, KUMSHUKURU NA KUMTUKUZA MUNGU. Roho Mtakatifu akuongoze kaka kumuhubiri Kristo kwa njia ya uimbaji huu,Amen. 🙏🏾
Baba nwanwa Yesu asifiwe kama kama ulivyo fundindisha naomba MUNGU anifungulie milango ya paa toka mashariki maghalibi kasikazini na kusini nipate pesa nipe madeni ya watu yananitesa kiroho nipate na mtaji kwa Jina la Yesu iwe kama ulivyo tufundisha balikiwa sana na nwanwa yesu
Amen my brother nikifika mwisho wa Maisha yngu your songs hunipa Tu tumaini na ninaendelea kumtumainia mungu be blessed 🎉🎉🎉🎉
Aaaaaaamen be blessed Brendah. Mungu akulinde Kwa Kila hatua ya MAISHA yako
@@danielsifuna7377 Amen nimeshukuru
@@danielsifuna7377 nyimbo zako zani kumbusha nilio ya pita
@@danielsifuna7377 Amen 🙏🙏🙏🙏 thanks so much
Daniel your songs always elevate me anytime I listen to them.
If you know you always repeat listening to Daniel's song every single day gather here and let us appreciate the good work he is doing❤👏👏God bless you and more grace man of God🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏
amen amen Judith ❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏
amen amen Judith ❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏
I'm here 😁 ata usiku naeka ikiisha inaanza
Hallelujah
❤❤❤❤❤ natamani kujiunga na mtumishi danie kwa ministrie of gospel
Amen 🙏🙏 mtumishi wa Mungu barikiwa sana unapoendelea kutuletea nyimbo za kuabudu hakika yesu anaweza zidii kutuombea pia nasi Mungu atuonekanie kupitia kwa hizi nyimbo zakumtukuza mwenyezi Mungu
Aamen amen amen❤❤
Halleluyah halelluyah sema na moyo wangu daima moyo wangu daima mchungaji mungu azidi kukulinda unapo nibariki na nyimbo nzuri ata zinanitia nguvu
Aaaamen❤❤❤
Amen im really blessed. May our Almighty God bless and lift you more high
Praise Jesus my brother well done your songs dear always blessing my life not remain the same God bless you abundantly Amen 🙏🙏🙏🙇♂️
Aamen❤❤
may God bless u ,through your songs God is with us and my heart is free in Jesus name amen
Dear God: I’m not okay😢 I’m not myself😢I’m drained😢 Please calm my mind,😢 heal my heart😢and take my worries away😢
May God heal your heart ♥🙏🫂
Luke : 1:37.
Aki Leo nimekuwa chini sana hizi nyimbo simenipatia nguvu, kabisa, barikiwa sana
Amen 🙌
Amen and amen barikiwa Sn brother napenda Sn nyimbo zako juu zikona upako WA roho mtakatifu be bless
Aaaamen❤❤❤❤❤
Dany God bless you,,,,the way you worship and praise blesses me....God is proud with you as his son
Amen amen amen❤❤❤
Nyimbo zako zanipa natumaini,be blessed brother 🙏🙏🙏🙏
Amen❤❤❤
Amen Amen Amen thank you God be blessed mtumishi
Amen amen ❤❤❤
Be blessed bro🙏🙏🙏❤
Aaaamen ❤
I shifted to daniel sifuna songs the day i sow (niko kama picha duniani)
Wow amen amen amen❤❤❤❤❤❤
Amiiina mtumishi wa Mungu, ubarikiwe jwa nyimbo zako unakomvoa wengi kupitia uimvaji wako be blessed in Jesus mighty name 🙏
God bless you my Brother. All glory be to God🎉🎉
Amen man of God...my faith is on another level napenda nyimbo zako..keep going🥰🙏🏼🙏🏼🤝🤝👏👏
Amen the gospel of God is God Himself.Emily listening from gulf be blessed bro.
Yes yesu ni yumwema kwa maisha yangu blessing song
I'm really blessed by your songs. These songs keeps me going when I feel like of out of my strength.
Be blessed.
Be blessed Man of God 🙏
Amen❤❤❤
Amen Amen mungu akubari kabisa , ndungu Daniel
Amen amen ❤❤
Nymbo zako zina nguvu na upako saana ubarikiwe mtumishi
Your songs have really changed my life, may God bless you 🙏🙏.
Aamen amen Jecinta
Uniongoze bwana , nijalie baraka zako , nipe nguvu, nipe Imani 😢😢
Yaani Mimi hulia sana nikisiakia hizi nyimbo
MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU
Holy spirit continue lifting you Brother
Amen amen ubarikiwe sana kaka wakati mwingine huwa najikuta nimefika mwisho lkn nikisikiza nyimbo zako huwa nafarikika sana narudi najipa moyo mungu azidi kukufungulia kipaji
aaaamen ❤❤❤❤
Mungu akubariki pamoja na familia yako
Amen amen my brother ❤️🙏
Amina,acha Bwana atuongoze,bila yeye atuwezi fika ngambo ya pili🙏🙏
Amen amen ❤❤❤
Kupitia kwa nyimbo zako mungu akiwa mbinguni anikumbuke Amina amina
Amen amen Linet❤❤
Be blessed man of God
Amen amen ❤❤❤
Sister SUZAN from Uganda we love you and i well coming You to uganda dear if God wish 🙏🙏🙏🙏
Amen amen amen my sister❤❤ I will come
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu, nyimbo nzuri sana, zinabariki na kutia moyo.
🎉
Mungu azidi kukuongoza ❤
Aaaamen❤❤❤
God bless you richly for the tone and good melody 🤦♂️🙌
Amen amen❤❤❤
Subscribed even before the song started....
Thanks my brother, it's true that old is gold. These songs are anointed. Be blessed.
Amen amen my siz Esther
More blessings pastor
Aaamen❤❤❤
Baraka na neema tele ziwe na wewe ,❤❤❤❤❤
AMEN 🙏🙏
Amen Amen mtumishi wa mungu ninapalikiwa sana na nyimbo zako sana 🙏
Foreign country, motherland niongoze bwana nifikie hatima ya moyo wangu, spiritually usiwai ruhusu shetani aje kuona ulichonipa, Kila wakati weka kitu Cha maombi Kwa roho yangu, niwashe taa yangu usiku na mchana kama bibi harusi. Be blessed great man of God 🎉❤ great job.
I'm in the USA and your songs give me hope. I listen to them everyday and they get me closer to God.
Wow amen amen
Ndugu Sifuna aki Mungu akuongezee baraka na maisha marefu nyimbo zako hunibariki sana❤❤❤❤❤
Eeeh Bwana naomba uniongoze nifike ng'ambo ya pili😢barikiwa sana ndugu yangu🙏
Nyimbo zuri Sana za kutuliza moyo hata kama uko Hali ngumu mungu akubariki zaidi
Glory to God i love your song sana uwasina ni fariji moyo wangu wakakit na shindua na maisha
Ukainuliwe mungu wetu kweli mm natamani unionize ili nifiki hicho kiti cha utukufu wako Aaaamina👏🏻👏🏻❤❤
Hy bro kweli huu wimbo umenituliza moyo wangu mungu aendelee kukuinua zaidi
Repeat mode right away ❤❤❤more grace Dan
Amen amen amen❤❤
Amen 🙏 🙏 May God strengthen you for your gospel music 🎶 😊 cause you make me to be full of grace all the time 🎉❤❤
Thank you pastor your songs always bless my day be blessed too🙏
Amina nyimbo nzuri mno nazipenda barikiwa sana mutumishi
This year for real have seen God hands stretching upon my life and may he continue watching over me and his people .AMEN
Daniel sifuna may God bless you alot for your inspiration songs
amen nifike ngambo
Amen mtumishi wa Mungu hakika nabarikiwa sana kwa nyimbo hizi. Siku hizi nyimbo nyingi hazina utukufu wa Mungu maana waimbaji wamejichanganya ila nakuombea sana uendelee kuongozwa na Roho Mtakatifu hadi siku ya unyakuo tukutane paradiso tufurahi pamoja tukishangilia.
God blessed you ,Amen Amen
Aaaamen❤❤❤
huwa nabarikiwa sana na hizi nyimbo mungu akubariki sana mtumishi
Ndg yangu wa thamani. Naomba Mungu azidi kukutumia usonge mbele katika huduma hii tamu kwa bibiarusi wa Yesu Kristo
Be blessed Mrs Daniel 🙏🙏🙏
Kazi safi mtumishi Mungu akuneemeshe zaidi. Amina
Your songs is my medicine always ,,be blessed bro keep going and God shall reward you
Thanks for good songs
Amen❤❤❤❤
Amen mungu yumwema Sana barikiwa Sana mtumishi
Mungu hasindi kukunuwa kataka utumishi my the Grace fullfill you
Mungu akubariki sana nyimbo zinabariki na kuguza mioyo kurejelea Mungu na kumtumikia kwa roho na kweli.
Amen 🙏bro am happy of what your doing cuzo❤
Thanks 4 this song inaninguza yoho Mungu akubariki❤❤❤❤
Umenifanya nikamrudia Mungu,na ajubariki pia
Amen amen amen Benedict❤❤❤❤
You makes me remember my aunt she was a mtumish wa Mungu and she used to sing this songs when in spirit 🙏🙏
Be blessed always l worship your songs continue to work harder
Que le Seigneur Jésus-Christ vous bénisse et qu'il bénisse son don manifesté en vous. Nous sommes richement édifiés par ces cantiques spirituels.
Amen Bwana niongoze
Eee bwana uniongoze nifike ngambo ya pili 😢😢😢
Amen ❤❤❤❤
@@danielsifuna7377 Nabarikiwa sana mungu azidi kukuinua mtumishi
Ameeeeeeen nilikuwa nimekosa amani sahii nina aman tele tele
Im really blessed.may our almighty God bless you Dan.
Nyimbo zako zinabariki kabisa nazipenda sana
Daniel your song inspired me I'm preacher I use it in field before I started bible verses
❤ barikiwa sana mtumishi wa Bwana🎉
when i feel like giving up....your songs always keeps me going ...be blessed pastor🙏🙏
Am from Uganda,may God bless u bro for giving us ope in such song
Good song that exalts me from one level to another spiritually....
my you experience showers of blessings in your endevours mtumish..
Amen 🙏🙏 my dear brother your songs really encouraging me by the time I lose hope in life be blessed bro 🎉🎉
Niusikilizapo wimbo huu, najiona sina kitu chochote hapa duniani zaidi ya KUMSIFU, KUMSHUKURU NA KUMTUKUZA MUNGU. Roho Mtakatifu akuongoze kaka kumuhubiri Kristo kwa njia ya uimbaji huu,Amen. 🙏🏾
Amen hii nyimbo naskia Niko na hamani rohoni
Amen Amen Amen God bless you my brother..
Asante kwa nyimbo zako kaka yangu,zinanitia nguvu moyoni
Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana 🙏🙏🙏
Hallelujah. Bwana uniongoze nifike nhambo ya pili❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Your songs they really bless me all glory to God 🙏
Daima moyo wangu lilia bwana.ubarikiwe unapoendelea kutubariki ndugugu yetu
God bless you abundantly minister.Your songs really touching and uplifting,am encouraged.
I have been searching for your songs for long..finally nimezipata asante sana for uploading them
Good work minister 💯
God bless you
Amen 🙏napenda sana nyimbo zako ubarikiwe sana
Baba nwanwa Yesu asifiwe kama kama ulivyo fundindisha naomba MUNGU anifungulie milango ya paa toka mashariki maghalibi kasikazini na kusini nipate pesa nipe madeni ya watu yananitesa kiroho nipate na mtaji kwa Jina la Yesu iwe kama ulivyo tufundisha balikiwa sana na nwanwa yesu
Mungu akubariki sana nyimbo zako hunipa tumaini ninapo sikiliza
Be blessed brother