Daniel Sifuna
Daniel Sifuna
  • 128
  • 16 946 210
NYIMBO/KWAYA ZA ZAMA MIX BY DANIEL SIFUNA. KILA MTU ATAUCHUKUA, MATIBABU, MSALABANI NIKO KAMA PICHA.
KENYA, TANZANIA, RWANDA, BURUNDI, UGANDA, SWAHILI WORSHIP SONGS (MIX) BY DANIEL SIFUNA.
KUNA TUMAINI KUTOKA KWA MUNGU KWA YEYOTE ANAYESIKIZA NYIMBO HIZI.
USIKATE TAMAA KWA YOTE UNAYOPITIA LEO HII.
YAWEZAKUWA NI MAZITO KWAKO LAKINI KWA MUNGU YANAWEZEKANA.
JIPE MOYO TU NA UMWOMBE MUNGU.
Kwa yule ambaye Hana kazi, naomba Mungu akuongoze Kila mahali unapoenda kutafuta ajira upate kibali.
Roho ya kukataliwa ishindwe katika Jila la YESU.
Wewe ambaye unafanya kazi na huoni mapato yako, Kila unapopata mshahara kunatokea janga Fulani pesa inapotelea huko., Mungu akuonekania na akumbuke maono Yako.
Kuna nguvu za Mungu KATIKA NYIMBO HIZI.
Ziimbe Kwa imani na umlilie Mungu. Kuna jambo Mungu atatenda ambalo wewe mwenyewe hutaamini.
MUNGU AWABARIKI.
Kwa shukrani/ support Yako MPESA 0746298853
Mungu AWABARIKI..
#swahili worship song
#Nyimbo za maombi
#christiansongs
#gospelsongs
#nyimbo za ROHONI
Переглядів: 59 833

Відео

MSALABANI YESU ALILIA BY DANIEL SIFUNA. NYIMBO ZA ZAMA. Best Swahili praise & worship songs.
Переглядів 13 тис.14 днів тому
MSALABANI YESU ALILIA BY DANIEL SIFUNA (Msalaba) Msalabani Yesu alilia, (Mungu wangu) Mungu wangu mbona waniacha. ×2 (Ilipofika) Ilipofika alasiri , (Nchi yote) Nchi yote ikawa giza. ×2 (Hapo hapo) Hapo hapo pazia la hekalu , (Lilipasuka) Lilipasuka vipande viwili. ×2 (Watu wengi) Watu wengi walimkana , (Wakaacha) Wakaacha asulubiwe. ×2 Call/Support 0746298853 #swahili worship songs. #best Swah...
SWAHILI WORSHIP MIX BY DANIEL SIFUNA, NI WEWE BWANA UJUAE, ULIONA SITAWEZA, MATIBABU, MSALABANI 🙏🙏.
Переглядів 274 тис.21 день тому
KENYA, TANZANIA, RWANDA, BURUNDI, UGANDA, SWAHILI WORSHIP SONGS (MIX) BY DANIEL SIFUNA. KUNA TUMAINI KUTOKA KWA MUNGU KWA YEYOTE ANAYESIKIZA NYIMBO HIZI. USIKATE TAMAA KWA YOTE UNAYOPITIA LEO HII. YAWEZAKUWA NI MAZITO KWAKO LAKINI KWA MUNGU YANAWEZEKANA. JIPE MOYO TU NA UMWOMBE MUNGU. Kwa yule ambaye Hana kazi, naomba Mungu akuongoze Kila mahali unapoenda kutafuta ajira upate kibali. Roho ya ku...
NIMEFIKA KWAKE YESU ( ROHO YANGU INAIMBA) NYIMBO ZA WOKOVU No.35 BY DANIEL SIFUNA. TENZI/hymn songs
Переглядів 20 тис.Місяць тому
NYIMBO ZA WOKOVU No.035 1Nimefika kwake Yesu, Na rohoni mwangu sasa, jua lake la neema linang’aa kila siku. Roho yangu inaimba, nimefunguliwa kweli. Nimekaribia Yesu, ninaimba kwa furaha. 2Pepo za neema yake zinavuma ndani yangu, na mawimbi ya wokovu yananijaliza sasa. 3Sasa Bwana Yesu Kristo amefanya kao kwangu. Nimepewa mfariji, Roho ya ahadi yake. 4«Siku roho afikapo mtajua kwa hakika kwamba...
3hours. SWAHILI WORSHIP SONGS BY DANIEL SIFUNA. ASANTE YESU, BABA NAJUA WEWE UNANIPENDA. NITASIMANA.
Переглядів 119 тис.Місяць тому
NYIMBO ZA MAABUDU/KUABUDU NA KUMTUKUZA MUNGU NYIMBO ZA KUKUFARIJI NA KUKUTULIZA MOYO ILI UENDELEE MBELE NA KUMWANI MUNGU LICHA YA YOTE UNAYOPITIA. #Alone with God. #relaxing worship songs #relaxing Tenzi za rohoni #Tenzi za rohoni mix #nyimbo za wokovu mix #Kenya Tanzania best praise and worship songs #Best Swahili worship songs for prayers #swahili hymns peaceful Tenzi za rohoni #Daniel Sifuna...
BWANA U SEHEMU YANGU BY DANIEL SIFUNA. TENZI ZA ROHONI No.116. Best Swahili worship songs.
Переглядів 21 тис.Місяць тому
GOD BLESS YOU 🙏🙏🙏🙏
BWANA U SEHEMU YANGU TENZI ZA ROHONI No.116 BY DANIEL SIFUNA. Swahili worship songs. NYIMBO ZA ZAMA
Переглядів 7 тис.Місяць тому
Bwana u sehemu yangu, Rafiki yangu, wewe, Katika safari yangu, Tatembea na wewe. Pamoja na wewe, Pamoja na wewe, Katika safari yangu, Tatembea na wewe. Mali hapa sikutaka, Ili niheshimiwe, Na yanikute mashaka, Sawasawa na wewe. Pamoja na wewe, Pamoja na wewe, Heri nikute mashaka, Sawasawa na wewe. Niongoze safarini, Mbele unichukue, Mlangoni mwa mbinguni, Niingie na wewe. Pamoja na wewe, Pamoja...
ROHO YANANGA + LUYAH-SWAHILI PRAISE SONGS. NDI NAYE, BABA TAWALA, TANGU NIZALIWE, ROHO YU MWEMA...
Переглядів 145 тис.Місяць тому
ROHO YANANGA LUYAH-SWAHILI PRAISE SONGS. NDI NAYE, BABA TAWALA, TANGU NIZALIWE, ROHO YU MWEMA...
TENZI ZA ROHONI 2Hours MIX BY DANIEL SIFUNA, LIKO LANGO, NIMETEMBELEA MBALI, MUDA MWINGI, MWAMBA.
Переглядів 126 тис.Місяць тому
TENZI ZA ROHONI NI NYIMBO ZA KUMRUDIA MUNGU, NYIMBO ZA MAABUDU/KUABUDU NA KUMTUKUZA MUNGU NYIMBO ZA KUKUFARIJI NA KUKUTULIZA MOYO ILI UENDELEE MBELE NA KUMWANI MUNGU LICHA YA YOTE UNAYOPITIA. #Alone with God. #relaxing worship songs #relaxing Tenzi za rohoni #Tenzi za rohoni mix #nyimbo za wokovu mix #Kenya Tanzania best praise and worship songs peaceful Tenzi za rohoni . #SWAHILI WORSHIP SONGS...
HALLELUYAH NDI NAYE BY DANIEL SIFUNA. BEST LUYAH/BUKUSU GOSPEL MUSIC 2024/2025.SWAHILI GOSPEL SONGS
Переглядів 16 тис.2 місяці тому
TRANSLATION HALLELUYAH NDI NAYE ( HALLELUYAH NINAYE YESU) MAISHANI MWANGU NINAYE, KILA MAHALI NINAYE, ...... GOD BLESS YOU MORE CALL / SUPPORT 0746298853 MUNGU WA REHEMA AWABARIKI
WEWE NDIWE MUNGU MIX-NONSTOP BY DANIEL SIFUNA || NYIMBO ZA MAOMBI, Best Swahili worship songs(cover)
Переглядів 26 тис.2 місяці тому
KATIKA NYIMBO HIZI, NI MAOMBI YANGU KWAMBA MUNGU AKUTANE NA HAJA ZA MOYO WAKO. NA KWA YOTE UNAYOYAPITIA MUNGU AKUPE UWEZO WA KUYAEPUKA. JAPO NI MAZITO NA YA KUUMIZA, VUMILIA NA UJIPE MOYO NA KUAMINI MUNGU KWAMBA ATATENDA , USIAYAOGOPE MANENO NA VITISHO VYA WANADAMU WASIOKUTAKIA MEMA. MAANA YUPO MUNGU ANAYEKUWAZIA MEMA. NYIMBO ZA KUKUFARIJI NA KUKUTULIZA MOYO ILI UENDELEE MBELE NA KUMWANI MUNGU ...
TUFANI INAPOVUMA BY DANIEL SIFUNA. TENZI ZA ROHINI No.117. Swahili worship songs
Переглядів 59 тис.2 місяці тому
NYIMBO ZA KUKUFARIJI NA KUKUTULIZA MOYO ILI UENDELEE MBELE NA KUMWANI MUNGU LICHA YA YOTE UNAYOPITIA. #Alone with God. #relaxing worship songs #relaxing Tenzi za rohoni #Tenzi za rohoni mix #nyimbo za wokovu mix #Kenya Tanzania best praise and worship songs peaceful Tenzi za rohoni #Daniel Sifuna Facebook Daniel Sifuna Tiktok Daniel Sifuna Instagram Daniel Sifuna CALL/ SUPPORT 0746298853 GOD BL...
2HOURS TENZI ZA ROHONI, NYIMBO ZA WOKOVU/INJILI Part 2 BY DANIEL SIFUNA, BEST SWAHILI WORSHIP SONGS.
Переглядів 212 тис.2 місяці тому
NYIMBO ZA KUKUFARIJI NA KUKUTULIZA MOYO ILI UENDELEE MBELE NA KUMWANI MUNGU LICHA YA YOTE UNAYOPITIA. #Alone with God. #relaxing worship songs #relaxing Tenzi za rohoni #Tenzi za rohoni mix #nyimbo za wokovu mix #Kenya Tanzania best praise and worship songs peaceful Tenzi za rohoni #Daniel Sifuna Facebook Daniel Sifuna Tiktok Daniel Sifuna Instagram Daniel Sifuna CALL/ SUPPORT 0746298853 GOD BL...
NYIMBO ZA ZAMA/ KWAYA ZA ZAMANI OLDSCHOOL GOSPEL SONGS. BEST SWAHILI GOSPEL SONGS BY DANIEL SIFUNA.
Переглядів 222 тис.2 місяці тому
NYIMBO ZA MAABUDU/KUABUDU NA KUMTUKUZA MUNGU NYIMBO ZA KUKUFARIJI NA KUKUTULIZA MOYO ILI UENDELEE MBELE NA KUMWANI MUNGU LICHA YA YOTE UNAYOPITIA. #Alone with God. #relaxing worship songs #relaxing Tenzi za rohoni #Tenzi za rohoni mix #nyimbo za wokovu mix #Kenya Tanzania best praise and worship songs peaceful Tenzi za rohoni #Daniel Sifuna Facebook Daniel Sifuna Tiktok Daniel Sifuna Instagram ...
NIKO KAMA PICHA DUNIANI BY DANIEL SIFUNA. || MASHAKA MASHAKA TWAYAONA || HAPA DUNIANI SIO KWETU.
Переглядів 502 тис.3 місяці тому
NIKO KAMA PICHA DUNIANI BY DANIEL SIFUNA. || MASHAKA MASHAKA TWAYAONA || HAPA DUNIANI SIO KWETU.
2hours 40mins. SWAHILI WORSHIP SONGS BY DANIEL SIFUNA. DAMU YA YESU, MAISHA YANGU, ANGALIA BWANA.
Переглядів 1,3 млн3 місяці тому
2hours 40mins. SWAHILI WORSHIP SONGS BY DANIEL SIFUNA. DAMU YA YESU, MAISHA YANGU, ANGALIA BWANA.
NDUGU WA KIROHONI TENZI No. 63 by Daniel Sifuna. Best swahili worship songs. #Daniel Sifuna songs.
Переглядів 18 тис.3 місяці тому
NDUGU WA KIROHONI TENZI No. 63 by Daniel Sifuna. Best swahili worship songs. #Daniel Sifuna songs.
MIKONONI MWA YESU NYIMBO ZA INJILI No.149 ( Mumikhono kia Yesu Swahili version) By Daniel Sifuna.
Переглядів 92 тис.3 місяці тому
MIKONONI MWA YESU NYIMBO ZA INJILI No.149 ( Mumikhono kia Yesu Swahili version) By Daniel Sifuna.
SWAHILI WORSHIP MIX-NONSTOP BY DANIEL SIFUNA || NYIMBO ZA MAOMBI, MOYO WANGU SIFA ZOTE MPE BWANA.
Переглядів 285 тис.3 місяці тому
SWAHILI WORSHIP MIX-NONSTOP BY DANIEL SIFUNA || NYIMBO ZA MAOMBI, MOYO WANGU SIFA ZOTE MPE BWANA.
2HOURS TENZI ZA ROHONI, NYIMBO ZA WOKOVU NA ZA INJILI BY DANIEL SIFUNA, BEST SWAHILI WORSHIP SONGS.
Переглядів 657 тис.4 місяці тому
2HOURS TENZI ZA ROHONI, NYIMBO ZA WOKOVU NA ZA INJILI BY DANIEL SIFUNA, BEST SWAHILI WORSHIP SONGS.
NAENDEA MSALABA BY DANIEL SIFUNA TENZI ZA ROHONI No.57. swahili gospel songs 2024 Luyah beat.
Переглядів 71 тис.4 місяці тому
NAENDEA MSALABA BY DANIEL SIFUNA TENZI ZA ROHONI No.57. swahili gospel songs 2024 Luyah beat.
KUMTEGEMEA MWOKOZI (TIS SO SWEET TO TRUST IN JESUS) DANIEL SIFUNA. SWAHILI WORSHIP SONGS. #TENZI.
Переглядів 33 тис.4 місяці тому
KUMTEGEMEA MWOKOZI (TIS SO SWEET TO TRUST IN JESUS) DANIEL SIFUNA. SWAHILI WORSHIP SONGS. #TENZI.
USINIPITE MWOKOZI ( PASS ME NOT) #TENZI Za Rohoni By Daniel Sifuna #SWAHILI WORSHIP SONGS #trending
Переглядів 117 тис.4 місяці тому
USINIPITE MWOKOZI ( PASS ME NOT) #TENZI Za Rohoni By Daniel Sifuna #SWAHILI WORSHIP SONGS #trending
TANGU SIKU HIYO ALIPONIJIA NYIMBO ZA INJILI No. 74 by Daniel Sifuna. #Tenzi za rohoni. #trending .
Переглядів 86 тис.4 місяці тому
TANGU SIKU HIYO ALIPONIJIA NYIMBO ZA INJILI No. 74 by Daniel Sifuna. #Tenzi za rohoni. #trending .
INJILI ILE YA KWANZA ILIENDA WAPI? By DANIEL SIFUNA. WIMBO WA KUJIRUDIA NA KUMRUDIA MUNGU. #trending
Переглядів 39 тис.4 місяці тому
INJILI ILE YA KWANZA ILIENDA WAPI? By DANIEL SIFUNA. WIMBO WA KUJIRUDIA NA KUMRUDIA MUNGU. #trending
DAMU YA YESU BY DANIEL SIFUNA. SWAHILI WORSHIP SONGS. TENZI ZA ROHONI. #trending NYIMBO ZA KUABUDU
Переглядів 153 тис.4 місяці тому
DAMU YA YESU BY DANIEL SIFUNA. SWAHILI WORSHIP SONGS. TENZI ZA ROHONI. #trending NYIMBO ZA KUABUDU
YU BWANA BY DANIEL SIFUNA, TENZI ZA ROHONI. SWAHILI WORSHIP SONGS 2024. NYIMBO NZURI ZA MAOMBI.
Переглядів 49 тис.4 місяці тому
YU BWANA BY DANIEL SIFUNA, TENZI ZA ROHONI. SWAHILI WORSHIP SONGS 2024. NYIMBO NZURI ZA MAOMBI.
UKAE NAMI GIZA INAFIKA Nyimbo za wokovu No.17 Daniel Sifuna. #swahili worship songs 2024 #trending.
Переглядів 26 тис.4 місяці тому
UKAE NAMI GIZA INAFIKA Nyimbo za wokovu No.17 Daniel Sifuna. #swahili worship songs 2024 #trending.
BABA YANGU ANA MALI NYINGI NYIMBO ZA WOKOVU No.178 by DANIEL SIFUNA. (NI MWANA WA MFALME.) #SWAHILI.
Переглядів 56 тис.4 місяці тому
BABA YANGU ANA MALI NYINGI NYIMBO ZA WOKOVU No.178 by DANIEL SIFUNA. (NI MWANA WA MFALME.) #SWAHILI.
HUKUMU ITATOLEWA BY DANIEL SIFUNA. #Nyimbo za zama. #Swahili worship/kwaya/choir. songs 2024. #old .
Переглядів 356 тис.5 місяців тому
HUKUMU ITATOLEWA BY DANIEL SIFUNA. #Nyimbo za zama. #Swahili worship/kwaya/choir. songs 2024. #old .

КОМЕНТАРІ

  • @mauricemusyimi-m3h
    @mauricemusyimi-m3h 34 хвилини тому

    good songs,,,really blessing listens them carefully

  • @BrantezKartelo
    @BrantezKartelo 51 хвилина тому

    Nimeguswa😢

  • @Lazarokatinda
    @Lazarokatinda Годину тому

    ❤amen

  • @BonifaceElijah-v9x
    @BonifaceElijah-v9x Годину тому

    Touching worship

  • @beatriceachieng5436
    @beatriceachieng5436 3 години тому

    Utukufu ni kwake milele

  • @beatriceachieng5436
    @beatriceachieng5436 4 години тому

    Ametenda mema hata tuyoyajua utukufu kwake milele

  • @d-maxScarlageKe
    @d-maxScarlageKe 4 години тому

    bro can you kindly upload singles nazitamani moja moja

  • @violetnasimiyu8718
    @violetnasimiyu8718 4 години тому

    Hakika sitaacha kumsifu hata nipitie changa moto .

  • @catherineine2114
    @catherineine2114 4 години тому

    Yesu shuka unipokanie

  • @jacquie329
    @jacquie329 4 години тому

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Hakika wagonjwa wanapona ni mpango wa Mungu

  • @AminaNyadzua
    @AminaNyadzua 6 годин тому

    Amen amen barikiwa mtumishi wa mungu kwa nyimbo za upako

  • @RobertWanjala-h5u
    @RobertWanjala-h5u 6 годин тому

    Ubarikiwrle sana mtumishi daniel

  • @MICAHOLOO
    @MICAHOLOO 6 годин тому

    Yesu shuka Kwa maisha,kazi, ndoa na jamii yangu😢😢😢

  • @knightnasimiyu8934
    @knightnasimiyu8934 6 годин тому

    Amen nyimbo za zamani Zina ubako

  • @AnneMumo-kv5xh
    @AnneMumo-kv5xh 7 годин тому

    Nice song ,barikiwa sana unablessingi wengi na yo good songs.😂

  • @MacDonaldElaine-v2q
    @MacDonaldElaine-v2q 12 годин тому

    Thomas Ruth White Amy Brown Daniel

  • @ChristineWekesa-nm7xr
    @ChristineWekesa-nm7xr 12 годин тому

    Please bro sing for me one song initie nguvu napitia mawazo mengi hadi natamani nijiuwe tuu😭😭😭

    • @ChristineWekesa-nm7xr
      @ChristineWekesa-nm7xr 12 годин тому

      Lakini ninapo sikiza wimbo zako zinanitia nguvu but napitia mawazo mengi sana 🙏🙏🙏

  • @annemitema7801
    @annemitema7801 14 годин тому

    Nimebarikiwa sana .

  • @wilberathtemu6099
    @wilberathtemu6099 15 годин тому

    barikiwa sana sifuni nyimbo zinahamu na utamu kama asali mpendwa

  • @ItikijaIddi
    @ItikijaIddi 16 годин тому

    Asante Mungu maana umenipa tumainipa tumaini jipya pale ninapokuwa ktk maumivu na kukata tamaa wewe hunihuisha. Asante Mungu maana wewe ni kimbilio langu.

  • @DamarisKemunt0-vj7wc
    @DamarisKemunt0-vj7wc 17 годин тому

    Powerful songs gives me strength and to be strong in every situations in my life.

  • @NicholasMutuku-rh6fz
    @NicholasMutuku-rh6fz 18 годин тому

    Amen

  • @jacquie329
    @jacquie329 19 годин тому

    AMEN. You are my Father and no one like you.❤❤❤❤

  • @NicholasMutuku-rh6fz
    @NicholasMutuku-rh6fz 19 годин тому

    Mungu akuponye

  • @NicholasMutuku-rh6fz
    @NicholasMutuku-rh6fz 19 годин тому

    Mungu na akuponye haraka sana

  • @NicholasMutuku-rh6fz
    @NicholasMutuku-rh6fz 19 годин тому

    Amen

  • @thomaswanjohi8211
    @thomaswanjohi8211 21 годину тому

    May God bless you 🙏

  • @Rachealfaida
    @Rachealfaida 21 годину тому

    Yesu. Shuka hapa saud arebia wanao tunateseka ushaka tutetee mikononi mwako tunaweka watoto wetu uwafinike kwa damu yako pia wazazi wetu uwaonekanie

  • @JulietWafula-t6x
    @JulietWafula-t6x 23 години тому

    Nyimbo zako zinanijenga saana,asante saana mtumishi wa mungu

  • @CollinsMutai-t8s
    @CollinsMutai-t8s 23 години тому

    Imenikuza moyo kbza.., tawala bwana tunalia

  • @JavotaSau
    @JavotaSau День тому

    May god bless you the singer

  • @user-wb7uk7mq3k
    @user-wb7uk7mq3k День тому

    Asante mungu wangu amen and amen

  • @user-wb7uk7mq3k
    @user-wb7uk7mq3k День тому

    Hallelujah Hallelujah praise God amen

  • @CollinsOuma-l2l
    @CollinsOuma-l2l День тому

    Ooh Lord ....just keep the guide.When I Reflect on how powerful God is and his work in my life ,I remain humbled.May he be glorified Forever. Good work Pastor Daniel

  • @naomimwajoto4257
    @naomimwajoto4257 День тому

    Peleleza moyo wangu yesu

  • @RoselyneBarasa-gn7re
    @RoselyneBarasa-gn7re День тому

    Amen❤

  • @JumanneWison
    @JumanneWison День тому

    Tunashukulu kwa kutupa nyimbo asili za dini zenye ujumbe mzuri balikiwa sana

  • @Zainah3G
    @Zainah3G День тому

    It a nice song can i take it as cover song please??

  • @Paulinenekesa-z1t
    @Paulinenekesa-z1t День тому

    Thanks very much for the song truly God is our helper

  • @okindaAnn-sn5rt
    @okindaAnn-sn5rt День тому

    I like your songs

  • @faithcute2191
    @faithcute2191 День тому

    Original voice bila madoido

  • @debrahrono7809
    @debrahrono7809 День тому

    Hear my prayer and answer me my God.

  • @user-se8vq2cb3p
    @user-se8vq2cb3p День тому

    Parikiwa mujungaji akika aliona ziesi 🙏🙏🙏

  • @alicekatile9205
    @alicekatile9205 День тому

    Kimbilio langu ni kwa Yesu🙏

  • @user-py4tc1ix6v
    @user-py4tc1ix6v День тому

    Very nice songs

  • @bettymuhonja9967
    @bettymuhonja9967 День тому

    Thenk you Lord for this song ,,mungu akukuinua kwa viwango vya juu be blessed Mteule wa mungu

  • @AliceMarius
    @AliceMarius День тому

    Ninayopitia nimengi Yesu wangu usiniache poke yangu

  • @AliceMarius
    @AliceMarius День тому

    Yesu shuka Umrudishe baba wafamilia James arudi nyumbani kwafamilia yake.Chochote kilichomshikilia kimwachie kwajina la Yesu

  • @user-tj6sg1ff2f
    @user-tj6sg1ff2f День тому

    God bless you 🙏

  • @user-nr3rg8do1d
    @user-nr3rg8do1d День тому

    Amen and Amen thank you Jesus you know my life Jehovah I will continue praising your name Jehovah may the almighty God bless you all and may he add you people more anointing to worship his name 🙏🙏🙏 it really makes me to remember a lot🙏🙏🤱🤱🤱😭😭🤱🤱 stay blessed 🙏🙏🙏