❤❤nyimbo hizi zatuguza mioyo Yetu,na kutupa tumaini katika kumtumikia bwana,Ahsante sana kwa haya zidi kutujenga kimaadili ,tufungue vipaji na macho ya kuona ndani
HUKUMU ITATOLEWA Wimbo huu wanikumbusha nilipokua sunday school kilifi pefa mchungaji wangu akiwa pastor chivhatsi. Mtumishi sifuna pokea baraka tele ❤❤❤❤❤
MUNGU AWABARIKI SANA NA AKUTANE NA MAHITAJI YA MIOYO YENU KWA KUSIMAMA NAMI KATIKA HUDUMA HII. NI MAOMBI YANGU KWAMBA UNAPOSIKIZA NYIMBO HIZI MUNGU AKUGUSE NA AKUOKOE KWA YOTE UNAYOYAPITIA.. LICHA YA KUWA NI MAGUMU TUJIPE MOYO TUTASHINDA MAANA MUNGU AKO UPANDE WETU. ❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
Please, mtumishi Daniel nitafutie hii wimbo Nuhu aka,kaijenga Safina Kaingia,nawanyumba yake Kachukua ,Aina za wanyama Wawili Wawili ndani ya Safina Ndipo mvua ikaanza kunyesha Kafunika ,inchi yote Kamaliza watu na wanyama Isipokuwa Nuhu na wanyumbaaaa yake Pls nitafutie siijui vizuri bt hunikumbusha mbali sana,Asante na ubarikiwe pamoja na nyumba yako🙏🙏🙏
Amen 🙏🙌 mungu aliyekupa yo ufunuo azidi kukupa ufunuo siku zote na ukae katika njia zake damu ya yesu kristo ikusunguke wakati wote na family Yako uparikiwe shalom ❤
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa huduma nzuri ya uimbaji moyo wangu umebubujika amani na faraja yake Mungu kupitia kwa nyimbo hizi tamu. Inuliwa sana mtumishi wa Mungu
Sina la kusema mtumishi wa mungu mungu akusidishie baraka na uwezo wa kuimba kazi yangu ingeisha leo but niliweka nyimbo zako nikaona neema ya mungu ikawashikisha nikarudi job Amen ubarikiwe sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu azidi kukubaliki kwa yimbo zuri za kumutukuza bwana zinanikumbucha mbali sana na zinanifundisha kumuomba Mungu na kutukuza amen Asante sana mtumishi wa Mungu Mungu akulinde pamoja na famili
Extraordinary Congratulations on glorifying the Name of God the Father, God the Son and God the Holy Spirit.I am ready to wait for you, Princess of Zion.Hallelujah IMMANUEL.
Hizi nyimbo zinaguza moyo wangu, Hadi nikitendewa mabaya na mtu nakumbuka songs of Daniel sifuna ziko UA-cam na nikizifungua moyo unasafishwa and i smile ☺ ☺ again and again ,Thanks alot mtumishi 16:43
Hongera sn mtumishi nyimbo zako zote zina ujumbe mzuri wa kumtukuza mungu
Barikiwa sana na hizi nyimbo zakumtukuza mwenyezi Mungu hakika nilikuwa nimerudi nyuma lakini nyimbo zako zimenibadilisha
AMINA 🙏Aky hizi nyimbo huni kumbusha kitambo kwaya ilikua moto moto 🔥🔥🔥🔥💞💞💞🎺🎺
Very true 🙏❤❤❤
Nyimbo izi zina shisha malaika kweli mubarikiwe saaana
Aamen 🙏♥️
Mungu akubariki sana mutumishi wa Mungu hzi nyimbo ni zimetia nguvu kwa magumu inayo pitia kwa maisha na changamoto🧎♂️🧎♂️
❤❤nyimbo hizi zatuguza mioyo Yetu,na kutupa tumaini katika kumtumikia bwana,Ahsante sana kwa haya zidi kutujenga kimaadili ,tufungue vipaji na macho ya kuona ndani
Hallelujah 🙌 🙌 🙌 hallelujah 🙌 🙏 hallelujah 🥰🥰💃💃💃💃💃💃
Amen amen amen 🙏🙏❤
Amen Asante. Mtumishi wa Mungu Ubarikiwe na Mungu 😭😭😭😭😭 Mungu anitie nguvu na hanidumishe kw wokovu.😭
Keep blessing us bro your songs are such blessing 🔥🔥🔥🌟🌟they have been truly a blessing to me🌟🔥💯and many others🎉
HUKUMU ITATOLEWA
Wimbo huu wanikumbusha nilipokua sunday school kilifi pefa mchungaji wangu akiwa pastor chivhatsi. Mtumishi sifuna pokea baraka tele ❤❤❤❤❤
Amina,,,May God continue bless you man of God
Amen 🙏 🙏
Mtumishi wa mungu ubarikiwe saana moyo wangu uwazi ni mfuate kristo wakati huu mgumu.aki may God bless you indeed
Asante kwa hizi baraka.ubarikiwe pia ndugu.sifu Mungu kwa hiyoo sauti nzuri.baraka tele Dan🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu nyimbo zako zinanivuta karibu na Mungu🎉🎉🎉🎉🎉
Uko saidi gani
Tueza kua friends
God bless you more and more my brother 🙏
Aaaamen my lovely siz ❤ 🙏
❤❤❤Aminaa izi wimbo zina nikumbusha nikiwa mdogo sana be blessed mtumishi w mungu
Wow amen amen
Ubarikiwe zaidi ya hapo mtumishi wa Mungu nyimbo zako hunibariki sana 🙌🙌🙏🏾
Aaamen amsn
Hizi.nyimbo.inatutia.nguvu.sana.amen,🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
I love this❤❤❤
Asante mtu wa Mungu🙏🙏🙏
Nyimbo nzuri sana zenye kumtukuza Bwana Yesu
Neema ya BWANA Yesu izidi kuongezeka❤
Amen amen mtu wa Mungu🙏🙏🙏🙏❤
May God give you abundant graces for you to continue serving Him in Jesus Christ name.
Amen amen
Nyimbo zako zinatupa moyo kwa mambo tunayopitia huku nchi za gulf 😢😢
Kweli kabisa zake zinatuliza moyo mimi wakati ninapitia changa moto hua naingia page yake ilinitulize moyo na nyimbo zake🙏🏾🥰🙌
Aaamen
Wow amen amen
Sure
Brother my God bless you all the time ukuzidichie miaka mingi yenye amani Dunia
MUNGU AWABARIKI SANA NA AKUTANE NA MAHITAJI YA MIOYO YENU KWA KUSIMAMA NAMI KATIKA HUDUMA HII.
NI MAOMBI YANGU KWAMBA UNAPOSIKIZA NYIMBO HIZI MUNGU AKUGUSE NA AKUOKOE KWA YOTE UNAYOYAPITIA.. LICHA YA KUWA NI MAGUMU TUJIPE MOYO TUTASHINDA MAANA MUNGU AKO UPANDE WETU.
❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏
Amen 🙏
Amen Amen Amen pia kwako
Please, mtumishi Daniel nitafutie hii wimbo
Nuhu aka,kaijenga Safina
Kaingia,nawanyumba yake
Kachukua ,Aina za wanyama
Wawili Wawili ndani ya Safina
Ndipo mvua ikaanza kunyesha
Kafunika ,inchi yote
Kamaliza watu na wanyama
Isipokuwa Nuhu na wanyumbaaaa yake
Pls nitafutie siijui vizuri bt hunikumbusha mbali sana,Asante na ubarikiwe pamoja na nyumba yako🙏🙏🙏
Amen
Amina mtumishi wa mungu barikiwa kabisa
Amen Amen nashukuru Mungu kwa hizi nyimbo mzuri barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏
Amen amen
Nyimbo zako zinabariki ,zinafunza na zinafariji moyo be blessed man of God 🙏🙏🙏
Amen amen
@@danielsifuna7377 🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏🙌 mungu aliyekupa yo ufunuo azidi kukupa ufunuo siku zote na ukae katika njia zake damu ya yesu kristo ikusunguke wakati wote na family Yako uparikiwe shalom ❤
Amen amen amen.
Asante sana sana 🙏🙏🙏❤❤❤
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa huduma nzuri ya uimbaji moyo wangu umebubujika amani na faraja yake Mungu kupitia kwa nyimbo hizi tamu.
Inuliwa sana mtumishi wa Mungu
Sina la kusema mtumishi wa mungu mungu akusidishie baraka na uwezo wa kuimba kazi yangu ingeisha leo but niliweka nyimbo zako nikaona neema ya mungu ikawashikisha nikarudi job Amen ubarikiwe sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nyimbo zenye maudhui ya kweli,ndani ya nyoyo zetu twakupa tuzo,wengine wanaimba uchafu wanatuzwa na watu wa dunia,kazi nzuri kaka❤❤❤
Asante mtumishi wa mungu nyimbo zako zinabariki
Amen 🙏 mtumishi Mungu akubariki sana enjoying grace of God here in Saudi Arabia 🇸🇦
Aaaamen amen
napenda nyimbo zako sana mtumishi,hongera sana 🎉🎉
Baraka tere God bless you 👍👍
Hizi wimbo nlikuwa naskia kitambo aki nice one 🙏🙏🙏
Amen mungu akubariki sana mtumishi wa mungu ninahisi kubarikiwa sana kwa hizi nyimbo
Mungu akufungulie njia ya fedha uendeleshe hii kazi njema unanikuza sana be blessed mtumish wa mungu
Hizi wimbo safanya moyo wangu kupata utulivu wakati wa dhuruba la uduma God bless you so much man of God.
Amen amen
Mungu ukubariki sana ndugu kwa nyimbo zako zina niguza moyo wangu
Amen amen
God bless you mtumishi nyimbo hizi zinanitia moyo ninapokaribia kukata tamaa . Asante sana mungu azidi kukutumia kuinua waliokata tamaa
Amen amen nyimbo nzuri sana za rohoni barikiwa sana mtumishi wa mungu amina
Mungu azidi kukubarki mtumishi
Aaaamen amen ❤❤❤
Barikiwa sana ndugu.nyimbo zako Kwa hakika zanibariki
Aaaaamen amen
May the Lord be with you and your entire family 🎉🎉🎉🎉🙏
Parikiwa sana mtumishi wa mungu nyimbo cina nitiagufu
May God bless you servant of God and also expand your territory. Keep the flag of gospel flying your songs really touch my soul
Kazi safii mtumishi.......Nikiskiza hizi nyimbo moyo wangu upona juu huku gulf vikwazo😢, Naomba mnikumbuke kimaombi
Aamen nitakuombea.
Mungu Awe kinga yako kwa yote unayopitia
Glory to Almighty GOD more Grace 🙏🙏🙏
This nyimbo inanifanya nikaribie Mungu sana, be bless sana unapoendelea na kazi ya Mungu
🎉🎉🎉God bless you man of God through this songs l have realized that l need to repeat.
Nyimbo zako hunibariki sana Mungu azidi kukubariki ili utulete nyimbo zingine za baraka 🙏
Nyimbo ziko na upako ubarikiwe mtumishi hapa sipanduki n'go!!!!!!
Aaaaaaamen
❤❤❤baeikiwa sana kwa hizi nyimbo
Hizi ni nyimbo za mguso haki zinabariki moyo. Mungu awabariki sana
Nafurahia kusikia nyimbo zako mungu akubariki na akuinue zaidi na zaidi
God bless you mtumishi wa mungu napalikiwa nikiwa
Saudi 🇸🇦
Aamen.
Mungu akulinde na akujalie neeema..🙏🙏❤
Ubarikiwe sana mtumishi na mungu azidi kukupa hiyo neema Kwa maana hizi nyimbo ukisikiza hata kama ilikuwa na stress inaondoka
Aaamen Asante sana sana
Nyimbo za upako may God bless you
Mungu azidi kukubaliki kwa yimbo zuri za kumutukuza bwana zinanikumbucha mbali sana na zinanifundisha kumuomba Mungu na kutukuza amen Asante sana mtumishi wa Mungu Mungu akulinde pamoja na famili
Amen amen ♥️♥️♥️♥️🙏🙏🙏🙏
Mungu azidi kukubari mchungaji nyimbo za zinanibarika sana
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
Amen
Barikiwa sana bro,kwa kutoa Album ya praise and worship🙏🙏🙏🙏💯💯💯💯🧎🧎🧎🧎🧎👌👌👌👌
Amen amen🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤
Be blessed man of God❤❤❤Glory to God❤❤❤
Aaaamen amen amen
Nimepalikiwa leo nyimbo tamu ❤gaki turudie mungu dunia himeiza
Amen amen amen
Nimetafuta huu wimbo sana...be blessed
Amen amen be blessed too 🙏
Mungu atukuzwe sana nyimbo zinasisimua sana
Hizi nyimbo zina ubako sana,,huwa zikiniguza kila siku..Ubarikiwe kaka
Amen amen
Nyimbo zako zemekuwa za baraka ktk maisha yangu. Barikiwa sana kakangu
Aaamen amen🙏🙏🙏❤❤❤
Asante kwa nyimbo za faraja 😢 Mungu azidi kutukumbuka katika ichi hii 💪🙏🙏🙏
aki mungu hakubariki sana mtumishi ya mungu I love this song
Amen amen 🙏🙏🙏❤❤❤
Be blessed man of God ❤ 🙏 🙏
Aaamen amen
Ubarikiwe kw nyimbo zako dugu
Extraordinary Congratulations on glorifying the Name of God the Father, God the Son and God the Holy Spirit.I am ready to wait for you, Princess of Zion.Hallelujah IMMANUEL.
Nyimbo za kutia nguvu mungu akubariki pastor 🙌 🙏🏼
Pst I love your songs, every morning must listen tym Kwa plot akuna makelele💕💕barikiwa
Asante sana kwa nyimbo safi ubarikiwe Sana
Nyimbo zangu nzuri sana zinatia nguvu sana nimezikiza zote roho mtakatifu amenijawa moyoni
Barikiwa shalom shalom Daniel sifuna
Amen amen
Barikiwa sana kwanyimbozako hakika najikuta sehemu nyingine
Ubarikiwe saana 🙏🙏
Nakumbuka mbali,tutoke dhambini❤❤❤❤❤
Barikiwa sana na nyimbo zako mtumishi wa mungu
Amen barikiwa mtu wa mungu❤🎉
Neema ya bwana iwenawe Sikh sote nyimbo zako zinanibariki sana
Wow amen amen
Hallelujah Mungu nashkuru
Am blessed by this song Amen 🙏
Aaaaamen
Thank you so much man of God,love this it inspires me when am down in terms of faith
Am really blessed with your songs, may God bless you.
Aamen amen🙏🙏🙏❤❤❤❤❤
I love you song always 🙏 zinibarika sana❤❤ God bless you and your family bro ❤❤
Hizi nyimbo zinaguza moyo wangu, Hadi nikitendewa mabaya na mtu nakumbuka songs of Daniel sifuna ziko UA-cam na nikizifungua moyo unasafishwa and i smile ☺ ☺ again and again ,Thanks alot mtumishi 16:43
Woow amen amen 🙏 🙏 🙏 🙏
Amen❤
Thank you for the songs nimebarikiwa sana
Aaaamen
Daniel sifuna ulitumwa kwangu nasikiza nyimbo zako usiku na mchana barikiwa sana
Aaamen amen
Aki edelea ivyo guvu unatupea za kuedelea na safari
Blessing man of God you always inspire me ❤
Amen amen amen❤❤❤🙏 and be blessed too
Amen
wow bro I love how the views are shooting.. 2263 views in 6hrs... thanks for uploading sane content. May God bless you
Aaaamen amen 🙏
Oh Lord JESUS CHRIST remember me in your kingdom may my labour in you not be in vain 😢😢. Hear my prayer oh Lord
Barikiwa sifuna wefwe
Wimbo huu unanikumbush a Bwiru boys Mwanza tuliiomba sana Casfeta
Quite encouraging, God bless you 🙏 🙏🙏