Kuna nyimbo wanadamu tunatunga na humpendeza Mungu saana. Ila kuna nyimbo pia Roho mtakatifu huziandaa na kutufundisha ili kumwimbia Mungu wetu, huu wmbo mtunzi naweza sema alishushiwa direct na Roho mtakatifu. ♥️ huu wimbo ukiusikia utaogopa kabisa kutenda dhambi
Yesu anakupenda sana mwanahamisi.Alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi.Problem is Muslims don't understand that Jesus is God alikuja duniani kama binadamu kutufia msalabani ili aweze kutusamehe tuweze kuenda mbinguni tuwe na yeye hujo milele.He died for you mpee moyo wako na utubu dhambi zako akusamehe.Yeye ni wa huruma mwingi.Be blessed kwa kuuskia huu wimbo
Mungu wangu 2024, ni mwaka wangu I need marriage family and blessing family........hakika bwana utatenda❤.....I believe and I trust Mungu wangu halali wala hachoki, pita kwangu bwana
Eee MUNGU ni wa milele nyimbo hii imenikumbosha mbali sana hivyo ubarikiwe sana na MUNGU wa mbinguni atukumbuke soteni wenye imani ya kuamini ijili BWANA atutie nguvu ili tuushinde ulimwengu amen .
Baba yangu Danford Mbilinyi wakati wa uhai wake wake aliupenda sana huu wimbo na wakati wote aliuimba kwa ufundi mkubwa akishirikiana na marehemu bibi yangu daima ili nimkumbuke vyema hutumia wimbo huu kufanya meditation
Yohana 19:30 "Baada ya kuipokea hiyo siki, Yesu akasema 'imekwisha' akainamisha kichwa akakata roho."❤❤ Amen Kwa hakika yote yalikwisha msalabani mateso, laana, mashida, umaskini, mahaangaioko, chuki, visirani yote hayo alisena Yesu yamekwisha Don't give Keep praying "For our Lord God is mercyful and forgiving ". Daniel 9:9 Be blessed God loves us 🤍🤍
Msamaha wa thambi kabisa,Mume wangu aliokoka baada ya kusikiza huu wimbo ..he cries every time he listens n sing along..thank you Holy Spirit for coming through this choir
This song reminds me how God delivered me from alcohol and drug addiction. He transformed me to a healthy person ready to serve him. He indeed paid all my debts. I will serve him every single day of my life.
Praised be Lord Jesus, He fails at nothing when pursues someone. Praise Him, praise Him until it hurts. I too love Him so tenderly and am looking forward to obtain my healing that I need badly now. Thank You Jesus, thank You Holy Spirit, thank you Eternal Father. Blessed be Holy Trinity.
Wale bado tuko hapa 23/8/2024 weka Tick ili niweze kurudi hapa na kuusikiliza huu wimbo tena
✅✅✅✅✅✅
Mwaka huu ni mwisho wa magumu niliyopitia Kwa jinA la Ysu baraka zimiminike Kwa ngu Amina
wale tunasikiliza wimbo huu Bila kuchoka 2024 tujikusanye hapa❤❤
Nipo hapa acheni tu jamani
❤❤❤.ninapousikiliza Wimbo huu nafarijika sana
Amen
amen upo
vizuri
Tupo wengi
Ahsante yesu kwakulipa deni zangu nakupenda yesu❤❤❤❤
Alilipa deni zangu nimebarikiwa sana ❤❤❤
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 who else listen more than 10times
I love listening to this song as it Blesses my heart.. Listening on 30/03/2024 at 12:05am
Feeling blessed today 26/12/2024 at 1am. God bless you all.
Kuna nyimbo wanadamu tunatunga na humpendeza Mungu saana. Ila kuna nyimbo pia Roho mtakatifu huziandaa na kutufundisha ili kumwimbia Mungu wetu, huu wmbo mtunzi naweza sema alishushiwa direct na Roho mtakatifu. ♥️ huu wimbo ukiusikia utaogopa kabisa kutenda dhambi
Huu wimbo una hisia kali sana na unapenya mpaka rohoni
❤p@@moseskirimbay1791
Jmn kwel huu wimbo yaan ad unatamn kuacha mabay yote🙏😢
Najikuta nalia ety😭
😊😊😊
Asante sana MUNGU ababarikiwe kwanyimbo hii ninzuri sana ❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏
Naupenda huu wimbo Sana. Kaa si mungu singekua hapanilipo ❤❤ amen
Kweli sita muhacha uyu yesu
Naupenda Sana huu wimbo na unanibariki mno
Je suis congolaise vraiment c cantiques et profond
Here on Good Friday 2024 oh Lord have mercy on us 😭
Me too listening to this song on good Friday as I pray
Really love this song
Me too
Moi usi
Mimi pia
Amen hakika alinipenda akalipia gharama😢😢😢😢😢😢
Nimechelewa sana kuufahamu huu wimbo, nmebarikiwa 31/3/2024. Alilipa deni zangu kwa gharama ya mauti🙏
We did on same day
Yesu anakupenda sana mwanahamisi.Alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi.Problem is Muslims don't understand that Jesus is God alikuja duniani kama binadamu kutufia msalabani ili aweze kutusamehe tuweze kuenda mbinguni tuwe na yeye hujo milele.He died for you mpee moyo wako na utubu dhambi zako akusamehe.Yeye ni wa huruma mwingi.Be blessed kwa kuuskia huu wimbo
Mm naupependa huu wimbo Sanaa
14th Feb 2024 am blessed by this song 🙏
Asante Yesu ulinipenda sana ukanilipia garama ya deni zangu
Everytime I feel like I'm about to give this songs 🎵 reminds me alot and gives me strength ❤❤❤❤❤
Nimebarikiwa sana huu wimbo❤
Mungu wangu 2024, ni mwaka wangu I need marriage family and blessing family........hakika bwana utatenda❤.....I believe and I trust Mungu wangu halali wala hachoki, pita kwangu bwana
Amen 🙏🙏🙏 God 🙏🙏 hear your voice
Asante sana Bwana Yesu. Tumepata ukombozi.
Mwenyezi Mungu ni mwema sana kumtoa mwanawe Yetu kristo kutufia msalabani kwa gharama kwa gharama ya kubwa ya mauti❤😅😅😅
All i can say is thank you Jesus 🙌🙏 for sure i love this song ❤️🙏❤️
Nabarikiwa sana na huu wimbo nasikiliza mara 10 zaidi kwa siku na sioni kutosheka Asante sana Yesu kwakunilipia Deni
Wenye tuko hapa siku ya leo date 29/12/2024tukiwa karibu kumaliza mwaka gather here.
Asante kwanyimbo imenipa faraja na waimbaji Mungu awajaliye ngufu
Hakika wimbo huu ni Roho Mtakatifu kiongozi amefurika
Hallelujah wimbo Bora wabariki moyo wangu
Mama yngu anapenda Sana wimbo huu, umejaa Sana baraka kila mda nikiieka mama huwa ana furahia❤🤍💖 nakupenda sana mama 🫶🫶
+q❤+++❤
Thankyou Jesus for your great sacrifice
Team 15th May 2024 wapy likes za Yesu Christu kutufilia msalabani
ati likes za yesu🤣
AMEN UBARIKIWE SANA
Mungu amubaliki aliye yimba huo wimbo
Msamaha wa dhambi niliupata calvary nakupenda YESU ❤
Thanks to God♥️♥️🙏🙏
Haleluya sifana utukufu kwa BwanaYesu. Kazi uliyoifanya pale salabani imenifanya niwepo leo baba. I can'ttake it for granted it's by grace.
Hi wimbo Ina tuonesha kua kunamutuanatupe da ❤
Eee MUNGU ni wa milele nyimbo hii imenikumbosha mbali sana hivyo ubarikiwe sana na MUNGU wa mbinguni atukumbuke soteni wenye imani ya kuamini ijili BWANA atutie nguvu ili tuushinde ulimwengu amen .
Amelipa deni zangu Kwa gharama ya mauti ❤❤
Kama sio kazi ya msalaba sijui ningekua wapi😢 Alilipa deni yangu 😭
Thank you for this song
the song has been singing inside me since morning imebidii. nitafute it a blessing
Mungu Atukuzwe sana na ubarikiwe
Unibariki yesu😊😊😊
♥️♥️♥️♥️ ASANTE YESU KWA KULIPA DENI LANGU 2024 🙏
Kweli kabisa. Yesu alilipa deni yangu. Aliniweka huru.
Msamahaha wa dhambi niliupta kalvali nasikia uweponi
I'm blessed with this song 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Jaman MUNGU awabaliki watu wote walio imba huu wimbo una nguv za mungu
Hakuna mwingine zaidi ya yesu🙏🙏🙏 Je ,,ni nani angenilipia gharama?😭😭🙏🙏🙏 oh Hallelujah victory.belongs to God...
Amen team 2024 bado mpo it's still fresh
Ameen. The song is as fresh as always. 👏 👏
Amin amni
Amen
Wimbo unaguza Sana mamajuzi Choir barikiweni sana
🙏🙏🙏🙏 ooh ooh ooh YESU YESU wangu...............hakika ingelikua sio wewe kunifia msalabani ningelikua wapi sasa hivi😭😭😭😭😭 Nikulipe nini Bwana Yesu wangu?????? Asante asante asante asante😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Msamaha wa dhambi niliupata kalvari❤❤❤
Baba yangu Danford Mbilinyi wakati wa uhai wake wake aliupenda sana huu wimbo na wakati wote aliuimba kwa ufundi mkubwa akishirikiana na marehemu bibi yangu daima ili nimkumbuke vyema hutumia wimbo huu kufanya meditation
Kweli msamaha dio ulifanya tukaitwa tena wana wa mungu
Haleluyaa, msamaha tumeupata Kalvary hakika! Barikiweni wote mliouimba wimbo huu!
Yohana 19:30
"Baada ya kuipokea hiyo siki, Yesu akasema 'imekwisha' akainamisha kichwa akakata roho."❤❤ Amen
Kwa hakika yote yalikwisha msalabani mateso, laana, mashida, umaskini, mahaangaioko, chuki, visirani yote hayo alisena Yesu yamekwisha
Don't give
Keep praying
"For our Lord God is mercyful and forgiving ". Daniel 9:9
Be blessed God loves us 🤍🤍
❤❤❤❤❤❤❤❤❤naupendaaaa
It is touching and trigers soul touching.
Huu wimbo umeja upako Mungu tuone
Hallelujah 🙏❤️💙 the powerful song 😭😭😭😭
Nilikuwa nautafuta sana huu wimbo.Namshukuru Mungu ninausikiliza sasa hapa.Nampenda sana Yesu
Na upendasana
Ø
😊😊
Lip
Yesu pekee anatosha ❤l
Nampenda Yesu
Alilipa deni zangu msamaha wa dhambi niliupata karvari
Asante Bwana 👏👏👏
Kweli msamaha wa dhambi niliupata pale kalvari
❤ wimbo pendwa kwa kipindi hiki cha kwaresma😅😅
Msamaha wa thambi kabisa,Mume wangu aliokoka baada ya kusikiza huu wimbo ..he cries every time he listens n sing along..thank you Holy Spirit for coming through this choir
Mlio tunga wimbo huu barikiwa sana unanikumbusha mbali sana huyu MUNGU aliko nitoa
The only song I listen when I'm down
Wale wanasikiliza na kubarikiwa 16/11/2024 mko wapi?
Alipenda Yesu alilipa gharama❤❤❤
Mungu akubari kwa wimbo mzur
I get blessed every time i hear these song
Asante Yesu wangu Kwa kunipenda na kuchukua dhambi zangu na kunipa msamaha wa dhambi
I love this song so much ❤❤❤❤
Huu Wimbo unanibariki sana
Kwa kweli wimbo huu unanigusa sana
This song penetrates directly to my soul at this trying moment for me
Tulipata msamaha Kalvari.Asante sana YESU🙏🙏🙏
Baba yangu mwema nisamehe dhambi zangu.Ulikufa msalabani kwa ajili yangu mimi.Nakupenda sana Yesu.Asante Yesu mwema😭😭😭😭😭😭😭
Hakika wimbo mzuri sana, Mtunzi Mungu akubariki. Hapa ulitumika kwa viwango vya kimungu kabisa.
My father's favorite song, he would sing it so nicely. I miss you dad. Rest in peace papa
Wimbo huu umejaa upako na roho mtakatifu anazungumza kupitia wimbo huu. Ubarikiwe sana nimepata utulivu moyoni mwangu
Wimbo usiochosha na wenye kunipa faraja siku zote, abarikiwe sana alieutunga🌷
Wimbo huu unagusa sn moyo wangu nampenda Yesu Kwa sababu ananipenda
Asante Yesu kwa kutupenda jana leo na hata milele.Kama si wewe Yesu ningekuwa wapi mimi?🙏🙏🙏🤣
Kabisa pastor yaani Sina la kusema
Angalia Garai neni Zimpraise kitu Cha Zimbabwe wamekopi Mamajusi wanafeli wapi?
Msamaha wa Dhambi niliupata kalvari😢
This song reminds me how God delivered me from alcohol and drug addiction. He transformed me to a healthy person ready to serve him. He indeed paid all my debts. I will serve him every single day of my life.
Same here 🙏fr God is good and sweet
Amen
Words me too.
Praised be Lord Jesus, He fails at nothing when pursues someone. Praise Him, praise Him until it hurts.
I too love Him so tenderly and am looking forward to obtain my healing that I need badly now. Thank You Jesus, thank You Holy Spirit, thank you Eternal Father. Blessed be Holy Trinity.
Hallelujah 🙏🙏🙏🙏🙏
Hallelujah, Asante YESU. umeimba katika roho na kweli, Asante YESU Mara million million mwokozi wangu Hallelujah.
Naupenda sana huu Wimbo na barikiwa sana,asante yesu
Me pia naupenda sana huu wimbo jamn wamejua kuimba kwa kwel❤❤❤❤❤❤❤
Amen Amen nikweli kabisa apewesifa baba wa rehema Yesu Christ ni bwana.....
❤❤❤msamahaa wa dhabi😢😢😢😢
🙏🙏nabarikiwa sana , thanks Jesus for all you have done for me, nakumbuka mengi sana nikiusikiliza huu wimbo hakika Mungu mwema kwa kila jambo🥹🥹
Pongezi kwenu,
nawwzaje pata beat za tumwabu mungu wetu
Sichoki kusikiliza huu wimbo siku miezi na miaka nakupenda sana
ameniiiii hakika hiiii nyimbooo huniongezaa imanii sana
Wimbo huu ni baraka kwangu siku zote
Nakupenda yesu😭😭😭😭
Msamaha wa dhambi niliipata calvary kwa Neema TU, 🙌🙌🙌🙌 alilipa deni zangu 😭😭😭😭🙇🙇, Asante Yesu.