IBILISI MKE WAKE NI NANI?- NDACHA VS Pr MAZINGE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 кві 2023
  • USISAHAU KU SUBSCRIBE

КОМЕНТАРІ • 229

  • @benardombinya7708
    @benardombinya7708 Рік тому +12

    Keep it up ndacha let God give you more for the good work you do for evangelism ministry

  • @IssaSaid-vf3lg
    @IssaSaid-vf3lg Рік тому +17

    Ndasha mungu akihifadh na akuajaalie mwish mwema napend sana maubir yakoo

    • @hmha9728
      @hmha9728 Рік тому +1

      Mwisho mwema ataupata inshallah akiingia katika uislam ila kama yupo huko bas hawez pata mwisho mwemaaa asilan

    • @jamesombaso9493
      @jamesombaso9493 Рік тому +1

      Asante kaka

    • @user-yh4ge7gc3o
      @user-yh4ge7gc3o 3 місяці тому

      Pesa ndacha itakutumbukia nyongo

  • @moseshandsam1865
    @moseshandsam1865 Рік тому +4

    Ndacha wafundishe 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 proffessor wa vitabu mr Francis ndacha wafundishe

  • @Efflix_123
    @Efflix_123 Рік тому +13

    Mazinge is a comedian,....

  • @AminaFuraha-gi7ii
    @AminaFuraha-gi7ii Місяць тому +2

    Ndacha Mungu akuzidishiye Mara elfu

  • @dennismajesonlenamunyi7761
    @dennismajesonlenamunyi7761 Рік тому +6

    I like the way Paulo is reading....the reader is marvelous

  • @kayembeyves6422
    @kayembeyves6422 6 днів тому +1

    Majina ni Kayembe yves kutoka komgo drc niko south Africa nataka kitabo chako mimi nadambaza video zako apa nakupenda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @nyaungaosiemo9341
    @nyaungaosiemo9341 Рік тому +12

    Ndacha ni moto
    Mungu akubariki

  • @kayembeyves6422
    @kayembeyves6422 6 днів тому +1

    Ndikwendete yesu kristo yesu yesu yesu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @godloveabraham5088
    @godloveabraham5088 Рік тому +3

    Ukristo ndiyo dini ya kweli na Yesu ndiye njia ya kweli ya kufika kwa Yehova

  • @panadomadola3064
    @panadomadola3064 26 днів тому +1

    Ndacha kiboko ya Mazinge, ongera sana mwalimu Ndacha🎉🎉🎉🎉❤❤❤ unajibu bila chenga, Mazinge ni m'babaishaji tu hana lolote

  • @irenekaluse3213
    @irenekaluse3213 Рік тому +5

    Ndachaaaaaaaaaaawpige nyundo hao wasio waelewa

  • @zuhura.suleimanmwamwari3083
    @zuhura.suleimanmwamwari3083 Рік тому +4

    Yesu aliingia kwenye sinagog sinagog ni msikiti so yesu ni muislam mpende MSI pende

  • @kugotwa004
    @kugotwa004 7 місяців тому +2

    Mazinge doctor hatari sana

  • @machindafadhili3186
    @machindafadhili3186 Рік тому +3

    Atawanyoosha FRANCIS NDACHA, mutabatizwa leo

  • @erickmaisha4773
    @erickmaisha4773 Рік тому +5

    Kiboko yenu ndacha hata muite majini😂

  • @AminaFuraha-gi7ii
    @AminaFuraha-gi7ii Місяць тому +1

    Wislam mutubu Yesu chritu atawasamehe

  • @JamesOdhiambo-wu2pj
    @JamesOdhiambo-wu2pj 8 місяців тому +2

    Mwalimu Ndacha unakazi kweli wale unafunza, wana masikio na hawasikii

  • @princessafrash8757
    @princessafrash8757 Рік тому +1

    Masha Allah! Shekh mazinge wallah sijui hata nikuombee dua gani kila dua nitayoomba nahisi haistahili kulingana na heshma yako ndani ya dini yetu lakini Allah anajua zaidi Akuhifadh tunakuhitaji zaidi ya neno sana

  • @emmyndunge6406
    @emmyndunge6406 Рік тому +7

    Ndacha mungu akubariki sana

  • @kingahmed5442
    @kingahmed5442 Рік тому +2

    NDACHA KWA KUPOTOWA WATU 😅 MAZINGE PROFESSER

  • @mudriksalum4752
    @mudriksalum4752 Рік тому +3

    Mashallah Allah katupa professor

  • @khadijatamimi2495
    @khadijatamimi2495 Рік тому +1

    Kiboko ya Ndacha ni Professor ALLAH amlinde na madui

  • @amongreyson1326
    @amongreyson1326 Рік тому +4

    Mazinge badala ajibu swali anapinda pinda hata haeleweki,Hakuna shekhe hapa janjajanja nyingi 😁

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 Рік тому +3

    Mama wa mwenzio ndio mama ako na wake za Mitume ni wanaadamu wanasifa za kuzaa na kuzaliwa. Lkn Mungu hana sifa ya kuzaa wala kuzaliwa. Km unaakili timamu huezi kufananisha mfano wa wake za Mitume na Mungu. 😊

  • @ModestyBleise-oj5ch
    @ModestyBleise-oj5ch Рік тому +1

    Ndacha kuja timboroa please we need to get this good gospel that you have

  • @LuisFaustinoLuis
    @LuisFaustinoLuis 23 дні тому

    Msomaji WA ndacha ni hatali sana mungu akubaliki

  • @halimasalim3985
    @halimasalim3985 11 місяців тому +4

    Allah akuifathi ya Rabb na akulipe siku ya haki Sheikh Mazinge❤

  • @BarubinaNyoni-it9ol
    @BarubinaNyoni-it9ol Рік тому +1

    Ndacha Mungu akubaliki ila napenda sana mkutano wa ndacha na mazinge😅😅

  • @user-on7uj1yy4s
    @user-on7uj1yy4s 6 місяців тому +1

    Mazinge Wacha vituko yesu ndiye njia

  • @LucyKioko-rn3ll
    @LucyKioko-rn3ll 21 день тому

    I love adventist my church

  • @sergesnshimirimana6049
    @sergesnshimirimana6049 Рік тому +1

    MNGU NI MWEMA tunawafatiria sana burundi

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 Рік тому +3

    Subhanalha ❤

  • @FaraKeys-sz6mb
    @FaraKeys-sz6mb Рік тому +2

    Mungu ni mmoja sasa ime kuwaje hizi dini wame tuletea binadamu wenzetu wao wame zipata wapi na sisi tumeshindwaje kuzipata bila wao… kwa wema gan walio kuwa nao paka wapewe kibali cha kutu andikia vitabu sisi

  • @amongreyson1326
    @amongreyson1326 Рік тому +9

    Nashukuru Mungu nimezaliwa mkristo,Ningekua muislamu maskini Pepo ningeisikia tu 🙌

  • @barakawabuge5285
    @barakawabuge5285 Рік тому +13

    Haha mazinge ni professor..Allah amuhifadhi

  • @JemilaMusa-pt3yh
    @JemilaMusa-pt3yh Рік тому +2

    Ndacha jibu maswali kwaza elimu hauna kwakweli

  • @leonardmwayeya13
    @leonardmwayeya13 Рік тому +3

    Hakunakitu kwamazinge

  • @nourlaboratory
    @nourlaboratory 6 місяців тому

    Namshukuru mungu kwakunibadili na kuwa mkristo japo wakristo wengi hawajui ukwel

    • @alhajijuma3675
      @alhajijuma3675 4 місяці тому

      Sasa nijukumu lako kuwalisha uongo uujuao n ukweli

  • @alexandermulilison5844
    @alexandermulilison5844 Рік тому +2

    Mazinge Wacha chenga ....jibu swali vizuri.....kama mwana katoka kwa mungu kwa kauli yake, huyo mtoto atakuwa ametoka wapi kwenda wapi? Na mtoto atakuwa nani? Pili mke wa shetani nani? maana ana kizazi chake.

  • @barakawabuge5285
    @barakawabuge5285 Рік тому +4

    Swali la Ustadh Mazinge halijajibiwa hata 😂😂...

    • @fredrickonyango94
      @fredrickonyango94 Рік тому

      Hukua makini andiko limetolewa yesu na baba ni umoja tatizo lako unapenda majibu za propaganda kushinda andiko.

    • @barakawabuge5285
      @barakawabuge5285 Рік тому

      @@fredrickonyango94 onyango soma tena kiswahili kisha utaelewa....jibu bado hata mtoto wa chekechea anafahamu hili ndo maana mnadanganywa kufunga hadi kufa kule shakahola..watu wa yes boss

    • @fredrickonyango94
      @fredrickonyango94 Рік тому +1

      @@barakawabuge5285 kweli uislamu bila uongo haupo, mimi vitabu vya majini siwezi amini ni mungu wetu wanamzungumzia bali ni shetani ndie kiongozi wao

  • @zuhura.suleimanmwamwari3083
    @zuhura.suleimanmwamwari3083 Рік тому +3

    Dini ya kweli ni islam

  • @ismaailabuughariyb313
    @ismaailabuughariyb313 Рік тому +5

    Professor Mazinge utawauwa hao wakristo kwa hoja

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko Рік тому +2

    Allahuakibaru jazakumllah kheir ust mazinge

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Рік тому +6

    Ndacha kama hukuacha kupoteza watu moto wa jahannamu unakusubiri

    • @imageinternational.1100
      @imageinternational.1100 Рік тому

      Moto wa jehanamu ni kwa wale wanaopinga kua Yesu Kristo ni mwana wa Mungu

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 Рік тому

      @@imageinternational.1100 hahahaaa akiwemo yesu mwenyewe tutaingia naye jehanamu kwa sababu ndo Wa kwanza alopinga na kukataa kuitwa mwana Wa mungu akasema yeye ni mtu alokuja kutwambia kweli aloisikia kutoka kwa mungu hakuwahi kusema mimi yesu ni mwana Wa mungu sasa wacha tumfate yeye

    • @leonardmwayeya13
      @leonardmwayeya13 Рік тому

      Kinacho nifrahisha mungu nimwanamke au mwanaume nakama mwanaume hivi kwri mwanaume anaza Keri acheni ujinga wakana mazinge

    • @user-yh4ge7gc3o
      @user-yh4ge7gc3o 3 місяці тому

      Huyu ndacha hujifikicha na kiswahili kicha panzi

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko Рік тому +1

    Ust mazinge nakupenda kwa ajili ya Allah mola akuongonze ktk hili inshaallaah

    • @saidiMsume
      @saidiMsume 2 місяці тому

      Mazinge mapepo yamekuchanganya,hata unachojibu ni utumbo,nashangaa pumba zinazokusupport

    • @whitetigerprincy5882
      @whitetigerprincy5882 Місяць тому

      Bro unapotea mpokee yesu wacha mawenge

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 9 місяців тому

    Shekhe mazinge Allah akihifadhi vyema uzidi kutuelekeza ishaallah

  • @jpmanotaofficial9041
    @jpmanotaofficial9041 Рік тому +1

    Uislamu ni sanaa

  • @fredymligo-hd6pj
    @fredymligo-hd6pj 6 місяців тому

    Mungu akupe maisha malefu ndacha unasoma kweli lakini mazingecanasomo kipisi Cha neno hasomi neno lote

  • @FransiscoNjeje
    @FransiscoNjeje 18 днів тому

    Mwalm ndacha Mungu awe nawe

  • @kellykellizer7867
    @kellykellizer7867 Рік тому +6

    Mazinge mambo mbaya sana Ndacha ww nlikwambia usipoteze watu bure kila siku kwenye mjadala unashindwa nahuachi😂

  • @yusufjuma8384
    @yusufjuma8384 11 місяців тому +1

    Takbiriiii

  • @user-nd2ev5hu1m
    @user-nd2ev5hu1m 6 місяців тому

    Ww brach hakufahamu maandiko acha kuficha ukweli

  • @user-ct7zd6he2j
    @user-ct7zd6he2j 7 місяців тому

    Big up ustadh

  • @shepherd1x84
    @shepherd1x84 4 місяці тому

    Nyie mnadhani mnahua lugha sana ..ila uelewa wenu mdogooo

  • @NurathNassor
    @NurathNassor Рік тому +1

    Allah endelea kumuhifadhi Sh Mazinge na umpe umriii mrefuu yaan Allah bado tunamuhitaji Sanaaa mafunzo yake n Nuru kwetu
    Amiiiin 🙏🙏🙏

  • @user-fe7nm5bq6r
    @user-fe7nm5bq6r 7 місяців тому

    Nimekuba mazinge sana kwasababu nikiboko chawakirito wafudishe wajiga hanaakili

  • @Nacirabdalaambasse
    @Nacirabdalaambasse Рік тому

    Alihadulihi mungu ni kubwa usiwaje Au macafiri hostas mamzigue

  • @carlosmenza680
    @carlosmenza680 5 місяців тому

    Video quality ikiwa nzuri sauti inaenda kuwa mbaya

  • @ZakariaIbrahim-eo3rd
    @ZakariaIbrahim-eo3rd Місяць тому

    Ndacha analipwa bana

  • @whitetigerprincy5882
    @whitetigerprincy5882 Місяць тому

    Ndacha 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NadhiraNa-vm5hs
    @NadhiraNa-vm5hs 4 місяці тому

    ❤ Allah akulipe

  • @godloveabraham5088
    @godloveabraham5088 Рік тому +1

    Mwaljmu Ndacha Mungu akupe neema zaidi na hekima zaidi ubarikiwe sana ndugu

  • @muryangoissa794
    @muryangoissa794 Рік тому +3

    Wakristo Mnapote sana

    • @imageinternational.1100
      @imageinternational.1100 Рік тому +1

      Wewe ndio ulipotea tangu kuzaliwa

    • @saidiMsume
      @saidiMsume 2 місяці тому

      Soma vema Quran Yako ili ujue kuwa bible ilkuwapo kabla ya dini hiyo ya mapepo

  • @user-yz6ho2jr5s
    @user-yz6ho2jr5s 4 місяці тому

    Wap vip vya kiroh waelew hao

  • @sharaful-anaam138
    @sharaful-anaam138 Рік тому +2

    Hii mishenzi kumbe wanaijua qur an lkn haitak kusilimu

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 Рік тому +2

      Mshenzi ww tusilimu tukajitoe muhanga au tukaue watu au tuwe waganga au tutengeneze majini au tukaswali na majin?

  • @UtufyoPangachini-ru3yg
    @UtufyoPangachini-ru3yg Рік тому +1

    AchA kupotosha watu mazinge soma matayo 16:13hadi 20 unasoma matatu mmoja unatafsiri

  • @whitetigerprincy5882
    @whitetigerprincy5882 Місяць тому

    Hivi waislam mbona wamekubali kuwa kwenye giza 😢

  • @EmmyRowland-ir5gh
    @EmmyRowland-ir5gh 3 місяці тому

    Mazinge MBNA nalia😂😂😂

  • @ismailmustafa4553
    @ismailmustafa4553 Рік тому

    Ajaabu watu huwa wanajitahidi kutafuta ilm kuongoza watu kina Ndacha nawenziye ujitahidi kutafuta ilm yakupotosha

  • @cmb6342
    @cmb6342 Рік тому +3

    Namkubali ndacha Ni genius Ni hatari sana

  • @user-yz6ho2jr5s
    @user-yz6ho2jr5s 4 місяці тому

    Nyie wakristo ni waongo tu subiri mazing awape vitu vya kiroh

  • @JamesMoses-jd1yq
    @JamesMoses-jd1yq Місяць тому

    Waislam tanunikeni

  • @jeanninemunezero6469
    @jeanninemunezero6469 7 місяців тому

    Hawa waislam hawana jibu rorote kumujibu ndacha

  • @rayyanswaleh5813
    @rayyanswaleh5813 Рік тому

    Ati yesu alizaliwa kwa neno wala si mke,maryam mamake yesu alikuwa MKE au NENO?????

  • @fabilianothedecor3393
    @fabilianothedecor3393 Рік тому

    unajua kuna kitu watu hawaelewi ila cku za mwisho zitakapofika mtajibu hayo makufuru na na mabishano mbele za mungu tafuteni njia ya kweli na uzima msitafute vilivyopo kwenye giza maana mtapolea gizan enyi wa christo na waislamu acheni hayo mambo maana mungu anahasira na hayo mambo mnayoyafanya upanga upo juu yenu ote

  • @mejukassim
    @mejukassim Рік тому +11

    Dini ya haki mbele ya Allah ni islam

  • @BILALKASSIM-ol6kk
    @BILALKASSIM-ol6kk Рік тому

    Ndacha jibu swali umeshindwa kujibu swali

  • @eliamunuo225
    @eliamunuo225 6 місяців тому

    Ndacha dawa yao

  • @user-wr3ho1ie9k
    @user-wr3ho1ie9k 5 місяців тому

    wwe mazinge hauna mandiko kabisa

  • @AnwarAli-bd5tv
    @AnwarAli-bd5tv Рік тому

    Yaani hawa wakristo mamwehu kweli, ilo jibu lililotolewa mwisho mmelifaham kama mm lakini, maana uyo mchungaji amepigia mfano wake wa Muhammad kuwa mama zetu kiheshma tu lakini sio mama zetu kweli, pia akasema na yesu ndo hivohivo, kwa nilivyomuelewa kamaanisha Hata yesu sio mwana wa Mungu Bali wamempachika kama heshima tu sasa mnao amini yesu mwana wa mungu Shaurizenu

  • @michaelmagwaza-bc6mk
    @michaelmagwaza-bc6mk Рік тому

    Mazinge ananguvu zagiza za ubishi na upotoshaji anapuyanga puyanga tu hajui kitu naamini tukiweka mikono Pepo chafu zitalipuka.

  • @elijahbaraka9470
    @elijahbaraka9470 Рік тому

    Huu ubishi niwa kupotosha watu wasio na upeo. Biblia imekataza mabishano. Mungu mwenyewe atalitetea neno lake kama watu awaelewi sio kutia mabishano. Maana asilimiakubwa inapotezatu watu

  • @ashurantunzwenimana5975
    @ashurantunzwenimana5975 Рік тому

    Ni tamko la mwenyezimungu,wanakuceka juu unase ukweli,ila unaupinga

  • @user-lk7kt2zq2j
    @user-lk7kt2zq2j Рік тому

    Nyi nyi mushaka wayi ona wapi nuru ina changanya na giza nyi nyi wote muko n'a kufuru mungu mwenye Ali ziumba mbingu n'a njii

  • @user-so5qv7oz1v
    @user-so5qv7oz1v 11 місяців тому

    Naupenda uislam

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 Рік тому

    Allah awagifadhi Masheikh wetu. Amin

  • @JamalAgostinhoAuasse-nk7ip
    @JamalAgostinhoAuasse-nk7ip Рік тому

    Jamal Agostinho Auasse

  • @ASTONVILLA_254
    @ASTONVILLA_254 Рік тому

    Mwana wa adamu sababu alizaliwa na mwanadamu ,mazinge ni kujishasha tu na takbir za bure tu.

  • @FaraKeys-sz6mb
    @FaraKeys-sz6mb Рік тому

    sasa kama Africa aipo kwenye vitabu ambavyo wote mna sema ndo vya mungu…sasa tupo kwenye vitabu gani ???

  • @Nimraty
    @Nimraty 7 місяців тому

    Najivunia kuwa Muslim

  • @user-vt4rp6tq1m
    @user-vt4rp6tq1m Рік тому

    Ndacha wewe nojembee utoe jasho uyo aokoke sante sana mungu maana amekutumia vizuri wakasome upya ndio waje kwako komaa baba hawana wajualo bwebwetu

  • @user-vd6dk4op4e
    @user-vd6dk4op4e Рік тому

    Hakuna dini iitwayo uislamu...dini ni Moja...na Kama ni mbili hizi Dini,mbona waislamu bado wanamsubiri Esah ambaye ni yesu..mbona siku ya kiama wasimsubiri mtume wao ambaye ni mohammad

  • @LameckMjwanga-mm1um
    @LameckMjwanga-mm1um Рік тому

    Walakini maswali ya upumbavu ya katae hayo mwisho huzaa magomvi

  • @rayyanswaleh5813
    @rayyanswaleh5813 Рік тому

    Kwanza yohana omari uliposema hiyo aya kwa kiarabu ulikosea matamshi yake

  • @abdusheriffsheriff8557
    @abdusheriffsheriff8557 Рік тому

    Wesllam wanatumiaka ujaja tuh ila hawajuwi maandiko

  • @user-hy5zd5rn6r
    @user-hy5zd5rn6r 4 місяці тому

    Wafundishe Qur'an yao Ndacha

  • @emmanuelmogela5871
    @emmanuelmogela5871 Рік тому

    Tamko si ndio neno uyu wawapi mazinge

  • @user-uw8hk4tu7v
    @user-uw8hk4tu7v 10 місяців тому

    Ndacha mjanja sana kama chizi

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 Рік тому

    Usimuite yesu uite nabiii