Mzee wa miaka 99 afia gerezani na ujumbe kwa Rais Samia | GUMZO MAALUM | Sheikh Ponda & M.Ghassani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 88

  • @salyali7807
    @salyali7807 3 години тому +6

    Inna lillah wainna ilayhi raajiuun..May Allah amghufurie amrehemu ampe kauli thaabit apokee kitabu chake kwa mkono kulia ... Allahumma ameen Allahumma ameen ... hichi cheo cha urais hata kwa million elfu au hata ulimwengu mzima sina haja nao .. siku yakujibu ni siku kubwa na ngumu

  • @HamisiGatuso
    @HamisiGatuso 4 години тому +6

    Shekhe upo sawa Juhud zako zinaonekana za kuwapambania wanyonge m mungu atakulipa ni mashekhe wachache ambao wanaojitokeza kutetea wanao dhulumiwa wapo sana kidunia kuliko kuangalia ahera Yao na viongoz wataulizwa Kwa walio waongoza siku hiyo itafika nawataulizwa Dunia ni mapito

    • @kijitamfyomi5598
      @kijitamfyomi5598 2 години тому

      Hata Mufti wa Tanzania angekua na jitihada kama anazofanya sheikh Ponda huenda hawa watu waliosingiziwa na kesi kama hizi wangeliachiwa

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 2 години тому +2

    Innalilah wainnailah rajighun
    Siwezi kumshauri ndugu yangu kuwa kiongozi mkubwa
    Mana maisha ya dunia ni mafupi
    Tutaulizwa kwa kila jambo

  • @KasalamaAlly
    @KasalamaAlly 5 годин тому +8

    Allah amrehemu hizi Sheria kandamizi kweli zipo nchi hii halafu viongozi mnakaa majukwaani mnahubiri amani muogopeni mungu

    • @knight6757
      @knight6757 4 години тому

      Uchawa ?

    • @KalicKaguz
      @KalicKaguz Годину тому

      Masheikh wengi hawamwogopi Kwa sababu dunia imewachukuwa uchawa

    • @vt-kn6qf
      @vt-kn6qf 4 хвилини тому

      Brother africa wangali wanatumia sheria zakikoloni hadi Sasa Burkina Faso wavuta kwenda jela labda kwa kesi ya kuuwa na kuiba mali ya serekali tuu

  • @songombingo108
    @songombingo108 6 годин тому +19

    Dunia ina mambo. Lakini mengi hayana maana yoyote. Ati Mzee kama huyo awe Gaidi? Binadamu tuandae majibu kwa Mwenyezi Mungu😢😢😢

    • @MaulidKomboza-wh2ki
      @MaulidKomboza-wh2ki Годину тому

      Allah amfanyie wepec ktk Safari yake ya Barzakh Allahummah Aamiiin.

    • @manenohamisi2858
      @manenohamisi2858 50 хвилин тому

      Kwani ugaidi uko na umri

    • @manenohamisi2858
      @manenohamisi2858 49 хвилин тому

      Hao wazee ni wajinga wanatumia dini ...kwenye siasa za kiutawala....

    • @ZeynabAlly-c2m
      @ZeynabAlly-c2m Хвилина тому

      Angekuwa ni baba yako au ndugu yako yasingekutoka maneno haya​@@manenohamisi2858

  • @omarsaid7153
    @omarsaid7153 5 годин тому +6

    Hasbiyallah waniimal wakiil 😥😥

  • @mamawamireille4872
    @mamawamireille4872 3 години тому +4

    Sasa mzewamyaka 99 gerezani ?naraisi wenu anasemaje wa Tanzania mnaroho mbaya mwenyezi mungu atawahukumu 😢

  • @FASSALEHALIB
    @FASSALEHALIB 4 години тому +5

    INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAAJI'UUN.

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 4 години тому +5

    Siku ya hukumu viongozi mtarudi kwa ALLAH mkiwa dhalili sana na HAITOWAZIDSHIA MADHALIMU ILA KHASARA, HAITOWAZIDISHIA MADHALIMU ILA UPOTEVU, watesaji mtarudi kwa ALLAH mtalipwa kwa dhulma mnayoifanya na hilo halina shaka, matendo maovu mnayowafanyia wananchi malipo yapo kwa ALLAH

  • @kassimmohd
    @kassimmohd 4 години тому +3

    Mungu Awalipe viongzi malipo wanayo staili Hapa duniani na KESH Aghera.

  • @MuslimYouthman
    @MuslimYouthman 3 години тому +3

    Ina lilah waina ilaih rajiun Allah amsamehe makosa yake

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb 6 годин тому +6

    Subhaanallah 😢

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py 2 години тому

    Inn Lilah wainnailay rajiun, Allah mma ajrunii fee musibati waalifliikhair Khair Minha, Yarabbi msamehe , na umsamehe mja wako huyu, na ulifanye kaburi lake moja ya viwanja vya pepo inshaallah, Poleni sana wafiwa, kwakweli inasikitisha na inauma sana, Mola ataleta nusura inshaallah.

  • @KhalfanKhamis-mo5xd
    @KhalfanKhamis-mo5xd 2 години тому

    Mungu ampe umri mref wenye kher shekh ponda azid utafuta haki kwa wanaodhulumiwa

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 5 годин тому +6

    Mama mitano tena
    Ila mama akumbuke tu kwa Allah s w kuna hukmu na hisabu hao walokuzunguka mwisho chumbe

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 3 години тому +4

    Sheikh ponda Allah akupe umri mrefu pamoja na afya njema na malipo makubwa hapa ulimwenguni piya kesho akhera

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Годину тому +1

    Hao waliyo wakamata wajiabdae na Azabu ya Allah. Allahu akibarrinauma jamani uwezivumilia bilayakulia 😭😭 Allah atawalipa kwa. Qadar hiyo inauma saana

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 5 годин тому +3

    Inna lillah wainna illahi rajiun Allah ampe kauli dhabiti Allah amuondele na adhabu kabri Allah amrahamu Allah walio bakia awatoe

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 5 годин тому +5

    sheikh kafa shahidi

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 3 години тому +1

    Innalillahi wainnailahivrajuun. Allah ampe.kauli thabiti marehem

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 5 годин тому +4

    Allwah ampokee Mzee wetu.Na hawa Madhaalim Allwah atajua la kuwafanya

  • @MohamedKaburu
    @MohamedKaburu 5 годин тому +6

    Nimeandika nimefuta nimeandika nimefuta roho inaniuma sana

  • @salyali7807
    @salyali7807 3 години тому +2

    Inasikitisha sana 😭😭😭

  • @AsilahHamad-e4f
    @AsilahHamad-e4f 24 хвилини тому

    Innalillah wainna ilahi rajiuuni roho imeniuma sana 😢😢

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 Годину тому

    Hata mimi mtoto wangu alibambikizwa ugaidi kwa pointi za uongo za ukandamizaji akahukumiwa kifungo miaka 20 Allah ana kazi ya kulipa haqqi za wadhulumiwa siku ya qiyama acha apate shida duniani dhuluma ikilipwa atapata kheri siku ya qiyama wataumia madhwalimu akhera.

  • @RamaDzengo-ns3nj
    @RamaDzengo-ns3nj 5 годин тому +3

    Poleni sana kwamungu simbali pia walio fnya hivo sku zao zitafi

  • @mamawamireille4872
    @mamawamireille4872 3 години тому +2

    Innalillah waina illayih rajiun

  • @FatmaSuleiman-g8q
    @FatmaSuleiman-g8q Годину тому

    Hakika kwa Mwenyezi Mungu hakipotei kitu,watakwenda kujibu kwa kila walicho kifanya katika hii dunia.

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 3 години тому +1

    Mfumo Kristo ni hatari sana kwa umaa wa kiislamu,Innalillah waina illah rajiun

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 Годину тому

      Huu ni ujinga nchi wanayo wakina nani why uongee imani flani ndio inaleta shida hiyo kuna mashehe wangapi wapo uraiani hawapo gerezani nikulize gerezani kuna wakristo wangapi bila kujali imani zao na wakristo wawambie watu wenzao wapo jela kwa imani flani tuache hizi mambo za uchonganishi mtu anavyo kamatwa haikamatwi imani yake anakamatwa mtu kwa makosa yake hivyo tuache uchochezi unataka kutwambia gerezani hawapo wachungaji wenye makosa

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 Годину тому

      Sisi wanadamu ndio wenye makosa wala sio dini zetu tukikamatwa tusingize stori za imani

  • @luthermartin1098
    @luthermartin1098 5 годин тому +3

    Poleni sana

  • @HaleemaOsman-r2m
    @HaleemaOsman-r2m 2 години тому

    Innallahi wainaillahi rajiuna Allah awajaliye firedausi jana

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 5 годин тому +3

    Tabia haina umri, ila kwa hili Taifa tulipofikishwa na watawala wetu ni hali ya kusikitisha sana.Taifa baadala ya kuwa Viongozi sasa Taifa lina watawala, na ndio maana hurukia sheria kandamizi.

  • @AminiHakundwa
    @AminiHakundwa 5 годин тому +3

    Innaa lillah wainnaa ilayh rrajiuun. Allahumaghfir lahuu waaf anhuu warahamhuu maskana firjannat

    • @MahamuduAbasi-o1n
      @MahamuduAbasi-o1n 4 години тому

      Ingekuwa vizuli Raisi awaone watuhumiwa wate wakigaidi na ajulishwe kila upererezi wakila mmoja ulifikiya wapi (majibu ya kila mmoja).

  • @Omanzikra-ft5cr
    @Omanzikra-ft5cr 10 хвилин тому

    Inauma sana innalillaj wainnailayhi rajiuun

  • @kamalmukaddam1521
    @kamalmukaddam1521 3 години тому +1

    Inna lillahi wainna illyhi rajiuun

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 5 годин тому +4

    kiyama allah atawalipa kwahili watu mtaingia motoni huo moto sio huu ni wa allah ndy anamrisha huo moto mamlaka kwa allah tu

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 2 години тому

    Allah ampe kauli thabit inshaaAllah

  • @ekyochisikitaya5354
    @ekyochisikitaya5354 4 години тому +3

    Assalam alaykum WA rahmatullay wa barakatuh, wa Islam wana mchango mkubwa sana katika taifa ilo la Tanzania, toka kabla ya ukoloni haadi ivi Sasa. Swali kwanini wa Islam wanaonelewa kiyasi kikubwa ivi?

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 5 годин тому +3

    Nchii hii inahitaj mageuz ya kivita
    maana watu fulani wanaonewa!

  • @IddNgakonda
    @IddNgakonda 20 хвилин тому

    Innalillah wainnaillah raj'un!

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 5 годин тому +2

    inalillah wainalillah rajiun

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 5 годин тому +4

    ila allah atawalipa kwa hili ujinga wa bakwata mbona hakuna mapatri mbona ni mashekh tu

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 Годину тому

      Una uhakika gani kama hakuna ulisha wahi fanya utafiti tuache udini makosa wanafanya watu sio dini

  • @mfumwamangara
    @mfumwamangara 4 години тому +5

    Tatizo ugaidi ni waislam tu na ndio waliotafuta Uhuru wa nchi hii na viongozi wetu wapo kimya semeni kweli mbona ponda haogopi.

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 2 години тому

      Uhuru vipi walitafuta dini inaweza vipi kutafuta uhuru walio tafuta uhuru ni watu wa kila eneo bila kujali dini zao swala la harakati hapa tz wazee wetu walilianzisha kwa kupitia machifu wao kukataa kutawaliwa tumeona kina mkwawa na wenzake walikufa wakipigania nchi hii leo useme dini flani hivi kina nyerere kambona walikuwa dini gani tuache stori hizi za uongo

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 24 хвилини тому

    Iná lillah waina ilaihi rajiuna

  • @yusuphrashidi-dr1kb
    @yusuphrashidi-dr1kb 2 години тому

    Mfumo kristo huu mbaya sana uwezi kukuta askofu jera😢😢😢

  • @salyali7807
    @salyali7807 3 години тому +2

    Mtu wa miaka 90? Hasbiyallah waneemal wakeel ... Allah ndio mbora wakulipa

  • @adamrajabu7464
    @adamrajabu7464 3 години тому +3

    Daah najiuliza je utu ni nn? Je dhulma ni nn? Je haki ni nn? Je mahakama ni nn? Je viongozi wasimamizi wa yaha mambo wapo au hawapo? Wanafanya nn walijisahau? Je hawajakumbushwa? Na kama aliamua kuunda tume ya haki jinai je bado anachelea nn? Je hata haya anayezumgumza shk ponda ni uongo? Je kama kweli bado nn kinakwamishaa? Au viongozi wamechaguliwa na kuteuliwa ili baadhi ya mambo yaende kombo mengine yaende vizuri ili iwe ni kichaka cha kujifichia? Au ndo sheria zinabagua yule wa kupewa haki yule sie? Sasa ina maana gani sasa kumbe kuwa na wafrika wenzetu japo wanaozidi hata tabia za maksudi za wakoloni? Au ni kosa kumpa haki ya hukumu mkosaji kama kakosea? Ila ni haki kumkalisha gerezani tu?? Au viongozi wetu si ktk familia ya kibinadamu? Haya ni baadhi ya maswali macheche, ipendezeza basi kama si viongozi wetu wa familia ya kibinadamu wawajibike basi tuelekezwe kama wapo wengine ambao sio wao! Eeh mola wetu una thamini hata wema mfano wa uzito wa sufi kidoti hata hili tunakuomba mola wetu anayehusika hasaaa uone njia sahihi ya kumsahihisha kwa namna ya elimu yako.hakika tunaona sisi waja wako viongozi wetu wanafanya maksudi na dharau ya wazi.

    • @hedaya-e9j
      @hedaya-e9j Годину тому

      Mmmmh allah atujaalie mwisho mwema mana😢😢😢😢

  • @jumadinya3796
    @jumadinya3796 22 хвилини тому

    Inna lallhiyh wainailayhi rajeyuuna

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 4 години тому +2

    Haingii akilini hata kidogo.

  • @HaleemaOsman-r2m
    @HaleemaOsman-r2m 2 години тому

    😭😭😭😭😭😭

  • @lailafakhihaji
    @lailafakhihaji 50 хвилин тому

    Kwakweli inasikitisha sana kuna watu wanafanya makubwa lakini hawaguswi hii dunia uonevu utafikiri tunaishi mwituni wenye nguvu tembo simba chui na fisi chukulieni poa lakini adhabu zipo mbele ya allaah na moto upo.innalillah wainnaillah rajiun allaah amsamehe makosa yake amuingize pepo ya flldaus

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 59 хвилин тому

    Mheshimiwa Rais ni busara na hekima awe anatazama na juu ili angalau wazee wapatiwe huruma maana Mwenyezi Mungu ni mwenye kuona na Mwenye kusikia. Awafanyie wepesi maana nayeye Rais pia ni mjawa Mwenyezi Mungu naye ni mwenye kutarajia nusra na rehma kutoka kwa Allah.

  • @yusuphrashidi-dr1kb
    @yusuphrashidi-dr1kb 2 години тому +1

    Alafu yule mufti wa Bakwata yupo tu 😢😢😢

    • @lailafakhihaji
      @lailafakhihaji 37 хвилин тому

      Yupo zaidi kisiasa Dunia kaivaa allaah anisamehe nasema kwa uchungu LAKINI hasaidii chochote bakwata ipo kisiasa zaidi allaah awabadilishe wajue wayafanyayo ni kinyume na allaah

  • @NasraBuchu-i9d
    @NasraBuchu-i9d Годину тому

    Na wengi walikamatwa lakini mpaka leo hatujui wapo wapi

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 2 години тому

    Kama masheikh wa uamsho wa Zanzibar walitoka basi na hawa wa Bara wenye kutuhumiwa na makosa kama haya tunaomba Rais awahurumie nao waachiliwe

  • @RamaDzengo-ns3nj
    @RamaDzengo-ns3nj 5 годин тому +1

    Na makosa mengi yanatokana na ssi wenyewe tuliopewa uisilamu kuwa na chuki baina ytu tukiombea mabayakwamabaya

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze 33 хвилини тому

    Mimi sipigii MTU Kura maana viongozi woote ni majibwa wakisha kama kwenye vyo wanabadilika hawana binaadamu humjuwwi kirsto wala muislamu hao waislamu wamezii dah Imani imewatoks Kwa duniya

  • @AbdulmujibAhmed
    @AbdulmujibAhmed Годину тому

    Hivi mnajua mana yakufa shahid ?kaeni some acheni ushabiki

  • @AzizihFarijala
    @AzizihFarijala Хвилина тому

    Ebu atueleze mateso gani gerezani alikuwa anapata maana mateso yana tafri kubwa.na maruhun alipelekwa kwa kosa gani

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 2 години тому

    BAKWATA ndio inatuangamiza waislamu wa Tanzania

  • @eastafricaqualitychickenfa9916
    @eastafricaqualitychickenfa9916 7 годин тому +5

    Wakwaza kuangalia Gumzo la s
    Khasani

  • @issayurry7022
    @issayurry7022 42 хвилини тому

    Bakwata hakuna shrkhe pale wale wote ni vibaraka wa ccm na wachumia tumbo tu

  • @KalicKaguz
    @KalicKaguz 56 хвилин тому

    Sheh ponda hayo unayoyasema kuhusu sheria ya ugaidi kwa serikali sawa na kumpigia mbuzi gitaa hii ni mipango ya wakubwa wa dunia uko

  • @Yayouselim
    @Yayouselim 40 хвилин тому

    Ghasani na ponda mnajihusisha na mambo msiyo yajuwa itawa gharimu

  • @pira7439
    @pira7439 2 години тому

    Hilo wanaofanyiwa wengi wao ni waislamu kwa nini iwe hivo?

  • @hassanibakari9667
    @hassanibakari9667 6 хвилин тому

    Sheh ponda vipi kuhusu kesi uliyofungua mahakama kuu kuipinga bakwata. Imefikia wapi na nini wajibu wetu waislamu tunayoipinga bakwata

  • @zuzadomikano3765
    @zuzadomikano3765 Годину тому

    BWANA Dr.HUSEINI ALY MWINYI SINDIE ALIKUA NACHEO KIKUBWA NA MASAOUNI ,WALE PILAO NA BOKOBOKO KWA FURAHA YAKUWAACHA MAGEREZANI ..
    SEIF ALY IDI alisema watamalizia MDOONI ATAE PINGA ccm

  • @SephaniaMsigwa
    @SephaniaMsigwa 2 години тому

    Rais samia ni dini gani