NILIMSOMESHA MKE WANGU AKANIACHA NA KWENDA KUOLEWA NA MZUNGU, WAZIRI NISAIDIE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 лют 2024
  • NILIMSOMESHA MKE WANGU AKANIACHA NA KWENDA KUOLEWA NA MZUNGU, WAZIRI NISAIDIE
    www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 409

  • @homeofvideos8893
    @homeofvideos8893 3 місяці тому +5

    As a man I can feel the pain and the heat inside his chest. Kwa kumwsikiliza tu nayasikia maumivu yake kupitia sauti yake, Mungu atamlipa alichokifanya bro. Wanaume hatuna haki duniani

  • @johnsonkisaka9161
    @johnsonkisaka9161 4 місяці тому +28

    Dah..😢 aisee aisee aisee...sikia kwa wengine na furahia kufanya lakini isikutokee.....brother pole sana, Mungu alikujua kabla hujazaliwa and he knows what path you should go through but all in all He IS WiTH You (God)..still trust him. Nimekuombea have faith.

  • @halimaoman8726
    @halimaoman8726 4 місяці тому +16

    Huyo baba ameingia sana achofanyiwa na mzazi mwenzie badae atakuja kujuta wanawake wanalia wanakosa msaada kwa wenziwao ww dada mungu wanakuona sana mlichomfanyia huyo baba kakupa elimu leo unamuona nakudai baa yngu pole kwa mitiani ww kuwa na imani na mungu kwa hayo unayopitia mungu yupo nawe ipo siku yatakwisha tu imani na subra kila kitu

    • @halimaoman8726
      @halimaoman8726 4 місяці тому

      Sisi wanawake ni mtiani sana mungu taupe imani atukumbuki ulikotoka wapi au mtu wamekutowa wapi kuamisha bali sisi tunaangalia tunakokwena mungu taupe mawazo na ufahamu wapi tuliokuwa waalha

  • @kubojajoseph3226
    @kubojajoseph3226 4 місяці тому +37

    Nimelia Kwa uchungu sana dah! Ifike mahala Ustawi wa Jamii waangalie haki za Wanaume pia

    • @margarethmwampondele7858
      @margarethmwampondele7858 4 місяці тому +3

      Zipo

    • @kubojajoseph3226
      @kubojajoseph3226 4 місяці тому

      @@margarethmwampondele7858 lakini hazifanyiwi haki kama za Wanaume

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 4 місяці тому +1

      ​@@margarethmwampondele7858Sawa je zinafanyiwa kazi?haki zinatendeka?maana wameegemea kwa wanawake tu

    • @BAGAMOYOMATUKIOLIVE
      @BAGAMOYOMATUKIOLIVE 4 місяці тому +3

      Mi naloga wote wafe niki uwa kwa kujeluwi utashtakiwa nauwa kwa kuloga

    • @user-ei2ud7gh5h
      @user-ei2ud7gh5h 3 місяці тому

      Warah hii nimependa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @salha6596
    @salha6596 4 місяці тому +14

    😢😢😢Inshaalla alivyo kuzalilisha ipo siku atazalilika yeye

  • @florachogo243
    @florachogo243 4 місяці тому +41

    Huyo dada alipata mume sahihi , alichokifanya malipo duniani hapa hapa, na atakukumbuka sana, bahati hairudi ,mungu akusaidie unaupendo wa agape😢

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 4 місяці тому

      Mungu/MUNGU sio mungu

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 4 місяці тому

      DUNIA
      NDIVYOO ILIVYOOO

    • @kyaro5945
      @kyaro5945 4 місяці тому

      huyu demu amempata mzungu online. demu kamcheat mlami. demu ataenda achika pia .

  • @jacqueli18
    @jacqueli18 4 місяці тому +21

    Wanawake tamaa zinawaponza, mitandao inawadanganya

  • @noellahgervas90
    @noellahgervas90 4 місяці тому +13

    Anaitwa nan huyu jaman nimpate maana watu tuna mtoto na baba hatak hata kumuona huyu ni baba wa wap jaman mashaAllah❤

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 4 місяці тому

      Jamani Duniani Malaika wapo sio kila mtu mkatili

    • @AyshaHamis-qw3gi
      @AyshaHamis-qw3gi 4 місяці тому +1

      Hii comment 😢 ..Mashallah ni wachach sana

    • @cyprian497
      @cyprian497 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 4 місяці тому +18

    Yaaan sisi wanawake tunamoto wetu wa VIFUU WALLAH 😢😢😢 ee m/mungu naomba subra na huyu mume wangu

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 4 місяці тому

      ALLAH AKURAHISISHIENI

    • @user-ei2ud7gh5h
      @user-ei2ud7gh5h 3 місяці тому

      Inshaallah ❤❤❤❤❤❤kerry ❤❤❤amin YARABBY

  • @christmaskasomo1231
    @christmaskasomo1231 4 місяці тому +35

    Daah! Hii imenikumbusha mnigeria mmoja aliekuwa anaishi uingereza, akarudi africa akamchukua mke na mtoto waliokuwa wamebaki africa akawapeleka London pia kuishi nao, ila kilichotokea mwanamke akaaanza kubadilika baada ya kupata mwanaume mwngine kule, na akamsingizia mumewe kesi ya kumteka mtoto wake, mumewe akafungwa miaka 3 jela na mwanamke akasafisha pesa zote za jamaa bank na baadae jamaaa akawa deported back to africa baada ya kutoka jela, Jamaa akiwa zake nigeria anaishi kwa rafki yake baada kusafishwa pesa, Mwnaamke nae akatapeliwa ela zote huko uingereza na mwanaume wake mpya na akamtoroka kukimbilia spain, mwanamke akaamua kurudi africa kumuomba mumewe msamaha, yan mumewe alikuwa na hasira nae mpaka huruma. Duuh wanawake hawa.

  • @Neema-qm9kk
    @Neema-qm9kk 4 місяці тому +3

    Huyu baba endapo kama anachosema ni kweli aisee Huyu mwanamke amemfanyia jambo baya sana. Pole sana

  • @geofreybarama4000
    @geofreybarama4000 4 місяці тому +6

    Kuna aja ya kufungua foundation ya kuwawezesha wanaume kuwatetea nakuwapa elimu ya uwazi coz wanaume wengi wanapitia wakati mgumu na wanakosa msada..

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 4 місяці тому +6

    Mambo ya Beijing hayo. Empower, empower mwisho wa siku pwaaa. Mungu atusaidie sana.. roho za jezzebel zimemwagwa kila kona.

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 4 місяці тому +8

    Mwanamke mmoja anaweza akaharibu heshima za wanawake wote,huyu dd alimkubali.huyu kk kima silahi tu

  • @fredytarimo9107
    @fredytarimo9107 4 місяці тому +5

    Pole sana bushoke. Ulikua umepigwa dawa wewe na hayo mzungu na yeye kapigwa dawa. Wanawake wa kisukuma siyo kabisa.

    • @Mina.15
      @Mina.15 3 місяці тому +1

      Cousin yangu kapiqwa uku usa 🇺🇸 yeye ndio mama na mke ndie baba 😂😂😂 anaosha viombo pika chakula 😂😂😂😂 na ako na kansa

    • @ancelimiangelus2664
      @ancelimiangelus2664 3 місяці тому +1

      Wanawake wa kisukuma wanann Kwan mbona tamaa zinawapeleka pabaya siku hizi

  • @jeaninekabano9190
    @jeaninekabano9190 4 місяці тому +6

    Pole sana kaka lakini kuna wanawake wengi wamefanyiwa vitu vibaya saana na wanaume. Hawajatangaza wewe hapo shukuru Mungu hakukudhuru maana dunia hii umejaa ubaya Kama unamwamini Mungu omba atakupatia wa kufanana nae ❤

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 4 місяці тому +10

    Duh wanawake tuna moto wetu haki 😢😢😢 dada hii bahati uliyo ipoteza kwa tamaa zako Mungu yupo utakuja kujuta 😢 pole sana kaka Mungu atakupa aliye sahihi insha'Allah 🙏🏻

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 4 місяці тому +6

    Wanaume tunapitia magumu, mengine hatuongea ili kulinda hadhi.. ila wanawake wakipata udhaifu wako watashikia bango.. sheria nyingi zinapendelea mwanamke..ujinga mtupu

  • @rogerioathumani9084
    @rogerioathumani9084 4 місяці тому +15

    Daah huyu jamaa mwanaume sana pole sana bro

  • @eddyeddy2907
    @eddyeddy2907 4 місяці тому +2

    I feel your pain brother. Mimi ni muhanga wa hiyo pia, mwanamke tulyekuwa na mipango ya kufunga ndoa tulshapelekana na kutambulishana pande zote familia zikatutambua I paid everything for his university studying but still baada ya yenye kumaliza tu masomo amenkimbia. Mimi namshtakia Mwenyezi Mungu 🧎😭

    • @nuryatmussa9966
      @nuryatmussa9966 4 місяці тому

      Pole 😢InshaAllah Mwenyez Mungu atakulipia pia likuepukalo linakheri naww

  • @collincarlos7433
    @collincarlos7433 4 місяці тому +10

    Wazr gwaijima Lako hilo kamata mzngu weka ndan..then mtume mama amfuate mtoto harak sana..akaishi na babak

  • @charlesb.mwaipeta8415
    @charlesb.mwaipeta8415 4 місяці тому +6

    kuoa mwanamke wa kibongo ni sawa na kujivika timed bomb! Ndoa nyingi za kibongo zipo hoi ni vile tu watu hawasemi, wamefanya siri na wameamua kufa kiume. Wanawake wanatamaa sana

  • @user-xm7ce5jh2k
    @user-xm7ce5jh2k 4 місяці тому +3

    Ni dunia.
    Nilimsomesha mume wangu nikampa urizi wote nikamlipia kufika bulaya ila alinihalibu niko kilema na kunipiga kila mala na kuniacha bila hata chochote. Sacrifice unafanya ila juwa kwamba shatani inavuluga. Nilizania ni mime wa maisha sikumulomba chochote heshima tuu nikakosa. Basi amenitendea mabaya na kuniacha . Munapenda mitandandao ila historia ni nyingi sema sisi wa mama hatusemi .

    • @LenatusPosiano-hi7tk
      @LenatusPosiano-hi7tk 4 місяці тому

      Pole sana dada pande zote Kuna makosa ukikuta mwanaume ni mtulivu ujue mwanamke atakuwa mtu hivyo....na ukikuta mwanamke ni mpole mwanaume anakuwa mtu wa kumuumiza ...ko maisha bwana ni vita ndani ya dunia

  • @lodvee1717
    @lodvee1717 4 місяці тому +3

    POLE SANA BROTHER ,KEEP ON TALKING TO GOD ATAKUPA MWANAMKE SAHIHI hawa kima Yezebel na Delila sio kabisa

  • @user-xw7ix6my6j
    @user-xw7ix6my6j 4 місяці тому +3

    Dah,mungu atakujaa mwengine mwenye mapenzi ya kweli.sisi hatujawapata wanaume wenye mapenzi ya dhati.duh mtihani

  • @akwilaisseri5312
    @akwilaisseri5312 4 місяці тому +17

    Tunapitia mazito sana wanaume nivile tu tumeumbwa na mwiyoo miguu tu Mungu atamfanyia wepesi 👏🏿👏🏿

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 4 місяці тому +1

      Ujuwe ni nin broo hata wanawake pia tuliyapitia ila sai tupo uarabun tunatafuta pesa ili yasije yakatukuta yalio pita

    • @neemamdami7466
      @neemamdami7466 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂nyie mnapitia matatizo 😅😅😅😅labda sio wanaume hawa ninaowafahamu mimi

    • @bakaribakari6444
      @bakaribakari6444 Місяць тому

      Utafutaji wa mwanaume na mwanamke haufanani hata kidogo ​@@omanoman2044

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 4 місяці тому +6

    Mimi mke wangu nilimtimua baada ya kuanza kunionyesha ujeuri,bahati nzuri ilikua hatuna mtoto,alibeba vitu vyangu vya nyumba zote,hawa viumbe bana

    • @RamulaKabugho-bk8vk
      @RamulaKabugho-bk8vk 4 місяці тому +2

      Subhanallah wanawake walionekana wengi motoni ni wazito me ni mwanamke lakini nawaogopa sana me uka peke yangu kama jini 😂😂😂

    • @reynaaalrawahi4137
      @reynaaalrawahi4137 4 місяці тому +1

      😂😂😂😂

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 4 місяці тому

      @@reynaaalrawahi4137 sio mchezo,hawa viumbe hapana

  • @salminabuhudhaifa4273
    @salminabuhudhaifa4273 4 місяці тому +4

    dah!😪 kiukweli umenitoa machozi nimekumbuka mapito niliyopita kiukweli inaumiza lakini inamwisho😭

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 4 місяці тому +3

    Eee Mungu ungenipa mume mstarabu km huyu ningekushukuru mno.Hilo dada halina bahati.Ningemtiii sana huyu mume.

  • @dorislema2465
    @dorislema2465 4 місяці тому +2

    mbona kaka mwenyew mzur tuu jmn wala hana tofaut na na wazungu alaf anao upendo wakweli,,uyo dada atamkumbuka sana uyu baba siku moja yaja

  • @alfredjohn5693
    @alfredjohn5693 4 місяці тому +3

    Mungu atamlipa kwa fadhila zake zote alizomfanyia huyo mwanamke ,,nae ata grow zaid na zaid!

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 4 місяці тому +7

    Huyo dada ajue karma never miss address

    • @gloriamichael7935
      @gloriamichael7935 4 місяці тому

      Asubiri mzungu mwanaume na mweusi na kama rangi yako ndivyo wote walivyo asubiri matokeo yake tu

  • @farry391
    @farry391 4 місяці тому +12

    Am here again crying with a stranger 😢😢😢😢

    • @jade75798
      @jade75798 4 місяці тому

      Wee mpare dont cry things gonna be alright

    • @user-ls5sk6ni6l
      @user-ls5sk6ni6l 2 місяці тому

      Yooooo 😂😂😂😂

  • @catherinecostantino2034
    @catherinecostantino2034 3 місяці тому

    Pole Sana Kaka mungu atakulipa mwenye upendo wa kweli , huyo ungeweza kufanikiwa akakuwekea sumu , shukuru mungu ameondoka maishan mwako , alikuja kukupa somo

  • @gjonathankamenge9528
    @gjonathankamenge9528 4 місяці тому +7

    It is understandable also taking into account your own age, and the time it may take to heal your hear and love again and make another child, but here is experience; concentrate on healing your heart, count it a loss and move on, you entered a wrong family, you are lucky to be alive, be grateful for that.

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 4 місяці тому +6

    Pole sana njoo uniowe mm nitakuendo maana sote wahanga pole sana

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 4 місяці тому +2

    Wanawake tumieni akili ili kuepusha majanga KWENU na kwawaume zenu pia Kwa sababu huyu mwamba kama angekuwa na jaziba angechukuwa maamuzi magumu na mabaya sana ,na chanzo ni MWANAMKE ,big up bro Kwa subra na uvumilivu wako Kwa ujumla

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 4 місяці тому +2

    Kaka Pole sana , kuwa na subira na hujamtenda mkeo ubaya, lakini Mungu atakulipia Hayo mkeo amefanya atajutaa

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 4 місяці тому +5

    Subhanallah pole sana ALLAH atamlipa

  • @gidiboy9081
    @gidiboy9081 4 місяці тому +3

    Wanawake kama hawa dawa yao ni ndogo sana, Unampata shemeji mnyenyekevu kama huyu, unatuletea ushenzi, Pole sana kaka! Japo mie nimechagua kukuita shemeji yangu!
    Hivi hauna namba za ndugu zake? Au mtu yeyote anaye husiana na huyu mwanamke mshenzi, Ustawi wa jamii kesi hii hawawezi kuitatua, inatatuliwa ukweni kwako,

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 3 місяці тому +2

    Da kwenye miti hakuna wajenzi mimi sasa nina 45yrs nakata tamaa cna Mume da!! Pole kaka ila sio wanawake wote

  • @gidiboy9081
    @gidiboy9081 4 місяці тому +1

    Mimi naomba huyu bwana aseme ni kijiji gani cha Bariadi kamtoa huyo mwanamke?
    Ili ampeke kwao kwa mwanamke hii kesi ni ndogo sana, akawaeleze wazazi wa mwanamke, wala asihangaike, na inawezekana nami nihusishwe wakt amemfikisha kwao!
    Aisee! Pole sana bwana shemeji

  • @user-xm7ce5jh2k
    @user-xm7ce5jh2k 4 місяці тому +1

    Kaa na Mungu atakusaidia . Mbona tunanatajilisha kisha munaduharibiya maisha hatuwatiye mtandaoni

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 4 місяці тому +2

    Pole kaka, ila hapo polisi ndio tatizo waliona tabia za mwanamke na mzungu dhidi yako walipaswa kuandika ripoti maalum kwenda ustawi wa jamii kuomba upatiwe HAKI za kuishi na mtoto then ustawi wangekupa mtoto maana Sheria ya mtoto Ina mpa mamlaka afisa ustawi kuamua nani akae na mtoto kw akuzingatia maslai Bora ya mtoto.

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 4 місяці тому +1

      POLISI walifanya vizuri kunyamazia kwasababu hiyo KESI IMEENDA KWENYE MAHAKAMA YA MUNGU NDIYEATAKAYEMHUKUMU MKOSAJI

  • @saidmsafiri5237
    @saidmsafiri5237 4 місяці тому +8

    Dah pole sana ndugu yangu mungu hamtupi mjawake

  • @estarsaidi9110
    @estarsaidi9110 3 місяці тому +2

    Nimeria kwa uchungu mkubwa sana😢😢😢 ila malipo niduniani

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 4 місяці тому +1

    Usilie 😢😢 kaka angu mungu atakupa mke mwema uyo atakukumbuka muda sio mlefu , charmusingi muombe mungu mtoto atarudi kwako uyo achananae kabisa

  • @mwanaishaabubakar5013
    @mwanaishaabubakar5013 4 місяці тому +7

    Wanawake pia wanapitia maisha magumu kwa wanaume both side are the same because we are all humans we have the same habits to the both sides.

    • @dayana5513story
      @dayana5513story 4 місяці тому +1

      Kweli kabisaaa

    • @alecbayrine7161
      @alecbayrine7161 4 місяці тому

      Today its not about u, today its about the guy...and from what i see he is a man. Acha kujivictimise hao ndo wale wale!!!?

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 місяці тому +2

      ​@@dayana5513story Sio kweli kwa sababu wanaume 98% wameowa wanawake wanaowapenda LAKINI 70% ya wanawake hawakuolewa na wanaume wanaowapenda (chaguo lao).

    • @abuarafatmkweli748
      @abuarafatmkweli748 4 місяці тому

      Wanawake wengi sana, mume akitetereka kifedha au hata akishuka cheo kazini, mwanamke anakimbia na anatafuta mwanaume mwingine... Hii ni dhulma Kubwa sana... HAKIKA Kuna Mahakama ya Allah SW inakuja

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 4 місяці тому

      ​@@hajihassan5433 Kiufupi sema tunafuga malaya tu, hata mke wangu akiona hii comment basi, atajijua mwenyewe.

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 4 місяці тому +1

    Pole sana, napitia hayo hayo ni magumu. Kiukweli sijawahi kuchukia kusikia mwanamme kamfanyia ukatili mwanamke.

  • @marthakimia4075
    @marthakimia4075 4 місяці тому +1

    Pole sana ndugu yangu Mungu atakula mke mwema atakayekupenda kwa dhati

  • @PaulinaLwena
    @PaulinaLwena 3 місяці тому

    Huyo alikuwa cyo mke sahihi Mungu alikuonyesha mapema,wako yupo Mungu anakuandalia🎉🎉

  • @JamilaSaid-we7rk
    @JamilaSaid-we7rk 4 місяці тому +3

    Aje kwangu sijasoma ila nitaish nae vzr mno hatoajutiaaa

  • @chingaboy1149
    @chingaboy1149 4 місяці тому +1

    Hapa mmi nipendelee wapi kwamuhindi or kwa mdogo wangu because Tz we are ndugu or nibaki upande wamuhindi uthikute huyu ndio mkosa just angalia tu anaongea kuhusu mtoto ila mmi nabaki kwa mtz mwenzangu i don't care about religion or traibo😅😂❤

  • @collincarlos7433
    @collincarlos7433 4 місяці тому +5

    Dah wanawake makatiri sana....inauma sana

  • @ChikoMathias
    @ChikoMathias 4 місяці тому +3

    Pole sana

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 4 місяці тому +3

    Daaaa m/mungu azid kunipa subra na Mume wangu tuvumiliane hapa na pale Pindi akikosa

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 4 місяці тому

      Hakika ila nikukosa ufaham tuy wakujuw anae toa ridhiki ni mungu

    • @ukhutfatumah1154
      @ukhutfatumah1154 4 місяці тому

      @@omanoman2044 wallah nimechukua viatu vyake huyu baba avinitoshi hata kidogo yaaaan wanawake Siku izi tumekuwa mabiris kupita maelezo

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 4 місяці тому

      @@ukhutfatumah1154 siyo kidog japo siyo wote %90ndo wamegeuka kuw wakatili hata kwa watt wao inshaallah mungu atampa wakufanana nae hata sis tulipitia haya sai tupo uarabun tunakusanya maokoto

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 4 місяці тому

      Mwenyezi Mungu/MUNGU sio mungu

  • @catherinefrance3642
    @catherinefrance3642 4 місяці тому +1

    Poleee mnoo, tunashukuru kwa story upande wa kwanza tunasubir upande wa pili

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 4 місяці тому +3

    Sijui huwani kwa nini ukiwa na mwanaume anakupendaaaa jua mwanamke kimeo lakini mwanamke akimpendaaaa mwanaume unakuta nacho kimeo cijui kwa nini mara nyingi inakuwa vise versa

    • @paskaziasholla7471
      @paskaziasholla7471 4 місяці тому

      Huenda hatukuomba MUNGU atupe wakufanana tukakurupuka 😂😂😂nimaumivu makali

  • @silviaamos-pl5lk
    @silviaamos-pl5lk 3 місяці тому

    Pole Sana Kaka, wanawake siowote wasaliti ,ningekupata Kaka kama ww ningefurahi Sana amekosa bahati

  • @manstiko5890
    @manstiko5890 4 місяці тому +5

    Sad story mwezimungu atakulipia brother 😢😢

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 4 місяці тому

      Mwenyezi Mungu/MUNGU sio mungu

  • @LeviAnthony-ci4vu
    @LeviAnthony-ci4vu 4 місяці тому +2

    Kosa kubwa alikutana Kimburu....!!KIMBURU always will be Kimburu.....

  • @user-dn5mq3fw5s
    @user-dn5mq3fw5s 4 місяці тому +1

    pole sana kaka mungu atakulipa inshaallh malipo ni duniani kaka 😢 naona huruma duu wana wake jamani

  • @sophialucasmilambo2783
    @sophialucasmilambo2783 4 місяці тому

    Mambo yako tofauti sana duh,, umenikumbusha yalinikuta haya unakuwa sacrifice kwa mtu ambae ana malengo mengine ni huzuni sanaaa ,,,, hakika mungu akuteteeee nakuombea najua maumivu yako nilipitia haya mungu akuvushe wacha dhambi zake zitaongea nae badaeee

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 4 місяці тому

    Behind almost every betrayal lies a women.
    Hongera Delilah kwa kumshughulikia Samson!
    Binadamu hawana wema Salum Abdallah aliimba.
    Siku nyingine tupate upande wa pili lkn hapana shaka Delila ni Delila tu

  • @user-nd8gg4ig7m
    @user-nd8gg4ig7m 4 місяці тому +3

    Pole sana kaka

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 4 місяці тому +5

    Full story iko wapi😢

  • @HabibaHassan-ut1re
    @HabibaHassan-ut1re 4 місяці тому +6

    Njoo unioe mie kaka nitakuzalia kama kuku😂😊

  • @Hajer-be2kh
    @Hajer-be2kh 4 місяці тому +1

    Jamaa nimemuona kwenye singo mama ya jb ni boss wa shabani😊

  • @annamussa185
    @annamussa185 4 місяці тому +3

    Lakini ukweli wanaujuwa waooh!to be honest hawa wanaume jamii ya Waarabu na wahindi wanyanyasaji vibaya mno mkimsikiliza mwenzake ndo mtapata ukweli

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 4 місяці тому +3

      Wanawake ni wavumilivu sana ila usiombe akasema mim bas hawez geuka nyuma tena😮😮

    • @Zuu673
      @Zuu673 4 місяці тому +1

      Wewe umeongea

    • @gamaybady919
      @gamaybady919 4 місяці тому

      Kwan maelezo ya jamaaa kwa maono yakoo unaonaa ameongopaa nini kwa maelezo aliyo yatoaaa

    • @Zuu673
      @Zuu673 4 місяці тому

      @@gamaybady919 sasa na wewe utajuaje km kasema ukweli? Mwisho wa siku na mwanamke akija akasema yake ukweli tutaujua sisi au wanaujua wao?

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 4 місяці тому +2

    Kwanza ungejua huyo mzungu ni wa Nchi gani peleka Taarifa Ubalozini kwao na taarifa nchini kwao

  • @kulngeleza6733
    @kulngeleza6733 4 місяці тому +1

    Yan mungu akubaliki sana awa mambwa wote tnanoa lala nao wangukua na moyo km wako akuna mwanamke angetoa mimba au kutupa wtt 😂😂wanaume wote mbwaaaa

  • @othmanshahib1115
    @othmanshahib1115 4 місяці тому +1

    Shida ya wanawake ukiwa naye anafilia siku moja atakuwa single sisi hata kama tuna cheat hatupotezagi kumbukumbu ya nyumbani tuwasamahe bule ndoo mama zetu 😢😢

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 4 місяці тому +11

    Co wanawake tu wanateseka na mapenzi,na wanaume wanateseka haswa nivile hawasemi

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 4 місяці тому +3

    Jamani wanawake tujitambue,mungu atatulaani

  • @vero57
    @vero57 4 місяці тому +2

    Wanawake wengine kazi hawana lakini wako na mdomo wa kutaka vitu uwezo hawana , na kutengemea mwanaume amupe, kwani huyo mwanaume amekua baba yako mzazi ???? WANAWAKE JITUMENI KIPINDI HICHO KIMEPITWA NA WAKATI CHA KULELEWA!!!!

    • @christinakomba689
      @christinakomba689 4 місяці тому

      Usiseme hivo mimi nimesomesha mume wangu,lakini alivyotoka huko aliniacha nipo nahangaika nalala chini

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 4 місяці тому +2

      Na unaweza ukamvumilia mwanaume akiwa masomon akarud akakuacha na asiwe na mpango na wewe mambo magum kote tu

    • @christinakomba689
      @christinakomba689 4 місяці тому

      @@petermanala6138 ni kweli kwa hiyo ni kumwomba Mungu tu

    • @elizag.edmond7637
      @elizag.edmond7637 4 місяці тому

      Du pole sana dada yangu ,jamani ila pambana tu na wewe utafute elimu yako ,Mungu atakuinua na wewe utakua wakutamaniwa sana na watu mpka huyo aliye kuacha atakutamai ila wakati utakua umeisha, weee baki kusema kua nilitenda wema malipo yamekua haya ,tena kwa mtu niliyempenda ,Mungu chukua maumivu yangu unikomaze moyo wangu niweze kusimama tena, ​@@christinakomba689

  • @user-zb8mk6kt2b
    @user-zb8mk6kt2b 2 місяці тому

    Pole.hao wangekutana nawatu kutoka mara au Arusha wange chinjwa

  • @HappyBuffalo-yt7wf
    @HappyBuffalo-yt7wf 3 місяці тому +1

    Daah jamani wengine wamepata ila hawajui nini wafanye daah Mungu msaidie huyu baba

    • @JudithAdonis
      @JudithAdonis 3 місяці тому

      Wengine kilio mume wangu ananisumbua, wengine wanacheza na nafasi walizopata loooh !!

    • @HappyBuffalo-yt7wf
      @HappyBuffalo-yt7wf 3 місяці тому

      @@JudithAdonis yaani umeona EE MUNGU atusaidiee kwakwelii

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 4 місяці тому +1

    Jamani wanaopendwa hawapendeki, wasiopendwa na wanataka kupendwa, jamani haa Kaka pole Sanaa

  • @Its_Goodluck
    @Its_Goodluck 4 місяці тому +1

    Ni hatari sana,mwanamke akishaanza kutaka mahitaji makubwa zaidi ya uwezo wako hyo n hatari sanaa kwahyo kimbia

  • @frankmlinda1181
    @frankmlinda1181 4 місяці тому +3

    Pole sana wanawake wa sasa wamejawa na tamaa na mali

    • @Nanah18
      @Nanah18 4 місяці тому

      Kuna Wanaume wengi hawawezi kushtuka Mwanamke anayemfaa na asiyemfaa, Wanawake wa aina hizi wanajua sana kuigiza kwamba anakupenda sana, sometimes muwe hata mnaigiza kuwa mmepata matatizo uone reaction ya Mkeo/Mpenzi wako

  • @talents7934
    @talents7934 4 місяці тому +2

    😂😂😂kumbe Huyo Mwanamke Ni Msukuma wa Bariadi kumbe😂😂

  • @user-nz4sn9ee8d
    @user-nz4sn9ee8d 4 місяці тому +1

    Pole sana😮

  • @ivonasangawe7185
    @ivonasangawe7185 4 місяці тому +1

    Pole sana brother

  • @user-cr7vi4qp9c
    @user-cr7vi4qp9c 4 місяці тому +1

    Pole sana bro

  • @leonardgervas7515
    @leonardgervas7515 4 місяці тому +1

    Duhh polee!! Sana

  • @liobamtey7079
    @liobamtey7079 4 місяці тому +1

    Pole sana
    Naomba kuuliza wadau huyu si ndio yule anayeigiza kwenye tamthiliya ya lawama ya sinema zetu?

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx 4 місяці тому +1

    Pole sana kaka yangu

  • @davidkamando9630
    @davidkamando9630 4 місяці тому +1

    Duuh! Kuna wanawake wana roho mbaya sana.. Mungu yupo

  • @muhambwetvonline
    @muhambwetvonline 4 місяці тому +8

    Mke hasomeshwi labda cherehani tu

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 4 місяці тому

      😂😂😂😂 ausio

    • @ngowibeatrice1701
      @ngowibeatrice1701 4 місяці тому

      True

    • @SurprisedOmbreSky-qg6dk
      @SurprisedOmbreSky-qg6dk 4 місяці тому

      Sio watu wote sawa

    • @happnesskitumbo5713
      @happnesskitumbo5713 3 місяці тому +1

      Inategemea ni mke wa namna Gani na misingi ya ndoa yenu ipoje! Kama ana hofu ya Mungu kweli kweli na anashiriki ibada kwa kumaanisha unasomesha kwani mnaishi wawili ila kuna leo na kesho .

  • @frankfitiaelmbise9682
    @frankfitiaelmbise9682 4 місяці тому +1

    It's so sad story I feel his pain .
    Happened to me like this😢😢😢

  • @jade75798
    @jade75798 4 місяці тому +2

    Jamani pole mchumba niko hapa nakusubiria njoo unioe mimi achana na huyo muhuni

    • @SefrozaMafuru
      @SefrozaMafuru 4 місяці тому +1

      😂😂😂

    • @jade75798
      @jade75798 4 місяці тому

      @@SefrozaMafuru au wasemaje ndugu yangu .niko huku Senegal nakukaribisha nletee huyo mchumba sitaki apate shida na umuambie asilie anyamaze niko hapa kwa ajili yake .

  • @shabanikitula645
    @shabanikitula645 4 місяці тому

    Mama Gwajima wewe ni msikivu kiongozi hodari chonde chonde tunakuomba mama yetu tunakuamini sana watanzania msaidie huyu baba apate mtoto wake Dada anataka kula raha kapeleka mtoto kijijini Mama tunaomba umsaidie

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 4 місяці тому +3

    Mungu atakupigania hawa wanawake wa siku hizi ni nusu mashetani

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 4 місяці тому

      Nikweli lakin siyo wote mie binafsi sin tabia hizo

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 4 місяці тому

      Naam ni nusu ongeza na robo mashetani 😈
      ...... Ni mwanamke tu kwenye historia ambaye waliongea na shetani, baada ya tunda lazima kuna na jengine la siri waliongea, yaani ukiwa masikini ni shida, na ukiwa tajiri ni shida, uwe handsome atasema huwa hudisi vizuri, kibamia, atahitaji mwenyewe sura ya kawaida, na ukiwa mwanaume una sura ya kawaida, atasema una dudu kubwa, linaumiza, atamhitaji huyo handsome mwenye dudu dogo.
      ##Shida sana la muhimu kuwahi ufalme wa mbinguni.

  • @RamulaKabugho-bk8vk
    @RamulaKabugho-bk8vk 4 місяці тому +1

    Kuwa mpole mungu si dhwalim malipo yako njiyani yana kuja subiri kakangu 😢

  • @mbogomgoma4886
    @mbogomgoma4886 4 місяці тому +1

    Ooh pole sana kumbe ni wanyantuzu ndo tabia zao hizo ndugu yangu ila pole sana kaka

  • @maimukanabora8751
    @maimukanabora8751 3 місяці тому

    Pole Sanaa

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 4 місяці тому +1

    Jamani viongozi msaidieni huyo Baba WA kihindi anaonelewa

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 4 місяці тому +2

    Duuu inauma hii story mbona sana,kaah maskini pole sana

  • @neatnessmwanga8653
    @neatnessmwanga8653 4 місяці тому

    Pole sana! Tuombeane!

  • @zawadimwambungu8632
    @zawadimwambungu8632 4 місяці тому +1

    Aisee, pole sana ila mungu yu mwema atakutendea tuu na utapata mtu atakayeridhika na kipato chako, ila wanawake kuna muda anatuona kwa kweli

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 4 місяці тому

      Mungu/MUNGU sio mungu