NILIJARIBU KUIBA MTOTO MUHIMBILI KUNUSURU NDOA YANGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 бер 2024
  • www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 86

  • @ndolepeter2770
    @ndolepeter2770 4 місяці тому +7

    Mumgu ndy faraja chukua mtt yatima au wandug mlee kwa upendo kama mwanao na Mungu atakulipia

    • @zakiamseka9698
      @zakiamseka9698 4 місяці тому

      Bora yatima wa ndugu akikua wanamchukua inauma😢

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 4 місяці тому +6

    Kuliko kuiba ni bora ku adapt mama yangu.ukweli mwanamke akikosa mtoto ni changamoto .Mungu awasaidie wagumba matumbo yoote yaliyofungwa yafunguliwe kama Sarah wa Ibrahim.

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955 4 місяці тому +4

    Mim nilichelewa tu mwaka mmoja lakin niliyoyapitia ni mungu ndio anajua aiseee

  • @ConsciousBNB
    @ConsciousBNB 4 місяці тому +12

    Mama pole sana kwa changamoto kubwa kama hiyo 😢 Kama hutojali mimi pia ni mwanao wa kufikia sababu pia sina Mama 🥺🙏

    • @ednaJF1028
      @ednaJF1028 4 місяці тому

      Yani nyie acheni tu!
      Maicha haya.

  • @tabiasaidi2931
    @tabiasaidi2931 4 місяці тому +3

    Mungu waangalie wagumba wote na wanao chelewa kupata watoto kwajicho lako lenye huruma kwamaana ww ndie dokta mkuu kwa madokta wote kwa neno lako ulisema hakuna tasa wala mwenye kuharibu mimba muda umefika sasa wa kutimiza maneno yako mataka tifu mungu wetu usie shindwa na lolote mikononi mwako tenda sasa kama ulio tenda kwa sala .

  • @MeckitilidaTushabe-or9hu
    @MeckitilidaTushabe-or9hu 4 місяці тому +1

    Yesu ninjibu dada Amin Yesu anaweza amin

  • @user-po5pt3sp6c
    @user-po5pt3sp6c 3 місяці тому

    Pole Sana....Mimi Naheshimu Sana Wagumba....Mungu Mkubwa Atakupa Kitu Kizuri Kuliko Mtoto

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 4 місяці тому +2

    Pole sana dadangu mungu ana kusudio lake kutokupa mtt 😢😢😢

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955 4 місяці тому +5

    Hakuna kitu kinaumiza kama kukosa mtoto aiseee mwanamke yoyote analijua hilo

  • @mwanas2
    @mwanas2 4 місяці тому

    pole sana mama mtihan hutoka kwa Mungu tafuta mwana wakumlea tu japo upate faraja.Mimi nna watoto watano nachekwa kila siku na walimwengu ilifika mahali nikaona bahati ni laana.ila nikikaa nikaangalia watu wanavyoteseka kupata watoto basi sina budi kukaa nakushukuru Mungu kwa uzazi nilioupata.

  • @mamamwajei8789
    @mamamwajei8789 4 місяці тому +2

    YESU ni jibu la mambo yote....muite tu ktk roho na kweli naye atakuitika atakuonyesha mambo makubwa na magumu usiyoyajua

  • @FelisterKisendi-yb7uj
    @FelisterKisendi-yb7uj 4 місяці тому +2

    Yupo Mungu mpaji mama,mwamini yeye tutapata muujiza wako

  • @agnessjohn1222
    @agnessjohn1222 3 місяці тому

    Mungu afungue tumbo lako afute machozi yako akufanyie kicheko kama alivyomfanyia ana

  • @veronicangwale7159
    @veronicangwale7159 4 місяці тому +2

    Mungu yupoooo

  • @user-ug9nl8lo1o
    @user-ug9nl8lo1o 4 місяці тому +2

    Husiwaze sana kikubwa umuombe mungu

  • @RashidAbbas-zy6xx
    @RashidAbbas-zy6xx 4 місяці тому +1

    Aisee stori nimeipenda

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 4 місяці тому

    Pole sana Mungu akutetee.

  • @user-xh7xf2ki3r
    @user-xh7xf2ki3r 4 місяці тому

    Pole sana mama Allah ni mwema atakupa mtoto

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 місяці тому +4

    Mamangu badili ya kuiba mtoto unaweza kuomba kihalali

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 4 місяці тому +2

    La,! Pole sana Dada yetu

  • @rajabubakari5881
    @rajabubakari5881 3 місяці тому

    Pole mama

  • @user-rb7qo3di6q
    @user-rb7qo3di6q 4 місяці тому

    Mm nakupa pole mama Nakuunga mkono na Mungu alikulinda kwani hukua na dhamira mbaya juu

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 4 місяці тому +4

    Kwani isingewezekana ukapandishiwa mbegu ukazaa maana nasikia watu wanafanya hayo 😢😢😢😢

    • @Njeriii536
      @Njeriii536 4 місяці тому +2

      Mmh pesa nyingi mno ndio maana wengi hawawez kumudu garama

  • @pascalhabonimana813
    @pascalhabonimana813 4 місяці тому

    Pole sana

  • @user-hw3nv4ld2u
    @user-hw3nv4ld2u 4 місяці тому +1

    Mungu akutie nguvu Mimi nilikaa miaka saba nakuelewa ila wewe ni supa umani

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n 4 місяці тому +4

    Mungu hajakuonea mama hawana heri naww watoto

  • @user-gs7tf2lz4b
    @user-gs7tf2lz4b 4 місяці тому

    Ombirangu kirasiku mungu awa peuzao

  • @maimunamsakamali9152
    @maimunamsakamali9152 4 місяці тому +4

    Nakuelewa sana dada angu me nimepitia hiyo hali nilikaa ktk ndoa miaka 16 bila mtoto hadi nikamruhusu mume wangu aoe na tukapata mtoto Kwa bi mdogo lakinu Mungu mkubwa sana mwaka wa pili na Mimi nikapata katoto. Ka kike

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 4 місяці тому +13

    Tafuta pesa utaishi maisha mazuri tu na utasau hayo yote Kuna watu wameezaa watoto kumi kumi na Bado wanatabika kwenye ndoa zao, na Kuna watu wameezaa na wanaume za watu na hizo mali pia hawazipati, na uzuri wewe ulikuwa mke wa ndoa haki Yako ungeipata tu, ushauli wangu pambana tutafute pesa hakuna kaburi la MGUMBA Dunia hii makabri yote ni sawa

  • @user-co1tx2cz1r
    @user-co1tx2cz1r 4 місяці тому

    Dada nakupongeza

  • @vickgrace4487
    @vickgrace4487 3 місяці тому

    Mungu yupo wewe UTAZAA saiz watu wana miaka 53 na Wana zaa.... Dada NENDA kwa watu wa Mungu..

  • @lynnpaul8634
    @lynnpaul8634 4 місяці тому

    Mungu anaweza amini siku yako ipo,na usiijiite mgumba mamayangu

  • @shekhainahgloryraphael2419
    @shekhainahgloryraphael2419 4 місяці тому +1

    Pole sana dear, mimi nilifanya adoption, nilichukua mtoto wa mwaka mmoja, kwa sasa ana miaka 7, najisikia kufarijika sana kuitwa mama, nakushauri fanya hivyo na na wewe.

  • @user-ug9nl8lo1o
    @user-ug9nl8lo1o 4 місяці тому +1

    Mungu atakujaalia utapata mtoto, nakushauli uje Dar, hapa Dar, lipo kanisa maeneo ya Kigogo Polisi post, yupo mchungaji anaitwa Malache Joseph, mungu atakusaidia

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat 4 місяці тому +3

      Kwani binadamu ndo anatoa watoto Mungu

    • @OmanOman-dd5qk
      @OmanOman-dd5qk 4 місяці тому

      Nashabgaa auanauza watoto huyo​@@Zainab_salat

    • @ednaJF1028
      @ednaJF1028 4 місяці тому

      Amen 🙏🏻
      Kweli Mungu halali ipo siku Mungu atamjaria siku moja

  • @user-gs7tf2lz4b
    @user-gs7tf2lz4b 4 місяці тому

    Muguakijibu mama

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 4 місяці тому

    Mpaka😢Pole Mungu ndo mjua yote

  •  4 місяці тому +1

    Wachafu midia

  • @user-mi7cd8ch1b
    @user-mi7cd8ch1b 4 місяці тому

    Hakuna kitu kizuri kama kuitwa mama hata mtto asikufae lkn umezaha pesa sio kitu cha samani kama mtto ukipata ndio unasema wakazigan lkn kama haujapata unatamani Allah kareem

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 4 місяці тому +2

    Naomba kukutanishwa na uyo mam mm pia ni muhanga😢

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 4 місяці тому +2

      Pole inauma

    • @user-nj7yx5yy4n
      @user-nj7yx5yy4n 4 місяці тому +1

      Nipe no ya simu nitakuelekeza utatue changamoto Kama hutojali

  • @jamilagadaf7196
    @jamilagadaf7196 4 місяці тому

    Pole sana mama

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 4 місяці тому

    Pole dada yote hiyo kheir watt wa siku hizi mtihani mtupu

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 4 місяці тому

    Mim najua unavyohisi 😢mungu tusaidie

  • @evaemil856
    @evaemil856 4 місяці тому

    Roho hiyo ya kutaka kuiba, Mungu aiondoe na kukisafisha. Ebu fikiria huyo uliyetaka kumuibia mtoto kama ungefanikisha ukakuta mwenyewe pia amepitia mateso makubwa kama wewe je ungejisikiaje?

  • @vickyshayo7880
    @vickyshayo7880 4 місяці тому

    Watoto ni mpango wa Mungu wanawake ndio wanaonyooshewa tu kidole ila pia wansume nao wanayo matatizo ya uzazi

  • @user-ml5tq8hj2x
    @user-ml5tq8hj2x 4 місяці тому +2

    Kuiba mtoto sio sababu maana vituo vya yatima vipounaenda unapewa shughuli ipo kwenye utu wa mumtunza huyo mtoto kama wako

  • @gaudencekangipe7910
    @gaudencekangipe7910 4 місяці тому

    Mtimbira kwetu jamani

  • @mohamedsaide3405
    @mohamedsaide3405 4 місяці тому

    Mm Nina miaka 16 mwaka Leo mke wangu ninae lakini Mimi nina mtoto mmoja.

  • @elizaberthlyimo8286
    @elizaberthlyimo8286 4 місяці тому

    Sisi ambao hatuna watoto tunanyanyasika sanaaa

    • @user-mq4qc2jw4v
      @user-mq4qc2jw4v 4 місяці тому

      😢😢pole ndugu yangu Mungu yupo usikate tamaa

  • @user-eo4hd8xu6d
    @user-eo4hd8xu6d 4 місяці тому

    😂😂😂2095

  • @DoreenVictor-qi9ld
    @DoreenVictor-qi9ld 4 місяці тому

    Ila mm ninaimani kwa sasa utapata maana mbinu ninyingi kwa sasa

  • @rehemamgata224
    @rehemamgata224 4 місяці тому

    Mi ninaamin hakuna mgumba dawa zipo

  • @ireneshikuku
    @ireneshikuku 4 місяці тому +1

    Hakuna ukumba unayo nitafute

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 4 місяці тому

    Unaiba mtoto kunusuru ndoa? Kuiba mtoto ni dhambi kama unaiba Kwa Nini isiwe unaiba Kwa roho yako inapenda kuwa Mama

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 4 місяці тому

      Na je hajui madhara Kwa anae muibia yeye hamtaki mwanae kwani

  • @user-eu3xx5kn1w
    @user-eu3xx5kn1w 4 місяці тому

    2095amepigaje hapo

    • @lynnpaul8634
      @lynnpaul8634 4 місяці тому

      Jamani watu wapo makini balaaa😅

  • @mwashumkigoda
    @mwashumkigoda 4 місяці тому

    M

  • @ednaJF1028
    @ednaJF1028 4 місяці тому +1

    Kwahiyo wewe Dada Doctor wanasema tatizo lako nini?
    Labda ungejaribu nje ya Tanzania

    • @swaumuabdallah6886
      @swaumuabdallah6886 4 місяці тому

      Km hana pesa ya kwenda nje utamlipia ghalama

    • @ednaJF1028
      @ednaJF1028 4 місяці тому

      @swaumuabdallah6886 Hilo sio jibu.
      Mimi nimetoa wazo. Na kwenda nje sio watu wote walioenda nje walikua na pesa. Kama hivyo yeye anavyo Sema ameazisha tahasisi pia Kuna tahasisi ambazo husaidia anaweza changing pesa ili akafanyiwe vipimo nje yote hiyo ni kutafuta uvumbuzi .and for me saying that was just a suggestion.

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 4 місяці тому

    Mgumba huna kizazi