DIAMOND APIGA SIMU LIVE KUWAPATANISHA SAMOFI NA MKOJANI / AWAITA OFISINI KUZUNGUMZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 бер 2023
  • DIAMOND APIGA SIMU LIVE KUWAPATANISHA SAMOFI NA MKOJANI / AWAITA OFISINI KUZUNGUMZA
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 1,2 тис.

  • @nicksonchesco233
    @nicksonchesco233 Рік тому +125

    Diamond Platnumz mungu amuweke sana, najifunza vitu vingi kutoka kwake watu kama Diamond wapo wachache sana Dunia

    • @MtuSafi
      @MtuSafi Рік тому +5

      Hii mipango mzee hao tamthilia yao itakuwa inaruka hapo daah hata hujajiongeza hata story zao.

    • @kennethbenjamin275
      @kennethbenjamin275 Рік тому +2

      Ndy mmbo mnayopenda nyie

    • @mahmoudkhamis8638
      @mahmoudkhamis8638 Рік тому +6

      Mbona ye hajapatana na ali kiba,harmonize,ruge mpaka kafa hiyoo ni kiki tuuu

    • @saidimafu9524
      @saidimafu9524 Рік тому +4

      @@mahmoudkhamis8638 sasa ruge sindio alikataa kushilikiana na diamond mambo yakipesa alitaka harmonize akapafom bule ikunachabule mondi asinge mpinga ruge leo hii asingeweza kuwa mkulugenzi wa wcb nayeye kuwa na brand ya media

    • @issazalala4907
      @issazalala4907 Рік тому +3

      Nickson amka Kaka hakuna bifu hapo Ni Kiki ya umbambamba SASAivi inalushwa wasafi 😂

  • @MichaeliSimwinga-xw1lj
    @MichaeliSimwinga-xw1lj Рік тому +28

    I'm proud of u brother kwa iki ulichokifanya Leo diamond umenifanya nijifunze kitu kikubwa sana kutoka kwako hakika hekima ya mungu inakulinda

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb Рік тому +22

    Samofi tulia bhana una fujo kwann mnagombana sisi tunawapenda sana mkojani samofi kwann mnagombana❤❤❤alhamdulillah mmepata alhamdulillah tunataka umbamba undeleee

  • @deejaymatiangi5063
    @deejaymatiangi5063 Рік тому +23

    Namshukuru sana #diamond kwakua na roho ya utu kuwapatanisha ndugu zetu lazima #umbambamba uendeleeee

  • @adoniusalfred4997
    @adoniusalfred4997 Рік тому +20

    Daaah kweli ata mm combination ya mkojan na samofi niliielewa asante diamond kwa kuwaweka sawa na kumaliza tofauti zao wapige kazi pamoja.......utabaki kuwa juu mawinguni chibu dangote

  • @FakihiNapunda
    @FakihiNapunda Рік тому +42

    Hope kipindi kitakuwa kizuri sana! Kongole wasafi 🙌🙌

  • @bakarimohammed2796
    @bakarimohammed2796 Рік тому +20

    Maashaallah, kusafiana NIA ni vizuri sana..Allah akuzidishieni Upendo....

  • @ireneshao7950
    @ireneshao7950 Рік тому +22

    Diamond Mungu akubariki sana

  • @hamisissa1115
    @hamisissa1115 Рік тому +39

    Daaa wasafi mungu awabariki kwa hili

  • @joanesasalavaleriano9980
    @joanesasalavaleriano9980 Рік тому +56

    Nimependa sana Wasafi NDIO Baba🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇲🇿🇲🇿

  • @mussamtupa
    @mussamtupa Рік тому +26

    Diamondi ndio maana unafanikiwa unamoyo wa ubinadam sana Mungu azidi kuku Linda

  • @ericsangasa9872
    @ericsangasa9872 Рік тому +82

    Napenda kukushukuru sana mdogo wetu Diamond kwa busara zako kulichukia hilo jambo la hawa ndg zetu na kulifanyia kazi naamini kwa kudra za mwenyezi mungu limekwisha salama .....amen

    • @saidimbano
      @saidimbano Рік тому +8

      Unasikia diamond kapiga simu unajichekesha chekesha🤣🤣🤣

    • @adikwelatv4694
      @adikwelatv4694 Рік тому +4

      Respect platnum brother, nakubali sana kwa hilo pia umejiongezea nyota kwa ss mashabiki zakoo, 💪💪💪#simbaaa_

    • @alhimnamussasaid3619
      @alhimnamussasaid3619 Рік тому +1

      Hakuna chochote hiyo ni mipango ya mda mrefu

    • @dullodullodullo686
      @dullodullodullo686 Рік тому +1

      Kiki ii ndugu so kweli walikuwa na kitu chao cha kurusha wasafi TV umbamba ipo uko

    • @anicethpeter3100
      @anicethpeter3100 Рік тому +2

      ​@@adikwelatv4694 ĺĺllĺĺĺlllllllĺ

  • @happystephano2307
    @happystephano2307 Рік тому +97

    NIMEIPENDA❤Interview ya kwanza kuipenda hapa. DIDA UMEUPIGA MWINGI. ipo kwenye records ever😘😘😘😘😘

  • @johpadimbe2469
    @johpadimbe2469 Рік тому +20

    Diamond ni Atari sana aiseee kkkk Mungu akulinde Simbaaa

  • @silasila3111
    @silasila3111 Рік тому +20

    Kwa kweli nime furahi Sanaa kwauchari wa Simba 🦁🦁 mwenye mungu aku bariki

  • @davidcurtis175
    @davidcurtis175 Рік тому +31

    Hii interview ina baraka sana na Mungu atawazidishia wapatanishi hasa ukizingatia huu ni mwezi mtukufu mwezi wa toba mwezi wa amani na upendo, Nasibu Mungu akuzidishie na akulinde na kila baya tunahitaji watu wa aina yako ili kuongezeza chachu ya mafanikio kwengine maana wakifanikiwa wao nyuma yao kuna watu watafaidika pia.

    • @MuhaMayele
      @MuhaMayele Рік тому

      ua-cam.com/video/u5l7APQuEWU/v-deo.html

  • @hamisishirikisho2199
    @hamisishirikisho2199 Рік тому +38

    Wallah katika hili Diamond nimekukubali kaka.Mwenyezi Mungu akuweke na akuzidishie palipopungua.ww ni mfano wa kuigwa. Wanaokuharibia ni hao machawa kama H.baba na wenzake tu. In fact ww ni mtu ambae you real deserve to be exceptional. Allah akubariki kaka Nasibu.

    • @chizashungu1236
      @chizashungu1236 Рік тому +3

      DIAMOND PLATNUMZ NI BINADAMU,ANAWASAIDIA VIJANA WENGI SANA.MWENYEZI MUNGU AMLINDE.

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 Рік тому +5

      Ameen🤲

    • @donlinechanell4760
      @donlinechanell4760 Рік тому +3

      Hili sio la kwanza diamond bana anajitahidi

    • @mwanatalenttv
      @mwanatalenttv Рік тому +2

      @@aaa64sa13 😃🔥💰

    • @drickferaman3453
      @drickferaman3453 Рік тому +1

      Daaaah acha tu man ... Mwenyewe nimemkubali kinomaaa yani

  • @Laka_009
    @Laka_009 Рік тому +21

    Dah diamond apewe heshima take kwani ni msanii na piah ni mpatanishi ... Mungu ampe baraka tele

  • @samueledward109
    @samueledward109 Рік тому +22

    Big up platinumz naipenda sana hii inaonyesha dhahiri kwamba unapenda amani,amani ya Allah iwe nawe bro ajantar from mombasa kenya.#one love

  • @Sunshine0222
    @Sunshine0222 Рік тому +37

    Diamond MUNGU akuweke jmn 🙏🇹🇿

  • @rewardnjau7220
    @rewardnjau7220 Рік тому +45

    hii chemistry ni hatareee, yaan mkigombana mnachekesha mkipatana mnachekesha🔥🔥🔥🔥

  • @lilianmrope1598
    @lilianmrope1598 Рік тому +24

    Diamond abarikiwe sanaa

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 Рік тому +24

    Hii safi sana ndio mambo ya kiume..mwenyezi mungu atawabariki sana

  • @MOTHERFLOWERS385
    @MOTHERFLOWERS385 Рік тому +34

    Hawa jamaa ni maentertainer mashalah ❤❤❤🥰🥰🥰

  • @hamadlallana4888
    @hamadlallana4888 Рік тому +196

    Kama comedy 🎉🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 naomba like kwa mkojani gang

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 Рік тому +15

    Diamond 💎 abarikiwe alihmdullah kwakumaliza uo ugovi wawo 😢😢🎉🎉

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 Рік тому +7

    Hongera sana Diamond Platnumz big up pia Mkojani

  • @muntueric-oy1ty
    @muntueric-oy1ty Рік тому +23

    Peace Makers will see GOD....Diamond Platnumz will see GOD 🙏

  • @Sulesalim111
    @Sulesalim111 Рік тому +76

    Huyu ni Simba kweli kijana mwenye roho safi mpenda amani na maendeleo that's why unafocus na life. Big up my brother Diamond kwa kupatanisha mkojani na samofa sisi ukuaga mashabiki wao sana so tunafrahia tukiwaona pamoja

    • @nassjr6566
      @nassjr6566 Рік тому +4

      Apnd aonekane tu han llte

    • @josephmugala1970
      @josephmugala1970 Рік тому

      Siyo Simba ,saizi Anaitwa
      Utopolo manala. Tunamshuklu sn kwapatanosha Hawa vijana.

    • @hansmshana6514
      @hansmshana6514 Рік тому

      Y

    • @felista5107
      @felista5107 Рік тому +1

      Ameshindwa kupatana na bake mzazi anapataje ujasili wa kupatanisha watu

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 Рік тому

      @@felista5107 Ww ndo mama yake mzazi 😂

  • @jumachilumba6258
    @jumachilumba6258 Рік тому +26

    Diamondi kakaangu nakukubali sana uko juu hakuna kama wewe

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 Рік тому +6

    Mashaallah ❤️ kaka Diamond platnumz Simba Allah akulinde nakila baya Amiin🤲

  • @ilhammohammed4192
    @ilhammohammed4192 Рік тому +18

    Diamond anaakil sana yaan ni mdogo sana na anapenda Amani pia namkubali sn MUNGU amubarik sana

  • @issabaraka2404
    @issabaraka2404 Рік тому +40

    Diamond platnumz kweli huyu jamaa ni mwamba❤❤❤❤❤

    • @MtuSafi
      @MtuSafi Рік тому +3

      Hiyo mipango tu, wanatamthilia yao inataka kuruka hapo wasaf tv

    • @tumainkapongo5576
      @tumainkapongo5576 Рік тому +1

      Kwem masilahi ndo wanakuwa marafiki,🤣🤣

  • @com5766
    @com5766 Рік тому +76

    Diamond naomba umsaidiee na zimwii muigizaji wa comedy
    Anaumwa moyo 🙏🙏🙏

  • @esabelfadhili8432
    @esabelfadhili8432 Рік тому +6

    😍😍Hakuna kipind cha Dida kilichonipendeza kama hiki.GOD BLESS YOU WASAFI

  • @elizabethforodhani2330
    @elizabethforodhani2330 Рік тому +13

    Ninyi wasafi mngeacha tuone comedy live 😃😃😃

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Рік тому +18

    Mashallah mondi munqu akujaze

  • @EricaEdward-zu1vm
    @EricaEdward-zu1vm Рік тому +5

    Wallah nimependa Diamond M.MUNGU akubariki sana 🙏

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Рік тому +6

    Mashallah mondi ww si msanii tu pia ni mpatanishi hongra sana mungu azidi kukuongoza🙏

  • @Nikita_8017
    @Nikita_8017 Рік тому +9

    Mwezi mtukufu huu, Diamond is very peaceful guy

  • @Mku-wa-waku1
    @Mku-wa-waku1 Рік тому +10

    😊😊😊😊😊Samofi chizi kweli.

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 Рік тому +28

    Nampenda sana samofi jamani mungu akuweke sana 😂😂😂😂😂

  • @NurdiniHittu-sh6rm
    @NurdiniHittu-sh6rm Рік тому +4

    Umesikia diamond kapiga simu unajichekesha chekesha #Mkojan wee huishwi vitukoo hah hah hah hah hah hah hah keep it up All of your #naseb,samofi and mkojan and hi ndo maana ya maturity sharaap kwako big chibuu

  • @gmavoice1893
    @gmavoice1893 Рік тому +4

    The boss Diamond Platnumz Dangote simbaa we love brw. God bless U . Kaka..

  • @hadjrahkhalfan3584
    @hadjrahkhalfan3584 Рік тому +31

    Mkojanni kumbe msaarabu kiuhalisia kbs ila samofi ni mkorofi sna kusingekua watu hapo angevunja office yoote ya Wasafi
    Apo najua diamond atamalizan nao kwa kuwapa pesa hazoo za gari na kelele kwisha
    Mungu akulipe mondi wetu na akuzidishie riski kbsaaa🙏🙏🙏
    Na mm nikigombana na best yng kesho tunakuja hapo hapo kwa Didaa😅😅😅😅😅😅😅

  • @YamunguYb
    @YamunguYb Рік тому +30

    Nimependa hapo kwenye Kupeana mikono Da Mnatutesa Shabiki wenu Aisee

  • @hawankya-rd7we
    @hawankya-rd7we Рік тому +25

    The hug❤❤❤ God blesd you all

  • @luckkaserekadancer6832
    @luckkaserekadancer6832 Рік тому +5

    Diamond plutnumz congo tunaku fata vizuri kwa upendo wako tanzania🇨🇩🇨🇩🇨🇩💥💥💥mnipe like tuende kazii🥰🤣🤣🤣🤣

  • @abubakarali-wahid2876
    @abubakarali-wahid2876 Рік тому +17

    Nice one Simba 👍

  • @J4UPro
    @J4UPro Рік тому +16

    Mwamba Diamond namkubari sana

  • @fahadmussa8879
    @fahadmussa8879 Рік тому +5

    Daimondi unajua kucheza naakili zetu nakukubari sana kaka uta shika sana vichwa vyawa2 miaka mingi kwako uspite bx bila kuweka like kwa Daimond

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 Рік тому +14

    Nimeipenda hawa jamaaa

  • @latifsahib7110
    @latifsahib7110 Рік тому +8

    Well acted.
    Well acted......

  • @abrashizorashid117
    @abrashizorashid117 Рік тому +15

    Amazing show

  • @happykimodoi1528
    @happykimodoi1528 Рік тому +4

    diamond mungu akupe maisha marefu

  • @divaimafuru6844
    @divaimafuru6844 Рік тому

    Wasafi sio media nzuri mnaharibu

  • @emanuelathanas6613
    @emanuelathanas6613 Рік тому +22

    Hawa watakua na kazi inakuja hii ni janja janja watakua na project na diamond mwenyewe 😂😂😂😂 ngastuka. Kiki kiki kiki kiki kiki.

  • @IrenMushi
    @IrenMushi 5 місяців тому +1

    nakuombea sana mungu simba wetu ❤uendelee kuishi🎉🎉🎉 mungu akubarik

  • @johnmunyoro4428
    @johnmunyoro4428 Рік тому +2

    Mimi ni mkenya tazania nimeushi miaka kumi mikoa yote. Nachokipendea watazania ni watu roho safi na hawahifathi hasira na chuki moyoni mwao.tofauti na sisi wakenya na ichi kumi na tano nimeishi. Kwa Kwa kweli watazania ni mfano wa kuigwa.

  • @ifabeach3281
    @ifabeach3281 Рік тому +6

    Yaani kama naangalia umbambatu, safi, safi Sanaa.

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 Рік тому +5

    Mkojani Namkubali Sana....kwenye kazi zake...siku zote kwenye Riziki Panachangamoto zake....Mkojani Allah Atakulipa In sha Allah....malipo ni hapa hapa Duniani.

  • @habakukiephes-ld8rd
    @habakukiephes-ld8rd Рік тому +32

    Proud of you brother Mkojani

    • @timetravellor5367
      @timetravellor5367 Рік тому

      Mkojani Yuko sawa ila uyo Samofi kama demu anapanik kijinga tu

    • @maryjonh311
      @maryjonh311 Рік тому

      😁😁😁mmbuyu tena jamani.pat to jamani

  • @ismailsundaylumulaabwalalu357
    @ismailsundaylumulaabwalalu357 Рік тому +20

    Kama ni comedy naomba like na kama ni real diamond big up umecheza brooh

  • @juliethkavishe1586
    @juliethkavishe1586 Рік тому +16

    Nimependa sana🙏🙏

  • @user-ot2io4cy6w
    @user-ot2io4cy6w Рік тому +9

    Daaah...!!! Kiukweli nimefurahi sana hawa watu kupatana kwa mara nyingine tena ila PESA NDIO KILA KITU.

  • @shakilsillah7497
    @shakilsillah7497 Рік тому +79

    Look at those faces in the studio ,see how they have humbled like little kindergarten students ,funny to see how Tanzanians acknowledging Diamond like their tribal chief😂😂😂😂

    • @malianonicass7029
      @malianonicass7029 Рік тому

      Utakoma

    • @aminata3702
      @aminata3702 Рік тому

      Lmao only WCB workers and stupid fans ,Not TANZANIANS he is just a famous artist like others

    • @exclusive4528
      @exclusive4528 Рік тому +1

      its their boss who pays their wages elewa hilo ww kilandage

    • @ms_teeonly
      @ms_teeonly Рік тому

      You made my day 😂😂😂😂😂

    • @bongelabwana1940
      @bongelabwana1940 Рік тому +1

      Lack of education 🤭🤭

  • @fauziayassin7987
    @fauziayassin7987 Рік тому +5

    Mashallah diamond kajiokotea dhawabu

  • @omarsalmin8405
    @omarsalmin8405 Рік тому +32

    😂😂😂yan awa mambo yao ndo yale yale kama wanaigiza

  • @allymohamed3588
    @allymohamed3588 Рік тому +19

    Ni watu wå chache wenye moyo hiyo Allah akuwek diamond platinum na utabaki kuwa Simba m1 TANZANIA 🙏🙏

    • @felista5107
      @felista5107 Рік тому +1

      Ama mnapaka mafuta kwamgongo wa chipa na uyu mond wako

  • @drickferaman3453
    @drickferaman3453 Рік тому +5

    Ila mondi una busara sana brooo. Nakukubali sana mnyama

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 Рік тому +3

    Diamond ubarkiwe na Mungu akuongoe umefanya jambo best kabisa

  • @MichelBingiclinton
    @MichelBingiclinton Рік тому +3

    Muacheni uvugu vugu ku chaîne yetu munajuwa mimi ni fan wa wasafi kutoka Kinshasa Congo , mupatane kwa kimia

  • @kaditokenya6873
    @kaditokenya6873 Рік тому +6

    NAKUBALI WANETU KISA TU GAME LETU LIAMKE WAZIII MORE LOVE ❤

  • @samuelsimonikulapassanha-hz9pm

    Mie nawapenda sanaaa

  • @petermwinje6997
    @petermwinje6997 Рік тому +5

    Hii movie kwa kweli,eti ile kazi umemaliza unataka gari

  • @kibovunjabei984
    @kibovunjabei984 Рік тому +8

    Semaa samofii kwenyee hii interview amekuwaa Hana usitarabuu

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 Рік тому +20

    kumbe kweli ulikuwa humpi mshahara

  • @samwelkitalula698
    @samwelkitalula698 Рік тому +3

    Moyo safi waendelee kufanya kazi pamoja

  • @saidinsenda954
    @saidinsenda954 Рік тому +5

    Nimeipenda iyo Big Up San,, nawapata nikiwa Burundi

  • @umarrashird5009
    @umarrashird5009 Рік тому +29

    Kumbe mkojani ni mtu msitarabu sanaa

  • @silvergold5855
    @silvergold5855 Рік тому +5

    Daaah inafurahisha sana bgup simba

  • @emanuelandronicus2574
    @emanuelandronicus2574 Рік тому +35

    God bless you for reconciliation of this chemistry 💪💪💪🙏🙏🙏

    • @gloryminja8426
      @gloryminja8426 Рік тому

      Safi sana nimefurahi dada dida mungu akubariki umepatanisha na diamond mungu azidi kumpa uzima

    • @gloryminja8426
      @gloryminja8426 Рік тому

      Me natamani kufika wasafi ninajambo langu nifanyejee

  • @user-jc8el6je5e
    @user-jc8el6je5e Рік тому +21

    Nmecheka Sana .et ili jinga uku wanakumbatiana Safi Sana .

  • @kidundaisechonge7376
    @kidundaisechonge7376 Рік тому +3

    Nakbalii Daimond ni mtu wawatu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @erickdioniz8277
    @erickdioniz8277 Рік тому +4

    Wameigiza vizuri sana aiseee

  • @patrickmakandi8347
    @patrickmakandi8347 Рік тому +9

    nimejiskia raha sana leo bigi huwa ana maono sana

  • @emmymshomi8893
    @emmymshomi8893 Рік тому +22

    nimecheka sana kuona hii nakumbuka kuna episode moja ya ugaigai mkojan anaenda kumrudisha samofi kutoka tanga ili ugaigai uendelee😂😂😂😂

  • @ladybmsbarrow8701
    @ladybmsbarrow8701 Рік тому +5

    Wasafi media I like your Channel is very interesting ♥️♥️♥️♥️♥️ please can you put subtitles on in English or Arabic 🙏🙏🙏🙏 And I like all Tanzanians networks can you please put some subtitles I love you all❤❤❤❤ very Beautiful country

  • @arushalivetv4021
    @arushalivetv4021 Рік тому +3

    usanii wa wasanii ndani ya Jumba la sanaa

  • @kingxtar164
    @kingxtar164 9 місяців тому

    Finally, though nmechelewa saaana kucoment ila nmepitia comment kalibia zote na nmeona jinx mashabk tulivokubaliana na Kaz nzito hii ya WASAFI media under SIMBA him self
    Asee niseme 2 sna Cha kuongeze maan vyote vmesemwaa Hakka mnathawa yenu kwa mwenyez MUNGU

  • @ShokiRamadhani-qq3ds
    @ShokiRamadhani-qq3ds Рік тому +14

    Hawa watu ni comedy tosha hawatakiwi kuachana yani hii interview nimecheka sana,Mungu awasimamie

  • @kenusmasingo4651
    @kenusmasingo4651 Рік тому +5

    Hongera kwa Simba ila, Samofi punguza hasira za kitoto

  • @davisdaud
    @davisdaud Рік тому +10

    Namkubal sana diamond kama nguli wa mziki tanzania na ndo msanii namba moja tanzania ila ukwel ni kwamba tupo kazini

  • @ashaathumani3983
    @ashaathumani3983 Рік тому +1

    Bora wapatanishwe,ughomvi hauna maana ktk maisha haya, hao ni mastaa, tunategeme kuiga mazur kutoka kwao,,,dida mwanang nakupenda sana uko makin n kazi yako, nakuombea uzid kuupiga mwingi,,naitwa mrs kunzugal wa mtwara

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 Рік тому +1

    Umbambamba inacheza Live wasafi

  • @fauziayassin7987
    @fauziayassin7987 Рік тому +4

    Mkojan ameaibika kwa kwel!! Hope ataacha hzo tabia

  • @amosethantheking8815
    @amosethantheking8815 Рік тому +4

    Wameigiza vizuri sana.

  • @wyrehhcomics6983
    @wyrehhcomics6983 Рік тому +30

    Team samofi gonga like

  • @tariqmaduga8051
    @tariqmaduga8051 Рік тому +16

    😂😂😂😂😂 Hawa ni real comedian 😊

  • @vicentmillanzi7552
    @vicentmillanzi7552 Рік тому +3

    Nakubali platnumz... Hujawah kuharibu👏👏