SAKATA LA WAZIRI KUVUNJA NYUMBA LAMUIBUA RC CHALAMILA/JESHI LA POLISI LATAJWA/MATAPELI WATAJWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 бер 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 234

  • @tangamwalimu514
    @tangamwalimu514 5 місяців тому +15

    Am commenting from Mombasa Kenya.... great wise leader congratulations RC Chalamila

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 4 місяці тому +6

    Umeongea sawa Rc Leo nime kukubali.matapeli wana tapeli mamilioni ,arafu wanakimbilia kesi ya madai ,mahakammah zetu Hovyo sana.

  • @Ntambala-oy2us
    @Ntambala-oy2us 4 місяці тому +2

    Mlilo ana fanya kazi sana wananchi tuendelee kumpa ushirikiano wa kutosha.

  • @PhilipMsasa-uj6cu
    @PhilipMsasa-uj6cu 5 місяців тому +8

    ,,huyu ndo chalamila yule tunayemjua sio yule wa masiala mengi,,💪💪

  • @aaroneu07
    @aaroneu07 5 місяців тому +4

    Mheshimiwa RC unajua kujenga hoja vizuri sana sana. Keep it up, my brother.

  • @DM_15
    @DM_15 5 місяців тому +11

    Safi sana kaka hongera sana kaka Mungu akubariki. Imagine kiongozi anaongeapoint hiv halafu anao waongelesha hawahifadhi kumbukumbu kwakuandika . Naona tuu wanageuka geukatuu nikama vitoto vyashule kamanda polis tuu ndoonaona yupomakini anasikiliza haowengine wengiwao wana zungusha zungusha shingo tuu adhiif wanasikia mwangwituu hawajuinani anaongea

    • @makongorowassira6593
      @makongorowassira6593 4 місяці тому

      Umeangalia vizuri sana, na hiyo ndo kawaida ya vikao na mikutano ya serikali yetu. Hakuna anaejali kihivyooo😂😂

  • @mwassajoseph8675
    @mwassajoseph8675 4 місяці тому +2

    Mama Samia usituhamishie huyu RC ndo anaweza kufanya kazi na wanajiji hili! Congole Mr RC

  • @lindermuro8113
    @lindermuro8113 4 місяці тому +1

    Mheshimiwa Chalamila Hongera sana una maono put it into perspective

  • @jamalmwenda3278
    @jamalmwenda3278 3 місяці тому

    RC Chalamila Hongera sana. Umeongea vitu very logical. Ni jicho sahihi la Mama kwa Dar Es salaam. Unastahiki kuwepo Dar Es salaam. Hofu watekelezaji. Japo Heading ya habari hii haikuwekwa vizuri. Very Wise RC.❤❤

    • @jamalmwenda3278
      @jamalmwenda3278 3 місяці тому

      RC Chalamila Tena umeongea kwa mapemzi makubwa kwa Wana Dar Es salaam wako.🎉

  • @praygodlema5166
    @praygodlema5166 5 місяців тому +1

    Hongera sana Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mawazo na mtazamo wako vikiweza kuigwa na watendaji tutakuwa na Jiji safi lenye kuvutia
    Nimeikubali speech yako mkuu

  • @AbrahamKyejo
    @AbrahamKyejo 4 місяці тому +1

    Point zakuzidi Mungu akupe maisha marefu ya uongozi❤❤

  • @edwardpeter8569
    @edwardpeter8569 5 місяців тому +27

    RC anaongea logic halafu kichwa cha habari cha hovyo, waandishi wa form 4 failure hii ndio shida, badala ya kueleza Mhutasari wa kikao cha RCC tittle ety sakatabla waziri kuvunja nyumba poor journalism

    • @m404msigara7
      @m404msigara7 4 місяці тому +1

      Wenzio wanafnya kukushawishi wewe ili wapate viewers.. baada yakuona muhtasali.. umekimbia moja kwa moja kutaka kujua nini Kimetokea.. wenzio wanaangalia kitu kilichosambaa zaid ndani ya mwezi huu kinacho relate na habar yao

    • @gressnamika
      @gressnamika 4 місяці тому +3

      Unaweza kuwa unasema ukweli. Kuna class mate wangu alipata zero o-level hajawahi rudia mtihani wala kujiendeleza ila ni mtangazaji na mwandishi pia.

  • @jacksonndabhisiye4848
    @jacksonndabhisiye4848 5 місяців тому +2

    Mkuu umeongea mambo muhimu sana yakifanyiwa kazi kwa asilimia kubwa yataleta impact kubwa vile vile kwa jamii husika

  • @user-rh6uk4jl1k
    @user-rh6uk4jl1k 4 місяці тому +1

    Safi sana mheshimiwa 1000%

  • @alih561
    @alih561 5 місяців тому +8

    uko vizuri chukua tano kaka

  • @apostle_AngazaGN
    @apostle_AngazaGN 5 місяців тому +2

    Bro ukituliaga una mawe ya kujenga nchi kabisa, keep it up

  • @abdulpagali7476
    @abdulpagali7476 4 місяці тому

    Kweli Mwalimu hasahau kazi yake. Kanipa somo: mwanafunzi anayeigizia mwenzake ataendelea kumuigizia mwenzake hadi anapokuwa kiongozi kwa jambo fulani la kufanya na hata namna ya kulifanya. Please leaders, be pro-active, creative, innovative and effective in whatever undertakingin the areas of jurisdiction. Dar ed Salaam is the economic hub of our nation. We the citizens of Tanzania take your city as role model for our communities in the peripheries. May God bless Tabzania's good-willed leaders.

  • @Jayhood28
    @Jayhood28 5 місяців тому +2

    Asante Sana..

  • @oscarngomuo7450
    @oscarngomuo7450 4 місяці тому

    Very good speech our RC Chalamila.

  • @georgebossgg
    @georgebossgg 5 місяців тому +1

    From Nairobi I like listening to this guy.

    • @amirmahanyu740
      @amirmahanyu740 5 місяців тому

      Mkuu ameonge mambo muhimu ,sahihi na mazuri sana. Nampongeza lakini sikuzote mtu akihukumia kwa makosa yake huwa hafurahii!!! Piga kazi RC-Dar

  • @talgwuconfidential
    @talgwuconfidential 3 місяці тому

    RC yupo vizuri sana, piga kazi kaka

  • @rev.livingstoneelihuruma-fk7es
    @rev.livingstoneelihuruma-fk7es 5 місяців тому +1

    Powerful said

  • @ahmadiomari6913
    @ahmadiomari6913 5 місяців тому +2

    Waambie kabisa nakupenda mkuu wetu uko vizuri.

  • @user-ef7hs4sb7w
    @user-ef7hs4sb7w 3 місяці тому

    Jambo tv kichwa Cha habari mmezingua

  • @user-yy7zw4ks4h
    @user-yy7zw4ks4h 4 місяці тому

    hongera sana mkuu wa mkoa kwakulisemea suala la usafi katika jiji letu, ila zile sehemu zoto zilizo katazwa kufanyabiashara na hawekewa matangazo ya hairuhusiwi kufanya biashara hapa watu wamerudi kama kawaida wanaendelea na biashara kama kawaida na hakuna anaeshuhulika nao?
    Jambo lingine hebu liangalie pia hili la askari wa usalama barabarani /trafic police hawa jamaa sasa wanakoelekea ni kubaya, yaani baada ya kufanya kazi wanayo takiwa kuifanya, wao ni kujibanza vichochoroni na kuchukua rushwa , ni kero kubwa, na pia wanalipaka matope jeshi la police

  • @eliasmwakalindile8939
    @eliasmwakalindile8939 5 місяців тому +1

    Godbless one day in future contest presidential post.🌹

  • @gwaluganoa.mwakatobe3183
    @gwaluganoa.mwakatobe3183 4 місяці тому

    Press briefing bora kabisa kutoka kwa RC wa Dar

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 5 місяців тому +2

    viongzi wote watoke maofisi maana wengi wanakula mishahare ya bure ...chalamila mungu akusimamie katika kazi zako

  • @NeemaMlay-jb6zj
    @NeemaMlay-jb6zj 4 місяці тому

    Point sana

  • @mwandoimma123
    @mwandoimma123 4 місяці тому

    Good speaking and speech

  • @mathiasmuhochi435
    @mathiasmuhochi435 4 місяці тому

    Hongera Kiongozi...Umeongea points👊

  • @user-vm7cp8gx7e
    @user-vm7cp8gx7e 5 місяців тому

    well said brother

  • @denisstanslaus8839
    @denisstanslaus8839 4 місяці тому

    Dar es Salaam Ragional Commissioner has a greatest vision with this City. Let's his subordinates support him.

  • @emmanuelaaronlyatuu8208
    @emmanuelaaronlyatuu8208 5 місяців тому

    Hongera mkuu wa mkoa, hili la machinga linatesa sana ata wapita njia, Mwenge na kwingineko ikifika jioni wanapanga bidhaa kwenye njia za miguu zilizojengewa kwa paving, watembea Kwa miguu wanakosa Haki yake.
    Na ni wababe ukitembea unasukumana na hutakiwi kukanyaga bidhaa zake.

  • @phantyrhymes9536
    @phantyrhymes9536 5 місяців тому +5

    Nakuona mbali sana mheshimiwa. Hongera sana.Unamaono mazuri kwa Tz.

  • @samwelipeter8410
    @samwelipeter8410 4 місяці тому +1

    Mkuu wa mkoa dar es Salaam hongera sana unachapa kazi mwenyezi mungu akulinde

    • @reubenmajambo1270
      @reubenmajambo1270 4 місяці тому

      Siku hizi kabadilika tofauti na Miaka ya nyuma

  • @deven.oauditx7547
    @deven.oauditx7547 5 місяців тому +11

    Tatizo kwenye kuongea mko vizuri sana ila utendaji zero. Kila mtu analalamika hata wafanya maamuzi wanalalamika.

  • @user-bp2cc9eo6g
    @user-bp2cc9eo6g 4 місяці тому

    Good speech🎉🎉🎉

  • @roselinemoshi5008
    @roselinemoshi5008 4 місяці тому

    Thank you ❤

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 4 місяці тому

    Mungu wa mbinguni akulinde sana

  • @AbrahamSekuza
    @AbrahamSekuza 5 місяців тому +1

    Kumbe sasa nimekuelewa safi sana hizo ndio busara za uongozi lakini CCM watasema usiwabudhi wapiga kura wao

  • @robertsimpungwe3901
    @robertsimpungwe3901 5 місяців тому +3

    Hakika leo umezungumza point sana hasa kwa hawa matapeli wanachukua pesa za watu halafu anakuambia madai kale kasheria ka utakatishaji kalikua kiboko yao tusingewaona hawa matapeli wenye backup ya vyombo vya dola na mahakama.

  • @prosperkullaya6721
    @prosperkullaya6721 4 місяці тому +3

    Anafaa sana kuwa rais wa tz akimaliza muda wake mama yetu na mungu atubariki wote Tanzania

  • @taisonkalinga5711
    @taisonkalinga5711 5 місяців тому

    Asante kiongozi wetu@RC DSM mageuzi ya kifikra na mitizamo ni dawa kwa taifa letu. Hayo ni maono mazuri

  • @sultanhamad4924
    @sultanhamad4924 4 місяці тому

    Namuona kabisa magufuli mpya hongera sana mheshimiwa chalamila umeongea points tupu ishi katika mwenekano huu wewe nikuongozi mkubwa huko mbeleni

  • @dorismargarethmgone2658
    @dorismargarethmgone2658 5 місяців тому

    ❤❤❤Great leader 👏

  • @scolastikapeter5892
    @scolastikapeter5892 4 місяці тому

    Maelekezo na taarifa nzuri tayari VITENDO tuendelee kusubiri

  • @petercley6230
    @petercley6230 5 місяців тому

    Speech nzuri

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 5 місяців тому +4

    Nashangaa magari kupaki sehemu ya njia ya watembea kwa miguu.

    • @allymohamed2724
      @allymohamed2724 5 місяців тому

      TENA OFISINI KWAKE, AJABU DEREVA WA SERIKALI PIA HIVYO HIVYO

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 5 місяців тому +1

    Kweli maneno yako muheshimiwa.leo nilikuwa beach moja hapa dubai nikaikumbuka coco beach yetu ya tz nikajichekea moyoni.yaani ukienda pale unaishia kukalia kinyes na mikojo japo panatuliwaza kwa kias fulan. Point nyingine nilioipenda hapo hao wafanyabiashara wanao vuta pesa za watu baadae wanafungua kesi ya madai kuwasumbua wateja wametoa cash.hii ni sawa kabisa watafutwe na wakomeshwe.

  • @fidekalinga2777
    @fidekalinga2777 4 місяці тому

    Hongera sana

  • @minanikafugugu6035
    @minanikafugugu6035 5 місяців тому +1

    Huyu jamaa akiweka chini pombe na masihara ni kichwa kizuri sana, big up sana anakitu ccm hawajawahi kosea

    • @joachimedifon9919
      @joachimedifon9919 5 місяців тому

      CCM wasingekosea Makonda asingepata midudu ziarano.
      Lkn Chalamila ni kichws kina mafini.

  • @bonifacedanielmwakisunga9638
    @bonifacedanielmwakisunga9638 5 місяців тому +1

    Shida kubwa ni viongozi wengi si watendaji wanakaa ofisini si wabunifu kabisa Hilo ndio shida chalamila Sheria zipo awazifuati kutekeleza jiji lingekuwa nzuri sana

  • @mohammedsaqry3036
    @mohammedsaqry3036 4 місяці тому

    Well said ulikuwa wapi siku zote Dar es Salaam imekuwa zogo vurugu msongamano shida tupu

  • @mariambelwa1644
    @mariambelwa1644 4 місяці тому

    Hongera mnooo RC Chalamila..Daressalaam inanukaa,hakuna mpangilio, mabaa kwenye maeneo ya makazi,kelele zinazokosesha utulivu,uchafu Kila Kona..we have to take action immediately ..UTATUSAIDIA MNOO MKUU..DAR iwe Jiji la hadhi

    • @mariambelwa1644
      @mariambelwa1644 4 місяці тому

      Hakika Sasa nakuona unaenda kuchukua hatua stahiki.. UBARIKIWE SANA

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 4 місяці тому

    Kuhusu matapeli Baba kazia hapoooo.sikuhizi imekuwa kawaida mtu kufungua kampani kiharali na kuanza kutapeli watu ,akikusudia.kurudisha pesa kidogo kidogo. Safisha jiji hilo kwa chuma💪

  • @mswaki_newstz
    @mswaki_newstz 4 місяці тому

    Hongera kiongozi

  • @DNT-Ministries
    @DNT-Ministries 5 місяців тому

    Respect!

  • @user-mortone
    @user-mortone 4 місяці тому

    Great

  • @user-dk5kk4rf3v
    @user-dk5kk4rf3v 5 місяців тому +8

    Waziri anavunja gorofa... sio akili hiyo...

  • @alhajikangalawe6178
    @alhajikangalawe6178 4 місяці тому

    Nimeona points nyingi sana... Na huu ndo uongozi

  • @ramadhanlesso3455
    @ramadhanlesso3455 4 місяці тому

    Hongera sana Muheshimiwa kwa kazi nzuri. Ushauri wangu muingie mpaka ofisi za ardhi kuwasaka maofisa wanaosaidia matapeli.

  • @anthonymgina3893
    @anthonymgina3893 5 місяців тому +5

    A Great RC ever, hongera Mh Chalamila.

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 5 місяців тому +1

    Chalamila oyeee safi sana mkuu wetu

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 5 місяців тому +1

    honger kiongzi uko vizuri

    • @mwalagokache375
      @mwalagokache375 4 місяці тому

      Namuelewa sana huyu ndugu madini anayoyatoa ni great yachukulowe kizalendo
      Simuoni kuongea kichawa huyu anasimama kizalendo popote awapo kana kwamba ni home hivi ndivyo tunataka kuisogeza Tanzania naipenda Tanzania Kwa moyo wangu wote Mwenyezi Mungu amuhifadhi kaka yetu kiongozi mahiri jicho la ubadhilifu na asadi limuhepuke

  • @samwelidomayo6195
    @samwelidomayo6195 4 місяці тому

    Minakukubali sana mngepatikana kama 6 tz ungenyooka mahakamani shida had police mungu2 akupeujasiri usifike huko

  • @peternyambui7492
    @peternyambui7492 5 місяців тому +2

    Safi sana ndg. Chalamila!

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 5 місяців тому

    Press button economy ni nzuri sana

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 5 місяців тому +8

    Kwanini mnasema mazuri lkn matendo hayazingatii haki ,kila 1 anaona anahaki yakufanya atakalo ,mbona marehem aliweza kw mda mfupi?

  • @othannmpoli9896
    @othannmpoli9896 4 місяці тому

    Uncle your very good my God bless your good targets!!

  • @franknzowa22
    @franknzowa22 5 місяців тому

    Safi sana mkuu

  • @jack2010ization
    @jack2010ization 5 місяців тому +3

    Kiongozi nimependa maelezo na maono yako hongera sana naongeza jambo hapa kuhusu njia zawapita kwa mguu sehemu zenye watu wengi kama vituo vya mabasi wenye pikipiki wanaziba njia bila kujali wapita kwa miguu

    • @wadhhasuleiman2621
      @wadhhasuleiman2621 5 місяців тому

      Kuongea na kutenda tofaut Wana mipango mizur lkn utekelezaji 0

    • @barakamanga5502
      @barakamanga5502 5 місяців тому

      Na ukisema wakupishe wanagoma au Wana kutukana ,

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 5 місяців тому +2

    Aliyetaka kuwekeza si alikuwa manji kama nakumbuka . Alikuwa na michoro ya coco beach

  • @mushiwamaua5089
    @mushiwamaua5089 4 місяці тому

    Nakubaliana kabisa na hotuba yako Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 5 місяців тому +1

    Kkoo acha kabisa

  • @livingstonempuso4200
    @livingstonempuso4200 5 місяців тому +1

    Leo braza
    Upewe maua yako 🌹🌹🌹

  • @user-wm4sf8ke8e
    @user-wm4sf8ke8e 4 місяці тому

    Amina jembe letu

  • @ruwaidamabrouk1797
    @ruwaidamabrouk1797 5 місяців тому

    Mh mkuu wa mkoa Unaongea logic sana kuna wasenge hawatakuelewa respect sana kwako mkuuu

  • @johnmgalla7377
    @johnmgalla7377 5 місяців тому

    Safi

  • @mauzo_production
    @mauzo_production 5 місяців тому

    Respect

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 5 місяців тому +1

    Subiri hao walioitwa wameua wamepora utawaona uraiani muda si mrefu maana polisi kumpa mtu kesi ni swala la kwaida ndiyi maana huwa hawafungwi kwa sababu frem kesi za polis huwa siyo nzuri

  • @user-ij3eg3nf6k
    @user-ij3eg3nf6k 5 місяців тому

    Chalamila nikiongozi wa mfano unamaono mungu akubariki akupe nguvu uendeleze mapambano

  • @gloriousmushi3551
    @gloriousmushi3551 4 місяці тому

    RC UPO VIZURI SANA.Wewe ni kiongozi Mwenye maono

  • @user-rn1en4tq5z
    @user-rn1en4tq5z 5 місяців тому +1

    Safi nimeshinda haki sipati

  • @piustombili9921
    @piustombili9921 4 місяці тому

    lijamaa liko smart

  • @eliasmyamba4767
    @eliasmyamba4767 4 місяці тому

    👏

  • @user-wu3ld2ti1k
    @user-wu3ld2ti1k 5 місяців тому +2

    Maneno mazuri muheshimiwa, but utendaji zero

  • @khamishassan4834
    @khamishassan4834 4 місяці тому

    Yaani mheshimiwa unapita mle ambamo akiki yng inawaza, ni vitu vizr Sana yaan

  • @bonifacedanielmwakisunga9638
    @bonifacedanielmwakisunga9638 5 місяців тому +1

    Shida sio kujifunza kw wenzetu Bali ni utekelezaji wanaenda kutembea tu wakirudi ukiwauliza umeona Nini wanashindwa kusema awajui kuandika wakati sisi inatakiwa tuwe mbali ni viongozi kubadilika Awana maono kabisa inauma sana unaona akuna wanachofanya

  • @wanyalugendo4776
    @wanyalugendo4776 4 місяці тому

    Sawa ila tuangalie na upande wa pili coco beach ikiwekezwa wale wanaenda kupungupa upepo bure watatoeka, bia zitapanda bei zita lingana na slipway, mihogo ya wazawa hatutaiona, itakua sehemu ya kitajili, na wajasilia mali watatoeka, na fikiri ndio maana hao wengne wana geuka geuka, wanaona tutakosa sehemu za mtanzania mwenye hali ya chini ku enjoy

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j 5 місяців тому +1

    Waigilizaji ni wazuri and app wataigiliza yale mazur

  • @user-du6su6mh1h
    @user-du6su6mh1h 5 місяців тому +1

    Kuanzia China plaza kwenye mtalo adi mataa pananuka hv ninyi viongozi mnapitaga wapi?? Mikojo kwenye mtalo

  • @iam_deo
    @iam_deo 5 місяців тому +1

    Nakuunga mkono 100%

  • @MauaHaji-ur4ln
    @MauaHaji-ur4ln 5 місяців тому

  • @kazinaimwishehe-ec3xu
    @kazinaimwishehe-ec3xu 5 місяців тому +2

    Ccm sio mbaya bali baadhi ya watendajiwake si watu wazuri kwamaana sisi kisukuru tunakata mbili kata A na B atuna ata open space ata moja tulikuwa na kiwanjaa champila ambacho tulicheza apo kwamiaka 30 leo viongozi wamesema kuwa et kuna mwenyekiti ccm kapigasimu kwa kuwa eneo lawatu du ali hii sinzur mataperi wengi wanazurumu maendeleo yetu embu njooni kisukuru mujionee almashauli wanavyo vavanga

    • @Official83640
      @Official83640 5 місяців тому

      Kila kona viwanja hakuna tazama Mbezi Luis uwanja wa mpira ulikuwapo pale shuleni lkn walichofanya wamejenga soko baadae uwanja ukawa kule kwa Beda lkn wakaona haitoshi ndy imejengwa stand kubwa ya Ma bus Magufuli Teminal haya wapi watu wafanye mazoezi ya mpira😂

  • @levinachuwa7622
    @levinachuwa7622 4 місяці тому

    Big up kiongozi wetu! Mwenyezi Mungu akupe HEKIMA kama ya mfalme Suleman kwa UTUKUFU wake. Mungu akupe ulinzi unapotumika shambani mwake 🙏🏿

  • @bongo39
    @bongo39 5 місяців тому +1

    Safii sanaa

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 5 місяців тому

    MH...Rc siku zote ukiwa sirias kiasi hiki,,,,utafika mbaali saana

  • @evaemil856
    @evaemil856 5 місяців тому +1

    Sasa itabidi kabla mtu hajajenga asiamini kibali cha ujenzi Bali akapate OK from mkuu wa mkoa na waziri wa Ardhi ndiyo ajenge. Maana mahakama haina nguvu. Je mahakama imeamuru hizo nyumba kubomolewa? Si bora mngezinadia tu watu walipwe pesa au mvamizi mtuhumiwa amlipe huyo mshtaki pesa kulingana na thamani Ya kiwanja, pain and suffering. Ubabe mwingine mmh kifo.

  • @EmmanulDennis
    @EmmanulDennis 5 місяців тому +1

    Mmmmh