EXCLUSIVE INTERVIEW | MKE WA MAREHEMU JOHN KOMBA AKIFUNGUKA MAZITO KUHUSU MUME WAKE.
Вставка
- Опубліковано 27 лют 2024
- EXCLUSIVE INTERVIEW | MKE WA MAREHEMU JOHN KOMBA AKIFUNGUKA MAZITO KUHUSU MUME WAKE.
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Розваги
Well composed Lady. Hiki kizazi cha hawa mama adimu sana . Mungu aendelee kumbariki
Alooo mama Yuko very calm and open
Nmekupenda bure we mama
Mwalimu Nguli wa hesabu, barikiwa mama yangu ulitujengea msingi mzuri sana wa somo la hesabu pale shule ya msingi Lugalo
Moses nauye mwanzilishi wa mambo ya halaiki namkumbuka sana nikiwa singida nayeye akiwa mkuu wa mkoa
Nmkupenda mamangu, ilq huo wanja aliyekupaka mwambie asikupake tena
😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅
Mmmh. Yapo mengi sirini ninyi. Msidhalilishe makabila. Mnajificha nyuma. Ukimwi umeenea zaidi wapi Tanzania. Kwa Wangoni? Shenzi sana.
Mama huo wanja
Huyu mama ndio anafanya wanaume wasiheshimu ndoa zao. Ulikua abused lakini wazazi wako walikwambia rudi kwenye ndoa yako, ungekufa kwa ugonjwa wa moyo. Komba alikutumia na kukudhihaki kuwa unalea watoto wa wenzio huku mama zao wanapumua, shame
mke mwenza na Lulu
Usikariri maisha ona lulu alipo na mama alipo, vya zamani watu husahau na kusonga mbele, wewe Bado uko huko
Lulu yupi?
😅😅😅
Wanja Kiki nzuri
Umaarufu hauj hv hv
Na umri huo carolight ya nini?
Shetani hadi huku upo....? Huyu mama ni white full unapenda uchawi aisee.... Wewe sijui nani mama wawatu cute hazeeki
@@joycehaule9717😂😂😂😂😂
Bi Khadija Kopa pia alikuwa mchepuko wake 😂😂
Ahaaa😂😂
Mhhhhhh!!!
Mpaka Lulu wa Majey alipita pale
Kwani Kuna wimbo anataka kutoa mana naye kaja kwa kasi kwenye vyombo vya Habari au anagombea URAISI mwaka😮
Kumbukizi ya mumewe
Mwalimu Nguli wa hesabu, barikiwa mama yangu ulitujengea msingi mzuri sana wa somo la hesabu pale shule ya msingi Lugalo