ASMAH aeleza UHUSIANO na BABALEVO ulivyomfanya BABA yake atake KUMFUTA kama MWANAE, kufikiria KUJIUA
Вставка
- Опубліковано 22 лют 2024
- Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.com/store/apps/de... - Розваги
Mami jifunze tofauti ya r and l but nimependa unavyojibu❤❤
nimekapenda jaka kadada uwiii kako smat sana Mungu akujalie upate wako wa maisha❤
A grl she is so smart 🙌🏼🥰
Bbng munguawenawewe kWakipajichako ❤❤❤bbng
Songa mbele mdogowangu mambo ya mahusiano haujaanza wewe walikuwepo ni kawaida ushishangae nakiroho chako cha huruma Mungu atakupatia wakwako usijali ❤❤❤❤
Intelligent...! Very nice interview..❤
Come ooon! Usioneshe kwapa kwenye interview hata kama ni pose la kuonesha confidence. Hiyo nguo sio ya pose hilo. Umeharibu interview, inaonekana chafu.
nahisi hakugundua hilo, ako alitafuta confidence
unaongea nini wewe mwanaume awi hinyo nguo yake inakuhusu nini .
Hongera Asmah mahusiano mengine kujitafutia matatizo tu bora umeyaepuka
Dada kichwani yupo sawa kweli mashallah hongera asma unajua kujieleza
L intead of R inanikata sana
intead ni nini ww pia😂
😂😂😂@@saidahj2543
@@saidahj2543tobaaaa😅😅😅😅😅😅😮
Yani uko vizuri kuzibu
Uko poa sana dada salute nyingi
Ni watano naombeni likes
Kufanya like, vile like napenda kufanya like eeee, 🙌
Kwahyo mmeshindwa edit project..camera 1 inamove namna hyo..left right..sio sawa bro..inaumiza macho kinoma.
She is so smart Mashaa'Allah
Intelligent woman anajua kujibu maswali.
I like her😊
Acha dharau, binadamu wote ni sawa
Asmah, sema pole pole una tema mateee sana😂😂😂😂
Unajielewa dogo bigup
kako smart kichwani....
Anajibu very short
Nimekua wa kwanza leo😂😂
Hilo la kutema cheche nimeliona anaongea KWA Nguvu sana ajifunze kuongea kwa upole itamsaidia sana ,Hilo la baba levo kama wameachana ni vizuri kuliko achukue mabwana za Wenyewe , Tamaa ni mbaya.🎉
Mh hujui
Sky hawa vichwa maji waachiye wengine wawahoji we sio levo zao 😂
Kichwa maji ni ww ambaye ubongo wako haujui kuchakata😂hiv we upo sawa kwel
Wivu Tu kwani ao unataka waje apo walianza aje
@@giftwieland6322
Hapana sipo sawa 😂😂😂😂
Ukute chako ni tope tena ya moshi
@@soamShs-cp4dl
😄🤣
I love you Asma
Binti ana akili sana huyu na anaonekana na roho nzuri sana ndo maana baba levo alishindwa kufanya maamuzi
Sasa ajifunze wapi R inakaa na wapi L inakaa
Kabisa
😀😀😀😀😀😀uongo uongo 😀😀😀Asma anachekesha
Eeehhh..okay..she is funny though😁
kama hakuhitaji kuhojiwa kuhusu Baba Levo angesema kuliko majibu ya kifala.
Nitaka kujua baada yakutoka Dar uliendelea na chuo Dodoma au ndio ukaacha maana SKY hakuuliza hilo swali
Hizi interview nyngn sio level za sns bhana kuna watu wanafanya vitu vya maana endlea kuwatafut na kuwahoji bhna hawa achia hao underground bhana next Time fkria mara mbili sky
Kwa mentality hiyo hiyo vyombo vya habari viliacha kuwahoji the Ramadhani brothers kisa level zao ni ndogo Sana! Leo hii the ramadhani brothers wamekuwa wakubwa vyombo vya habari Hadi vinaona noma kuwapost! Tunahitaji kuwaona wakiwa kwenye level yoyote Ile halafu Asma sio mdogo!
@@suleymanmakiwa1651 huwez fanansha ambacho Wala vijana wanakfanya na ambacho anakfanya huyu wale wako na impact kubwa mara 1000 uklngnsha na huyu
Very true
Daslam😢😮. Safali dailkta . Yaan mnakera kweli kwanini Lakini R na L mnaharibu Sana
😅
Kuhalibu _ kuharibu
Mambo nimoto 😂😂
Litaliti shooo
😅😅😅 Leyi kigozi 😅😅 tell her to say Rayvanny or Rich
L na r ni tatizo...na inaboa kweli
Na makwapa yote yako nje aibu tupu 😂😂
Walei walei wa Lei kigosi😂😂
Aaammm good 😂😂
Aahh kubabakee 😅
MZIGO UMETUPIWA SAA 8 KASORO😊NILIKUWA NAUSUBIRI,,NA NILIKESHA NAO MBONA😊
Akili kubwa Asma Mungu akusimamie unajitambua nakujielewa kila kitu kinatokea kwa sababu. Kaza buti fanya kazi .
If possible tuwekee timestamps
Daylekta
Hizo pillows I hope huwa zinafuliwa😁
Sns jibu ulilo kuwa unalitaka ujakipata vizur😂😂😂😂😂😂
Leey ama Ray 😂😂😂😂 watanzania wako na shida bya R And L😅😅😅😅
Special hawa wabongo😂😂😂
expeeesheeni 😅
Huyu hiyo movie kachezaje mtu anachanganya L na R😂
@khalsasalim7930 50% ya watanzania mpaka viongozi wana hilo tatizo L na R kwao ni mtihani
ilo nitatizo la wengingi bwana aina shida kbs
@@estermahenge-ks3drSio jambo la kawaida
@@estermahenge-ks3dryaani we huoni shida !!
@@MiriamAbdallah k
Babalevo alimaliza mausiano yaliyokua na jee wewe, uliya maliza ? She is dodging all the questions.
Unajifanya uko smart lkn ww ni mjinga wakawaida ungekua smart umeletewa zawadi kutoka China 🇨🇳 ulipost ili iweje mbona ukukaa kimya ulikua wataka kumkomoa salma ukaishia vizawadi na imetokaaa io
Spend kuona kwapa mie hasa na mwanamke jmn asma hebu tufunikie kwapa kwanza jmn mm
Dada Mzuri ila kumsikiliza anachosha maneno mengi anakosea matamshi
Maisha yamenifanya niwe lili😂😂😂 lili laif
😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂
😢😢😢😢😢😎
Brother sky tuletee (hemed phd
Unajibu vibaya
Kwahiyo baba levo ameshatanua ilo shimo liko mwaaaa duuh
Acheni kumkata mtu mood kwapa la Asma linatatizo gani? Msikilize mtu anaongea nini,? Sio kuangalia makwapa na kadhalika na kadhalika ,heshimu mtu na alicho vaa,
Huyu ni msichana anaejitambua Jamani anajua madhara ya ndoa za watu ,siku zote ukimfanyia mtu ubaya kumbuka unaupanda utameya tu
Tafuta backup ili uache lawama na watu wasio na ratiba na wewe.Hiyo sababu imezingua sana.
Sky sky sky... Hizi interview tafta wakukaa hapo, you're too old for this brother ✨🙏🏼
Old people should interview old people? 😀😀 Never heard that kind of journalism
R na L tatizo sana kwako Dada bado hujachelewa unaweza kulefix tu japo sio rahisi hivyo but jitahidi cz inazingua kichizi sana hiyo R na L aiseee
Hata Ww Unatatzo La R Na L Ni Refix Sio Lefix 😂
😅😢😂
Refix au lefix we mwenyew ndo wale wale
@@anuaryfernandez7230kipofu anamwokoza kipofu mwenzie😅😅😅😅😅😅
Nyani haoni kundule😂😂😂
L na R sasa😂
Ruru..ley kigosi..😂
😂😂😂
Mpaka Sky kashtuka na iyo Ley 😢😂😅
@@Mimy_keys 🤣🤣🤣
@@Mimy_keys😢😢😢😢😢😢🤣🤣🤣🤣
Huyu dada kabila gani mbona R na L anazituanga vile?!!
Cjui kwann mnamtukana waja jmn nyie nayey nivitu viwili tofaut mnamjua hawajui roombya nachoyo mwachni bint wawatu
I love sns. But hawa watu wasojua kutofaulisha letter R na L . Siwezi kuskuliza
Kumbe tuko wengi wanakera sana
Tuko kujudge r n L ili ni tatizo la wengi na anakithembe sio rahisi kwa watu wa ivo kutamka herufi nyingi
Una ugomvi na herufi "R" dada hebu jifunze tu itapendeza!
Huo mndomo alikuwa ananyonya nini ?
Ila Huyu sio wakufanya interview na sky
Kumbe ni kademu kenye akili
Mbona anaonekana mjamzito
Asmara jifunze kuingea L na R ni vitu 2 tofauti 😊
Baizewei😂
Kuingea na wewe ndio Nini? Mimi umenipoteza
Na ww ulijionesha sn 😂😂😂 na kujisemesha Ukiendelea utapata laana
Eiza mumeisikia?
😂😂😂😂😂😂😂
Siliaz 😢serious
Si waongee tu kiswahili😅😅😅😅😅😅
Ila akili ipo
Ku ---mako zakufikia
Huyu pumbavu ndio alikuwa anamsumbua mama Rubby pumbafu huyu
Tarehe 8/3 ndio womens day sio 8/8
Eti "like"😂😂😂
Ukaamua kutaja umeme kabisa
Nahizo cope sasa duuh mtihan san
R na L
Hivi kwanini ulitanuwe kwapa lako hivyo!?😒
😅😅😅
Mambo ya vokesheni 😅
expesheeeeeeni je😅
@@bwanka😂😂😂😂😂😂
tambaza ni form 5 na 6 hakunaga O level pale..
Asmah una akili sana
Ilikuwa kiki tu.
Kama huzijui kiki tulia, hiyo
Sio kiki
Tofautisha kati r na l
hakn kit kinanip shid kama mtu anaetumia r kweny l n l kweny r yn meseg Huw sielew kwa kwel
@@happiness.focus.8023huwa sisisomi na kama inaulazima itanisumbua sana kuielewa
Ifike mahali hawa watu wajue matumizi ya L na R
Yaani ndugu wanaudhi sana
Sky mnawork mpaka usiku huu 🙌🙌🙌🙌
Asma ni genius nimependa anajitambua na anaheshimu wazazi amelelewa vizuri!Allah atakulipa inshaalah
Ujitambue SS ww mdada
Me simjui ujue ndo namuon alifanyje
O
😂😂Pole ILA wewe muongo.
Likwapa wazi bidada
Dada unjanja utaacha lini. Wajibu maswali ni kama hutaki mbona . Ulilazimishwa Kuja kwa media. Kwenda mjuaji wewe.