Jinsi ya kupangilia Mwaka Wako - sehemu ya pili (Designing Your Year Part 2)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лют 2025
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ •

  • @VeronicaYenga
    @VeronicaYenga Місяць тому

    Kundi langu namba Moja, shukrani, natakkiwa nipambani baadae kitod mattjnda

  • @citymaxbookshoptanzania2924
    @citymaxbookshoptanzania2924 5 років тому +6

    asante sana semina hii imefanya mabadiliko makubwa sana katika maisha yangu na kwa kuhudhulia semina hii nimeongeza mtandao mkubwa sana wa watu ambao wana kiu ya mafanikio.

  • @mussajossy3914
    @mussajossy3914 5 років тому +6

    Waooh kaka Joel nanauka
    Nipo hapa naisubiri Kwa ukaribu Zaidi sehemu HII ya pili ya kupangilia malengo 2020 na kuendelea
    Kazi nzuri Sana Kwa sehemu ya Kwanza Ur really original and unique

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому +2

      Mussa Jossy safiiiii

    • @sumiodilo1180
      @sumiodilo1180 5 років тому

      HALOW RAFIKI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 HABARI NJEMA
      .
      Kupitia kampuni ya Avance Media yenye makao yake makuu nchini Ghana imetoa orodha ya VIJANA 50 wenye ushawishi nchini Tanzania kwa mwaka 2019.Ndugu yetu Joel Nanauka ametajwa kama mmoja wa vijana hao katika eneo la PERSONAL DEVELOPMENT&ACADEMIA.
      .
      Kwa sasa hatua inayofuata ni kuweka orodha kuanzia wa kwanza hadi wa hamsini itakayotokana na kura yako ambayo hautumii gharama yoyote ile kuipiga.
      .
      Unachotakiwa kufanya:
      .
      1) Tembelea hapa (Bonyeza hapa) tz.avancemedia.org
      2)Nenda palipoandikwa Personal Development&Academia
      3)Chagua jina la Joel Nanauka
      4)Jaza jina lako, Email yako na namba yako ya simu kisha bonyesha kitufe cha VOTE.
      .
      Zoezi hili litakuchukua dakika 3 ukipiga kura tutaarifu hapa kwenye comment.
      .
      AHSANTE SANA KWA KUMPIGIA KURA JOEL NANAUKA.Hakikisha namba yako ya simu unajaza kwa kuanza na +255 badala ya sifuri. Mfano: +255786245234
      .
      See You At The Top
      .
      Bonyeza tz.avancemedia.org upige kura sasahivi usighairishe 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 USISAHAU KUSHARE NA WENGINE TAFADHALI.Ukimaliza kupiga kura unaweza kupendekeza jina lake tena pale chini kwa ajili ya mwaka 2020 tena🙏🏻🙏🏻.KUMBUKA UNAWEZA KUPIGA KURA ZAIDI YA MARA MOJA.

  • @sylusyemmanuelngusu1407
    @sylusyemmanuelngusu1407 5 років тому +6

    Najifunza na nitaendelea kujifunza kila leo, kwa kuwa wakati ni sasa and one day one time I will be at the top of my achievement . God bless you Mr JN

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому

      Sylusy Emmanuel Ng'usu See You At The Top

    • @sylusyemmanuelngusu1407
      @sylusyemmanuelngusu1407 5 років тому

      @@joelnanauka Thanks Coach

    • @sumiodilo1180
      @sumiodilo1180 5 років тому +1

      HALOW RAFIKI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 HABARI NJEMA
      .
      Kupitia kampuni ya Avance Media yenye makao yake makuu nchini Ghana imetoa orodha ya VIJANA 50 wenye ushawishi nchini Tanzania kwa mwaka 2019.Ndugu yetu Joel Nanauka ametajwa kama mmoja wa vijana hao katika eneo la PERSONAL DEVELOPMENT&ACADEMIA.
      .
      Kwa sasa hatua inayofuata ni kuweka orodha kuanzia wa kwanza hadi wa hamsini itakayotokana na kura yako ambayo hautumii gharama yoyote ile kuipiga.
      .
      Unachotakiwa kufanya:
      .
      1) Tembelea hapa (Bonyeza hapa) tz.avancemedia.org
      2)Nenda palipoandikwa Personal Development&Academia
      3)Chagua jina la Joel Nanauka
      4)Jaza jina lako, Email yako na namba yako ya simu kisha bonyesha kitufe cha VOTE.
      .
      Zoezi hili litakuchukua dakika 3 ukipiga kura tutaarifu hapa kwenye comment.
      .
      AHSANTE SANA KWA KUMPIGIA KURA JOEL NANAUKA.Hakikisha namba yako ya simu unajaza kwa kuanza na +255 badala ya sifuri. Mfano: +255786245234
      .
      See You At The Top
      .
      Bonyeza tz.avancemedia.org upige kura sasahivi usighairishe 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 USISAHAU KUSHARE NA WENGINE TAFADHALI.Ukimaliza kupiga kura unaweza kupendekeza jina lake tena pale chini kwa ajili ya mwaka 2020 tena🙏🏻🙏🏻.KUMBUKA UNAWEZA KUPIGA KURA ZAIDI YA MARA MOJA.

  • @AlexJefwa
    @AlexJefwa 2 місяці тому

    Asante sana... coach Joel... nimejifunza...mengi... kupitia hili somo mungu azidi kukulinda sana..kw... Kila hatua..🙏🙏🙏

  • @pikanaauntzuu1466
    @pikanaauntzuu1466 3 роки тому

    Asante sana kaka Joel umenisaidia kwa kiasi kikubwa kuendeleza kile ambacho nimekiaanzi kikweli nafanya kazi inanilipa vizuri tu lkn siipendi kila nikiamka asubuhi huwa na lalamika juu ya hii kazi lkn mwezi wa 5 mwaka huu nimeamua kuwekeza kwenye kilimo na nimeanza kununua mashamba kwasababu nafanya kazi kwa mkataba nataka panapo majaaliwa bac ndani ya miaka mi 3 niwe nimeachana na hii kazi napenda kilimo na napenda sana biashara ya chakula maana niko vizuri kwenye upishi mamboss zangu wamenisaidia sana kujua nafasi yangu ni ipo mimi ni mpishi mzuri hakuna mtu anakula chakula changu akasema kibaya japo nimeamua kuanza na kilomo kwanza baadae huko mbeleni Inshaallah nitakuja kufanya biashara ya chakula asante sana cjuti kbisa kuwa mwanafunzi wako Mwenyezi Mungu akubariki sana

  • @mrgiftjonathan8703
    @mrgiftjonathan8703 5 років тому +1

    Asante sana kaka. Umenifungua sana ufahamu wangu kupitia somo hili. Zidi kubarikiwa mno wewe na Mke wako watoto Familia kwa ujumla wake.

  • @fidiuskalekezi2049
    @fidiuskalekezi2049 5 років тому

    Huwa nakuelewa sana mwaka juzi mwezi wa nane nilipata ajali mbaya ya gari nkiwa kitandani kwa zaidi ya mwaka mmoja nkajikuta naanza kukufatilia sasa nina zaidi ya mwaka nimepona lkn nimekuwa mtu mpya kabisa na mafanikio ndani ya muda mfupi kuliko zaidi ya miaka 8 kwenye mapambano yangu ya kimaisha.Mungu amekuinua kaka endelea na hii kazi utaokoa wengi.

    • @abelsanga2616
      @abelsanga2616 5 років тому

      Fidius Kalekezi naomba nipate mawasiliano yako

  • @memastitus3063
    @memastitus3063 5 років тому +2

    Yaani kaka unanijenga sanaaa kiukweli najifunza mengi kutoka kwako na umenibadilisha

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому

      Memas Titus nafurahi sana kusikia hivyo

  • @ramakheri9824
    @ramakheri9824 5 років тому +3

    Kazi nzur bro,atuna cha kukulipa ila God will pay you for us coz you are really life coach.

  • @edwardmrosso4827
    @edwardmrosso4827 5 років тому +11

    Kabla sijaanza kukusikiliza bro joel nilikua najiona najua kila kitu lakin nmekuja kugundua nilikua sijui kitu

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому +2

      Edward Mrosso Nashukuru kwa kujifunza zaidi.Kujifunza hakuna mwisho

    • @maniamba.tz_
      @maniamba.tz_ 5 років тому +1

      Nakupata vizuri sana brother pia ninaimani wewe ni mmoja wa watu watakayo nifikisha mbali asante sana kwa kujitoa kwako kwa faida ya sisi wengine

    • @adelab.mwambambe1736
      @adelab.mwambambe1736 5 років тому +1

      Hahaa best kumbe na wewe unamsikiliza Sana huyu jamaa daah Mungu ambariki sana

  • @abdufatuma9420
    @abdufatuma9420 5 років тому +1

    Kaka Niko katika wakati Tata sana kwa Kila linalo nizunguka, lakini Niko na Mori kutaka timiza malengo yangu niliyokuwa tangu utotoni na sahii hizi naamini kabisa naweza nanataka kutimaza, but still I need motivation . Nimepitia mingi, maisha yangu naweza kuaandika kitabu. Kwa yaliyo nifika na Hadi Sasa lakini nimejitambua na kuona vikwazo vyote vilivokuwa vinanikwaza but now I need positive motivation with sincerety, Kaka Joel naomba usaidizi wako

  • @ElvisIrakoze-pj8ym
    @ElvisIrakoze-pj8ym Рік тому

    Wow!! Mwalimu mzuri sana! Mafunzo Yako ni muhimu mpaka tunatamani vidéo isiishe Mungu akubariki sana!

  • @sempaykabayasson1330
    @sempaykabayasson1330 5 років тому +2

    Nimekuelewa sana brother nina imani nitafika mbali kupitia maneno yako, Mungu akujalie.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому +1

      Sempay Kabaya's son nami naamini utafika mbali pia

    • @sabrahkipalamoto5222
      @sabrahkipalamoto5222 4 роки тому

      @@joelnanauka kaka j naomba namba yako niunge kweny group lako

  • @edwinzacharia3501
    @edwinzacharia3501 5 років тому

    Da nashukuru saana kwa kunitia moyo hasa kwenye kufanya kitu kwa mwendelezo imekuwa tatizo ktk maisha yangu. MUNGU akubariki saana

  • @mwamengele
    @mwamengele 5 років тому +7

    Komenti yangu ya 29 yeeeiiii! Brother you are waking up our people, good job

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому +1

      Mengele Ugulumo Thanks Much 🙏🏻🙏🏻

    • @sumiodilo1180
      @sumiodilo1180 5 років тому +1

      HALOW RAFIKI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 HABARI NJEMA
      .
      Kupitia kampuni ya Avance Media yenye makao yake makuu nchini Ghana imetoa orodha ya VIJANA 50 wenye ushawishi nchini Tanzania kwa mwaka 2019.Ndugu yetu Joel Nanauka ametajwa kama mmoja wa vijana hao katika eneo la PERSONAL DEVELOPMENT&ACADEMIA.
      .
      Kwa sasa hatua inayofuata ni kuweka orodha kuanzia wa kwanza hadi wa hamsini itakayotokana na kura yako ambayo hautumii gharama yoyote ile kuipiga.
      .
      Unachotakiwa kufanya:
      .
      1) Tembelea hapa (Bonyeza hapa) tz.avancemedia.org
      2)Nenda palipoandikwa Personal Development&Academia
      3)Chagua jina la Joel Nanauka
      4)Jaza jina lako, Email yako na namba yako ya simu kisha bonyesha kitufe cha VOTE.
      .
      Zoezi hili litakuchukua dakika 3 ukipiga kura tutaarifu hapa kwenye comment.
      .
      AHSANTE SANA KWA KUMPIGIA KURA JOEL NANAUKA.Hakikisha namba yako ya simu unajaza kwa kuanza na +255 badala ya sifuri. Mfano: +255786245234
      .
      See You At The Top
      .
      Bonyeza tz.avancemedia.org upige kura sasahivi usighairishe 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 USISAHAU KUSHARE NA WENGINE TAFADHALI.Ukimaliza kupiga kura unaweza kupendekeza jina lake tena pale chini kwa ajili ya mwaka 2020 tena🙏🏻🙏🏻.KUMBUKA UNAWEZA KUPIGA KURA ZAIDI YA MARA MOJA.

  • @echimunimalikia4975
    @echimunimalikia4975 4 роки тому +2

    Mungu akubarki unanifungua kila clip ninayoiangalia

  • @hafsaali4423
    @hafsaali4423 3 роки тому

    Asante sana kaka.ubarikiwe najifunza vitu vizuri sana mimi ni meajiriwa ila kweli sipendi kazi nayo ifanya kabisa ila napenda sana kuwa mkulima yani naimani sana nikaanza kulima anakwenda kuwa mtu mkubwa sana

  • @josephinenestory2382
    @josephinenestory2382 5 років тому

    Inatia moyo sana. Kusudi la mungu kukuleta duniani umelitimiza!!!!.

  • @dottnatt7110
    @dottnatt7110 5 років тому +2

    Nilikuwa na malengo ya kujenga 2019,lkn umeisha sijafanikisha malengo yang!! Sasa naitaji msaada wa mawazo huu mwaka 2020 nifanukishe malengo yang kaka Joel..Please nisaidie nifanikushe maana ninafanya kazi na mshahara ninaolipwa ninauwezo wa kutimiza malengo yang lkn sijafaham nn tatizo linalonikwamisha naitaji msaada mkubwa wa mawazo zaid. Asante kwa somo nzur Mungu akubariki kaka kwa kazi yako ya kutuamsha tuliokuwa usinginzini kila siku🙏🙏

  • @dannyerasto5509
    @dannyerasto5509 5 років тому +1

    Najifunza mengi kupitia masomo yako Mungu akuzidishie na kukuongezea miaka , wewe ni Wa faida.

  • @AlimachiusHenericko
    @AlimachiusHenericko Рік тому

    Ninapenda sana kukufuatilia na ninafanikiwa sana kupitia kwako

  • @amedeusmassawe7682
    @amedeusmassawe7682 Рік тому

    Mungu akubaribi brother kwa elimu hii unayotupa🙏

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 5 років тому +2

    Ahsante sana, nimejifunza mengi.

  • @witnessmallya5114
    @witnessmallya5114 Рік тому

    Dah, Joel pokea tu maua yako, mi binafsi akili yangu inaanza kubadilika. Thanks very much broo, naamini mafanikio yapo kwa kila mtu, ni namna tu unavyoji tune, 💪💪

  • @mwanaumejasiri3835
    @mwanaumejasiri3835 4 роки тому

    Unanifurahisha sanaa maneno yako matam umenikumbusha mbalii

  • @andrewnday9127
    @andrewnday9127 5 років тому

    Mungu akubariki sana. Yani ni zaidi ya chuo.

  • @mdfahad7861
    @mdfahad7861 Рік тому

    dah asante sana kaka joel somo zuri

  • @elizabethisaac1074
    @elizabethisaac1074 3 роки тому

    Joel.Mungu akupe maisha marefu tuzidi kujifunza kutoka kwako!!

  • @MethodNdekele
    @MethodNdekele Рік тому

    Ani kaka wewe ni kitabu tosha mungu akubariki sana

  • @evastesheni8024
    @evastesheni8024 3 роки тому

    Hongera unanisaidia sana, naomba kuonana nawe

  • @dudapaschal6547
    @dudapaschal6547 4 роки тому

    Najifunza vitu vingi sana bro Mungu akutie nguvu zaidi

  • @kenedykitwange4925
    @kenedykitwange4925 5 років тому +1

    Ubarikiwe sana kaka joel

  • @richardsaidi2448
    @richardsaidi2448 3 роки тому

    Kazii nzurii

  • @gatimakonge9749
    @gatimakonge9749 4 роки тому

    Mungu mwenyewe akufunike kwa damu ya thamani kuu.

  • @twalibunamangwa1764
    @twalibunamangwa1764 4 роки тому

    unatisha mzee nakuelewa sana pamoja sana

  • @tegamajan1317
    @tegamajan1317 4 роки тому

    Somo tosha sana Kama kuelewa nimeelewa

  • @juliethlobozi6358
    @juliethlobozi6358 4 роки тому

    Shalom Kaka Joel Asante Sana kwa masomo yako samahani nawezaje kujiunga na couching system yako jmn

  • @financialBoldCommunity
    @financialBoldCommunity Рік тому

    I needed this for my 2024 planning

  • @rehemagunda3968
    @rehemagunda3968 4 роки тому

    Nimejifuza saana

  • @ndeke_154
    @ndeke_154 5 років тому +4

    Very insightful presentation. Thank you my brother

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 5 років тому +4

    Mungu akubariki sana amekupa kujitabuwa, God let me know why I am in this world👏👏👏🙏

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому +1

      Rhina Gigi Safi sanaaaa

    • @rhinakiza
      @rhinakiza 5 років тому

      @@joelnanauka mimi kabisa naomba Mungu aniongoze kila mara napaka niandike kitabu lakini nashidwa naomba Mungu sana aniondolea uzaifu ulio ndani yangu kwasababu kila mara na jinsi kuaandika nikiandika siku mbili unakuta na zebeya naacha please God this 2020 I am ready dear Jesus

    • @rhinakiza
      @rhinakiza 5 років тому

      @@joelnanauka na mimi nitapenda uniunga nisha kwa group please +319 5510353

    • @sumiodilo1180
      @sumiodilo1180 5 років тому

      HALOW RAFIKI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 HABARI NJEMA
      .
      Kupitia kampuni ya Avance Media yenye makao yake makuu nchini Ghana imetoa orodha ya VIJANA 50 wenye ushawishi nchini Tanzania kwa mwaka 2019.Ndugu yetu Joel Nanauka ametajwa kama mmoja wa vijana hao katika eneo la PERSONAL DEVELOPMENT&ACADEMIA.
      .
      Kwa sasa hatua inayofuata ni kuweka orodha kuanzia wa kwanza hadi wa hamsini itakayotokana na kura yako ambayo hautumii gharama yoyote ile kuipiga.
      .
      Unachotakiwa kufanya:
      .
      1) Tembelea hapa (Bonyeza hapa) tz.avancemedia.org
      2)Nenda palipoandikwa Personal Development&Academia
      3)Chagua jina la Joel Nanauka
      4)Jaza jina lako, Email yako na namba yako ya simu kisha bonyesha kitufe cha VOTE.
      .
      Zoezi hili litakuchukua dakika 3 ukipiga kura tutaarifu hapa kwenye comment.
      .
      AHSANTE SANA KWA KUMPIGIA KURA JOEL NANAUKA.Hakikisha namba yako ya simu unajaza kwa kuanza na +255 badala ya sifuri. Mfano: +255786245234
      .
      See You At The Top
      .
      Bonyeza tz.avancemedia.org upige kura sasahivi usighairishe 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 USISAHAU KUSHARE NA WENGINE TAFADHALI.Ukimaliza kupiga kura unaweza kupendekeza jina lake tena pale chini kwa ajili ya mwaka 2020 tena🙏🏻🙏🏻.KUMBUKA UNAWEZA KUPIGA KURA ZAIDI YA MARA MOJA.

  • @hamisimgaya7889
    @hamisimgaya7889 5 років тому +1

    Nakukubali xana kk nanauka

  • @deborahlaiton4578
    @deborahlaiton4578 4 роки тому

    Nzuri

  • @edwardalfred1172
    @edwardalfred1172 5 років тому

    Nafurahi tena kuwa mwanafunz wako na kujifunza pia.

  • @MaduhuGenge-bw6pp
    @MaduhuGenge-bw6pp Рік тому

    Kweri kaka

  • @kelsamtv5529
    @kelsamtv5529 4 роки тому

    Ahsante mkuu

  • @irenembilinyi4628
    @irenembilinyi4628 5 років тому

    Barikiwa Sana brother joel

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 Рік тому

    Tunakuchukuru sana
    Thanks

  • @estamelejomah572
    @estamelejomah572 5 років тому

    Tuta kwenda sawa tu

  • @meleniaelikana7345
    @meleniaelikana7345 4 роки тому

    Ansante sana kaka

  • @judithmwambe4767
    @judithmwambe4767 5 років тому +2

    Ahsante sana kaka Joel. Your my Torch brother.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому +1

      Judith Mwambe 🙏🏻🙏🏻 nakutakia mafanikio makubwa Judith

    • @judithmwambe4767
      @judithmwambe4767 5 років тому

      @@joelnanauka Aemen.

  • @ombeningaya122
    @ombeningaya122 5 років тому +1

    Thanks we learn a lot important how to discover purpose...

  • @JanvierVenas-ro9us
    @JanvierVenas-ro9us Рік тому

    ubarikiwe kaka Joël

  • @moseskahamba4231
    @moseskahamba4231 5 років тому

    Darasa zuri sana,asante sana bro..

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 4 роки тому +1

    Appreciate

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 4 роки тому

    Nakuskiliza hapa najifunza

  • @fadhilirashidi4764
    @fadhilirashidi4764 5 років тому

    Nliisubir sana Ngaja tu ntie bando la kitosha

  • @stargloria7106
    @stargloria7106 Рік тому

    Thank you for this bro

  • @Nutritio-z8v
    @Nutritio-z8v 4 роки тому

    Ahsante sana

  • @mrwambura312
    @mrwambura312 5 років тому

    Uko vzr bro

  • @enockkagomba1261
    @enockkagomba1261 4 роки тому

    Thanks my mentor CEO of ASA

  • @ramzy5280
    @ramzy5280 5 років тому +2

    Allah akuzidishie kaka Joel

  • @jamesboniphace1952
    @jamesboniphace1952 5 років тому +1

    Safi sana

  • @hawaerick
    @hawaerick 5 років тому +1

    Barikiwa mno kaka Joel🙏🙏🙏🙏🔥

  • @mwaisemartin7919
    @mwaisemartin7919 5 років тому

    brother joel nanauka wengine tunajifunza kupitia videos kama hizi ila changamoto ni kuwa nyingine sauti zake ziko chini sana ata kama nikiongeza sauti mpaka mwisho, kwa hiyo napata shida sana kusikia kwa kweli ila napenda sana kusikia, kuangalia video zako asante

  • @hadijaabdallah444
    @hadijaabdallah444 5 років тому

    Nipo kundi number one

  • @AfiSoul103
    @AfiSoul103 5 років тому +2

    M/mungu akuwekee naandika kila hatua..na namuomba Allah anisaidie kutimiza malengo yangu...

  • @mudimwambamuditz2427
    @mudimwambamuditz2427 5 років тому +1

    Kuna mtu wanapiga kweli kazi naanaficha ela yake lakini anakosa kitu cha kufanya tuna msaidiaje huyu mtu

  • @janethlwena2438
    @janethlwena2438 5 років тому +1

    Joel unanitisha...kikubwa uhai😂😂😂Joke aside... have learnt alot and the implementation of whatever you have advice will put in action as am writing this to you. By the have have you plan to train kids? These presentation are so important to nurture our children as some of us we are lost but with your training we coming back to our senses. Thank you.

  • @giftamulike3996
    @giftamulike3996 5 років тому

    2020 kwangu umekuwa wa baraka sana

  • @elizabethisaac1074
    @elizabethisaac1074 3 роки тому

    Asante joel

  • @chrissally8919
    @chrissally8919 5 років тому +1

    umekuwa wa kunifunza sana kaka

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому +1

      chriss ally nashukuru snaaa

    • @chrissally8919
      @chrissally8919 5 років тому

      @@joelnanauka kaka kuna episod ya usiwe mutumwa hilo jambo ullilozungumuza linanitokea sana hasa pale napofanya kazi nisiyoipenda ila nashindwa kuacha kwani sina hela ya kukuza ndoto yana ifanye nn (ndoto yangu ni kuwa mwansayansi)

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 5 років тому +2

    My all time Mentor JOEL may God bless you my brother you're doing a very good job to help others to be successful on their lives #SeeYouatTheTop 🙏🙏

  • @saidsuleiman7473
    @saidsuleiman7473 4 роки тому +1

    Njoo Zanzibar tunahitaji huduma hyo

  • @issackprimus3923
    @issackprimus3923 5 років тому +1

    Naomba uniambie skills za public speaker zinazohitajika

  • @imeldathomas760
    @imeldathomas760 3 роки тому

    Asante sana kaka Joel kwa elimu hii yenye viwango vya juu sana ninaamini sitakuwa kama nilivyo kupitia elimu hii unayoitoa kuanzia sasa,mimi nakitaka kitabu cha timiza malengo yako niko Mwanza nakupataje?

  • @luganomwakalukwa7517
    @luganomwakalukwa7517 5 років тому

    Leo hii kali mr

  • @Paul-ow2lt
    @Paul-ow2lt 5 років тому

    Ur very creative brooo b blessed

  • @abdufatuma9420
    @abdufatuma9420 5 років тому

    It's better late than never, you motivated me alot this is what I have been serched for 44 yrs. Now am here .......God is good . Naomba kupata namba yako kaka

  • @enockkagomba1261
    @enockkagomba1261 4 роки тому

    Thanks my mentor

  • @enockkagomba1261
    @enockkagomba1261 4 роки тому

    Thanks my bro

  • @charlzzesonconsciousness6685
    @charlzzesonconsciousness6685 5 років тому +1

    Shule ya thamani sana hii brother!

  • @njuka3515
    @njuka3515 4 роки тому

    Mimi namba 2

  • @awamkhalid5361
    @awamkhalid5361 5 років тому +3

    Off course hakuna maendeleo bila changamoto

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому

      Awam Khalid Ni kweli kabisaaa

  • @emmanuelmalele1439
    @emmanuelmalele1439 5 років тому

    Safi Sana Kaka

  • @petermalesa3164
    @petermalesa3164 5 років тому

    Asante Sana

  • @omariaman5783
    @omariaman5783 5 років тому +1

    Kaka nakukubali kinyama

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому

      Omari Aman pamoja sanaaa👍🏻👍🏻

  • @jovinhodossantos8672
    @jovinhodossantos8672 5 років тому +3

    Kaka Joel kitabu cha timiza malengo nakipataje

  • @joachimlema3299
    @joachimlema3299 5 років тому

    Soma lizur sana MrJoel

  • @healinghomeprayercentre
    @healinghomeprayercentre 5 років тому +1

    Thank you sir

  • @tatu3tatu549
    @tatu3tatu549 3 роки тому +1

    Napemda biashar na naifanya ila inanilioa kidog na nipo omn naosha vombo inanilipa lakin siipendi

  • @mariamwikedzi1638
    @mariamwikedzi1638 11 місяців тому

    Nahitaji kitabu Cha planning nakipataje coach

  • @freesociety7858
    @freesociety7858 3 роки тому

    Kaka Joel Mimi Nina kalama ya ungozi naomba uni funze

  • @charlesfaida1515
    @charlesfaida1515 5 років тому +1

    Asante Kaka

    • @jumannemchezela817
      @jumannemchezela817 5 років тому +1

      Nakuelewa Sana bor maana vitu ving Sana nimevipata kwako

  • @hashimually5303
    @hashimually5303 5 років тому +1

    Kaka nakufuatilia sana kwenye video na vitabu Ukifanya semina naomba niwepo

  • @simbamedia2829
    @simbamedia2829 5 років тому

    Joel vipi hauna group hata la kujifunza uko zaidi

  • @vannysalum3536
    @vannysalum3536 2 роки тому

    Samahan je hicho kitabu Cha timiza malengo , naweza kukipata kwa software labda Kuna app yoyote yakuweza dowled.

  • @yusuphabinala4120
    @yusuphabinala4120 5 років тому +1

    Kaka nabarikiwa sana na mafunzo yako mno, lakini naomba unisaidie kama utajali uandae somo kuhusu jinsi ya kufanikiwa kutunza fedha kwa ajili ya malengo mbalimbali, Mimi binafsi Nina ugonjwa wa kushindwa kutunza fedha katika malengo niliyojiwekea I believe you'll confirm my request thanks

  • @amosmwanga4027
    @amosmwanga4027 5 років тому

    Naomba kujua mahali vitabu vyako vinapo patikana