Jinsi ya kutoka kwenye madeni sugu.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 174

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 3 роки тому +13

    Watanzania mko na baraka. Hamna uchoyo wa information Kama Kenya. Kenya watu Wana roho mbaya na hawawezi kukuambia ukweli huu

  • @jafaryiqram6052
    @jafaryiqram6052 3 роки тому +11

    Nimefarijika Sana madeni imekua Kama sehem ya maisha yangu na nshidwakutoka imekua Kama utumw

  • @loycep7785
    @loycep7785 3 роки тому +2

    Asante sana kaka Joel kwa masomo haya mimi kipekee nabarikiwa sanapamoja na familia nami nitawasaidia hata jamii inayonizunguka Mungu azidi kukuongezea hekima ya kiMungu na busara zaidi Amina

  • @helmanlesha8926
    @helmanlesha8926 3 роки тому +4

    Hongera Sana Kaka ,umenifanya kujiona mpya ,umenifanya nione bado ninathaman Sana hapa Dunia ,umefanya nijione bado safar ya mafanikio iko mbele yangu

  • @kaburajeanmarie1030
    @kaburajeanmarie1030 Рік тому

    Asante sana mpendwa wa Mungu, Ubarikiwe na Mungu azidi kukuongezea hekuma na moyo wa kuwasaidia watu kutoka kwenye matatizo

  • @lusekelomnange
    @lusekelomnange 4 роки тому +8

    Nimependa sana hiki ulichozungumza, god bless u..

  • @francisnjue1360
    @francisnjue1360 Рік тому +1

    Haki umezaindia mimi sana nakutazama nikiwa Somalia 🇸🇴 but I will be back to kenya 🇰🇪 kwa wadeni wangu na hope nitajitoa kwa mandeni niko ndani ya ndeni la million mbili kutoka kwa watu wengi sir,hope nitatumia io principle nitoke thanks for letting me know God bless you.

  • @albertkaitaba2513
    @albertkaitaba2513 Рік тому +1

    Thank you Joel naanza kuku elewa mungu akubariki sana kwa kazi mzuri

  • @edwardmkaro2021
    @edwardmkaro2021 2 роки тому +2

    Asante kwa mafundisho mazuri🙏

  • @enoshmukama4783
    @enoshmukama4783 Рік тому

    Nashukuru sana limekuwa somo zuri sana kwangu umenifungua ktk hilo Sasa nitaanza kuwa Moja ya kijana Bora sana thanks you

  • @MwanzalimaLeonard
    @MwanzalimaLeonard 3 місяці тому

    Tukizingatia haya yatatusaidia! be blessed guy!

  • @abdullahiabdikarim6670
    @abdullahiabdikarim6670 3 роки тому +2

    hiyo ni kweli kabisa Mzee Nina hiyo ugonjwa ya madeni na shukuru Kwa kunipa nasaha nzuri.

  • @abelbusumba6633
    @abelbusumba6633 3 роки тому +2

    God bless you Mr... Kwa chakula ya ubongo.

  • @mussakhamis2377
    @mussakhamis2377 2 роки тому

    Thanks brother kwa elimu yk hakika wewe ni super life coach

  • @FelistaMollel-x3j
    @FelistaMollel-x3j 11 місяців тому

    Ubarikiwe kijana kwa mafundisho yako imeniinua sana

  • @ruwaidamabrouk1797
    @ruwaidamabrouk1797 Рік тому

    Thank kaka Joel nimejifunza mno ubarikiwe See you at the Top 💯

  • @sweetbertmligo9637
    @sweetbertmligo9637 3 роки тому +3

    I really appreciate!

  • @amostinga770
    @amostinga770 Рік тому

    Hongera sana kutokana na somo zuri kama hili limenifanya nibuni namna ya kukutana na watu wote wanaonidai na kupangilia namna ya kuwalipa niwe guru ISalute

  • @liberatussylvanus5477
    @liberatussylvanus5477 4 роки тому +4

    Nimetoka kabisa kwenye made baada yakukufuatilia mungu akujaalie

  • @abrahammwambije2769
    @abrahammwambije2769 2 роки тому

    Mpaka nje nikuguse mkono wako ili muujiza wangu uje utimie pokea shukrani zangu kwa masomo yako.

  • @hopechengula
    @hopechengula Рік тому

    Asante brother nilitaka kukopa Milion akati na shida na laki 3 nishagairi staki tena Asante sana ubarikiwe

  • @nelsonmpolochacha5035
    @nelsonmpolochacha5035 4 роки тому +2

    Powerful message. Asante sana ....!

  • @efremmgaya7244
    @efremmgaya7244 3 роки тому +1

    Nimefurahia sana somo lako lajinsi yakutoka kwenye madeni. Naomba unisaidiye zaidi mawazo zaidi ili niepukane namadeni. Asante.

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 3 роки тому

    Nashukuru kwa darasa lako zuri, Mwenyez Mungu akujalie

  • @agnesssilvan3954
    @agnesssilvan3954 3 роки тому +4

    Somo zuri sana bro, Big up Mungu akupe moyo wa upendo milele

  • @asta.tanotdoor7
    @asta.tanotdoor7 9 місяців тому

    Thanks a lot be blessed

  • @victoriasamaga8429
    @victoriasamaga8429 Рік тому

    Mungu akubariki kwa somo nzuri

  • @thomasjaphet4223
    @thomasjaphet4223 4 роки тому +1

    Mh your a medicine of heart mungu awe nawe

  • @AyubuExaud
    @AyubuExaud Рік тому

    Safii sana nanauka we ndo jembe letu kwa elimu

  • @elizamwacha7458
    @elizamwacha7458 Рік тому

    Ahsanten sana kaka Joel umegusa mioyo ya wengi.

  • @agnesslucas4744
    @agnesslucas4744 2 роки тому

    Asante sana Kaka Joel kwama funzo mazuri unanifungua sana

  • @orishluka4241
    @orishluka4241 3 роки тому

    WAOOO THNKX FOR WATCH ME COZ IHAVE ALOT OF DEBT

  • @JulieAmos-to5po
    @JulieAmos-to5po 4 місяці тому

    Nimekuelewa sana, asante

  • @maniamba.tz_
    @maniamba.tz_ 2 роки тому

    Somo zuri sana Kiongozi maana watu tuna madeni kiasi kwamba hadi tumekuwa watumwa wa madeni

  • @juliethmuro7654
    @juliethmuro7654 4 роки тому +2

    Asante Joel kwa shule hii nzuri.

  • @joharisadi873
    @joharisadi873 2 роки тому

    Hakika nimejifunza kitu muhimu Sana .ubarikiwe Sana.

  • @AyubuExaud
    @AyubuExaud Рік тому

    Safi sanaa mwalimu wangu mtu hatakuelewa wewe kuhusu elimu hiyo hata watoto wake hawata kuja kumuelewa

  • @petromwamengo4980
    @petromwamengo4980 4 роки тому +3

    Dah hakika ni faida kuangalia video zako zinatusaidia sana brooo

  • @kithajungu1389
    @kithajungu1389 3 роки тому +5

    Wewe kijana niwa ajabu sana na maneno yako yana muujiza sana ndani yake.jana nimesikiliza hii maneno yako na video zako kazaa baada ya kuwa nimesongwa na mambo mengi kichwani nikawa natafuta kitu gani cha kunipa faraja nikakutana nawe nikasikiriza jinsi ya kuachana na msongo wa mawazo nikakufatiria mpaka hapa kwa madeni nikaamua kufata unacho shauri yaani jana tu uwezi amini nina rafiki yngu alikuwa akinidai ml3 nikamwandikia msg ya msamaha na kumwambia nilivyo kwama na nitarekebisha zuri.uwezi amini kilicho nipata amenitumia msg na kusema usirudishe ilo deni nimekusamehe ndo mchango wangu nami katika msiba mkubwa ulio kupata.machozi yamenitoka km vile nimefiwa tena.ohoo mungu ambariki sana akubariki nawe pia uliye nipa ujasiri uwo nilikuwa nikisikia miujiza kumbe ipo kweli.Nilifiwa na mdogo wangu akiwa anajifungua na kuniachia mtoto nimepitia changamoto nyingi mpaka niliye mwachia duka langu kunifirisi na kuingia ktk madeni lakini kwa maneno yako mwanangu nimesimama na kupata muujiza na ninanguvu mpya kwa masaa tu hakika mungu anakutumia,jana tu ndo nimekuona na kukusikiriza video zako hizi km saba hivi.hakika nimebarikiwa.asante sana.

  • @breshnyanjwa3102
    @breshnyanjwa3102 3 роки тому +2

    Much appreciated, u'r lifting young generation

  • @pangaboy1568
    @pangaboy1568 4 роки тому

    Asante sana kaka........... nimepona kimwili na kiroho pia

  • @hellyfridy
    @hellyfridy 11 місяців тому

    Thanks so much🙏🙏

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 2 роки тому

    Bonge la somo Asante mwalimu

  • @marknew2655
    @marknew2655 4 роки тому +2

    Kaka asante kwa somo zuri kama MTU unamdai nakama umempunguzia deni na kama hatak kulipa umfanyaje

  • @bsrabbitfarm
    @bsrabbitfarm Рік тому

    Nimejifunza vitu vingi kupitia wewe kaka Joel mungu aendelee kukuweka hai uzidi kumtumikia.

  • @dullahowland9943
    @dullahowland9943 4 роки тому +2

    Nimefrai sna kwan napata kujifunza mambo mengi mnoo Mashallah kaka joel Allah azid kukubariki

  • @hamisichenji9892
    @hamisichenji9892 Рік тому

    Ni mwaka mmoja umepita tangia huu ushahuri uwe umetoa, sina la kusema zaidi ya Asante sana na nachukua huu kwangu na ikawe kheri zaidi. Sio siri nipo kwenye madeni na inafikia atua mpaka nawapotea wanaonidai ila nahitaji nijitasmini sasa niweze kujitoa katika huu utumwa maishani mwangu. UBARIKIWE KAKA

  • @johnmtope9568
    @johnmtope9568 3 роки тому +1

    Ni kweli kabisa nimeelimika swala kwani kwa sasa dini linakuwa siku niamua kusitisha kukopa ili nilipe yaliopo

  • @magnusndunuka1038
    @magnusndunuka1038 3 роки тому +2

    ni nzuri sana mm mwenyewe nina madeni mpaka kichwa kinauma ila naamini ntayashinda

  • @side216
    @side216 3 роки тому

    Thanks for your help

  • @avitusrweyemamu5045
    @avitusrweyemamu5045 2 роки тому

    Mungu akubaliki sana

  • @utukufujgwalupama1554
    @utukufujgwalupama1554 Рік тому

    🎉🎉🎉
    Asante sanaaaa mkuu

  • @coletashirima2193
    @coletashirima2193 3 роки тому +1

    Asante kaka Joel kwa mafundisho mazuri

  • @Kimanulucy151
    @Kimanulucy151 3 роки тому +2

    Thank you Mr Joel.Good advice.

  • @kenyeraeustachetolens6983
    @kenyeraeustachetolens6983 4 роки тому +1

    Good advice

  • @wilbertmlyuka5723
    @wilbertmlyuka5723 2 роки тому +1

    Hongera sana kiongozi

  • @stevenkiula8164
    @stevenkiula8164 3 роки тому +1

    Nakuelewa joel asante elimu nzur

  • @mwasitiathumani4626
    @mwasitiathumani4626 3 роки тому +1

    @mr joel mungu akubariki sana

  • @salmahmohamed7281
    @salmahmohamed7281 2 роки тому

    Yaan madeni kukwepa nimtihani Sana Joel unanisaidia Sana sana

  • @nevagasmsamba5060
    @nevagasmsamba5060 4 роки тому +5

    Kazi nzur bro

  • @mwanakhamiskhamis3115
    @mwanakhamiskhamis3115 3 роки тому +3

    Ni kweli Mahusiano mabovu na mume wangu na fedha hasa madeni vinanipa stress kubwa sanaa Sina furaha hata kidogo hata kusema siwezi kukaa na watu kuongea siwezi kabisaa. Naomba msaada wako mtaalam nakaribia kuchanganyikiwa

  • @magessakharim6435
    @magessakharim6435 3 роки тому

    I appreciate you.

  • @adijarichard8571
    @adijarichard8571 2 роки тому

    Nikuerewa Asante kwa ushauri Kama huo madeni nimabaya sana

  • @winfridagbcl271
    @winfridagbcl271 Рік тому

    Ahsante Sana Joel

  • @subiraomari5908
    @subiraomari5908 4 роки тому +2

    Mungu nisaidie nilipe deni kwa wakati muafaka

  • @EdsonKashaija
    @EdsonKashaija 9 місяців тому

    Nakukubali broo upo vzr mno

  • @doreenfrancis6977
    @doreenfrancis6977 3 роки тому

    Kaka umeniponya Asante Sana

  • @loycep7785
    @loycep7785 3 роки тому +2

    Jamii nyingi zimeangamia sana ktk haya mambo hasa madeni yamesababisha ha familia kusambaratika
    Na jamii imewatenga na kuwachukia
    Sababu ya kutokuelewa au tamaatu
    Haya masomo yatawasaidia sana wakizingatia

  • @flolabapegemwansasu4647
    @flolabapegemwansasu4647 3 роки тому +3

    Mtumishi naomba namba yako naona Mungu amekuweka kusudi nipone napitiamagumu nipokwisho namba uokoe rohoyangu

  • @emmanuelnkulungu3469
    @emmanuelnkulungu3469 3 роки тому

    Aisee barikiwa sana ndugu Joel

  • @neemalino5945
    @neemalino5945 4 роки тому +1

    Kweli Kaka Joel unatusaidia tutoke kwenye hayo majanga ya madeni

  • @chuiinternationalinvestmen719
    @chuiinternationalinvestmen719 3 роки тому +1

    Barikiw Sana Kaka

  • @mwanakhamiskhamis3115
    @mwanakhamiskhamis3115 3 роки тому +4

    Ni kweli stress zinashusha homornes za uzazi. Mana mumewangu ni mwenye stress saa zote na ndio maana hatuzaii

  • @Abdullatif-zv2qq
    @Abdullatif-zv2qq 3 роки тому

    Mungu Azidi kukuzidishia

  • @ZayanaNyange-jp1il
    @ZayanaNyange-jp1il Рік тому

    Daaah? Nmechelewa kukujua ila so mbaya umenifunza vitu vikubwa mno Mungu akuweke

  • @lazarolucas5149
    @lazarolucas5149 2 роки тому +2

    Mr joel kuna aina ngapi za akiba kwan wakat unasisitiza tuweke akiba kuna mtu anatuambia foolish can put money to the bank but mwenye akili ana invest.sasa unainvest halaf inapotelea huko unabakia na zero

  • @Abdullatif-zv2qq
    @Abdullatif-zv2qq 3 роки тому +1

    2021 Thank you so much ma boy Jah bless you

  • @edowilly7216
    @edowilly7216 4 роки тому +2

    Asant sana ninaulizia kitabu cha khs madeni kipo

  • @gmaemba22
    @gmaemba22 3 роки тому

    Asante sana

  • @agnesgeofrey6146
    @agnesgeofrey6146 4 роки тому +2

    This is the best Joel......ni dawa inayopona mioyo na akili

  • @evelinembesele6089
    @evelinembesele6089 4 роки тому

    Asante Kuna kitu nimepata

  • @mariammlau87
    @mariammlau87 3 роки тому +1

    asante sana kaka nimeponaaaaaaaa🙏🙏🙏

    • @noelabwana269
      @noelabwana269 3 роки тому +1

      Nilichopata ni zaidi ya PHD asanteeee

  • @anastahiliutawala3879
    @anastahiliutawala3879 2 роки тому

    Asante mkuu

  • @michaelshayo187
    @michaelshayo187 4 роки тому +1

    ahsante kwa somo zuri

  • @nelsonmwaipaja3727
    @nelsonmwaipaja3727 Рік тому

    Professor Joel Nanauka#####

  • @zenamarugujo9003
    @zenamarugujo9003 Рік тому

    Mungu niepushe na roho za madeni

  • @jacobkaingu3871
    @jacobkaingu3871 3 роки тому

    Bwana asife mtumishi wa Mungu.ujumbe wako umenigusa sana.kuanzia mwanzo wa mafundisho yako mpaka mwisho yote yamenihusu mm.nadaiwa sana karibia ksh 300000.sina amani sina furaha.ninastress kibao.yani yote yote uliyozungumza yakwangu.nimejifunza nisaidie zaidi nimalizane na deni

  • @officialbaylan4838
    @officialbaylan4838 4 роки тому +1

    thanks

  • @denismushi8834
    @denismushi8834 3 роки тому +1

    Ulielimisha sana kaka.👏

  • @crecensiaedward2364
    @crecensiaedward2364 4 роки тому +1

    Somo zuri sana kaka Joel

  • @SARAHJOSEPH-u3d
    @SARAHJOSEPH-u3d 3 місяці тому +1

    Kaka naitaji mafunzo naomba namba please

  • @gracemahenge4339
    @gracemahenge4339 3 роки тому

    Iko vizuri

  • @jenipherrio7941
    @jenipherrio7941 3 роки тому

    Ubarikiwe kaka

  • @fundievergreenengineering3923
    @fundievergreenengineering3923 4 роки тому +1

    Nimekuelewa Teacher

  • @bushambalvenasbushambal-ot3eh

    kweli kabisa

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 4 роки тому

    Ubarikiwe sana

  • @mussalibufu8582
    @mussalibufu8582 3 роки тому +5

    Kaka umefanikiwa kuniondoa kwenye madeni

  • @edwardvelidiana1864
    @edwardvelidiana1864 3 роки тому +1

    Nikweli

  • @hilarygodfrey5862
    @hilarygodfrey5862 4 роки тому +3

    Duuuuuh wewe niufunguo wa mahisha ya vijana wengi sana mwalimu

  • @maryammwandola4134
    @maryammwandola4134 4 роки тому

    ubarikiwe sn kaka Joel